KASHATA ZA NAZI ZA MAZIWA YA UNGA/COCONUT MILK POWDER BURFI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Kashata za nazi za maziwa
Mahitaji
4 vikombe nazi iliyokunwa tayari
3 vikombe sukari
1 kikombe maji
1 kikombe maziwa ya unga
hiliki kiasi
vanilla na rangi ukipenda
Coconut burfi recipe
Ingredients
4 cups Fresh grated coconut
3 cups sugar
1 cup water
1 cup milk powder
cardamom
vanilla
color optional
MashaAllah MashaAllah umeweza mpishi mwenzangu
Waooo
Nimeipenda mashaallah
Maashallah 😋😋
Mashaallah
MashaAllah 🤩
Mashaallah
Manshllh nzurii
MaashaAllah tamu sana kwa kuona tu....
😋😋
Mashallah nzuri sana
Amazing
Wow v nice Kashata recipe n lovely results I'm pleased n happy watching ur post from TANGA Tanzania.
Asante nimependa
Masha Allah 😋 dear niempenda uoishi wako wa kashata nzuri sana nitajaribu kupika na mm nione ladha yake
Waoooo nice
😍😍😍
😍
Ok
Mashallah nzuri mm upenda kuangalia mapishi yako atauwanaandika
Shukran sana dear 😘
🙏🙏
Asante Mwalim, Mimi sijaelewaa Nazi unaichuja ili upate machicha au nafanyeje
Hapana huichuji
Nkitumia rangi ya unga kuna shida?
Hii nazi inatakiwa uianike kwanza au haina haja yakuwa kavu
Haina haja ya kuwa kavu
Km sina maziwa ya unga dear itakuaje nitumie nini
Kama huna maziwa basi pika tu hivyo hivyo lakin ukiweza maziwa ya unga zinakuwa nzur zaid yaani best
Dada hiyo unga wa maziwa inasaaidia nini kwa kashata
Zinakuwa na ladha nzuri zaidi lakini kama huna maziwa ya unga unaweza kutumia resip hiyo hiyo bila kuweka maziwa ya unga
Nazi unaichuja??
Hapana huichuji
SawA kipenzi tumekuelewa
Mashaallah