Mashaalah sheikh salim, una jua hawa hawafahamu hua wana changanyikiwa, badala waseme wameongoka hua hawajui wanasema wameokoka, kwa hivyo uwa elimishe ya kua sio kuokoka bali ame ongoka.ndiyo una ona wana ngagana na kusema ame kuokoka.sisi waisilimu tunasema ni hidaya,na pia wana ngngana yakua hati yesu ametumwa kwao na wana amini yakua yeye ni mwana wa mungu aw pia wanasema yeye ni mungu suratul maida isha wajibu(MAIDA 116. Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana)
MashaAllah tabaraqaAllah mambo ni ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥 kume Waka walim wetu poleni sana hikazi ni ngumu sana kudili nawatu wengine niwabishi ALLAH awa hifadhi na mabalah
Ndugu Salim hebu waeleze hao 😊wanaotaka confirmation kuwa Quran iliandikwa vile mtume alivyosoma. Waambia Mtume sio pekee yake aliohifadhi Quran wakati yuko hai. Maswahaba pia walihifadhi kutoka kwake wakati yeye yuko hai. Wakati kuna tashwishi ikisomwa na sahaba wenzaka yeye ndio mamlaka ya kuwasahihisha. Masahaba walimemorize orally kupitia kusomeshwa kwa mdomo yani kwa kusikiza. A lot of people memorize suras or verses by just listening when it is read by someone else. Wakati wa mtume hii ndio was the main way of memorizing. Hakukuwa na vitabu and most Arabs were illiterate but it didn't mean they couldn't not memoeise things if it were read to them. Mfano watu wana memorize nyimbo kwa kusikiza tuu. So same thing. They used to memorize the quran by listening when others are reading. My 4 yrs daughter aliweza soma Fatha kabla ya kujua kusoma herufi.
Warumi 10:9 [9]Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. That if thou shalt confess with thy mouth the Lord Jesus, and shalt believe in thine heart that God hath raised him from the dead, thou shalt be saved.
Hata ingelikuwa ni wewe uko hapo ungeongea tu juu hawa wenzetu nao wanachanganya sana najua Sheikh Salim anawezana nao hii kazi siyo rahisi kama unavyo fikiria acha mwenyezi Mungu awafanyie wepesi inshaallah 🙏
Ndugu Salim, Kuhusu history ya compilation of the Quran. Khalifa Abubakar ( The first Khalifa) is the one who compiled the Quran . Aliwakusanya masahaba wrote waliohifadhi Quran ( more than 30 memorizers) na akaitisha all the written records available at that time from all sahabas ( skins, tablets etc) and formed a committee which authenticated the written records with the memorizers. Anything which was not corraborated by all the memorizers was not included. This first copy of the Quran was kept by mother Hafsa the wife of the prophet. During the time of Khalifa Uthman He ordered that another seven copies be produced from the first copy compiled by Abubakar . He then sent this copies the provincial governors in the caliphate. The reason for this was because the new non Arab Muslims were mispronounced the words when reading the quran. The new copies started to include the fathas , saunas etc to help the non Arab muslims pronounce the words correctly. The compilation of the Quran is regarded as one of the greatest achievements of khalifa Abubakar may Allah be pleased with him. Allah blessed him with wisdom to save the Muslim Ummah.
Yesu Kristo alitumwa kwa ulimwengu mzima, aliingia kila nyumba ya kuabudia na akawa anafundisha, kwenye masinagogi na mahekalu. Alipokuwa akifundisha ktk sinagogi walikataa mafundisho yake na wakataka kumpiga akawatoka ktkt yao.
Kuhusu mbwa ustadh waambie sisi waislam tuko na vipengele kwenye ibada kama kushika udhu na mskiti ue safi kusiwe na najis mbwa akiingia atakua ameharibu ile udhu na usafi.. Na tutakua hatuna sala mpk tujitwahirishe.. Sio km kanisani wanaingia na janaba zao na kutamba hawatambi waenda tu km hawajielewi
wakristo tunajielewa sana katika bibilia kuliko waisilamu, juu unaambiwa mohammed ni Mungu lakini hakuna hata muujiza mmoja amewahi fanya ndio tuamini. lakini Mungu wetu Bwana wa majeshi ni Mkuu na ametenda mengi ya ajabu. lazima siku moja hapo jacaranda itakuja julikana kua Mungu tunaye mwaabudu sisi kama wakristo ndiye Mungu aishiye milele.
Thubutu!!! hamna popote Waislamu wamesema Mohammad ni mungu bali wanasema Muhammad ni mtume wa Mungu na Yesu pia ni mtume wa Mungu. Lakini nyinyi wakristo munafanya kila mtu ni mungu mpaka hata unazinzia waislamu wamesema Muhammad ni mungu.
Hakuna muislamu hata mmoja anaeamini mtume Muhammad Sallaahu alaihi wasallam kuwa ni Mungu au mwana wa Mungu, Sote tunaamini kuwa Mungu ni mmoja na mtume Muhammad rehema na amani ziwe juu yake ni mtume wa Mwenyezi Mungu kama alivyotumwa Mussa, Daudi na Issa rehema na amani ziwe juu yao wote. Jambo muhimu Mungu ni mmoja na Mungu sio mwanaadamu.
HUYU Odero Hana ELIMU yeyote! NA Tena BONGO YAKE, ni kama Mtoto wa Primary! Music poteze Wakati na MaKURUTU Hawa wa WESTERN! Ame kuwa ChiefPastor, HOW? TabarakAllah Team Mzima. MAFUNDISHO BORA, as usual! Ati Ngoma ya hali ya Waluhya? Ha oni HAYA Aki SEMA UWONGO! It is obvious huyu Idera ana DANGANYA Watu Katika KIOSK yake
nimegundua kua,haya maneno mawili yanawasumbua Wakristo 1.KUOKOKA NA KUTUBU bado hawajajua kabsaa...hapa duniani tunatubu dhambi zetu ila kuokoa ni siku ya mwisho pale mtu akiambiwa unaenda uzima wa milele ndio anaweza kujipiga kifua kua ameokoka
Sheikh Salim na Ustaadh Ally, Mwenyezi Mungu awalipe Kila lililo jema Amin!
Aamiin amiin amiin sote
Maa shaa Allah masheikh wetu Muna akili majibu yanatoka kama computer kwa fadhila za Allah.Allah awahifadhi awazidishie kheri zote
Aamiin amiin amiin sote
Mashaalah sheikh salim, una jua hawa hawafahamu hua wana changanyikiwa, badala waseme wameongoka hua hawajui wanasema wameokoka, kwa hivyo uwa elimishe ya kua sio kuokoka bali ame ongoka.ndiyo una ona wana ngagana na kusema ame kuokoka.sisi waisilimu tunasema ni hidaya,na pia wana ngngana yakua hati yesu ametumwa kwao na wana amini yakua yeye ni mwana wa mungu aw pia wanasema yeye ni mungu suratul maida isha wajibu(MAIDA 116. Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana)
mashaallah sheikh salim na sheikh Ali❤
MashaAllah ❤❤❤
Allah akuhifadhini
Ameen
Ameen ameen ameen
Sheikh salim mungu akuzidishe ilimu جزاك الله خيرا يا أستاذ سالم
😂 iyo 19 ;23 iyo Kali sana nawakubali hao walimu
MashaAllah tabaraqaAllah mambo ni ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥 kume Waka walim wetu poleni sana hikazi ni ngumu sana kudili nawatu wengine niwabishi ALLAH awa hifadhi na mabalah
Aamiin amiin amiin sote
ustad Ali Sheikh uko sawa kabisa. His short and quick answers are on point and hillarious
Asalam alaikum sheikh salim masha Allah tuko pa 1 mkono kwa mkono hadi peponi ishallah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Mbona shekh hassan karioki hatumuoni ALLAH awazidishie mashekh wetu kwa ujasiri
Ako shuguli za kinyumbani
😂😂 nmecheka hapo kwa kuchinja , jaman kila cku kuna mpya
Allah awalipe kheriiiiiii
Sheikh Salim unakohoa kunywa tangawizi pia yai na asali Allah akupe afya kamil na kila Muslim.
Inn shaa Allah nitatumia aamiin amiin amiin
Mwenyez Mungu atawalipa mema kwa kaz kubwa mnayoifanya
Aamiin amiin amiin sote
Nikiona new Video nafurahi sana
Afu iwe na lisaa limojaa 😊
Wewe kama mm
NamieNdyoFarajaYangu
Fantastic debate....... wakristo ni shida saana
SubhanaAllah.EtiKwauwezoYaYesuNitawezajibu🤣🤣🤣mkristoAnachekesha
Masheik wetu Allah Awape maisha marefu, mnafanya kazi nzuri saana
MashaAllah MashaAllah MashaAllah
❤❤❤❤❤Jazzakaallah sheikh salim ed ustadh Aliy
❤❤❤
❤❤❤❤❤
Maasha Allah.Da,awa ilikuwa nzuri sana sikutamani hata iishe.Ila wanaelewa Alhamdulillah.ALLAH awape hidaya na kuingia katika dini ya haki.
Ndugu Salim hebu waeleze hao 😊wanaotaka confirmation kuwa Quran iliandikwa vile mtume alivyosoma. Waambia Mtume sio pekee yake aliohifadhi Quran wakati yuko hai. Maswahaba pia walihifadhi kutoka kwake wakati yeye yuko hai. Wakati kuna tashwishi ikisomwa na sahaba wenzaka yeye ndio mamlaka ya kuwasahihisha. Masahaba walimemorize orally kupitia kusomeshwa kwa mdomo yani kwa kusikiza. A lot of people memorize suras or verses by just listening when it is read by someone else. Wakati wa mtume hii ndio was the main way of memorizing. Hakukuwa na vitabu and most Arabs were illiterate but it didn't mean they couldn't not memoeise things if it were read to them. Mfano watu wana memorize nyimbo kwa kusikiza tuu. So same thing. They used to memorize the quran by listening when others are reading.
My 4 yrs daughter aliweza soma Fatha kabla ya kujua kusoma herufi.
Wislam nidini yakwer kbsa❤❤
Alhamdulilah
Maashallah sheikh wataelewa tu
Mash Allah alhamdulilah
Yaonekana hawa ndugu zetu wanapewa uongozi lakini hawana ujuzi wa kazi yao
Mkishindwa mnakimbia😂
Asalam Alekum Allah wajalie heri nyingi inshallaha Salim na ndugu yko Ali na tym yko yote ya salim dawa Ameen inshallaha suma Ameen
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Warumi 10:9
[9]Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
That if thou shalt confess with thy mouth the Lord Jesus, and shalt believe in thine heart that God hath raised him from the dead, thou shalt be saved.
Utaokoka ama umeokoka shule ndio shinda yako
MashaAllah kaz nzur
Assallam aleikum mashekhe wetu nimefurahi kuwaona tena Allah awahifadhi
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
MaashaAllah everything is straight from our sheikhs. Unlike our Christian brothers wanaenda library ama watajiandaa.
Kabisa mpaka kieleweke kazi yetu kufikisha tu
Siku mmoja mtanikuta...uongo huu utaisha
Uko area gani tukuje
Mashallah masheikh huyu ameelewa but hataki kuelewa
MASHAALLAH
❤❤ munafanya Kaz mzur
Wachungaji wamekuja darasani walivamia tu makanisa hawana elimu 😂😂🤣🤣
Ukweli kabisa
Asalam alikum warahmatulul wabarakatu Allah awazidishie umri na afya nzuri yakuweza yakupambana nahao mabishi wasiojielewa amiin
Wsalaam warahmatullahi ta'ala wabarakaatuh
Assalamu Alaykum. Barakallah fikum
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Shekh Ally unachekesha unavyowajibu juu juu🤣🤣🤣
MashaAllah..shekhWrtuAlly..Allah.awalinde.mashekhe.wetu..tunawaidhika..Alhamdulilah
Kiswahili hamjui, tumia kingereza chenu
🤣😂😂😂🤣
Shekhe.Ally.umenichekesha.etiHii.nayo.inatangaza.Kifo.🤣🤣🤣🤣AngaliaHapa🤣🤣🤣
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Wallahi wakristo hawaelewi hata sijui wana nini
❤❤❤
Wallahi kila siku raha na moto
Mashaallah
Asallamu Alleikum salimu mungu awazidishie iman ,ila Ali Anazingua sana yeye anavuruga sana
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Subhannallah hawa wakristo hawataki kusoma kitabu chao
Sh ally tulia usipende kuongeza maneno mwachie sh salim aongee ukiingilia unahalibu
Hata ingelikuwa ni wewe uko hapo ungeongea tu juu hawa wenzetu nao wanachanganya sana najua Sheikh Salim anawezana nao hii kazi siyo rahisi kama unavyo fikiria acha mwenyezi Mungu awafanyie wepesi inshaallah 🙏
Ila anaharibu tu na kupunguza views
ati anaharibu na kupunguza views? @@HisMajesty64
Sheikh Salim somo wangu asalaam alaykum waratulahyh wabarakatuh
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
MashaAllah
Ali apunguza jazba
Huyu Mzee wetu tunampenda kwa ajili ya Allha
Shekh Salim, Aya ya 44-52 ya Suratul Al Haaqqah naona kama inazungumzia hiyo hojà ya huyo ndugu muulizaji. Ndugu yako Opa(TZ)
Masha Allah shukuran kwa ukumbusho Allah akuzidizie
Inshala Allah akupen maisha malef
Aamiin amiin amiin sote
Allah awaifadhi walimu kama hawa wallai
Aamiin amiin amiin sote
Ndugu Salim,
Kuhusu history ya compilation of the Quran.
Khalifa Abubakar ( The first Khalifa) is the one who compiled the Quran . Aliwakusanya masahaba wrote waliohifadhi Quran ( more than 30 memorizers) na akaitisha all the written records available at that time from all sahabas ( skins, tablets etc) and formed a committee which authenticated the written records with the memorizers. Anything which was not corraborated by all the memorizers was not included.
This first copy of the Quran was kept by mother Hafsa the wife of the prophet. During the time of Khalifa Uthman He ordered that another seven copies be produced from the first copy compiled by Abubakar . He then sent this copies the provincial governors in the caliphate. The reason for this was because the new non Arab Muslims were mispronounced the words when reading the quran. The new copies started to include the fathas , saunas etc to help the non Arab muslims pronounce the words correctly.
The compilation of the Quran is regarded as one of the greatest achievements of khalifa Abubakar may Allah be pleased with him. Allah blessed him with wisdom to save the Muslim Ummah.
❤
Mashalla ♥️😘🙏🙏
Yesu Kristo alitumwa kwa ulimwengu mzima, aliingia kila nyumba ya kuabudia na akawa anafundisha, kwenye masinagogi na mahekalu. Alipokuwa akifundisha ktk sinagogi walikataa mafundisho yake na wakataka kumpiga akawatoka ktkt yao.
Wapi Yesu aliingia kanisa because umesema aliingia kila nyumba????
Mashaa Allah
😂😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊
Huyu alikua ana search hapati kitu ukweli inauma 😅
They are cheated by their pastors. Ati they need roho which only the pastors posses.
Hahaaaaaaa ili wasijue ukweli that why wanaambiwa wasisome hawataelewa
Anakataa biblia mkiini ataandika mwenyewe
Kuhusu mbwa ustadh waambie sisi waislam tuko na vipengele kwenye ibada kama kushika udhu na mskiti ue safi kusiwe na najis mbwa akiingia atakua ameharibu ile udhu na usafi.. Na tutakua hatuna sala mpk tujitwahirishe.. Sio km kanisani wanaingia na janaba zao na kutamba hawatambi waenda tu km hawajielewi
Asalam alakumu mashala mungu amulidi
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Huyu Kimani ako India.
wakristo tunajielewa sana katika bibilia kuliko waisilamu, juu unaambiwa mohammed ni Mungu lakini hakuna hata muujiza mmoja amewahi fanya ndio tuamini. lakini Mungu wetu Bwana wa majeshi ni Mkuu na ametenda mengi ya ajabu. lazima siku moja hapo jacaranda itakuja julikana kua Mungu tunaye mwaabudu sisi kama wakristo ndiye Mungu aishiye milele.
Thubutu!!! hamna popote Waislamu wamesema Mohammad ni mungu bali wanasema Muhammad ni mtume wa Mungu na Yesu pia ni mtume wa Mungu. Lakini nyinyi wakristo munafanya kila mtu ni mungu mpaka hata unazinzia waislamu wamesema Muhammad ni mungu.
Hakuna muislamu hata mmoja anaeamini mtume Muhammad Sallaahu alaihi wasallam kuwa ni Mungu au mwana wa Mungu, Sote tunaamini kuwa Mungu ni mmoja na mtume Muhammad rehema na amani ziwe juu yake ni mtume wa Mwenyezi Mungu kama alivyotumwa Mussa, Daudi na Issa rehema na amani ziwe juu yao wote. Jambo muhimu Mungu ni mmoja na Mungu sio mwanaadamu.
HUYU Odero Hana ELIMU yeyote!
NA Tena BONGO YAKE, ni kama Mtoto wa Primary!
Music poteze Wakati na MaKURUTU Hawa wa WESTERN!
Ame kuwa ChiefPastor, HOW?
TabarakAllah Team Mzima.
MAFUNDISHO BORA, as usual!
Ati Ngoma ya hali ya Waluhya? Ha oni HAYA Aki SEMA UWONGO!
It is obvious huyu Idera ana DANGANYA Watu Katika KIOSK yake
Mkikaa juani camera video inakuwa na chenga chenga
Watakula billa luchinja
nimegundua kua,haya maneno mawili yanawasumbua Wakristo 1.KUOKOKA NA KUTUBU bado hawajajua kabsaa...hapa duniani tunatubu dhambi zetu ila kuokoa ni siku ya mwisho pale mtu akiambiwa unaenda uzima wa milele ndio anaweza kujipiga kifua kua ameokoka
Kweli kabisa 100 percent
Ustadh Ali mos mos tafadhali usivuruge daawah
ako sawa na havurugi
@@aburaasmedia3682kabisa man
Duh, kwa wanadamu kwamaana ya uwezo, ability
Anaye tuwezesha ni MUNGU
Hahaaaaaaa wapi imeandikwa ???
Ukweli.huyu.mfupi hayuko.sawa
Alhamdulillah ala neematul islam
🙏🙏🙏🙏🙏
Dr salim ngugi wapi vitu vyipia
Eid Mubarak
😂😂😂ohhh islam naipenda sana kwer manshaallah.eti kafiri😂😂😂
Mlokole kasahau ankili nyumbani
Usipeperushe Kitabu hivo tafadhali.
Inn shaa Allah
Huyu evangelisti hajui chochote. amelemewa tangu jana
Yaani hapa mpaka kieleweke
Ali anaudhi sana na maneno maneno yake ya kutupa, yanini utaje babu ya mtu? Be respectful and wise.
Hamjui kiswahili. Kwahiyo wayahudi ni waisilamu? Yaan dini ni kitu ovyo sana hakitawahi msaidia mtu yeyote
Akili zako hizo
Kwani ikiandikwa ndo kweli?😂
Wewe hukusoma ndio tatizo lako
Alhamdullilah sheikh may Allah grant you jannah firdaus
TATIZO HAWAJUI KUTAFAUTISHA YA KUTUBU NA KUOKOKA
I live in UK every one who has dog they kiss the dog mouth to mouth
Utaokoka ni wakati ujao kwa maana ya condition yaani baada ya hilo tendo ndo unapokea wokovu, endelea kuisoma hiyo warumi uone
Wapi ukristo ni mzigo tu sio dini
Kumbe mnagoogle? Malaika toka lini wanaandika? Walio andika mlijuaje kama wameongeza? Haha sikuile utakufa, huyo mwamba ni moto. Musa ndiye aliye andika
Ushahidi upi ??
They kiss the dogs
Mkibanwa mnasema hakuna
Hahaaaaaaa hueleweki
@@salimdaawah123yaan cjui point yake ninin😂
Kwani wenye haki ni nani? Mbinguni hakuna uisilamu
Mdomo bila ushahidi
Cjui point yake nn😊
Naona jamaa anakimbilia bible asome " usiwape mbwa kilicho kitakatifu" kwaakili zenu mnafikiri ni mbwa huyo, mbwa ni mtenda dhambi wala sio hao wanyama. Sasa watendao mabaya ni wanyama au watu? Huyo mstar
Hahaaaaaaa ukristo ni kuchanganyikiwa tu
Sio Mbwa mnyama. Mbwa anaye tajwa hapo sio huyo mnyama ni mtu. Yan nyie hamjui bible , mnafikiri ni gazeti hilo
Kwani bibilia ni nini kama sio gazeti???
𝙎𝙝𝙚𝙞𝙦𝙝 𝙖𝙡𝙞 𝙥𝙤𝙡𝙚 𝙥𝙤𝙡𝙚 𝙠𝙞𝙙𝙤𝙜𝙤
❤❤ munafanya Kaz mzur
MaashaAllah
❤❤ munafanya Kaz mzur