Assalam alaikum ni vizuri kuwaombea Dua ma sheikh wetu ila Dini inataka Dua na Mali . Tusiishie KWENYE Dua Tu tutoe kwa Ajili ya Allah ILI Neno la Allah litanganzwe namba ya kuchangia IPO hapo KWENYE video chochote shukran
Wooooi wakristo hizi masababu mingi ndio zinafanya. Shakahola watu wanakufa kubalini maandiko vile yalivyo wacheni kuongezea vitu haziko na kutumia akili kujugde kitu soma vile imaandikwa tosheka nayo bas si kutimia akili na kuvuruga mambo masallam
Asalamu Alaykum warahmatulllah wabarakatu.MashAllah you are doing great work may Allah reward you with Janatul Firdaws.i am suggesting that one day you try to demystify the crucifixion of Jesus as believed by christians
Kweli kabisa, watu saii wanaongoka na kuwa wataua mpaka ile siku ya mwisho dio watu wataokolewa, ssasa wote wanamfuata YESU KRISTO wakona hii subra ufunuo 14:12
99 percentage of christians are they follow the taughts of false prophet nowdays na makanisa haina umoja ,chuki tu so kila mtu amini kwa mungu mmoja tu,
KanIsa la Makenzi ni ya EZEKIAL. KAFARA ili tolewa na EZEKIAL, kupitia Makenzi! Sio Makenzi aliji tolea KAFARA kwa sababu Makenji hana cho chote Kikubwa! EZEKIAL ndiye ame jenga WAREHOUSES SITA, zaku pokea WATU 12,000 PER Warehouse! 6 x 12000 = 72,000 People! This means kila BUSINESS DAY, au SUNDAY, kama kila mtu aki towa ksh600-1000 each, EZEKIAL ata pokea between 3.6M to 7.2M Million ! This is WHY KAFARA ya WATU 300 ili tolewa na EZEKIAL. Makenzi ni small Fish tuu! EZEKIAL ndio BOSS!
Hebu waulize hao wataalam wanajua kila kitu vitabu vyote. Lakini hiyo iko katika nguzo tano za uislam mojawapo ni swala nazo ni tano hiyo imo katika kur ani. Nyinyi hamko serious na hayo mambo masista wanasali mara nyingi zaidi na wengine hao hao lakini ni jumapili tu ndio wanaenda kanisani kusali. Yesu katika biblia anasema sauti ya Mungu hamjaisikia popote hebu wasikilize hao wasomi
Masha,alaah mfumo mnaoutumia ktk ulinganiaji mtaa kwa mtaa nimzuli sana
Nandyo.sababu..watukuingiaKatikaDini.yamungu..Allah.awalipemalipo.mema.yaarabi.
Mashallah sheikh endeleeni musichoke maana wengi hawajui anayestahili kuabudiwa Allah atawafadhili
Yaani wallah uislam ni neema na knowledge hawa watu hawajui hata sifa ya Mungu wamo tu . Waislam tumshkur Allah kwa kukujalia kuwa miongoni.
Sheikh Ali kwa kuchomekea vineno vineno lkn vizuri na vya kitaalamu
Assalam alaikum ni vizuri kuwaombea Dua ma sheikh wetu ila Dini inataka Dua na Mali . Tusiishie KWENYE Dua Tu tutoe kwa Ajili ya Allah ILI Neno la Allah litanganzwe namba ya kuchangia IPO hapo KWENYE video chochote shukran
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Sahihi kabisa
Bando lng huwa linaisha hta cjutii, Ahsanten sn ma Shekh wng
Kazi Nzuri sheikh wangu, Allah awajalie kheri na baraka
Amiin amiin amiin sote
ALLAHU wakibar mafundisho Yako saw walim wetu ALLAH wape hafya nauzima na pia waongezee eelimu
Hakuna apasaye kuabudiwa ila Mungu tu ....❤❤❤
ALLAH.JALAJALALU
Mashallah Allah awabariki naawazidishie afya nzuri na guvu yakuendeleza dawaa
Aamiin amiin amiin sote
Allah awalipe masheikh kweli munafundisha hata waislamu
SaanaNasyePiatunaelimika.Alhamdulilah.walipwe.malipo.memaInshaAllah
Salimu nawapenda sana kwajili ya Allaaha
Tunakupenda pia kwa ajili ya Allah
Mungu ni moja tu
Mimi ni mkristo! Ila suala la kuokoka nakataa😢
Karibu katika dini ya haki kwa maana hakuna mtume aliekua mkiristo
@@halimahbwelele694 ukae kwa kutulia tu siku ya mwisho ndio tutajua ukweli
Kaingiamitin.naukweli.kauona.HatajuaMwenyewe
Masha Allah tabaraka Allah
Wooooi wakristo hizi masababu mingi ndio zinafanya. Shakahola watu wanakufa kubalini maandiko vile yalivyo wacheni kuongezea vitu haziko na kutumia akili kujugde kitu soma vile imaandikwa tosheka nayo bas si kutimia akili na kuvuruga mambo masallam
We unajua ndugu yako ni jini Kwa mujibu wa Qur'an 😂😂
Asalamu Alaykum warahmatulllah wabarakatu.MashAllah you are doing great work may Allah reward you with Janatul Firdaws.i am suggesting that one day you try to demystify the crucifixion of Jesus as believed by christians
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
So much confusion wallahi. Mara Yesu ni Mungu , mara Yesu ni mwana wa mungu , mara Yesu ni malaika. There’s no consistency
Eleza John 17:5 please
Subhanallah allah atawaongoza njia iliyo nyooka inshallah
Kweli kabisa, watu saii wanaongoka na kuwa wataua mpaka ile siku ya mwisho dio watu wataokolewa, ssasa wote wanamfuata YESU KRISTO wakona hii subra ufunuo 14:12
Assallam aleilum im back again nilikuwa nje ya mtandao sasa nimerudi InshaAllah tuko pamoja nimefurahi kuwaona tena Allah barik
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh karibu sana
Masha Allah 🥰
Mashaallah
Ukiristo niukafiri mtupu .wakiristo wanamfuata shetani
الحمد لله على نعمة الإسلام
Hao wamisheni walijiandaa kuwapoteza wenziwao tu
The truth hurts when see it in their own scripture. They were not taught much
99 percentage of christians are they follow the taughts of false prophet nowdays na makanisa haina umoja ,chuki tu so kila mtu amini kwa mungu mmoja tu,
Shakahola Ile ilikuwa kafara ya mwaka azidi kupata utajiri wake kwa majini
KanIsa la Makenzi ni ya EZEKIAL.
KAFARA ili tolewa na EZEKIAL, kupitia Makenzi!
Sio Makenzi aliji tolea KAFARA kwa sababu Makenji hana cho chote Kikubwa!
EZEKIAL ndiye ame jenga WAREHOUSES SITA, zaku pokea WATU 12,000 PER Warehouse!
6 x 12000 = 72,000 People!
This means kila BUSINESS DAY, au SUNDAY, kama kila mtu aki towa ksh600-1000 each, EZEKIAL ata pokea between 3.6M to 7.2M Million !
This is WHY KAFARA ya WATU 300 ili tolewa na EZEKIAL.
Makenzi ni small Fish tuu!
EZEKIAL ndio BOSS!
Yan ni boss na bado mnampa sadaka
Allah Akbar
Problem they don't read the Bible on their own that's why see new vases every day ,may Allah show them the streight path
Na tazama sauti kutoka mbinguni ikasema,Huyu ni mwanangu mpendwa ninaye pendezwa na yeye.Matthew 3:17
Hiyo sauti ni ya nani???
@@salimdaawah123 mwenye mwana ndio mwenye hiyo sauti.Saa hii mwana yuko Kwa baba
Kwani uliambiwa Mungu yuko mbinguni? Mungu yupo popote na si mbinguni. Na mbinguni ndio wapi?
@@hashimchaoga9566 Mohamed alienda pewa wapi hizo sala Tano Kwa siku, Afghanistan? Ama hujaambiwa kwenye mohamed alienda na usiku?
Hebu waulize hao wataalam wanajua kila kitu vitabu vyote. Lakini hiyo iko katika nguzo tano za uislam mojawapo ni swala nazo ni tano hiyo imo katika kur ani. Nyinyi hamko serious na hayo mambo masista wanasali mara nyingi zaidi na wengine hao hao lakini ni jumapili tu ndio wanaenda kanisani kusali. Yesu katika biblia anasema sauti ya Mungu hamjaisikia popote hebu wasikilize hao wasomi
1+1+1=1. Even your math teacher hata kubali.
Alf nina swali je wayaudi walikuwa wa dini gani
Ya kiyahudi