1. Mtoto 001 - Jay Rasta (Yamoto Modern Taradance) official Audio

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 220

  • @VjRizzah
    @VjRizzah 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe imeweza❤

  • @rosenyoroka1516
    @rosenyoroka1516 8 หลายเดือนก่อน +5

    Yamoto kweli. Muziki Moto Moto huku kilifi twaskiza. Hongera yamoto

  • @SaiydsheiAhmed
    @SaiydsheiAhmed 5 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu bwana Ako juu naipenda sana nyimbo zake

  • @AishaMuhammad-l2v
    @AishaMuhammad-l2v 6 หลายเดือนก่อน +33

    Ile siku mtu aki like hii comment nitakuwa naisikiliza❤

  • @kingmuhashjr5676
    @kingmuhashjr5676 10 หลายเดือนก่อน +5

    Moja kali 2024🎉🎉

  • @rahmahrr4471
    @rahmahrr4471 ปีที่แล้ว +4

    Jamn adi Raha yamoto salty kwenu oo1❤❤❤❤❤

  • @halimamlala
    @halimamlala 3 หลายเดือนก่อน +2

    Unyama mwingi sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @albertotima4797
    @albertotima4797 ปีที่แล้ว +2

    Uko juuuuuu saaaaaaanaaaaaaa kaka

  • @MwanasitiMbuja-tq2dl
    @MwanasitiMbuja-tq2dl 8 หลายเดือนก่อน +13

    Mwanache mwenye akedza💃💃💃👉👉👉ndani ya Saudia🇸🇦🇰🇪

  • @hamadifosi1179
    @hamadifosi1179 2 ปีที่แล้ว +6

    kizazi sana yamoto mordern taradance big up sana kazi mzry

  • @somas1170
    @somas1170 2 ปีที่แล้ว +3

    Jey mungu akuzidishie kipaji chako

  • @shidamsololo2582
    @shidamsololo2582 3 ปีที่แล้ว +8

    Raha hadi qatar ....yamoto juuuuuu sanaaaaaaa

  • @yasminabubakar1055
    @yasminabubakar1055 2 ปีที่แล้ว +7

    Halow yamoto 001+002 on fire 🔥🔥🔥🔥 nawapeya salamu kutoka 047👮‍♂️👮‍♂️salute

  • @hfnfnkrjtm3677
    @hfnfnkrjtm3677 3 ปีที่แล้ว +5

    Yaani Jay kusema kweli sikuiiti tena Jay nakuita bby cz ivyo unavyo nipunga aki nimechizika nipe namba bc twende chemba💯💯💯yamoto animoto kweli

  • @فاطمهه-ح9ز
    @فاطمهه-ح9ز ปีที่แล้ว +3

    Ynyew iko saw ii ngom c mchzo

  • @remymatendo1876
    @remymatendo1876 3 ปีที่แล้ว +8

    Mpaka Congo-Kinshasa twaipenda

  • @NuruHamadi
    @NuruHamadi 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nyimbo nzuri naipenda inaondoa stress

  • @sulemwangemi6013
    @sulemwangemi6013 2 ปีที่แล้ว +5

    Waziii hii song kiboko

  • @SumayaSumaya-ei1pv
    @SumayaSumaya-ei1pv 6 หลายเดือนก่อน +3

    ❤twende nalo

  • @zuhuramwawimo5697
    @zuhuramwawimo5697 3 ปีที่แล้ว +6

    Rahaaaaaaaaa kama zote yamoto juu👌👌👌👌❤️❤️❤️💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @AminaBurhan-y8d
    @AminaBurhan-y8d 11 หลายเดือนก่อน +4

    U made me love ❣️❣️ again ❤️❤️ ooh

  • @answarmusaanswarmusa5797
    @answarmusaanswarmusa5797 3 ปีที่แล้ว +11

    Tuna kulaa raha mpaka dubaii hizi kibokoo👏👏🇦🇪🇦🇪🕺🕺

  • @mwakaathumani4793
    @mwakaathumani4793 2 ปีที่แล้ว +6

    Tuko pmj wapendwa hata kama tuko nnje ya nnchi yetu❤️❤️

  • @checheblessum8343
    @checheblessum8343 2 ปีที่แล้ว +17

    Hii ngoma iko tu na vibe yake... Niliskizia kwa wedding flani ikabidi niitafute Baada kunisumbua kichwa like 3months ago... 001 gospel artist hapa

    • @JamalAbdallahJayFm
      @JamalAbdallahJayFm ปีที่แล้ว +2

      Ngoma imeweza… ndio niloingia nayo kwenye harusi yangu hii weekend!

    • @Salma-t4o
      @Salma-t4o ปีที่แล้ว

      Ngoma noma sana

    • @abdulbazenga9100
      @abdulbazenga9100 ปีที่แล้ว +1

      Yenyewe ni kali kivyake

    • @mtt_maridhia2073
      @mtt_maridhia2073 5 หลายเดือนก่อน +1

      No tena

  • @saidahassan3126
    @saidahassan3126 2 ปีที่แล้ว +5

    001 naskiza nikiwa Australia 🥰fire

  • @HMiddo
    @HMiddo 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi pia najitaj oo4 tana delta hooooooooooe

  • @shidamsololo2582
    @shidamsololo2582 3 ปีที่แล้ว +4

    Hapo saw mze baba.....nyimbo imenyoka yamoto juuuuu sana

    • @fatumaabdalla2646
      @fatumaabdalla2646 3 ปีที่แล้ว +2

      Mashallah nitapata no kweĺi mana iyo song imenimaliza ndan ya 966

  • @afandehassan1
    @afandehassan1 2 ปีที่แล้ว +5

    Salaam Kwa Mwalimu Omar Mwanyoha Bofulo Hapo Tiwi

  • @mariamzondo3564
    @mariamzondo3564 3 ปีที่แล้ว +4

    Hapooo imewezaa wanyama watatu kuwachiwa mbuga 😀😀😀weweeeee

    • @Kitaarecords
      @Kitaarecords  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante usisahau kulike, subscribe, and share...

  • @koimo7345
    @koimo7345 3 ปีที่แล้ว +7

    Hapo j wanikumbusha nyumbani

  • @mwakatabwara2071
    @mwakatabwara2071 3 ปีที่แล้ว +7

    Waziiiii hadi rahaaa💃💃💃💃💃💃

  • @AminaAthman-v2v
    @AminaAthman-v2v 3 หลายเดือนก่อน +2

    quite fine my fellow friends ❤❤

  • @alfredkatana2422
    @alfredkatana2422 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi sanaaa👍

  • @wardaheluwa734
    @wardaheluwa734 3 ปีที่แล้ว +5

    Haaapoooo mambo ni moto piga kelele kwa Jay Rasta

  • @fatimahammed6335
    @fatimahammed6335 3 ปีที่แล้ว +13

    Me atakama na stress nikisikiza hii nyimbo tu zinaisha zote 💃🕺💃🕺💃🕺💃🕺💃😍😘❣️❤️💕💞💋

  • @clestngyua4781
    @clestngyua4781 2 ปีที่แล้ว +9

    Salaale!Mashallah!sauti kisawasawa county 001 mpo mumu tuskize maneno yamepangwa na sauti daaa

  • @aminamusa1706
    @aminamusa1706 3 ปีที่แล้ว +4

    Nakubal yan hi nyimbo yafariji sana nice song

    • @virginiarashid1172
      @virginiarashid1172 2 ปีที่แล้ว +1

      ikosawa ukiachana dem mangaa mwekee iyo song atajua umepata mtoto bomba itamuuma inatosha

  • @KadzomgangaMvurya
    @KadzomgangaMvurya 17 วันที่ผ่านมา +1

    Nimemupenda sana huyu mukaka nitamutafuta

  • @moonbarh1790
    @moonbarh1790 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallh mlam nimeipenda safi sana

  • @ruiamleo6866
    @ruiamleo6866 3 ปีที่แล้ว +4

    Yani rahaaa tu na pambeeee mwatukosha wallahi 😍😍😍😍

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 ปีที่แล้ว +6

    Jmn mwanang jey uthaniuw wallah mpk sifanyi kz za warab...yn maaakin..nmss kayaaa....oooooyooooooo

    • @awaahassan936
      @awaahassan936 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭tuko wengi

    • @AaAa-tf7sl
      @AaAa-tf7sl 3 ปีที่แล้ว

      Tuko wengi 🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃

    • @Tiwiniankid
      @Tiwiniankid 3 ปีที่แล้ว

      Na utamiss snaaaaaaa bx🤣🤣🤣🤣🤣🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️

    • @binthkhamisi1097
      @binthkhamisi1097 3 ปีที่แล้ว

      @@Tiwiniankid wee acha t but sio uthan miss kaya ile mbya ilaa wacha 2jikaz juu uchumi nao one day t

    • @Tiwiniankid
      @Tiwiniankid 3 ปีที่แล้ว

      @@binthkhamisi1097 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saudajuma6063
    @saudajuma6063 3 ปีที่แล้ว +5

    Ipo vizuri sana,,,full shangwe

  • @youngbella313
    @youngbella313 3 ปีที่แล้ว +5

    Yamoto mambo mbaya nakukubali jembe langu jay rasta

  • @suleimanhassan3962
    @suleimanhassan3962 3 ปีที่แล้ว +5

    Ngoma safi sana jibaba hongera kipaji unacho

  • @ashuuyusuf3978
    @ashuuyusuf3978 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunazidi kuwakeraaaaaaa

  • @latifamohamed3332
    @latifamohamed3332 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah sauti imejaliwa

  • @eqbalarrith4059
    @eqbalarrith4059 3 ปีที่แล้ว +7

    #JayRasta uko juu jibaba.....mziki umetulia

  • @binthamisimwachinangu7389
    @binthamisimwachinangu7389 3 ปีที่แล้ว +5

    Full kujiachia Mombasa raha😘

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 3 ปีที่แล้ว +7

    Wow kichupa kitaamu hiki one love 💕 mtoto wa bararabu nawatch nikiwa Saud Arabia big up bro J.

  • @jenessalanit3960
    @jenessalanit3960 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapoooo jomoni tuko mbali ila unatubambaaaaaaaaa mbayaaaa.

  • @sfiaalanazi5479
    @sfiaalanazi5479 3 ปีที่แล้ว +5

    Hiyo sauti yako jamani woooi mashaallah💃💃💃💃💃😘

  • @edwincheserem9746
    @edwincheserem9746 หลายเดือนก่อน +1

    Kinanda🕺🕺

  • @aminamusa1706
    @aminamusa1706 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakubal yan uko juu kaka nice song

  • @fatmamdigo1848
    @fatmamdigo1848 3 ปีที่แล้ว +12

    Hadi raha ndani ya iraq natowa mawazo kwelikweli.

    • @saumuabdallah6030
      @saumuabdallah6030 3 ปีที่แล้ว

      hahaha ndosiku zenda ivyoo

    • @hamidajames1062
      @hamidajames1062 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣😂😂😂 yani pia usaau kama kuna kz ya mwarabu

    • @hamidajames1062
      @hamidajames1062 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣😂😂😂 yani pia usaau kama kuna kz ya mwarabu

    • @aliswaleh6798
      @aliswaleh6798 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahhhhhhh,Jay nakupenda mpaka basi ndani,Qatar weweeeee

  • @fatimejumazanijumazani8064
    @fatimejumazanijumazani8064 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii nyimbo ni kiboko yangu well done yamoto

  • @zawadichikophe9173
    @zawadichikophe9173 3 ปีที่แล้ว +3

    Penda sana song Nikiwa Qatar

    • @Kitaarecords
      @Kitaarecords  3 ปีที่แล้ว

      Burudika... usisahau to subscribe,like and share

  • @HassanRashid-fw1os
    @HassanRashid-fw1os 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo nzuru san tuna fika na yo sehenu yoyote gonga like bana

  • @KavudhaMutua
    @KavudhaMutua 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma kali salamu zangu nampa kijana Hussein Mwangangi aka TariQ kutoka maeneo ya mtongwe

  • @zainabumazi6279
    @zainabumazi6279 2 ปีที่แล้ว +2

    Jay sitokuacha nimesikia kilio chako

  • @sosoalsos9912
    @sosoalsos9912 3 ปีที่แล้ว +2

    Waziii uko juu baba

  • @alexmwalim9714
    @alexmwalim9714 2 ปีที่แล้ว +2

    Yamoto naikobali kwa Sabab yako Jay

  • @kibibiramadhan7402
    @kibibiramadhan7402 ปีที่แล้ว +1

    Listening from Saudi Arabia

  • @nashahussein4837
    @nashahussein4837 3 ปีที่แล้ว +3

    Weweeeeeeeeee....Kama kumanya uza ayao🔥🔥🔥

  • @mansoorpolpakkara1477
    @mansoorpolpakkara1477 3 ปีที่แล้ว +4

    👌😍Apo rahaa... Mpaka basi

  • @omarimohamedi3559
    @omarimohamedi3559 3 ปีที่แล้ว +7

    Fuli mpka basi 🇧🇭🇧🇭🍻

  • @Neemasalimu-z6f
    @Neemasalimu-z6f 2 หลายเดือนก่อน

    InshaAllah jay nitakuota kwa rahusi yangu inshaAllah

  • @safinajuma7310
    @safinajuma7310 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto mzur zay

  • @bintykigan9285
    @bintykigan9285 2 ปีที่แล้ว +2

    Hadi raha home sweet home nyumbani kutukuzwe❤️💥💥💥

  • @moanshabahrain8621
    @moanshabahrain8621 3 ปีที่แล้ว +7

    Hapo sasa tuko pamoja ndani ya mduara . Safiii sana nyege nyengeze🤣🤣🤣🤣

    • @AaAa-tf7sl
      @AaAa-tf7sl 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @mwanajumanassornajman2537
    @mwanajumanassornajman2537 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah masha Allah..wimbo mzuri sana hadi watia wazimu akiamungu tena uko juu kaka masha Allah

  • @chuumubaby7845
    @chuumubaby7845 3 ปีที่แล้ว +3

    Maashallah imeweza Hatariii

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren kwa kazi nzur ndugu zangu😍😍🇪🇭

  • @mal5566
    @mal5566 3 ปีที่แล้ว +6

    Pamoja mpaka saudia

    • @Kitaarecords
      @Kitaarecords  3 ปีที่แล้ว

      Burudika... usisahau to subscribe,like and share

  • @firdauskombo2650
    @firdauskombo2650 2 ปีที่แล้ว +1

    Imewezaa

  • @saudarashid3895
    @saudarashid3895 3 ปีที่แล้ว +4

    Namiss home mwenzenu 💃💃💃

  • @Luvuno-y3d
    @Luvuno-y3d 8 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa Hio ❤

  • @hamisiomar601
    @hamisiomar601 2 หลายเดือนก่อน

    Jey rasta nimekubali unawezaaa😂😂

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 ปีที่แล้ว +4

    Wap tyumu jabir

  • @khatijakhatija9518
    @khatijakhatija9518 3 ปีที่แล้ว +4

    💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃 stress kwao ndani ya Qatar 🇶🇦

  • @najmakipanje7643
    @najmakipanje7643 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapo chacha

  • @faduzanny6281
    @faduzanny6281 3 ปีที่แล้ว +3

    Ma shaa Allah kaka upo juu

    • @saidgasi9873
      @saidgasi9873 2 ปีที่แล้ว +1

      Weeee hapo n mwisho umenimalza kabsa

  • @monamwinyi1135
    @monamwinyi1135 3 ปีที่แล้ว +5

    Assalamu aliykum umko juu yamto

  • @xyztotolakenyaabcfromkenya8317
    @xyztotolakenyaabcfromkenya8317 3 ปีที่แล้ว +7

    Maasha Allah,, Naitenda Sana Hii Nyimbooo❤️❤️❤️

  • @AnzaziLaureen
    @AnzaziLaureen 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zoea hyo saauti❤❤

  • @hawwahawwa8533
    @hawwahawwa8533 3 ปีที่แล้ว +3

    Wangu ni 002 kwale county🤣🤣🤣😘

    • @Kitaarecords
      @Kitaarecords  3 ปีที่แล้ว

      Burudika... usisahau to subscribe,like and share

  • @ashuuyusuf3978
    @ashuuyusuf3978 3 ปีที่แล้ว +3

    Order iyo mwanangu jay...august pendua meza taratibu

  • @alheeramobile3793
    @alheeramobile3793 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤ mungu awabaliki

  • @AminaAhmed-qy1fw
    @AminaAhmed-qy1fw 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah kareem...nothing felz it da almighty #100%

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 ปีที่แล้ว +2

    Mi naipataje hi nyimbo kila nacho fanya sifaulu

  • @fl.254
    @fl.254 2 ปีที่แล้ว +3

    Good music ,,,more promotions...🇰🇪💪

  • @biashanazallah3668
    @biashanazallah3668 3 ปีที่แล้ว +1

    Hadi raha mwanangu

    • @Kitaarecords
      @Kitaarecords  3 ปีที่แล้ว

      Burudika... usisahau to subscribe,like and share

  • @bintiomarhassan589
    @bintiomarhassan589 2 ปีที่แล้ว +6

    I like the song much and the band at all I want to be chorus singer in this band

  • @ashuumuhammad4860
    @ashuumuhammad4860 3 ปีที่แล้ว +1

    Wacha weeeeee ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @monakenia4843
    @monakenia4843 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupa ogera Kwa nymbo zako jiy uko juu

  • @saidbwanaalimwanaharakati7508
    @saidbwanaalimwanaharakati7508 3 ปีที่แล้ว +3

    Keep rocking Jay Rasta...

  • @مونيشاكاتشؤ
    @مونيشاكاتشؤ 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo. 💞💞 raha tahaaa

  • @mwanakombojuma7486
    @mwanakombojuma7486 3 ปีที่แล้ว +7

    Pia mimi moyo wangu hauwezi kua mbali na yeye 😁😁

  • @rashidkhamisjuma9466
    @rashidkhamisjuma9466 2 ปีที่แล้ว +9

    001 ....to 003, more fireworks 🔥🔥🔥. Big up. Listening from Dubai.

  • @latifamohamed3332
    @latifamohamed3332 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna ile ingine yaitwaje mm naona tu mtoto suu by jaj rasta nikijaribu huku ypi tube sipati

  • @HadijaAli-i6c
    @HadijaAli-i6c 7 หลายเดือนก่อน

    Mwanache akedza 😂😂❤❤❤