Hii post inamiezi saba ina views chache san MUNGU tujaalie mwisho mwema inshaallah ni mswibah mzito....MUNGU akinijaalia kukibeba kiumbe basi nikibebe kiumbe kama hiki inshaallah chenye kutoa wosia kwa umma
Ushauri wangu kwa wazazi wa huyu mtoto wamtafatie mazingira mazuri ya kusoma dini qurani na hadithi na waache kabisa kumuhifadhisha baadhi ya mambo halafu wakamuweka kwenye mitandao MashaaALLAAHU ana kipaji ila wakati ukipita haurudi tena bado hajawa wa kulingania watu kwani ni mdogo na anahitaji elimu zaidi
unachotakiwa kufahamu ndg yang katika imani ni kwamba., Hiyo Ni Kadar ya Allah, Allah ameamua kumtumia Uyu mtoto Afikishe ujumbe Kwa Watu Waliokuwa waislam na wasio kuwa Waislam, Kwa Maana Ya Kwamba Kupitia Uyo mtot Huenda watu wengi Wakamrudia Allah na kuifuata njia iliyo Sahihi., Na InshaAllah Tayari Baadh ya Watu Washaanza kusilimu Kutokana na Mawaidha ya Uyo Mtoto #Ramadhani. Na Sio kama Unavyofikiria kwamba uyo mtoto Wanamuhifadhisha baadh ya Mambo na Kumuweka kweny mitandao, Kaa chini na ulitafakari hili kwa kina, Hakika utapata Majibu Yaliyokuwa Sahihi., nikutakie Ramadhan Njema.
Masha Allah huyu Mtoto ni Azina ya Taifa lkn Kwa sababu unamtangaza Allah serikali na matajiri hawatojitokeza kujitole kukusomesha elmu ya Akhera na Dunia
Umeonaee nakumbuka yule mtoto wa morogoro wa kuhesabu watu walijitokesha wengi na sasa yupo dodoma anasoma ila kwa waislam ni ngum kuona watu wakisapoti mtoto inshaallah kwa uwezo wa Allah atasoma
Wanasubiri nini waja yaan bin adam kurudi kwa Allah ayaan kurudi kwenye Deen ya hak ya Uislam ili kuokoka na Adhab za Allah, tunaitaji usinitisho gan tena kuamini uilamu ni deen ya haki, mtoto kama huyu kasom alini na kajifunza lini hata akaongea kwa kujiamin na kutamka maneno haya kwa ufahasaha hv na huyu sio wa kwanza tanzania tu wapo kama 100 hivi jamani rudini kwenye deen ya kweli wakati umeisha huu....
Mtoto Allah akufanyie wepesi unatoa aya na tafsiri kiufasaha kabisa hizi ni dalili za kiyama kwa mwenye mazingatio Allah tujalie mwisho mwema na vizazi vyetu
Tuko karibu NA kiyama NA hii ni alama zake mwisho wa dunia mtoto ameanza muhathara kutoka miyaka tano yaani mtoto mdogo elimu yake ni kubwa sana kuliko umri wake hio elimu ameipata pata je
❤ mashaallah Allah akujaalie Maisha mema INSHAALLAH
Mashaa Allah Allah atujaalie watoto wetu nasi wafwate nyayo hizi
Amiin
Amina
Mashaallah Alhamdulillah, Allah amjaalie kheir nyingi huyu mtoto insha'Allah
Mashallah mtoto mzuur, Allah akuhifadhi katika maisha haya yaliyojaa vitimbi
Mtoto huyu Mungu ameweka kitu kikubwa ndani yake. Wazazi wake waendelee kumtunza lakin Lina HERI tumbo lililomzaaa
Ni muujiza kwa waaslamu miake saba tu
MashaAllah Islamic religion is a tue religion forever ever
Always happy tu be a muslim
Allwahu Akbar 😭😥Masha Allwah masha Allwah 😥❤️❤️🌹😘🙏🏽
Maashalah mtoto mzuri Allah akuhifadhi ushike dini mpka mwisho
Mashallah Allah amulinde na hasad
Maa shaa Allah mtoto wetu
Hii post inamiezi saba ina views chache san MUNGU tujaalie mwisho mwema inshaallah ni mswibah mzito....MUNGU akinijaalia kukibeba kiumbe basi nikibebe kiumbe kama hiki inshaallah chenye kutoa wosia kwa umma
Mashaallah mungu amuongoze amuepushe na husda za waja na mashetani Asanteni AYO TV kwa kuliona hili pia
Uyu mtoto namuheshimu sana🙏mungu amlinde
Amiin amiin mungu atupe uongofu kupitia yeye ili Allah aturidhie na kupata pepo Mimi na wewe na wengineo nawe amlipe wema na ampe mwisho mwema.
@@pongwebeachhotel2806
Aaamin
Insha'Allah
MashaAllah tabarakallah ❤Ya Rabbi na Mimi nijaalie n mtoto mwenye mwenendo km huu InshaAllah 🤲
Maa shaa Allah tabaraka'rahman yaa sheikh ramadhani Allah akuhifadhi mdogo wangu katika iman
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH
Mashallah 👌🔥👌
Mashallah... Allah akuzidishie ilmuu yko
Ushauri wangu kwa wazazi wa huyu mtoto wamtafatie mazingira mazuri ya kusoma dini qurani na hadithi na waache kabisa kumuhifadhisha baadhi ya mambo halafu wakamuweka kwenye mitandao
MashaaALLAAHU ana kipaji ila wakati ukipita haurudi tena bado hajawa wa kulingania watu kwani ni mdogo na anahitaji elimu zaidi
unachotakiwa kufahamu ndg yang katika imani ni kwamba., Hiyo Ni Kadar ya Allah, Allah ameamua kumtumia Uyu mtoto Afikishe ujumbe Kwa Watu Waliokuwa waislam na wasio kuwa Waislam, Kwa Maana Ya Kwamba Kupitia Uyo mtot Huenda watu wengi Wakamrudia Allah na kuifuata njia iliyo Sahihi., Na InshaAllah Tayari Baadh ya Watu Washaanza kusilimu Kutokana na Mawaidha ya Uyo Mtoto #Ramadhani. Na Sio kama Unavyofikiria kwamba uyo mtoto Wanamuhifadhisha baadh ya Mambo na Kumuweka kweny mitandao, Kaa chini na ulitafakari hili kwa kina, Hakika utapata Majibu Yaliyokuwa Sahihi., nikutakie Ramadhan Njema.
Hizi ni dalili nzito kwa wenye mazingatio.
Hakika
Mungu akujalie baba
Mashalla jaman nimempenda mtoto huyu
Mashaallah ramadhan ,,,mungu akuepushie na husda za watu
Masha Allah
Huyu mtoto jmn nibalaaa anabalaaa nimemkubali saana mola amzidishie inshallah. Analafdhi mzuri San wallah
Mashaallah shekh Ramadhan mungu akubariki na kukulinda katika hii dunia
Maa Shaa Allah, Allah akutangulizie kheiry kwa kila jambo lako,
Allah akiniajalia ndoa akinjaalia mtoto ntamsomesha Dini, Bi Idhin Illah
Maa shaa allah wajina
Mashallah
Noma sana
Masha Allah 😊, Allah amjaalie umri mrefu afya njema insha Allah
Masha Allah huyu Mtoto ni Azina ya Taifa lkn Kwa sababu unamtangaza Allah serikali na matajiri hawatojitokeza kujitole kukusomesha elmu ya Akhera na Dunia
Kabisa maana angekuwa anapiga mahesabu au anataja majina ya watu wa serekali watu wange jitokeza kumsomesha lnshallha kwa Allha ananafasi yake
Umeonaee nakumbuka yule mtoto wa morogoro wa kuhesabu watu walijitokesha wengi na sasa yupo dodoma anasoma ila kwa waislam ni ngum kuona watu wakisapoti mtoto inshaallah kwa uwezo wa Allah atasoma
Kweli kabisa umesema ukweli
Masha Allah Sheikh wetu muzisishie elimu umulinde sharimbalimbali
MashaAllah
Mashallha habibi me uwa napenda sana kumsikiliza
Masha Allah❤❤
Mashaallah Allah amjaalie kheri zaid ili tuzidi kupata mazuri
Mashallah tabarak Allah akufanyie kheri na baraka kwa maisha yko ramadhan uzidi kutupa dawaa na hadithi za mtume ameen ya rabby
Wanasubiri nini waja yaan bin adam kurudi kwa Allah ayaan kurudi kwenye Deen ya hak ya Uislam ili kuokoka na Adhab za Allah, tunaitaji usinitisho gan tena kuamini uilamu ni deen ya haki,
mtoto kama huyu kasom alini na kajifunza lini hata akaongea kwa kujiamin na kutamka maneno haya kwa ufahasaha hv na huyu sio wa kwanza tanzania tu wapo kama 100 hivi jamani rudini kwenye deen ya kweli wakati umeisha huu....
Maashaa Allah
Yuko Vizuri, Allah amlinde🙏
M a God bless you my Young bro keep go and also keep the Quran
Mashallah Allah
Masha Allah Allah akufanyie wepes amn
MashaAllah jazakallah kheyr.
Mashallah mashallah mashallah
mashallah
MashaAllah ramaa...mungu akulinde kwa macho ya watu.
Mashallaah
Masha'Allah, Masha'Allah, Masha'Allah Allah tabarak wataara akuongoze Dunia fir Akhera,. Allah Akbar ❤️
Mashaalah blessed Young
Mtoto Allah akufanyie wepesi unatoa aya na tafsiri kiufasaha kabisa hizi ni dalili za kiyama kwa mwenye mazingatio Allah tujalie mwisho mwema na vizazi vyetu
Hakika dadayangu
Mashallah Allah akuhifadhi na jicho lahasad akuzidishie ilmu akupe na umri huyu ndie waladi swalih
mashallah sh ramadhani Allah Akuhifadhie upoviziluri
❤️❤️❤️🙏🙏
Mashallah allah ukifadhi inshaallah
Hivi Tanzania hatuna Gifted Kids School huyu Mtoto ni Gifted angekuwa Ulaya asingesom kwenye shule za kawaida
Allah akuongoze
maashaallah maashaallah shekhe Ramadhan
Mm nidin tofaut nahii, ila kwakuw anamtaja mungu nip pa1,
Lugha ya gruani ni ngumu sana sana sasa miyaka mitano tu amejuaje mimi kutoka saudi arabia makaa
MASHALLAH ❤❤❤❤❤
Allah Azidi kumpa mtoto wetu huyu gheri azidi kutupa dauwa
Mashallah alf mashallah hasbiyallah alf mashallah hasbiyallah Allah akuepushe na hasad mdg wang
mashallah allah amzidie.amuondolee hasad na atuongozee na watt wetu
Nampenda sana huyu mtoto jamani
Mashallah 😍
MashaAllah Tabarak Llah
Ma shaa Allah
Mashallah ❤️🤲🤲
Mashaa'Allah Tabaaraka'Rahman, Allah Yahfadhak yaa Rabb
Ameen
Mashallah
ماشا الله
Allah amhifadhi
Allahu-akbar,, Masha Allah
MashaaAllah Allah akuhifadhi mtoto wetu mzuri
بركة الله فيك ما شاء الله تبارك الله
Mashallah mtoto anakipaji sana
Safi milad wew umekomaa
Mashaallah jazaka ALLAHU KHAIRA
we listen yr lecture about aqidah n firaun story.
TabarakaAllah Ma Sha Allah Allah akuhifadhie na Shari zote Aameen 🤲🤲
Allah Akbar
Sehem ya pili plz
Aww 🥰 🙏🙌
😅baraaaa ili asee
Imiss him 😍
Maa shaa Allah
Bismillah, Maa shaa Allah
Mashallah barakatullah
Ma Asha ALLAH
Mimi nampenda sauti yake
Mashallah💗
Mashaaallah
Mashallah Allah akulinda
Allahu akbar
mashaalla mashaalla
Baba ajitahidi kumfundisha hukmu za qur an pia na kuihifadh.
Mükemmel sin güzel yüreğine nefesine Sağlık Maşallah sübhanallah ⭐⭐⭐⭐🙏💖💖💖💖💖💖💖
Jitahidini mukimuhifadhisha muhifadhishen kinahwu anamakosa mingi katik nahw
Tuko karibu NA kiyama NA hii ni alama zake mwisho wa dunia mtoto ameanza muhathara kutoka miyaka tano yaani mtoto mdogo elimu yake ni kubwa sana kuliko umri wake hio elimu ameipata pata je
Can someone translate like the him
Allha Akbar,,firhaun ana masifa,hahaaa
IF YOU ARE PROMOTING ISLAM, THIS SHOULD BE TRANSLATED INTO OTHER LANGUAGES.
Hakika una nuru
Masha'Allah
th-cam.com/video/z3pG1lUKoC0/w-d-xo.html sikiliza huu ujumbe utagundua ugonjwa wa corona ulitabiliwa miaka 12 iliyopita hakika tumche Allah
Takibillllii
ALLAHUAKBAR
Allhuakbar
Ee mollah wetu tukuzie mtoto huyu
MashaAllah