Culture Musical Club - Jipeleleze (Official Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Culture Musical Club - Jipeleleze (New Taarab Music 2018)
    The Best Of African Music: Kikuyu Music: Kikuyu Gospel Music: Kenyan New Music 2016: Kamba Music: kalenjin Music: Luyha Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

ความคิดเห็น • 12

  • @abunsuya3854
    @abunsuya3854 5 ปีที่แล้ว +3

    taarab zazamani ukizisikiliza ukiwa namamboyakokichwani zinakufariji

  • @ashuraramadhani3556
    @ashuraramadhani3556 ปีที่แล้ว

    Yaani taarab za zamani raha sanaa

  • @athumanimgumia7209
    @athumanimgumia7209 2 ปีที่แล้ว +2

    oooooooooooooh, Murua kabisa, Alhamdulilah, karibu miaka 45 imepita wakati huo nikiwa mdogo, nilikua naweka santuri hiyo katika player, nilikua sijui kusoma, lkini niliikariri hiyo santuri kwa rangi zake, nashukuru sana alieuweka katika mtandao nilisoneneka miaka mingi kuwa, pengine sintousikia tena duniani, mungu wajaalie waimbaji nk na alieuweka mtandaoni.
    nyimbo hizi zinafaa kuwekwa katika somo la kiswahili ili wanafunzi wazikariri na kuzijibia maswali ya kidato cha pili na cha nne hata kimasomaso original ni darasa tosha kwa mwanamke anaeolewa.
    huu ni utamaduni wetu tusiingie katika utamaduni wa kisasa unaotupeleka magharibi zaidi, tuweke katika kumbukumbu na kutumia kuvirithisha vizazi vyetu badala ya kuwa ndoa starehe inaendea sasa kuonekana ndoa karaha, tena karaha kubwa kwa kuwa maadili sasa hakuna kabisa.

  • @najmaali6201
    @najmaali6201 5 ปีที่แล้ว +1

    mambo ya pwani hayo

  • @chozilasamakikachumbari6705
    @chozilasamakikachumbari6705 ปีที่แล้ว +1

    Wala siohoja wengi kuwa nao.😭😭😭 Mbona mimi nimeanza kulia kama mjinga! Huu wimbo umenikumbusha kovu nilyo nayo

  • @AbuMsuya
    @AbuMsuya 4 หลายเดือนก่อน

    Amakweli sichokagi kuusikiliza kwani tungozake zimepangilika vema
    Usipeleleze usiulize fanyauchunguzi mbaya umjue wewe mwenyewe
    Daaah rahasana

  • @salimalharthy2287
    @salimalharthy2287 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndio mimbo ya kupumzisha roho jamani nime kumbuka kwetu kigoma

  • @OmanSohar-d7z
    @OmanSohar-d7z 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂maneno kuntuu

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 5 ปีที่แล้ว +1

    Mambo mazito hayo wimbo hauchuji aslani

  • @ashurapandu4116
    @ashurapandu4116 3 ปีที่แล้ว +1

    2021

  • @עדייונה-ד7ש
    @עדייונה-ד7ש 3 ปีที่แล้ว

    Niomba mtu anajua menno wa huu wibu aandiksha

  • @mehdib3607
    @mehdib3607 2 ปีที่แล้ว

    Anyone to write us the lyrics please?