Muonekano wa jiji la DODOMA baada ya Wamachinga kuondoka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @zakiaferuz4561
    @zakiaferuz4561 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Kwa picha nzuri.Hakuna misongamano kama zamani

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Ujenzi wa Soko la Machinga Complex ulioanzishwa na RC Mtaka umekwisha?

  • @alanlugano3322
    @alanlugano3322 ปีที่แล้ว +2

    Chukua video Kwa drone tulinganishe na majiji mengine Kwa uzuri (muonekano) wa juu

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 2 ปีที่แล้ว

    Kumepoa sana sio kama mwanzo, Wa Machinga wanachangamsha sana Miji

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว

    Masha Allah ,❤️❤️💚💚💚💚🖤💛💛

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 ปีที่แล้ว

    Bado kunakibaruwa kikubwa kuijenga dodoma ili uwe namvutozaidi kama makao ya nchi

  • @salimsaid9852
    @salimsaid9852 2 ปีที่แล้ว +1

    Hi miji yetu ni mizury ila inaharibiwa na ufanyaji Biashara Holela katikati ya Barabara pembeni wafanya Biashara Dunia nzima mfumo uwo hakuna

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuwafilisi viongozi wetu woye waliopita miaka 20 iliyopita,manina maana hawa hawo watu wanapesa nyingi sana nnje ya nchi and hawawezi kuwa na uchingu na nchi yetu!

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli kwa barabara . Bado sana tunataka kuona barabara ambanzo zina taa barabarani,

  • @allymngwaya2831
    @allymngwaya2831 2 ปีที่แล้ว

    Barabara bado

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 2 ปีที่แล้ว

    Mitalo mikubwa haina hata kingo chevuuu,manina zenu.

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo mitaro yono ilichipwi haitakiwi(hiyo mitaro ambayo ipo uchi uraya wanakokwenda haipo wanaingiaje mikataba ya oVyoooo hivyooo?eti ooooh hatuna uwezo nani kasema ?tunavijana wangapi hawana kazi mikoa yote?tukiwapa masururu watachimba tu mitalo yote tz.

  • @msemasungura5651
    @msemasungura5651 2 ปีที่แล้ว

    Igeni kwa wenzetu huko majuu

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 ปีที่แล้ว

    Dodoma jiji barabara ni kichefuchefu

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 2 ปีที่แล้ว

    BARABARA ZETU ZA MIJINI BADO MBOVU SANA . HATA UKIENDA DAR UTAONA MIUNDO MBINU YA BARABARA HAIPO KISAAA . TAN ROAD WAPO HAWAONI MPAKA WATUMBULIWE. TAN ROAD TAN ROAD MNAKWAMA WAPI

    • @godlistenmnkeni2454
      @godlistenmnkeni2454 2 ปีที่แล้ว

      Barabara za mijini zipo chini ya TARURA sio TANROADS

    • @rjkasika4453
      @rjkasika4453 2 ปีที่แล้ว +1

      @@godlistenmnkeni2454 hajielew huyo 😅