KILIO CHA NAPE KWA USALAMA WA TAIFA, MKUCHIKA MJIBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Kilio cha Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na kazi zinazofanywa na Idara ya Usalama wa Taifa wakati akichangia bungeni taarifa ya kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Mjini Dodoma leo.

ความคิดเห็น • 48

  • @MichaelPius-k4d
    @MichaelPius-k4d 2 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa pia naomba 2030 ugombee Urais uwenda ukatu laisishia kazi kwasasa tupo kama atupo😢😢😢😢😢😢

  • @benamimulokozi6052
    @benamimulokozi6052 6 ปีที่แล้ว +1

    I appreciate that brother Nape.... keep fighting

  • @riwaladislaus3913
    @riwaladislaus3913 6 ปีที่แล้ว +1

    Mh mkuchika, Wapeni wabunge semina elekezi siyo kila kitu ni siasa. Kama wao kama wabunge hawapewi mwongozo wa kazi waelezeni kazi nyingine zina mwongozo wa kazi (job description)

  • @cvhilalilerichard8699
    @cvhilalilerichard8699 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mh! Mkuchika kwa kutoa hiyo elimu, maana ushauri unaweza kuuchukua au ukaukataa na kwa sababu ushauri unatolewa kimyakimya ambao sio washauriwa hawawezi kujua kitu.
    Hata mzee Mkapa, Rais wa Tanzania Awamu ya 3 aliwahi kusema' ushauri sio amri' ndio maana hawawezi kuwajibishwa, yawezekana wanashauri ila utekelezaji ni jukumu la wanaoshauriwa, ama wautendee Kazi ushauri au waachane nao

  • @benoseaone
    @benoseaone 6 ปีที่แล้ว +2

    Bora anaongea points ambazo ni zakitaifa siyo mazuzu ya vyamavyama vyao

  • @kisulilatv9689
    @kisulilatv9689 6 ปีที่แล้ว +3

    USALAMA SIYO JUKUMU LA KISIASA KABISAA WALA MSIJICHANGANYE WABUNGE.

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว

      Hao ni usalama wa chama msidanganye watanzania.wapo kwaajili ya chama siyo taifa

  • @mathiusabraham3127
    @mathiusabraham3127 6 ปีที่แล้ว

    kingereza ni kigumu sana
    waziri na Nape wanaongea lugha moja ila hawaelewani
    God bless Tanzania
    mwenye akili ndo ataelewa tu

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana.

  • @stevenpeter2260
    @stevenpeter2260 6 ปีที่แล้ว

    Nikweli Nape hana uthibitisho ila anasema hivyo kwa sababu kama usalama wa taifa wanafanya kazi zao kikamilifu maana yake maovu kama ufisadi, kupigwa watu risasi yangekuwa yanajulikana hata kabla hayajatokea hiyo ndio point ya Nape ilipo.
    Hongera sana Nape kwa kutetea taifa hili.

    • @silvanusalphonce8428
      @silvanusalphonce8428 6 ปีที่แล้ว

      siku mkiwa na idara ikaweza kufanya hivyo sidhani kama kuna haja ya ibada tena, kuzuia kabla hayajatokea...hahaha doh! mfano tu, wamarekani wana vifaa vya kuweza kupima hurricane zinazokuja ila bado wanapigwa nazo licha ya kuchukua tahadhari, kujulikana na kutofanyika ni vitu viwili tofauti ila vilitakiwa viwe sambamba

  • @thomaspeter2142
    @thomaspeter2142 6 ปีที่แล้ว

    safi sana wewe ni kiongozi bora unajari inchi yako nape

  • @shabanimtua1148
    @shabanimtua1148 6 ปีที่แล้ว +1

    Wangekuwa wanasema na kuzuia, usalama wa Taifa kina chenge na wenzie, wasingeiba hela za EPA, ESCRO, NDEGE YA RAIS CHRNGE ALIPIGA HELA

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 ปีที่แล้ว

    sio chombo tatizo ni chama chenu kichafu Cha CCM ndio cancer

  • @gordiansoko5921
    @gordiansoko5921 6 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Nape hujui chochote kuhusu Usalama wa Taifa labda unatafuta jinsi gani na wewe usikike maana toka utemeshwe uwaziri bado jinamizi linakuandama na kukuwewesesha.Usalama wa Taifa sio sawa na usalama barabarani ambao wanaweza kuitisha mkutano wa waandishi wa habari Kuelezea matukio ya kila siku ya utendaji wake na ndio maana hata hiyo ajira haitangazwi kwenye magazeti au vyombo vya habari.

  • @anthonyluhumbika4693
    @anthonyluhumbika4693 6 ปีที่แล้ว +1

    Hamjui maana ya usalama Wa taifa ndio maana mnaongea hata yasiyohusiana,kuna mambo hayatakiwi kuwekwa wazi ya nchi lakini yanashughulikiwa na usalama Wa taifa

    • @nabosedward4836
      @nabosedward4836 2 หลายเดือนก่อน

      Kwamba wewe unaijua kazi ya usalama kuzidi nape

  • @shabbymakapane3212
    @shabbymakapane3212 6 ปีที่แล้ว

    Good Mujheshimiwa Nape

    • @TopTenKaliTV
      @TopTenKaliTV 6 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/q-vlWWoGu6U/w-d-xo.html

  • @samwelmunyeri975
    @samwelmunyeri975 6 ปีที่แล้ว

    Point za nape ni za msingi sana, kitengo chetu cha economic intelligence kimepwaya kama sio ku fail kabisa .... Wapo kisiasa zaidi na kulinda viongozi. Na kama wanaishauri serikali basi wanaishauri vibaya maana matukio ya upigaji mpaka kwenye rada sio jambo la kupuuza. Nape ameongea kitaifa sana, mkuchika amejibu majukumu ya 1996 ambayo mengi ni irrelevant.

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 4 ปีที่แล้ว

    KWAHIYO WALIISHAURI UJINGA KAMA WALISHAURI BASI WALISHAURI KUPIGA MPUNGA

  • @timizanafrikamedia5464
    @timizanafrikamedia5464 6 ปีที่แล้ว

    At hivyo nyinyi mnaomshambulia nape niwa upuuzi tu, wazi hajakataa kuwa usalama haisuki katika kulinda diplomasia ya kiuchumi alichokisema ni kwamba mambo yote hayo yanafanyika kimnya kimya sio wazi wazi. Lkn nape analaymu kwakuwa watu hawawezi wakawa wanalinda usalama washindwe kulinda usalama Wa uchumi

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 6 ปีที่แล้ว

    ccm inamtu mmoja tuu ambae niwewe nape

  • @charlesmwita8193
    @charlesmwita8193 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwa majibu hayo nao ndio chanzo cha ufisadi nchini

    • @oriojoseph4518
      @oriojoseph4518 6 ปีที่แล้ว

      Nape unaongea facts hapa, tujenge taasisi imara kupunguza kutumika kisiasa na kwa maslahi ya viongozi na bali yawe maslahi ya taifa

  • @jasmineabbasy2727
    @jasmineabbasy2727 6 ปีที่แล้ว +1

    Nape aangalie mdomo wake utakuja kumponza

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 2 ปีที่แล้ว

    Waiteni wastaafu wa usalama kisha wajirin watu wanokuleteeni wao mfano kama watoto wao, na watu wenye vipaji maalum kwa nn nasema ivo wazee wazamani wao ndo walikuwa makin mnok katika iloo kuliko sasa mnajir watu mnachukuwa tu wanaropokwa ovyoo bc, ukifatilis historia ya huyoo mtu hana dam ya kazi hiyoo duniani watu hawendi ivyo wanaenda kwa damu kazi iyooo

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว

      Basi hata police,TRA,tpdf kote huko waajiliwe watoto wao au siyo

  • @omaryrashid1873
    @omaryrashid1873 4 ปีที่แล้ว

    Wazue kabla ya tatizo

  • @amoslainas8774
    @amoslainas8774 6 ปีที่แล้ว

    ndio maana uya kuitwa usalama wa taifa

  • @asilanassor8767
    @asilanassor8767 6 ปีที่แล้ว

    Ccm kwisha

  • @solomonmwisala157
    @solomonmwisala157 6 ปีที่แล้ว +1

    katika watu wajinga, ni maumbwa yaliko miataani, ya bwabwaja tu yako kichama badala ya maendeleo, wapnzani wanaposhambuliwa mnafura sana kwa sababu ya kichama ,kumbuka mzeeee kingunge alishambuliwa na mbwa wake. na hivyo hivyo ccm itakuja kushambuliwa na wanacha wake hapo baadae ambao ndo watakuwa mbwa wake.

  • @piusmatiku8892
    @piusmatiku8892 6 ปีที่แล้ว +1

    Mkiwa mawaziri hua hamuongei chochote huku mnajua kua uchafu mwingi unatendeka mkitemeshwa mnajitia kuongea na kupaza sauti. Wewe nape ungeonekana shujaa wa taifa hili kama ungesimamia haki za RAIA kupata matangazo ya bunge live, ni ktk kipindi cha uwaziri wako ndo ulihalarisha uamuzi huo kaa kimya tu mkuu

  • @aminangonyani2898
    @aminangonyani2898 6 ปีที่แล้ว

    Nape mbna mwanzo hukuongeaga? mnafiki weweee wizi ccm haijaanza Leo kota kipindi hcho nape vipi?

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว

    nape una akili nyingi, chombo hicho kibadirike hata kuajiri waajiri watu bright

  • @katinila
    @katinila 6 ปีที่แล้ว

    Wanafanya kimyakimya mbona bado matokeo yake hayaonekani?

  • @mariumchima8098
    @mariumchima8098 6 ปีที่แล้ว

    umezeeka mzeee wewe

  • @dr.medgeorggadner.7231
    @dr.medgeorggadner.7231 6 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huyu Nape anatia kichefuchefu.
    Mtu akifukuzwa kwa utovu wa nidhamu, ni lazima apoteze hata utu wake? Sijawahi ona.

    • @pielefrank582
      @pielefrank582 6 ปีที่แล้ว

      Alphee Niyonizigiye hakyamungu haupo sawa

    • @abineryantonykilulu954
      @abineryantonykilulu954 6 ปีที่แล้ว

      Tatizo la nape hapo ni kitu gani? Nape kaongea point tupu iko haja ya kutungwa sheria mpya

    • @jayson8079
      @jayson8079 6 ปีที่แล้ว

      Punguza ushabiki ndugu yangu hakuna kibaya alichokiongea hapo...be wise!

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 6 ปีที่แล้ว

      Alphee Niyonizigiye Wewe sio wakulaumiwa Sio kosa lako Kabisa Akili yako hapo ndipo ilipo ishia ndugu yangu Alphee .kosa la Mh nape hapo lipo Wapi! mbona point tupu

    • @mkassihussain6282
      @mkassihussain6282 2 ปีที่แล้ว

      @@abineryantonykilulu954 point gani??

  • @richardlambert6644
    @richardlambert6644 6 ปีที่แล้ว

    Nape

  • @melkrutta3015
    @melkrutta3015 6 ปีที่แล้ว

    Yaani Waziri ana ulizwa 8+8 yeye ana jibu 9+27

  • @trgphonegeorge3832
    @trgphonegeorge3832 6 ปีที่แล้ว

    Muone huyo mkuchika!!!