ZAI KIJIWENONGWA:WATOTO WA KIJIWENONGWA WANAKULA MILO MIWILI UGALI KWENYE SINIA NYAMA MKONONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 239

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว +22

    Huyu dada Zai walah anitoa stress mno nachekaga sana jmn khaaa ongea yake tu mm najiskia furah mno mungu akutunze dada Zai❤🤣😋😋😋😋🤣🤣

  • @alizuluman4739
    @alizuluman4739 3 ปีที่แล้ว +57

    Wapi likes za kijiwe nongwa

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +37

    Da gea huyu mlete kila siku anatoa stress hhhhhhh
    Shukran dada zai

    • @sanjiisa1184
      @sanjiisa1184 2 ปีที่แล้ว

      Jamanihuyuzai natamani nimuone nitamtafuta ananipa furaha mibiomamibio nachesana

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 3 ปีที่แล้ว +27

    I love this lady anajua kueleza sana. A beautiful Swahili speaking lady..big up from Kenya

    • @halimaabasi3890
      @halimaabasi3890 2 ปีที่แล้ว +1

      njoo nikupeleke kujiwe nongwa 😁

    • @candyngeny8272
      @candyngeny8272 ปีที่แล้ว

      ​@@halimaabasi3890Can I come🤗.. would love to

  • @aminahadi1966
    @aminahadi1966 3 ปีที่แล้ว +15

    Huyu dada hua nampenda

  • @suzanfelix8065
    @suzanfelix8065 3 ปีที่แล้ว +17

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣mungu wangu eti maliza soda nabakisha jioni nilie ubwabwa

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 3 ปีที่แล้ว +16

    🤣🤣🤣🤣 uyu dada kanikumbusha mbali

  • @manbonge3015
    @manbonge3015 3 ปีที่แล้ว +4

    Dada wa kijiwe nongwa salute

  • @jassysavage4718
    @jassysavage4718 3 ปีที่แล้ว +5

    Wa masaki watupishe kidogo 🤣🤣

  • @mkatungu7457
    @mkatungu7457 3 ปีที่แล้ว +3

    Zai wee kiboko. Nimependa maisha hayo.

  • @qrrrqtqt9976
    @qrrrqtqt9976 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana zai

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 3 ปีที่แล้ว +1

    Da geah akiwa n da zai anafurah Sana

  • @beathamwacha3192
    @beathamwacha3192 3 ปีที่แล้ว +2

    😀😀 nimechekaaa. Hataree. Nayahitaji hayo malezi kwa kweli.

  • @subiraomari5908
    @subiraomari5908 3 ปีที่แล้ว

    Asante zai

  • @Chemba67
    @Chemba67 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah.....asanteee...salamu nyingi toka EU........dada kamaliza kila kitu

  • @Elina-w7e
    @Elina-w7e ปีที่แล้ว

    Asante 😅😅😅

  • @khadijakheir9323
    @khadijakheir9323 3 ปีที่แล้ว +14

    Ni kweli 🤣🤣🤣🤣 mashaa Allah

  • @binahoza5674
    @binahoza5674 3 ปีที่แล้ว +1

    Zai noma

  • @Atb300
    @Atb300 3 ปีที่แล้ว

    Mm nililelewa ivyo ndan tu nilikua mjinga sana

  • @monicaisaya6143
    @monicaisaya6143 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂 haki zai wewe nakupenda bureee🙌🙌

  • @Carolbenny
    @Carolbenny 10 หลายเดือนก่อน

    Love you dada zai😂😂😂😂😂

  • @AishaAisha-rh1fc
    @AishaAisha-rh1fc 3 ปีที่แล้ว +28

    Saruti kwako zai ndio maisha nilio kulia Alhamdulillah kumbe adi leo yanaendelea🤣🤣🤣🤣 nimecheka

    • @Iragibarune1.
      @Iragibarune1. 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂pôle sana

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว

      Duuh mie iyo ya mdudu ningekuwa ndio yule alokaukiwa sauti weeeee🙈🙈🙈🙈

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว

      Alafu hayana hata stress,raha tu

    • @sadatamal3655
      @sadatamal3655 3 ปีที่แล้ว

      Tumekulia wengi sana hayo maisha wallah

    • @talha2754
      @talha2754 3 ปีที่แล้ว

      Ndio vizr

  • @nasserkhoduri4087
    @nasserkhoduri4087 3 ปีที่แล้ว

    miss you home vngunti zai😃😃😃😃

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 ปีที่แล้ว

    Naomba no ya zai ananichekeshaga sanaa😅😅

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 3 ปีที่แล้ว +1

    Hayo unayo ongea tumeyapitia da zai sana tumetoka mbali leo tumesahau mungu katujalia tumekua na rizki Alhamdulillah tumesahau yote tulopitia 😄😄

    • @aminatatu5692
      @aminatatu5692 3 ปีที่แล้ว

      Ananikumbusha mbali kweli

  • @sadatamal3655
    @sadatamal3655 3 ปีที่แล้ว +4

    Hahahahahaha nimecheka mm da zai niache eti anaenda chooni akishusha kama kazaa akitoka na usingizi juu

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 3 ปีที่แล้ว +4

    maisha safi kabisa hayo🤣🤣

  • @sherrymeddy6398
    @sherrymeddy6398 3 ปีที่แล้ว +1

    Da zai wauwah nakupenda♥️ unatufurahisha 😂😂😂🤣🤣🤣

  • @nrecords7222
    @nrecords7222 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dada nampenda jamn ananifurahixha sana🤣🤣🤣🤣

  • @dainahussein9942
    @dainahussein9942 2 ปีที่แล้ว

    Zai weeeeeee

  • @salmamohammedyahaya6098
    @salmamohammedyahaya6098 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hiiii

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 3 ปีที่แล้ว +4

    😂🤣😂🤣Dah!zai wewe kibokoooo 🤣🤣😂😂😂

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 3 ปีที่แล้ว +26

    Ni ukwel mtup na ndio maisha,tuliopitia 98% ya tuliom humu ndani

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Dadah,😃😃😃

  • @janethmwikola9980
    @janethmwikola9980 2 ปีที่แล้ว

    Da gea mpost mala kwa mala uyu dada

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimewahi Leo nikua 4 kweli kabisa ayo yasema zai

  • @halimagoodgoodsimbahalimag2940
    @halimagoodgoodsimbahalimag2940 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimechek san wew dada

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 2 ปีที่แล้ว

    NIMEKUPENDA ZAI

  • @officialrayyan4595
    @officialrayyan4595 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli kabisa

  • @zuwenagadaph4217
    @zuwenagadaph4217 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamani khaaah zai unanini lkn nimecheka leo hadi nimetowa mawazo yote🤣

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila Zai 😃😃😃😃😃🙌

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda zai😂😂😂

  • @she_gorjuss
    @she_gorjuss 3 ปีที่แล้ว +6

    Anialike siku moja niende nilale huko nimependa 😂😂😂

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 2 ปีที่แล้ว

    zay zay utaniuwa

  • @sakinaramzu2878
    @sakinaramzu2878 3 ปีที่แล้ว

    Zai saluti

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha Zai jmn umenicheesha sana🤣🤣

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +3

    Zai ww nakupenda bure 😂😂😂hapa ndo da geah anapo toa stress 🤣🤣

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 ปีที่แล้ว

    Daaah dada mpe soda zai nitakuja kulipa kanifurahisha

  • @khadijambuya794
    @khadijambuya794 3 ปีที่แล้ว

    Hyu dda haongea ukweli sna

  • @veronicasamson7121
    @veronicasamson7121 3 ปีที่แล้ว

    ..😀😀😀eti mtoto gan kama nyoka

  • @halimaabasi3890
    @halimaabasi3890 2 ปีที่แล้ว

    Bonge ka mtongeeeee😁🤣😁😁

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂 Asant sana nimecheka leo nisiku 5 sija cheka
    Nahumwa

  • @anjelamassawe8997
    @anjelamassawe8997 3 ปีที่แล้ว

    Jamani

  • @husnasaidi3970
    @husnasaidi3970 2 ปีที่แล้ว

    Vtt kama vizee😄😄😄

  • @renildevenerand9473
    @renildevenerand9473 3 ปีที่แล้ว +3

    Maisha tuliolelewa ayo 😀😀😃mtoto mdogo unatumwa kuopoa moto😀😃

  • @fridachami396
    @fridachami396 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda huyu dada sana

  • @josphinemghoi2021
    @josphinemghoi2021 ปีที่แล้ว

    Hajakosea pia kilamahali Kuna uswahili hayo ndo maisha watu huishi

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila zai hapo mama pili pili 😁😁 nmecheka mie 🤣🤣🤣

  • @raiye5621
    @raiye5621 3 ปีที่แล้ว +2

    zai zai jmn zai 😅😂😂😅😅😅😅

  • @florencemlay9333
    @florencemlay9333 3 ปีที่แล้ว

    Jamani Zai umenikumbusha mbali sana😅😅😅😅😅

  • @baysuraoman7910
    @baysuraoman7910 3 ปีที่แล้ว

    Yani zai

  • @julianajacksoni4275
    @julianajacksoni4275 3 ปีที่แล้ว

    Jaman zai... Geah mbavu zitauma kwa vituko vya shoga akoo

  • @sadatamal3655
    @sadatamal3655 3 ปีที่แล้ว +6

    Hahahahahaha eti ugali unaisha mboga inabaki nimependa hayo maisha kwakweli

    • @thresherjordan6829
      @thresherjordan6829 3 ปีที่แล้ว +1

      Yan watu wanapitia magumu acha mtu unakula samak wa mia tatu wa watuu na ugali kilo mojaaa jamn maisha haya achen

    • @sadatamal3655
      @sadatamal3655 3 ปีที่แล้ว +2

      Sana maisha aya mtu kama umejaaliwa na mungu ww mshukuru tu kwa kila Jambo coz kuna watu hata mlo mmoja wanapata kwa taabu

  • @salmangwila8062
    @salmangwila8062 2 ปีที่แล้ว

    Zai nikimsikiliza stress zinaisha..

  • @halimaabasi3890
    @halimaabasi3890 2 ปีที่แล้ว

    et kitoto kinashuka kwenye net 🤣zai apana

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 3 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @aminaissa7887
    @aminaissa7887 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣mbav zangu we zai🙌

  • @nyanziratatou5404
    @nyanziratatou5404 3 ปีที่แล้ว

    Naitaji namba yako ya sim. Pls!

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +5

    watoto wengone soda wanaiogopa anaona ni jumla ya dawa maana kazoea akiumwa ndio anapewa soda .

  • @hildapatrick7736
    @hildapatrick7736 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣geya mbavu sinaa naomba namb yako nikutumie Hata ela ya bia mbili dada

  • @ommyskillz1793
    @ommyskillz1793 2 ปีที่แล้ว

    Zai unanivunja mbavu miee😂😂😂😂

  • @fatumayusufu1706
    @fatumayusufu1706 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaan wee dada unajua kunitoa stress hiyo juice ya tembele mdogo wangu kijiji anaupungufu wa damu bas kila siku asubh lazma anywe hiyo juice ya tembele

  • @khadijakdj8640
    @khadijakdj8640 3 ปีที่แล้ว +1

    Chakula cha mboga kidogo Ugali /wali viwe mjazo alafu muwe watu wengi namiye nakipenda kinakuwanga kitam kitoeo mkononi 😋👌🤣😂

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe dada waniuwaaa jamanii

  • @zenasalum699
    @zenasalum699 3 ปีที่แล้ว +1

    😄😄😄😄maisha mapamban

  • @nasrarashid9652
    @nasrarashid9652 3 ปีที่แล้ว

    Et kuku ana begi haaaaa🤣🤣🤣🤣

  • @hawamusumbawanghatognola4470
    @hawamusumbawanghatognola4470 2 ปีที่แล้ว

    Napenda vile una ongea brava 🤣😊

  • @janealinde3513
    @janealinde3513 ปีที่แล้ว

    Yaani nimempenda huyu dadahatar

  • @tildahongkong6086
    @tildahongkong6086 2 ปีที่แล้ว

    Eti vitoto kama vizee 😂😂

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 3 ปีที่แล้ว +5

    Tunaomba huyu dada uwe unatuonyesha mala kwa mala anatutoa stress nakukumbuka Tanzania

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaani zai anaongea ukweli

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaa zai huishiwi visa

  • @vanessaenock1337
    @vanessaenock1337 3 ปีที่แล้ว

    Natamani awe ndugu yangu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @husnatmsangeni739
    @husnatmsangeni739 2 ปีที่แล้ว

    Hahahaha.jaman we zai unaniuma 😂😂😂😂

  • @najimahgomez3334
    @najimahgomez3334 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaaa chezea uswazi

  • @jamilanyakibali5174
    @jamilanyakibali5174 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyo. Dada. Napenda. Vituko. Vyake. Uyo. Mzalam. Nn?

  • @mesajuma4843
    @mesajuma4843 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣nmecheka kweli

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 ปีที่แล้ว +1

    Team kijiwe nongwa tujuane 😂😂😂

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 2 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅😅😘 Zai wee!

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว +4

    Maisha ni ya RAHA ugali mkubwaa🤣🤣🤣🙌

  • @sadasalum8778
    @sadasalum8778 3 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅zai weeee

  • @mulangaliloesperance557
    @mulangaliloesperance557 3 ปีที่แล้ว

    Mama bora jamani

  • @dollnjosy3210
    @dollnjosy3210 2 ปีที่แล้ว

    😂😂❤️

  • @aminayusufu6823
    @aminayusufu6823 3 ปีที่แล้ว

    Jamani niliyaona hayo mtt wa mdada moja nili mbeba nika muweka chini we ali toa kilio mama ake akanambia hapendi mchanga huyo jamani ehe

  • @francinercaliste4474
    @francinercaliste4474 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah nimefurahi lol

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂Zai Mungu ana kuona kwa kweli 😂😂😂ila hayo maisha yako poa sana hapo lazima mtoto akuwe kijeshi kwa kweli maomba nimlete Rashid wangu huko 14 year old bado tuna gombana kula hapendi kula huko kutaemfaa 😂😂

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 3 ปีที่แล้ว

      Siku 2 tu atazoea kula maana ata uwe mvivu kula utakula tu

    • @zainabally2756
      @zainabally2756 3 ปีที่แล้ว

      Zai nitakuletea mwanangu unilelee

  • @estajoan6022
    @estajoan6022 3 ปีที่แล้ว +1

    Zai jamani 😂😂

  • @munamuna7488
    @munamuna7488 3 ปีที่แล้ว

    Swadactar

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 3 ปีที่แล้ว

    Kunywa soda zai naja kulipa hayo ndo maisha tuliokulia na tulikua tunaridhika sio vijana Wa sasa