COCONUT BURFI/ KASHATA ZA NAZI: Jinsi ya kupika kashata za nazi na maziwa tamu sana kwa njia rahisi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- INGREDIENTS
4 cups grated fresh coconut
2 cups sugar
2 cups water
1 cup milk powder
half cup condensed milk
1 tblspoon cardamon
or vanilla essence
#coconutrecipes #coconutburfi #coconutburfirecipe #indianmetai#sweetdish
Yummy mashaAllah بارك الله فيك
Shukran hbbty
Mashallah
Thank u 💓
Mashallah zinavutia❤
Thank u maa 😘
mashallah
Thank.u ❤️
Jazakallah khayran
❤️❤️
Shukran sana napenda sana kashata za nazi
Afwan hbbty
yummy zinatamanisha unatabidi uairdrop ss😂🙈
Hahahaha wee usijali zitafika tuu inshallah
@@RuhysKitchen inshaallah ❤️
Nimependa,shukran kwa recipe!❤
Machicha uliyakausha kuwa makavu?
Asante sana.. hapana usiyakaushe wala usiyachuje weka vile vile fresh
Asante maa Baarakallaah ❤
@@zuwenambarouk4592 ameen
Sijaipata vizuri hiyo uliyotumia kurembea kashata na inapatikana wapi?
❤❤
💓💓💓
Km Sina maziwa ya unga pamoja na maziwa ya Sona itakuaje
Zitatoka vzr tuu pia kashata zako ila itabidi uengeze sukari nusu kikombe
Umesema inaitwa.......
Pistachio.. ni aina ya nuts km karanga lozi korosho.. inapatikana sokoni kwenye maduka ya vitu vya kupikia cake
Kama upo zanzibar markiti ya kuku kuna duka ulizia kwa mamu utazipata hizo