Daaaah. Ase Ni Atar sana Inafundisha pia Inachekesha_ Yan_ Akika Ukiangalia Movie Kama Izi kwa kweli msonga mano Wa Mawazo Ya kukosesha Amani Yatatoka bali Utaanza Kufikilia kitu kizuri _Kupitia Hii Movie _ Ongera Sana kaka Kwa kazi Nzuri Na jitiada Iliyo tumika ni Kubwa Mungu Awa simamie Kwa mafanikio ______ 🙏🙏🙏. By _ Dj Maokola
wakwanza leo asante san kina mkojan niikuwa naisubir san
Tin white napenda Sana kazi zako ww mo fireeee🙏🏼
Pamoja Sana #ndugu zangu Tanzania kwa pamoja #tunaweza
Mkojani,, tin white na Nagwa mnafatiliwa Sana kwa movie zenu,, lakni sijawahi kuona mmeita waandishi kujipa promotion 🔥🔥🔥
Wanajua Wanajiamini kwakazi zao
😂😂😂😂naenjoy sana
Waa3🤗...nliisubir kwa ham
Ww mwenge au makambako aloskia iyo naomba like zangu.😀
0751$946747
😃😀
Unaitwa Nani ww
@@ibrahimabuu764 sofi
@@salumujuma2826 ya nn
Nawakubali sana
Daaaah. Ase Ni Atar sana Inafundisha pia Inachekesha_ Yan_ Akika Ukiangalia Movie Kama Izi kwa kweli msonga mano Wa Mawazo Ya kukosesha Amani Yatatoka bali Utaanza Kufikilia kitu kizuri _Kupitia Hii Movie _ Ongera Sana kaka Kwa kazi Nzuri Na jitiada Iliyo tumika ni Kubwa Mungu Awa simamie Kwa mafanikio ______ 🙏🙏🙏. By _ Dj Maokola
Tin achia zote ndugu angu nakukubari sana white toa zote na nakutabilia makubwa sana
Mashallah ❤️❤️❤️
Kizazi noma sanaaaaaa broo
Hizi comedy n Kali sana kina tinwhite
Nimejifunza mengi kupitiahii asanten sana
Nice Movie Tin white na Nagwa
M mwenyewe nna mke wangu anauza viazi pale
Sikuawaza kama ina sizon 2 fantastic,😘
mwenge,makambako😂😂
Kazi nzuri bro zidi kutupeni burudan
Hii kali kwa kweli
Jaman tu nashukur san 🙏leo niko wa mwish 😔
Nawakubali sana hila mngemuweka na lingooo kdg
Appreciate your work
Maisha bila kazi n kitu kibaya lakn kazi nyengine si nzuri
Nawapendaaaaaaaa nyieee
Ngumuuuuu sema iko vzr
Aisee kubwa kuliko inanikosha
Hatariiii sanaaaaa😂😂😂😂😂👐👐👐👐🙌🙌
Napenda kuigiza nanyi
Nomaaa sanaaa🤣🤣🤣
Karibu Kenya maboss wangu
Makambako mojaaa
Matembwe1
Ooo tuko wengi
Aiseee kiukweli mnatisha mbaya
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunangoja season 3
Kweli kubwa kulikooo 😂😂
Broo mumetisha sana
boya umetuweza
Mumetisha sana hio ndo kari kuliko
Mbona inalushwa kwa akaut mbili mbli
NAMBILI MBINGA
Rahaaa sana
Naikubal sana
Yani Tin Kama Kuna uwezo wa kutoa season 3 Leta hata 100 nakubali kazi zenu sema fanya kumleta Ringo bhana tucheke vizuri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤗🤗
Nawakubali kinyama yaani🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💘
Ni Soud kutoka Kenya tin white maze kama ni bangi zakupeleka vizuri mko sawa jamaa
Boka asante sana🇦🇺🇦🇺
Safi kakaa
Schoki kukufatilia Miaka yote Brother
duh kubwa kuliko😂😂
Part 2 plz kaka
Ebana banda lilivyotokea kiukweli nimeshtuka 😂
ivyo lingo yuko wapi jamn mbn mnamtenga
Hahahahahahahahahhaha..tin white jmn tuleteee Tena muendelezo nasikia raha
Dah mnanitoa stress Sana aiseeeeeeeee, baada ya kuachana na wife mwaka wa 2, nyie ndo mmekuwa mnanitia stress. Ahsanteni sana
Wanakutia stress wana kutoa stress
😄
Wanakutiaa stress tena🤣🤣🤣
Mm makabako 😁 Tin dadeq umewaza nn mpaka utaje kwetu
Hii picha hatar
Ebwanaee KUBWA KULIKO
Mke wa nagwa kisu
Jamani kazaa twinsi
Daaa nilikua naisubilia kwa hamu san ansateni
Umo Umo
Good movie
Namba 2 nimewahi
Nawakubali snaa nikiwa 254😘😘
Nawakataa sana nikiwa 234
Part 2 kaka white
💥💥💥
Kamwagilie baba akooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dah atimae
Nishapoleka bwana 😂😂😂😂😂
💥💥💥💥💥
Mke wa nagwa nimemuelewa na nusuuu
😁😁😁
Tin white I like your job
Kumekucha ashaanzaa
😂😂😂😂😂
Kazi mzury
Nyie fire
Nice
Eti unhappy hehehe 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️😂😂😂🤣🤣🤣
Vidogiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂
Da
Br lingo mbon mwamteng xa
N
Kubwa kuliko
Kari
Fundi martin na ngoma nagwa
Odii wanangu hahahahaha
Nomah sanaaa
Kweli kubwa kuliko
Xhoo kal mnawez xaan at
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ygcfgffykiiks
Siichoki kufuatilia hi kubwa kuliko
Kama mm nikiwa tuu na hasiraa nakujaa kwenye kubwa kuliko
Editor kazinguwa besi kaweka kubwa kwenye movie yote hii sizon 2
Unanivunja mbavu
Jamani nawaomba msiache kushilikiana na Lingo
Nawapenda Sana nyie watu noma na nusu
félicitations
Hahahahaaa mikwala mingine haisaidii
Ngoma qalii
Kubwa kuliko😂😂
Mov tam sana broo
Hvi Kweli kitungu swaumu ni dawa
Wawawa malio
Nc movie
Kubwakuliko