Dada msabato na mwingine dada wa jumapili waleta maswali tata na kujibiwa leo ni leo kimeeleweka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @HusseinLimbe
    @HusseinLimbe ปีที่แล้ว +14

    Asalam aleykum
    Leo nimewahi 😊
    Allah awabariki mashekh zetu na Atubariki na sisi wote

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  ปีที่แล้ว +3

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin pia sisi sote

    • @MasoudAli-h4r
      @MasoudAli-h4r ปีที่แล้ว +4

      Aamiin

  • @hawaramadhan7437
    @hawaramadhan7437 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ma shaa Allah maustadhi wetu Allah awajaze kila la kheiri mzidi kufundisha dini yetu ya khaki... Alhamdulillah

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 ปีที่แล้ว +12

    Mimi niliogopa mapstor kwa uongo wao.

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb ปีที่แล้ว +3

    Saudi Arabia wanawake wanasoma, wafanya kazi,biashara na kudrive

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 ปีที่แล้ว +3

    Assallam aleikum mashekhe wetu Allah azidi kuwahifadhi

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  ปีที่แล้ว +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin

  • @254trends
    @254trends ปีที่แล้ว +1

    Asalam alaikum kazi nzuri

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  ปีที่แล้ว

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk ปีที่แล้ว +4

    Oh nimechelewa leo

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 ปีที่แล้ว +1

    mashaalh mungu awabariki camera man anaonekana amechoka mkono anatikisha sana camera , hua hamuna stand ama, kama hamuna tujulisheni tuwafanyiye mchango mpate stand. ustadh salim mungu awalipe mnayo wapa watu mawaidha , kwanza mtu kua muisilamu ni amri ya allah subhana huu wa taala lakini jambo moja tunge penda muwa eleze hawa wa cristo kua kalimahtu laa ilah ila allah kwa wingi na kua tuona wengi wako na instrest ya kua wa isililamu lakini muwa waacha tu na mda unapotezwa kwa kitu isio na msingi zaidi mambo ya kwenda choo na maji aw mtu akifa hiyo ni ilimu wata pata baada ya wao kusilimu kwa maana mtawafikisha hizo mambo kesho nao wana endelea tu na mtindo wao kwa hivyo heri mupoteza wakati ya kua mwenyezi mungu pekee yake anafaa kuabudiwa na pia quran ndiyo kitabu ya kila mtu wala sio bibilia ambayo iliandikwa na watu, wao wana amini sana bibilia na mnawasomea sana, ila hali sio kitabu cha kuamini.na kwa kweli munawafunza sana lakini kuna wakati mda wenu inachukuliwa na kuingia choo na maji aw kuzikwa kwa sanda hiyo tabia wako naye hawataicha na wengine ni wabishi , lengo na mathumuni yetu ni kuwaita kwa uisilamu, nime ona mumewaacha wengi na hamukuwauliza nini inawakataza wawe waisilamu bado hawaja jua ni nini mfano ya uisilmau na kirso, wana ngangana tu na ubishi juu ya yesu il hali yesu hawajui wala hajatumwa kwao.

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah baarakallah..sheria ya kuwa mwanamke haendeshi gari na sheria zengne zote zimetolewa nkiwa uku gulf hiyo sheria hakuna

  • @fatumahamisi1604
    @fatumahamisi1604 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashekh wetu mungu awape wepesi Kwa Kila jambo

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah kazi nzur sana walim wetu namuomba ALLAH awajaliye siku nyingi zakuishi awalinde na hasadi

  • @Adm9464
    @Adm9464 ปีที่แล้ว +2

    May Allah bless your work our Ustadhs. Sheikh Ali bado uko shida hapo. Please for the interest of the daawah stop interrupting ama kutia maneno nyingine since Sheikh Salim is talking to this people. It’s confusing when everyone is talking on his own . This people want to hear and understand the message slowly

  • @swahabahusein23
    @swahabahusein23 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah mimi nafatilia kabixa nipeni like zangu

  • @Jingajinga64
    @Jingajinga64 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu Alaykum Sheikh Salim. Barakallah fiq

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  ปีที่แล้ว

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 ปีที่แล้ว

    Anataka mungu ampe rizki kila Siku kumomba mungu Siku moja

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa shekhe kweli kabsa

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 ปีที่แล้ว +2

    Huyu hajaelewa huku uarabuni wanawake wana free choice wanadrive wanaenda darsa yani shule na kazi pia wanafanya hii sheria iko huku ya wanawake kuwa free aulize waliotoka huku uarabuni

  • @antonykhamati6387
    @antonykhamati6387 ปีที่แล้ว +1

    Good teachings

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashalla Allah ❤❤❤

  • @josemu870
    @josemu870 7 หลายเดือนก่อน +2

    Allahamdulillah

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 ปีที่แล้ว +2

    Sawa kabisa.

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mafunzo mazuri

  • @abdirizackabdi1274
    @abdirizackabdi1274 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 ปีที่แล้ว +2

    MASHAALLAH

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah Maashallah Maashallah

  • @djaraab1836
    @djaraab1836 ปีที่แล้ว +1

    Manshaallah ❤

  • @BabuuSharia
    @BabuuSharia ปีที่แล้ว +1

    Maashalah

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 ปีที่แล้ว +1

    Asalamu alakumu mashala

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  ปีที่แล้ว

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @Hi_20206
    @Hi_20206 ปีที่แล้ว +8

    Am muslim.Islam is perfect bt am not..if i make a mistake blame me..not islam❤☝️

    • @yia73
      @yia73 ปีที่แล้ว +1

      Islam is the way but many of us go with heart desires 😢😢😢

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 ปีที่แล้ว +1

      @@yia73 exactly my brother

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 ปีที่แล้ว

      Perfect dose sis

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 ปีที่แล้ว

      @@Jingajinga64 thankk bro

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 9 หลายเดือนก่อน

      Perfect in what ways? Read sura 5:51
      Jesus said love your enemy,bless those who curse you,pray for those percecuting you.

  • @yia73
    @yia73 ปีที่แล้ว +3

    NGURUWE HEHEHE😅 EVEN THE NAME SOUNDS DISGUSTING 😅😅😅

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 ปีที่แล้ว +2

    Suratul Maida ina eleza kua manyani na nguruwe ni mayahudi kwa hivyo nguruwe alikua binadamu yahudi allah akawageuza wakawa manyani na manguruwe(Suratul Maida 60. Sema: Je! Nikwambieni yule ambaye ni mwenye malipo mabaya zaidi kuliko hayo mbele ya Mwenyezi Mungu? Ni yule ambaye Mwenyezi Mungu amemlaani na amemkasirikia, na amewafanya miongoni mwao manyani na nguruwe, na wakamuabudu Shet'ani. Hao ndio wenye mahali pabaya na wamepotea zaidi njia iliyo sawa.

  • @yia73
    @yia73 ปีที่แล้ว +2

    That's why muslim converts take Islam very serious

  • @muhamedkhatib4913
    @muhamedkhatib4913 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh saalim Assalam alaykum.Samahan naomba ukizungumzia HAMAS uwe makin maana HAMAS ni wafalestina wazawa na wako Kwa ajili ya kupgania nchi yao na sio uchokozi so tunaomba waislam muwe makini msifuate maneno ya wasio na elimu juu ya HAMAS

  • @isahbarasa
    @isahbarasa ปีที่แล้ว +3

    Asalam alykum mwalimu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  ปีที่แล้ว +2

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

    • @isahbarasa
      @isahbarasa ปีที่แล้ว +2

      @@salimdaawah123 njoo mutembelea uku bungoma county walimu ,kimilil subcounty

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  ปีที่แล้ว +2

      @@isahbarasa inn shaa Allah tutapanga hilo

    • @isahbarasa
      @isahbarasa ปีที่แล้ว +2

      @@salimdaawah123 mashalla

  • @urursalat
    @urursalat ปีที่แล้ว +3

    Ustadh salim shukran kwa daawatul naas lakini usiseme hamas ni kama alshabaab.. they are freedom fighters.secondly they were elected officially in 2007 by the Palestinians but the western wame impose Mohamud Abass of PLO

  • @SaadiaaBh
    @SaadiaaBh 11 หลายเดือนก่อน

    SHEIKH umesema kwamba hawa Mjahidini ni alshababu ,Hawa sio alshababu .Hawa ni Mjahidini wanapigania haki ya nichi yawo .kwani wadhulimia na hawa wayahudi .

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 หลายเดือนก่อน

      Hezbollah sio Hamas

  • @ramadhannyae2941
    @ramadhannyae2941 ปีที่แล้ว +1

    Hamas iko gaza strip
    Hezbollah ndio ni militant group iko Lebanon