Hii kali Mkuu wa Shule ayakoroga mbele ya Rc Mwanri,"Utupishe,AFisa Elimu we ndio utakaimu "

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2019
  • #CgOnlineTv #RcMwanri #AsimamishwaKazi
    Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amemsimamisha kazi mkuu wa shule kwa ubadhilifu kwa kile kilicho bainika kukosekana kwa mbao za ujenzi wa mabweni katika shule yake.
    na kumkaimisha Afisa Elimu wa Wilaya ya Sikonge

ความคิดเห็น • 87

  • @jasmin5minja207
    @jasmin5minja207 4 ปีที่แล้ว +12

    Mbao zinaondoka ,mbao zinarudi .kama umeckia hiyo like

  • @romeoromeo4125
    @romeoromeo4125 5 ปีที่แล้ว +17

    Leo naona Mkuu anaongea kama amechoka vile. Ila moto ni ule ule!!!!

  • @kajugaa4537
    @kajugaa4537 4 ปีที่แล้ว +8

    Daaaah kweli wewe ni. Kiongozi bola huonei mtu wala kuhukumu kama wengine unatenda haki kabisa kama kuna sehemu unatereza Mungu akuongoze

  • @saidimazengo9934
    @saidimazengo9934 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu MZEE napenda sana anavyo Fanya kazi Mungu amlinde aampe afya ya kulitumikia taifa..

  • @mohamedmbarouk7482
    @mohamedmbarouk7482 5 ปีที่แล้ว +17

    muheshimiwa raisi Dr john pombe magufuri tunamuomba aje huku dar na sisi tunamtaka huyo jamaa tumampenda sana

    • @tonythadei9608
      @tonythadei9608 4 ปีที่แล้ว

      Muhammad kabisa aje bongo tabora hakumfai

    • @arafataliomar6570
      @arafataliomar6570 4 ปีที่แล้ว

      huyu mzee wetu tunampenda sana natamani hata aje awe raisi.wa.Zanzibar uku

  • @sumaidgasto9151
    @sumaidgasto9151 5 ปีที่แล้ว +26

    Huyu akiwa rais baada ya Magu itakiwa balaa tena maana anaoneka kuwa RC bora zaidi kuliko wote hata kuliko mawaziri

    • @dithimasderck4172
      @dithimasderck4172 5 ปีที่แล้ว

      Sumaid Gasto jamàaa apewe urais maana ni shida

  • @Miro255
    @Miro255 5 ปีที่แล้ว +28

    Kama umeckia "nachota kikundi kizima" gonga like

  • @timezonlinemedia2665
    @timezonlinemedia2665 4 ปีที่แล้ว +4

    Zile mbao zilikwenda wapi?
    Jbu; mheshimiwa zile mbao ziluchukuliwa,,, 😂😂😂😂😂 wanyoosheeeeee, #livelongMWANRI

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว +13

    Physical observation, mkuu unaonekana unaumwa.

    • @joeljulius6389
      @joeljulius6389 5 ปีที่แล้ว

      ussikhamis ussi umeona eee

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว

      i observed that! but still at work...love the dude

  • @babawatoto2378
    @babawatoto2378 4 ปีที่แล้ว +1

    mkuu uko sawa sana kazi nzuri 🇰🇪🇰🇪

  • @suratfrank6282
    @suratfrank6282 5 ปีที่แล้ว +1

    Mh kazi nzuri sana zidisha maombi wanakuroga sana ! Kila wakisikia anakuja Mwanri malaria inapanda inashuka

  • @salmaiddy6059
    @salmaiddy6059 4 ปีที่แล้ว +1

    Angekuwa mkuu wamkoa darlesaalam tungefurahii kweli angewanyooshaa emungu mpehuyuu jamaa maisha marefu

  • @daudabdallah7843
    @daudabdallah7843 4 ปีที่แล้ว +4

    Mh. Magufuli tuletee mkuu huyu Dar es Salaam. Tutafurahi na majimbo yote tutayarudisha nyumbani kulikonoga.

  • @joromimwanga3274
    @joromimwanga3274 4 ปีที่แล้ว +2

    Wananchi wa Tabora huyu Mwanri atawasaidia sana.

  • @bockernyarusahi3655
    @bockernyarusahi3655 5 ปีที่แล้ว +11

    Kinachonifurahisha katika utendaji wa Mh.Mwanri,haingizi siasa kama wengine,ambao wao utendaji wao,umejikita kwenye kiki na kwa wapinzani badala ya kujikita kwenye usimamizi wa maendeleo

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 5 ปีที่แล้ว +7

    😁😁😁Dah. Chota tu kikundi kizima mzee. Wanapasua kichwa hao watu. Maagizo yako dunia nzima tuliyasikia na tumeyafuatilia. Sasa hao wanatutibua tu. Neno Bongo hatari muno bazee.Alaaa,

  • @jacobmakono389
    @jacobmakono389 5 ปีที่แล้ว +10

    Dsm,Tbr na Irng kumekucha!mikoa mingine hatusikiii chochote utafikiri watendaji ni malaika wkt si kweli!!

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 4 ปีที่แล้ว

      Malaika wenyewe wakipita sehemunkesho utasikia story🤣🤣🤣

    • @zomokihulya1486
      @zomokihulya1486 4 ปีที่แล้ว

      Jacob Makono simiyu ni mkoa mpya lakin iko mbele kwa maendeleo

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu very fair. Mungu akubariki

  • @hoseamafuru6957
    @hoseamafuru6957 5 ปีที่แล้ว +3

    nakukubali sana mwananiri salute 🙋🙋

    • @shadidapikinini9230
      @shadidapikinini9230 5 ปีที่แล้ว

      Hao wote nikuchota na kuwapiga bangilia na kufyekelea mbali

  • @ngalutuju3233
    @ngalutuju3233 4 ปีที่แล้ว

    nakuombea kwa mungu uje kuwa kiongozi wa taifa upewe uwaziri wowote wizara yoyote unaweza sana kusimamia lasirimali za nchi.

  • @israelimjema5001
    @israelimjema5001 5 ปีที่แล้ว +6

    Tunaomba awamu ingine agombee urais kweli anafaa

  • @sadockalfred6750
    @sadockalfred6750 5 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana jamaa huyu huwaga hamuonei mtu kiukweli

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 5 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Mkuu ma'Injinia walimfanya nini jamaniiiiii?
    Hahaha Anaejisikia Vibaya Shauri yake

    • @zamdakinyunyu532
      @zamdakinyunyu532 5 ปีที่แล้ว

      Basaga

    • @michaelbigvai1199
      @michaelbigvai1199 4 ปีที่แล้ว +1

      Basaga huyu hata akikupa nyumba yake usimamie au ujenge akya nani your have to be careful

    • @Basagamp4
      @Basagamp4 4 ปีที่แล้ว

      @@michaelbigvai1199 Hataari Fayaaaa

    • @arafataliomar6570
      @arafataliomar6570 4 ปีที่แล้ว

      mainjinia wanjifanya wao wanjua zaidi huku wanatuibia

  • @hillarytowo3948
    @hillarytowo3948 5 ปีที่แล้ว +9

    nachotaa kikundii kizimaa

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 4 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubaliki sana

  • @harunaabdallah309
    @harunaabdallah309 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kama itafanyika hivyo kwao pia

  • @bockernyarusahi3655
    @bockernyarusahi3655 4 ปีที่แล้ว +4

    Ili wakati ntakapokuja kufumua kikundi chote hicho,nachota chote kizima.

  • @williammwambokwa3994
    @williammwambokwa3994 5 ปีที่แล้ว +1

    safi mkuu

  • @faustinkomba3936
    @faustinkomba3936 4 ปีที่แล้ว

    Yuko vizuri

  • @jelemiahkayanda6476
    @jelemiahkayanda6476 4 ปีที่แล้ว

    mkuu wa shure , hafai anaweka ujanja tumbua mzee wetu.

  • @orestasadani6996
    @orestasadani6996 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bure mh

  • @aiyaavibes7610
    @aiyaavibes7610 5 ปีที่แล้ว +1

    namkubali sana ....huyu jamaa

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka sana, huyu jamaa anafaa urais.

    • @shebaminde7656
      @shebaminde7656 4 ปีที่แล้ว +1

      Mkuu upo vzur walete hzo mbao wasikutanie

  • @geofreykiller6792
    @geofreykiller6792 5 ปีที่แล้ว +7

    Clip zenu ni low quality kuwen kama millard ayo

  • @ramambongo4069
    @ramambongo4069 5 ปีที่แล้ว +4

    Anafaa kuwa rc dzm

  • @kingkongmadiba3174
    @kingkongmadiba3174 4 ปีที่แล้ว

    🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @jufeyrijufeyri9076
    @jufeyrijufeyri9076 5 ปีที่แล้ว +3

    nachota wote, Sawa baba

  • @yusuphpaulwaryoba8316
    @yusuphpaulwaryoba8316 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha noma sana

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 ปีที่แล้ว +3

    unastaili kuwa waziri wa mambo ya usalama tz kuna mauwaji mengi na vibaka idadi yao kubwa

  • @somanet_tech
    @somanet_tech 4 ปีที่แล้ว

    Take charge

  • @princechris195
    @princechris195 4 ปีที่แล้ว +4

    😆😆😆 nachota kikundi chote

  • @peterjacob2638
    @peterjacob2638 5 ปีที่แล้ว +2

    zimeondoka hazipo😎😎😎

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 4 ปีที่แล้ว

    Hmm Dada kakaushia hajui asemeje

  • @johnsengerema4258
    @johnsengerema4258 4 ปีที่แล้ว

    Yuko sawa kabisa ila hajatoa macho

  • @denismrutu9655
    @denismrutu9655 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuna mzee katoka anacheka sana

  • @princechris195
    @princechris195 4 ปีที่แล้ว +2

    D.O unakaimu hapa 😂😂

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 4 ปีที่แล้ว

    Wanachi wenzang hubu nijuzen ukiondoa Dar,Iringa, Tabora
    ..hii mikoa mingine hakuna wakuu wa mikoa ama .....kama vip fyekelea mbal hawan faida yeyote pumbav.....hapa kaz tu ...

  • @farajasanga1968
    @farajasanga1968 4 ปีที่แล้ว

    Kazi ipo

  • @mathewmlay3738
    @mathewmlay3738 4 ปีที่แล้ว

    Nachota wote🤣🤣 probe in🤣🤣 umeskia mkuu wa wilayaa... 🤣🤣 Sikonge sikongee

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 5 ปีที่แล้ว +4

    Punguza speed mzee utajiletea tatzo naona ulivyo choka leo hali si hali

  • @mwanaisha522
    @mwanaisha522 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahaaaa sukuma ndan wote wanakula Mali za serikali

  • @estherjohn953
    @estherjohn953 4 ปีที่แล้ว

    Sukuma ndani

  • @afrahrajab5747
    @afrahrajab5747 3 ปีที่แล้ว

    Utakumbukwa tabora mwanri

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 5 ปีที่แล้ว +2

    Aaaaaaaaaaaaaaaa mm napita

  • @kimmauston1059
    @kimmauston1059 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mkuu wa mkoa kiboko

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nachota wote😂

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 4 ปีที่แล้ว

    Huyu Mzee ana balaa

  • @paschalrobert7602
    @paschalrobert7602 3 ปีที่แล้ว

    Ukijisikia vibaya shaul yak

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 4 ปีที่แล้ว

    Nitakapokuja kufuumua. 😁😁

  • @paschalrobert7602
    @paschalrobert7602 4 ปีที่แล้ว

    Kufumua kikund chote

  • @michaelalexander8532
    @michaelalexander8532 4 ปีที่แล้ว

    Mafua yame mzingua kidogo ndomaana ka poa

  • @castokasekenya467
    @castokasekenya467 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtanyooka tu

    • @peressdeonatus1596
      @peressdeonatus1596 5 ปีที่แล้ว

      Mmmmmmhhhh nishidaaaaa mwanri punguza ukali mtu anaweza kuwa sahihi Ila anashindwa kujieleza maana anakuwa hajiamini

    • @otienookeyo1423
      @otienookeyo1423 5 ปีที่แล้ว

      Kumbe mbao 180 unaweza kuziweka mfukoni kama pesa na hatimae ukaziingiza kimya kimya,

    • @danielzengo5029
      @danielzengo5029 4 ปีที่แล้ว

      Hiii ndiyo utendaji unatakiwa xaxa cyo kuigiza igiza tu hongera mkuu wangu mkoa rais ujakosea kabisa very good

  • @lawrencegwerino1656
    @lawrencegwerino1656 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa babukubwa