Wow❤sasa hii movie ndo inabamba.. walai mumefika penye mm huwa napapenda🤣🤣halafu siku hizi mnajitahiji kutuletea kila aina ya movie ..mungu awabariki kazi ya mikono yenu..Na awape kila aina ya ujuzi na marifa
Kelvin unanitesaa mimii 😢 Kwanini unatugandishaa ingewezekanaa ungafanya kama series zingine kila sikuu unatowa kitu kwasababu nakupenda sana napenda kazi zako❤
Muwe mtafuta sura nzuri za kuchezesha jini lenyewe bayaaa hivutii, jini natakiwa mwenye shepu nzuri sura inavutia, airati hapo sawa lakini jini lingine ondoeni sura haivuti
Mzuri sna
Kama unampenda Kelvin npe like zangu😅😅
🙏🙏
Hey 💓👍
Mwakatobe
😊😅
Kelvin
Where is part 4? Where is part 4? We want part 4,5 and 6😂😂😂love it
Likes za Wakenya plz🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow❤sasa hii movie ndo inabamba.. walai mumefika penye mm huwa napapenda🤣🤣halafu siku hizi mnajitahiji kutuletea kila aina ya movie ..mungu awabariki kazi ya mikono yenu..Na awape kila aina ya ujuzi na marifa
Asante sana 🙌
Mko vzr mungu awafanyie mepex
Eeee! Hi Kari sana
Atam nmekapend bure
Kelvin unanitesaa mimii 😢
Kwanini unatugandishaa ingewezekanaa ungafanya kama series zingine kila sikuu unatowa kitu kwasababu nakupenda sana napenda kazi zako❤
Mm leo sijachelew nataka like zenu❤❤movi nzur san
Asante sana 🙌
mambzenu❤
Broo unajua kupamba kaka big up sana kaka🫣🫣🫣🙋🙋♂️
Dah katoto kanajua kuigiza jamani nimekapenda bure❤
Kagani????
Naomba likes zenu
Big up Sana 🔥🔥
Leteni part 2jamqni napenda sana mtoto mzuri❤❤❤
Asante inakuja
😂😂😂 moving kali sana nimeipenda pia
Wooow hii movie nimeipenda sana ❤❤❤❤❤👌👌👌
Jamn movie nzurii sana ila tunahitaji part 2, pia Pete ya ajabu sijaona mwendelezo
JAMANI movie ninzuri sana nazipenda sana
Boss kelvin ❤❤
mambo kama Aya mbn waah Mashallh tuleteni kama hii jmn ya kichawi
Sawa sawa
Mambo imechacha❤️❤️ sasa leo n burudan nawapenda sana wana donta❤️❤️💙💙❤️
Nimeanza lasmi kuifatili hiii❤❤
Kelvin nimeipenda Sanaa ❤ na hendeleya kazi nzuri
Good work kelvin ❤❤
Good job bro kelvin
Mm haha kutoka Rwanda naomba likes
nakupenda sana kelvin kutoka 🇰🇪
Good job bro
❤🎉🎉
Muwe mtafuta sura nzuri za kuchezesha jini lenyewe bayaaa hivutii, jini natakiwa mwenye shepu nzuri sura inavutia, airati hapo sawa lakini jini lingine ondoeni sura haivuti
Nasikiliza movie zako zenu nikiwa ukhaibuni 😂😂 tunaisubiri part 2 sasa
Sinema Nxuri sana keep up fmly❤❤❤
Nimempemda huyo mtoto ❤❤❤❤❤❤❤
Kelvin nimeipenda Sanaa ❤
M unitumie
Wafaao'ngono
Much love from kenya
Nzuri sana ....Mr kelvin 👍🥰💯
Hakika unatufundisha Sana endelea kutuelimisha zaidi
Part nyingine jmn kazi nzuri naipenda sana watching from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante inakuja
KAZI nzuri Kaka Kelvin ✌️✌️
Hongera sana kaka Kev Kwa maigzo yako yanafundisha san
Nzuri sana💯💯💯🔥🔥🔥
Mm Leo sijachelewa plz nataka like zangu
Kazi yenu nzuli sana hongera
Part 2 iko au vip jamani,aky tamu sanaa
Inakuja soon
Anapendeza sana
Nampenda sana, atupe namba yake
Nakupenda sana kelvin
Kaz nzuri sana mungu awabariki kelvin❤
Uyo mtoto mrembo san jmn❤❤
Mm leo wakwanza naombeni like zenu
Asante sana
@@Dontatv255broo..
Siri ya bangili inafundishwa nini hasa?
@@Dontatv255 kelvin jaman tunaomba pete epsd ya 105
Like zetu wapeleka wapi kaka😂
Muwenapanga épisode mpakamchezo umalizike vema kwakuzichanganya mnaharibu siovizuri
Much loved
Sawa nawafatilia sipokua marakwanza kuwatazama 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Movies ni nzur sana ila party 2 tunahitaji mr kelvin
Kelvin 🎉 naomba like please 😢
Keliv kama unampeda mwambie❤
Actor wangu❤️❤️❤️❤️
Next episode please 🙏🙏 kelvin ❤
Nzuri sana iyo
Naikubali hiyo my broo
Namupenda sana
hatamm nimeipenda sana
Hii tamthilia ni nzuri sana tuna taka part 3 salut kwa braza ina sisimua sana naomba sana part 3
Donta letaa sehemu ya 2 kaka unachelewesha sana fance wako tunakuunga mkono
Sawa inakujaa
Nzur sana ❤️❤️❤️❤️
Daah kelvin nakupenda san yaan kaz zako znanbamba san na kunmalzia mb zangu
I love❤❤❤
yes this bracelet is purely connected with the current world
Kervin nakupend Bure uko vzr sana
Kenya Watching, twapenda
the litle girl is really tanlented from finland
😊😂 simpendi
Himuvi ipo vizuri
❤❤❤ from Lebanon
Nampenda sana kelvin
Movie nzuri sana0❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹💖💖💖💖
Asante sana
❤❤❤ mwaaa kelvin
❤❤❤❤ wow nzuri sana
Team kelvin good work broo
Asante sana 🙌
Hongera kelvin kwakuw makin
Asante kwa kazi zuri aki nimejifunza 😅😅
Kelvin uko saw❤❤❤
Mashallah ❤❤❤
Unajua kuigiza sana
Hii nzuri
Kazi nzuli kaka
Good work
🎉nakupa maua yako
Mina penda sana île films lakini sipate part ya 5 nita faha je
❤❤
Kervini nafurah nikifatiria movi Zak. Uw unanitumia mov ikitok
Kelvin nimezpenda movie zko endelea na Moyo huohuo
Nyienao mmezidi washirik walele majina yaleyale mnatuchanganyaa mashabik zenu
Usivae ni MTUbaya sana Hana Nia njema kwako atamuuwa Vick ni mwanamke mabaya sana
❤❤❤
Sucesso sempre ❤️🙏
Kevin
❤❤❤❤❤
Nzuri iyo
Namupend saan
❤❤❤ katoto nimekapenda
Nzr
Sehemu ya pili bas
Inakuja
Ukona funzo mzuri kelvin
Kelvin nimeipenda Sanaa
❤❤❤❤❤ congratulations 🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🥳🥳😃
Thanks
Vipi kuhusu part2...halafu Kelvin mjaribu kutuwekea movie ndefu kiasi
Sawa my dear
Iko pwr
Ninawatch move yenu nikiwa Kenya ,imepamba sana