Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Tabarakallah. Allah akuhifadhi Sheikh Ramadhan. Shukran sana Sheikh Othman. Jazakallah kheir. Namuomba Allah amsameh Kila muislam mwenye dhambi zake. Allah akupe kheir Kwa hili.
Mashallah Allah ampe afya njema yeye n wazazi wake kw hakika maneno mazito machozi yamenitoka Allah atupe watoto wema km huyu mashallah nampenda San shekh ramadha
Mashaa'Allah Tabarakallah, Allah amjaalie umri mrefu wenye afya na furaha, na amzidishie elimu ya akhera na dunia. Nampenda sana. Allah anijaalie kikazi chema na anipatie watoto km huyu. Amiin Yaarabi.
MashaAllah tabarakaAllah, Allah ampe uzima na afya mtoto huyo Azidi kuelimisha na wengine pamoja na masheikh wengine awaepushe na Kila hasad. Allah atupe kizazi chema Amiin.
Mashaallah barakallah,Allah amuhifadhi shekh Ramadhan na mashekh wetu nyote ,Allah atupe watoto walio bora inshallah.yote hiyo ni taufik ya Allah.Allah Akbar
Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh MAASHA ALLAH LA QUWWATA ILLA BILLAH MWENYEZI MUNGU AMUHIFADH NA KILA SHARRI AWAPE UZIMA,UMRI MREFU KIJANA HUYO AMPE MUONGOZO WA KUILINGANIA DA'WAA KATIKA MAISHA YAKE NAYE AWAONGOZE WENGINE ATUJAALIE MWISHO MWEMA UMMAH MZIMA
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh waumini wote duniani kote.tunamuomba Allah amuwezeshe sheikh Ramadhan mtoto mkubwa asizime nuru yake ,ayitakase ,na amuweke mbali na vishawishi vyakumpoteza.ili aje kuelimisha ulimwengu mzima Allahum Amin
Mashaallah Allah azidi kumuongoza njia ilonyooka huyu mtoto namuomba Allah amlinde kwa jeshi lake yasimpate mabaya ya ulimwengu na walimwengu wasimdhuru kwa husda na hasadi Allah amjaalie awe mtoto mwema kama wema walopita
MashaaAllah tabarakaAllah mtoto mzuri Allah akujaalie uongozi zaidi na akuepushe na hasad na fitina za watu na majini akuongozee ushekh mpaka ukubwani Sheikh Ramadan nakupenda sana tuombee na ndugu zako waliozaliwa na watakao kuja wawe kama ww Amiin ❤❤❤
ما شاء الله تبارك الله😥 الله يحفظك يا حبيبي رمضان، حفظك الله من كل شر الدنيا والآخرة ويجعلك من البارين بوالديك وأهلك ونفع بك الامه وجعلك من قادة الأمة الاسلاميه.
Inshallah mungu awabariki naomba msaada kunakijana ameslimu alikuwa mkrito amekuwa mwiislam sasa wazazi wake wamemtenga upande wa baba wamemtenga angali wao niwiislam upande wamama niwakristo pia wamemtenga mama yake alimlazimisha abaki ukristo alikataa baada ya upande wa baba yake kumkataa waislam tumsaidie huyu KIJANA namba zake nitazituma kesho inshallah
Jamani wangapi tunapenda watoto wetu wawe ivi
Mm no 1
Kashajua kuchanganya na kingereza mashallah allha akuhifadhi mjukuu wngu❤️
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Tabarakallah. Allah akuhifadhi Sheikh Ramadhan. Shukran sana Sheikh Othman. Jazakallah kheir. Namuomba Allah amsameh Kila muislam mwenye dhambi zake. Allah akupe kheir Kwa hili.
🤲🤲
Ameen
Ameen ya rabbi
Amiin Ya Rabb
💞 NAKUOMBA BONYEZA HAPA 👇
th-cam.com/video/m7FXfhJotT0/w-d-xo.html
Mashallah Allah ampe afya njema yeye n wazazi wake kw hakika maneno mazito machozi yamenitoka Allah atupe watoto wema km huyu mashallah nampenda San shekh ramadha
Mashaa'Allah Tabarakallah, Allah amjaalie umri mrefu wenye afya na furaha, na amzidishie elimu ya akhera na dunia. Nampenda sana. Allah anijaalie kikazi chema na anipatie watoto km huyu. Amiin Yaarabi.
Ameen
Allahumma Amiin
Allahumma amiiin
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah,Allah swt akuujalie maisha mema yenye kheri na wewe amin thuma amin
Mashaallah Allaah akuongoze vyema mtoto mzuri na mimi Allaah ajalie kizazi changu kiwe chenye kumjua Allaah🙏🙏
Allah akudumishe mtotowetu unanifuraishagasan nakunifarij mpaka naonawivu namuomba allah anipagemtoto kamahuyo
Mungu wangu njalie n mm mtt kma hyu....walahi amenisisimua
Mungu amlinde na amzidishie ishallaw
Ameen
Amiin
@@JasmineYasimen-sv3zrAmiin thuma Amiin
Mashallah Allah akuongoze ww na wazazi wako..na akuepushe na hasadi za waja
Allahumma Ameen
MashaAllah Allah amzidishie Elmu na baraka tele... She Ramadhan... Ameen Allahuma Ameen...
MashaAllah tabarakaAllah, Allah ampe uzima na afya mtoto huyo Azidi kuelimisha na wengine pamoja na masheikh wengine awaepushe na Kila hasad. Allah atupe kizazi chema Amiin.
Allahumma Amiin
Aaamiin Thumma Aaamiin
Amiin ya Rabbi
May Allah protect you my young boy umeniliza haki Allah akuzidishie ilmu nafia
Ya rabbi tupe nipe mwisho mwema ya rabbi 😭😭😭😭umeniliza mwanangu allah akulipe baba turudini kwa allah ndugu zangu 😭😭
Mashaa Allah Mashaa Allah. Hongera Sana mtoto mzuri Allah akulinde na macho ya mahasidi wanapohisudu 🤲🤲🤲
💞 NAKUOMBA BONYEZA HAPA 👇
th-cam.com/video/m7FXfhJotT0/w-d-xo.html
Mashaallah barakallah,Allah amuhifadhi shekh Ramadhan na mashekh wetu nyote ,Allah atupe watoto walio bora inshallah.yote hiyo ni taufik ya Allah.Allah Akbar
Mashaalah subhanallah hichi ni kipaji chake mungu amzidishie ilmu hii huyu mtto.
Amiin Amiin yarabbal alamin mungu amuhifadhi kipenzi cha mungu....Takbbir Takbbir
Allah akbar
Mashaallah Ramadhan m.mungu akuzidishie elim na akuepushe na mahasid
Mashaallah Tabarakallah 🥺🥺😍😍😍🤗🤗🤗🤗🤗🤗🥰🥰🥰🥰🕊️🤍🤍 Allah akulinde na husda na ukujaalie Elim ya manufaaa fii dunya wal akhera 🤗🤗🤗🤗
Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh MAASHA ALLAH LA QUWWATA ILLA BILLAH MWENYEZI MUNGU AMUHIFADH NA KILA SHARRI AWAPE UZIMA,UMRI MREFU KIJANA HUYO AMPE MUONGOZO WA KUILINGANIA DA'WAA KATIKA MAISHA YAKE NAYE AWAONGOZE WENGINE ATUJAALIE MWISHO MWEMA UMMAH MZIMA
Walykumsalam warahmatullah wabarakattuh mashaa Allah اللهم امين يارب العالمين 🤲🤲❤️❤️
@@user-pj8ed9kn6g اللهم آمين يارب العالمين
Mashaallah Tabaraka rahman. Nakupenda Ramadhan kwa ajili ya Allah. Mungu akuhifadhi na macho ya watu na akulinde na kila shari. Ameen
@@ruqayyabarwani5724 Allahummah Amiin ya Rabbil Allamin habibty
Mashallah!!Natamani ningekuwa mzazi wa mtoto huyu.
Yaan mawazo yako kama uangu
Assalm alaykum warahmatullah wabaraka,barakallah fiiq,Allah amlip kher shkh Ramadhan pia amhifadhii n mahasid kakt ulimwengu amiin pia Allah atupe kizazi chema amiin
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh waumini wote duniani kote.tunamuomba Allah amuwezeshe sheikh Ramadhan mtoto mkubwa asizime nuru yake ,ayitakase ,na amuweke mbali na vishawishi vyakumpoteza.ili aje kuelimisha ulimwengu mzima Allahum Amin
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Mola Amzidishie Elimu Na Amruzuku Fahamu Njema Ya Rabb. Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
Maa Shaa Allah TabarakaAllah, Allah amkuze vyema mtoto amuepushie hasad, Amzidishie Elmu, nampenda kwa ajili ya Allah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 😢😢, nkiwa Qatar
Mashaallah barakallah,Allah amuhifadhi mashekh wetu nyote
Maa shaa Allah, Maa Shaa Allah, Allah atupe salama.
Mash Allah kibaju Allah kuifadhi uendeley kutuilimish💖nakuongezey giipaji🙏🤲💖
Maaashallah
Maaashallah
Maaashallah allah
Allah amuhifadhi na mabaya na waumini wote amiin
MashaAllah TabarakahAllah Allah akuhifadhi na kila ovu na tujaliwe na watoto kama wewe in shaa Allah
Masha Allah the boy is blessed, 😢ooh mola naomba wanangu wote wakawe jeshi lako😢😢😢
May Almighty ALLAH protect you from asad and all type of evil son🙏🙏🙏
Allahu Akbar 🤭Allah akuhifadh mtoto wetu🤲🙏
Maashallah tabarakallah Allah akulinde na akujuze zaidi ktk misingi ya deen
Masha Allah tabarakallah
Mashalla.tabarakalla.mungu.akuweke.na.akuzidishiye.ilmu.ya.kislamu.zaidi.na.zaidi.mazungumzo.yako.kweli.kabisa.na.inshalla.mungu.atazidi.kutiongoza.kwa.kila.mwislamu.pongezi.kubwa.kutoka.dubai
Machallah Allah, Allah Akbar , Allah amzidishiye ilmu uyu mtoto 🙏
Mashaallah mashaallah Allah amzidishie ufaham zaidi kutupa daawa
Mashaa Allah tabalakallah, Allah subhanahu wata'ala amkuze katika mwenendo huwo huwo na amuhifadhi na vijicho vya hasadi
Mashallah Allah awahifazi wote awaongozo katika kher awaepushe na mahasid husda vijicho yaraby laghalamin
Mashaallh alhamundllh jambo la kher jambo la kher katika maisha yako jamn hii niraha sana mutoto huyo Mashaallh dua tu inshaallh ❤🙏
Mashaallah Mwenyezi Mungu akuajalie mema, kheli na baraka siku zote za maisha yako.
Mashaallah Allah azidi kumuongoza njia ilonyooka huyu mtoto namuomba Allah amlinde kwa jeshi lake yasimpate mabaya ya ulimwengu na walimwengu wasimdhuru kwa husda na hasadi Allah amjaalie awe mtoto mwema kama wema walopita
Allahumma Ameen
MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah Allah tuongozee vizazi vyetu
Amiiin
MashaaAllah tabarakaAllah mtoto mzuri Allah akujaalie uongozi zaidi na akuepushe na hasad na fitina za watu na majini akuongozee ushekh mpaka ukubwani Sheikh Ramadan nakupenda sana tuombee na ndugu zako waliozaliwa na watakao kuja wawe kama ww Amiin ❤❤❤
ما شاء الله تبارك الله😥 الله يحفظك يا حبيبي رمضان، حفظك الله من كل شر الدنيا والآخرة ويجعلك من البارين بوالديك وأهلك ونفع بك الامه وجعلك من قادة الأمة الاسلاميه.
تبارك الله
Manshallah Mungo amulinde amuli navijico inshallah
Mashaallah nawapenda wote kwa ajili ya Allah
MashaAllah sheikh wangu nimempata sheikh Ramadhan Allah ampe ulinzi wake,afya njema,umri nzuri tuzidi kunufaika naye nawe sheikh wangu Allah akulinde akuondolee hassad fitina chuki.
Mungu amlinde na kla ajae na shar na amzidishie neema alionayo
Subuhnnah Allah. Mashaallah Mashaallah thumma Mashaallah maneno khuntuh
Mashaallah TABALAKAH ALLAH, ALLAH AKULINDE NA AKUONGOZE KWA KILA LA HERI
Mashallah tabaraka Allah Mola amuhifadh na amuepushe na hasad na khain za watu
Maa shaa llah Allah amlinde kijana hyuu na kumwepushaa na mahasd na ampe makuz mema nataman angekua mwanangu
Amiin ya Rabbil Allamin habibty #aminaamiri
MashaAllah
Tabaarakallah
Ali
Wallah Allah anatisha sana
Akimtaka mja wake kumfanya walii hakuna wakumzuia
Mashallah tabarakallah.mola akikuze kipaji chako kwa rehma zake
Ma shaa Allah! Ma shaa Allah! Alhamdulillahi Rabbal Alameen. Allah Azidi kumuongoza mjukuu wetu huyu
Mashallah Allah akulinde na huzda za wanadamu inshallah
Mola akujalie umri mrefu wenye mafanikio mema fi dunia wal akhera.sheikh Ramadhna
Ya Allah nijalie nizae watoto wote wawe kama huyu wanibadilishe maisha yangu wanipe faraja fildunia walakhera
Amin.
Mashallah mwangu Allah akuongoze Zaid na zaid inshallah
Mashaallah, Mtoto Ramadhani Allah akufanyie wepesi ktk kila hatua ya maisha yako pamoja nasi wote wenye kumtegemea Allah hadi mwisho wetu. Aameen🤲🤲
Ameen
Mashaallah ❤️
Mashallah 💞 Allah akujalie kila la kheri baba yangu
Mashallah raha sn kuwa na mtoto kama uyo Allah akulipe kila la kheri
Mashalla tabaraka llah lahaula walakuwata illha billah Allah akujalie kheri akukinge na Shari ya Allah twakuomba utajalie watoto walio wema yarambi
mashallah Allah amzidishie ilmu yake
Mashallah toto God bless you
SIFA NA SHUKRAAN ZOTE ZIMUENDEE MUUMBA MBINGU,ARDHI NA VOTE VILIVOMO NDANI YAKE ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA
Allahu Akbar
@@zainabmaulidi9846 MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH HABIBTY
Amiin insha allh
@@sharifaabdullah6825 Allahummah Amiin ya Rabbil Allamin habibty
Mashallal
Masha Allah
Allah amuifadhi na amuongoze kwa wema in sha allah
Nanyi mashekhe zetu Allah awaongoze kwa mema in sha allah🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤝
Amiiin yaarabi
Maa shaa allah Tabarakallah Allah haku hifadhi
Mashallah
Allah akuzidishie elmu akuondoshee hasad
Awajaalie wazaliwe watoto wengi km wewe
Mashaallah ,Alhamdulilah Nimepata kufahamu.Alla akulipe kheri nyingi katika maisha.
REHMA NA AMANI ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE MTUME WETU KIPENZI MOHAMMAD SWALALLAHU ALLEYHI WASALLAM AHLI ZAKE NA MASWAHABA ZAKE WOTE
Mashallah Allah akulipe khery baby
Masha Allah Masha Allah... Tabarakallah. Allah Akbar Allah akulinde na akuepushe na macho ya Mahazi insha Allah.
Mtoto MA SHA ALLAH...yani ALLAH amuongoze
Allah akulinde tu inshaallah ili aokoe umati huu unaangamia
Masha Allah mtoto yupo mtulivu Allah amuhifadhi mtoto huyu ameen yarrabbi nijaalie nipate mtoto wa aina kama hii ameen
Amiiin
Mwanangu Ramadhani huwanakufatilia sana nakupenda sana mungu aendelee kukuli da na husda amina
Maashaalah tabalakallah ❤❤
Maa shaa Allaah Tabarakallaah nimejua kulia jamane Allaah ni mkubwa jamane Allaah atujaalie kizazi chema yaa Rabbyii 🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Vipi kuhusu wazaz wake wanavo jiskia raha ilioje Wallah nimemshika mwanangu kichwa Allah amshushie rehma nae aje kua Kama shkh Ramadhan ,Masha Allah
@@ummysaabersaeedy8152 Aamiiyn yaa Rabbyii
Mashaallah mashaallah mashaallah mola ammuhifathi
Allah Atamhifadhi Kiiana wetu shkh Ramadhan Twamiombea Kila la kherii
Kadhi wa mombasa.
Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Abar, Yaaaa Rabb! Maajabu haya! nakosa lakuzungumza mimi Wallah, alipokuwa akizungumza nilijikuta natetemeka, ewe M9la wetu turuzuku kizazi chema, waume wema nasi kina mama tuwe wamama wema, Allah akulinde mtt wng na hasad, nachuki, nashari za majini na watu, nakupenda sn
Masha Allah mtoto mzuri
Mashaalla tabaraka rahman munnguamuhifadhi
Waalakum salaam warahmatullah wabarakatuh
Maashallah?
Ee mwenyezi nakuomba tuongoze ummat Muhammad S.A.W REHMA NA AMAN ZIMFIKIYE JUU YAKE NA MASWAHABA ZAKE NA AAL ZAKE ktk njia yako ya kheri Yaa ALLAH 🤲❤️
Ramadhani mwenyezi mungu akuongoze yarabra aramin
TabarakaAllah Ma Sha Allah
Manshaallah mungu akuifadhi kwenye kipaji cake akupe namaisha marefu Amin Amin yarabi
Inshallah mungu awabariki naomba msaada kunakijana ameslimu alikuwa mkrito amekuwa mwiislam sasa wazazi wake wamemtenga upande wa baba wamemtenga angali wao niwiislam upande wamama niwakristo pia wamemtenga mama yake alimlazimisha abaki ukristo alikataa baada ya upande wa baba yake kumkataa waislam tumsaidie huyu KIJANA namba zake nitazituma kesho inshallah
MashaAllah 💕 ALLAH amufadh nakila mtoto waki islam
Allahu Akbar Allah awahifadhi warithi wa Mtume Muhammad swala lahu aleyhi wasalaam
Moina hatrou yemtoukoufou wahahatrou naou hafathu yahouniké oumouri mlé naounono yahou éloigné des pièges de Satan inchallah
Mashaallah Allah akuhifadhi baby 👶 ❤
Mashaallah mashaallah mashaallah jichi la hasid lisimuone ❤❤❤☝️
Machallah oustade
Mashaallah Allah akuhifadhi
Jazakallah khair, ❤️
Mungu akuhifadhi in shaa allah
MashaAllah TabarakkahAllah