DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2014
  • DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble captures the great energy of western Indian Ocean cultural expression and has a program of great variety, easily appreciated by any audience interested in hearing instrumental and vocal colors, tonalities and techniques of the fusion of Arab and African musics. The high quality of the performers of the Zanzibar Taarab Ensemble makes this ensemble distinctive in projecting an excellence of Arab/African musical fusion.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 61

  • @arzunurr
    @arzunurr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Samir Ally Salim ne kadar guzel soyledin defalarca dinledim selamlar sevgiler Turkiye''den ❤❤❤

  • @jonkatzenfreund6388
    @jonkatzenfreund6388 หลายเดือนก่อน +1

    Brilliant music😻😻😻😻😻😻😻🎶🎶🎶💖💖💖💖

  • @user-nk6pr6yl8w
    @user-nk6pr6yl8w ปีที่แล้ว +3

    wow so interesting, i think am really in love with this tallent

  • @SwahiliSpicE
    @SwahiliSpicE 2 ปีที่แล้ว +2

    Sauti zao nzuri kweli, mashallah. Naombe kupata jina la nyimbo ya pili.

  • @omaraminia1227
    @omaraminia1227 5 ปีที่แล้ว +2

    Uvuvi si hadi pweza na samaki pia nami Uvuvi ninaujulia

  • @amriyyahamad3946
    @amriyyahamad3946 ปีที่แล้ว +2

    Ohhh good Safi sana IPO siku nyingi Lkn Mimi Noma Leo huyu Km Sammie my class mate

  • @juanestadian8471
    @juanestadian8471 2 ปีที่แล้ว +3

    I LOVE TAARAB

  • @sajsan4763
    @sajsan4763 ปีที่แล้ว +1

    nzuri sana..... sauti ya zanzibar anakuja ka canada...... taarab ni adati nyangu.... asante sana....

  • @blackwhite3628
    @blackwhite3628 6 ปีที่แล้ว +4

    Taarab ni kama hii!
    *5-15!* ♥

  • @allmeandnotabitofyou
    @allmeandnotabitofyou 8 ปีที่แล้ว +4

    OMG soooo amazing such talent mashallah, especially the woman, she's so blessed

  • @omaraminia1227
    @omaraminia1227 5 ปีที่แล้ว +2

    Lulu kwa kuivamia utaadhirika

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 ปีที่แล้ว +1

    I love Zanzibar, Long life Zanzibar

  • @jsirajnajemba8014
    @jsirajnajemba8014 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda Taarab Asilia,,

  • @fiddlediva1
    @fiddlediva1 6 ปีที่แล้ว +2

    I heard the group last Thursday in Zanzibar; I decided to come to the music festival and look forward to hearing more of this beautiful music.

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 21 วันที่ผ่านมา

    Shivooooooooo

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah mashallah mashallah dada unasaut jamila .zamani zamani zamani ulinambiya.🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MsObsidianReloaded
    @MsObsidianReloaded 6 ปีที่แล้ว +3

    The singer is a cutie!! I will have him any day! ;) LMAO

  • @ahmedmaulid1424
    @ahmedmaulid1424 7 ปีที่แล้ว +1

    nzur sana hakika asili.haipotei

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 2 ปีที่แล้ว

    Ohh my beautiful zanzibar. Home 🏡 sweet 🏡

  • @saidmajeba9791
    @saidmajeba9791 หลายเดือนก่อน

    Maashallah

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah lulu nitaipataje mkondoni kwenye kiza

    • @ZanzibarmusicOrg
      @ZanzibarmusicOrg  5 หลายเดือนก่อน +1

      Angalia page yetu vizur kuna vipaj teleee

  • @sayajisalokhe6829
    @sayajisalokhe6829 10 หลายเดือนก่อน +2

    What's the name of this singer ?
    Could someone write the lyrics ?

  • @omaraminia1227
    @omaraminia1227 5 ปีที่แล้ว

    Uvuvi wa chaza mzuri

  • @hamadnassor-um2wy
    @hamadnassor-um2wy 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba wimbo wa mbeleko

  • @maanroovmaanrethca5113
    @maanroovmaanrethca5113 4 ปีที่แล้ว

    Timeless.

  • @AliIsmaeltyphoon
    @AliIsmaeltyphoon 8 ปีที่แล้ว

    Got it ! Alhamdolillah !

  • @nadirzenjibar1233
    @nadirzenjibar1233 7 ปีที่แล้ว

    oooooh zanzibar

  • @ahmedzoro7493
    @ahmedzoro7493 7 ปีที่แล้ว +6

    im omani and idont speack swahili but my late mother is swahili..and this song remind me of her ..i was searching for the song without knowing the name of the song but i remember the face of the singer...without telling me what are the lyrics about i feel like its an origenal love song..im talking about the first song..can any one tell me the name of the song

    • @wenge4x423
      @wenge4x423 5 ปีที่แล้ว +3

      1.Muendao kwa nahodha, nawaagizia,
      Dau asijelikweza, nitalitumia.
      Mie uvuvi wa chanza, umenivutia.
      Kutarazaki naaza, kwani si vibaya.
      Uvuvi si hadi pweza, na samaki pia.
      Na mie lulu naweza, nikajipatia.
      2.Lulu imo mkondoni, naiyangalia.
      Kuipata natamani, naifurahia.
      Mie nimeivaa mawani, lulu kuzamia.
      Na viatu miguuni, vya kuogelea.
      Na hapiga mbizi ya chini, kuifuatia, Lulu imo mafichoni, sikuifikia.
      3.Sasa nachemsha bongo, la ubaharia.
      Yatabaki masimango, nikiikosea.
      Mie nimeigeuza shingo, naichungulia.
      Lulu indani ya pango, na imetulia.
      Na nimeupinda mgongo, naifuatia.
      Lulu yataka mipango, kwenda kuivua.
      4.Lulu sikuifikia, bora kuivuka.
      Pumzi zimenishia, mie nimechoka.
      Sasa technologia, nimeikumbuka.
      Nipate chupa ya hewa, ndio nitafika.
      Na yawepo majaaliwa, nakunahatika.
      Lulu kwa kuivamia, utaadhirika.
      KIITIKIO:
      LULU IYO, LULU IYO, LULU INDANI YA CHAZA NITAIPATAJE, MKONDONI KWENYE MIBA MIE NIFANYEJE?

    • @asmanphuloe6363
      @asmanphuloe6363 3 ปีที่แล้ว

      @Ahmedzorro
      It's about diving searching for pearls.
      With the risks of sea and it's success when you find it

    • @AliIsmaeltyphoon
      @AliIsmaeltyphoon 2 ปีที่แล้ว

      @@wenge4x423 Many thanks for the lyrics.

    • @arzunurr
      @arzunurr หลายเดือนก่อน

      @@wenge4x423 ❤❤❤

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 8 หลายเดือนก่อน

    Maa sha Allah

  • @ashatiti2422
    @ashatiti2422 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @creativesomalia7784
    @creativesomalia7784 2 ปีที่แล้ว +1

    Is this Samir ?
    I have seen him on Al Jazera Channel

  • @CAESAR_PUTIN_LOVERS
    @CAESAR_PUTIN_LOVERS 4 หลายเดือนก่อน

    الله الله ياسلاااام❤

    • @ZanzibarmusicOrg
      @ZanzibarmusicOrg  2 หลายเดือนก่อน +1

      Shukran habiby❤️🫶🏾

    • @CAESAR_PUTIN_LOVERS
      @CAESAR_PUTIN_LOVERS 2 หลายเดือนก่อน

      @@ZanzibarmusicOrg شكراً لك ياصديقي.
      هل تستطيع فهم هذه اللغة.. بواسطة الترجمة جوجل؟
      عندي بعض الاسئلة بخصوص بالغناء والموسيقى والإيقاع.. هل أستطيع أن أسألك وتعطينا إجابات صحيحة؟
      لو أنت موافق أخبرني أي لغه تحب أن أسألك بواسطتها، (العربية، الإنجليزية، أو السواحيلية)؟
      -------
      thank you my friend. Can you understand this language... using Google Translate? I have some questions about singing, music, and rhythm. Can I ask you and give us correct answers? If you agree, tell me which language you would like me to ask you in (Arabic, English, or Swahili)?
      --------
      asante rafiki yangu. Je, unaweza kuelewa lugha hii... kwa kutumia Google Tafsiri? Nina maswali kuhusu uimbaji, muziki, na mdundo Je, ninaweza kukuuliza na kutupa majibu sahihi? Ikiwa unakubali, niambie ni lugha gani ungependa nikuulize kwa (Kiarabu, Kiingereza, au Kiswahili)?
      Sanad.Yemen.

    • @arzunurr
      @arzunurr หลายเดือนก่อน

      @@ZanzibarmusicOrg Lutfen cok rica ediyorum ilk bastaki sarkiyi soyleyen kim ismi nedir ? kahve rengi kiyafetli beyefendi adini bana yazarmisiniz ?

  • @AliIsmaeltyphoon
    @AliIsmaeltyphoon 8 ปีที่แล้ว

    I am looking for the video where the man in brown sings a very beautiful song. Please help and thank you

  • @swahilivilla
    @swahilivilla 8 ปีที่แล้ว

    Imetulia sana

  • @omaraminia1227
    @omaraminia1227 5 ปีที่แล้ว

    Lulu indani ya chaza nitaipataje mkondoni kwenye mwenza nitaifanyaje

  • @Pollanese16
    @Pollanese16 8 หลายเดือนก่อน +1

    Name of the first song?

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mpiga kigoma unamdadi kaka

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 5 ปีที่แล้ว

    Kila mmoja sauti yake almasi

  • @aliakas1402
    @aliakas1402 2 ปีที่แล้ว

    كأنه مقام حجاز كار كرد

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wekeni na bosoo😂😂😂

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 2 หลายเดือนก่อน

    Kikundi hiki ni matepeli wa nyimbo kwani nyimbo zao ni za kuiga wasanii wa zamani.

    • @chuggaboy9877
      @chuggaboy9877 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio wanazienzi ili ziendelee kuwepo!

    • @ZanzibarmusicOrg
      @ZanzibarmusicOrg  หลายเดือนก่อน +1

      Sawa tupe zako mpyaaa

    • @ZanzibarmusicOrg
      @ZanzibarmusicOrg  หลายเดือนก่อน

      Old is gold

    • @abdallahakida7908
      @abdallahakida7908 หลายเดือนก่อน

      Sasa utapeli wao ni nini

    • @khatibsalim7298
      @khatibsalim7298 หลายเดือนก่อน

      Lazma zienziwe ziendelee kuwepo

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 7 ปีที่แล้ว

    Mashallah