Unajuwa kunavitu vinachekesha na wala atuwezi kuamn, Yan mtu anaghofofa lenye hadhi ya 5 star eti kawaibia Simu hapana hizo n sinema, wakaz nae kaisha tuchosha na tuhuma zake mwishowe tunaona sasa hizi ni jerous katangaza nyumba juz shida zimeanza, fanya kazi wakazi usituletee umbea huu umbea ungekuwa unautumia kupeleka kazi zako, tungekuvumilia na tungekuona wamaana Lakin tofaut na apo we jau
Jamani wakazi kakaa marekani huku watu wanatumia vitu vya kulipa kidogo kidogo, iwe gari , simu mpaka nyimbo na simu hizo zipo locked mpaka umalize malipo ndiyo unaweza itumia kwa sim kadi nyingine au ulikuwa Marekani ya kijijini sana mbona brother upo sawa na unataka kishusha jina lako kwa upuuzi " Think Twice " na kama kujua kingereza amka ongea kingereza kisha nenda bank kachukue pesa ndiyo sababu umekimbia hapa na ukitaka tufuatilie why upo home na ulikuwa hapa tutafunua makaburi chill men , tuwe na love alafu tufanye skendo za kujenga
Vinaibiwaga vikiwa kwa beg mim nimepoteza begg ya watu na vitu vyao airport hadi Leo sijaipataga ni vitu vya kawaida uyo jama ni mjinga vitu vinapoteaga
Wabongo brother mimi nilipoteza beg saudi mwaka 2006.beg likaja bahaya miezi 6.na likiwa Alina kl2 na bahada ya kupiga cm nyingi juzi beg langu limefunguliwa pia
@@hajjiomary2383 Mimi naishi New York nilipoteza beg last year hadi now sijapataga nilifika Burundi wakanambia niulize Ethiopia 🇪🇹 nikawambia Mimi nilitoka New York JFK hadi DC kwa airport ya W Dulles wakasema beg zako zipo portugal 🇵🇹 nikashanga wakasem zitakuja Ila nilifanya three days sijabadili nguo Ila palifika moja ya nguo zangu ile vitu vya watu hadi Leo sijaipata na ningali naifatilia kwa company ya ndege ya delta na Brussels airlines Ila wanasema wako naitafuta iyo beg hadi now
Ila Tanzania hakuna mamafia ni watu wa serikali tu ndio wanaogopwa kenge kama huyu angekuwa hapa south na tabia zake za kusemasema watu vibaya angekuwa ameshafukiwa au kuliwa tako kitambo tu ...
Kwahyo anafanya hayo ili kumharibia Baba levo Acha ufala unawatagi mapaka kampuni anazofanya nazo kazi ilii iweje Mchawi ni mchawi tu hata hili jamaa ni Lichawi kisingizo eti jitu hip hop 😅 shenz type
Dot play with iphone simu zao asiibiwi hovyo hovyo hata tapeli wanamtabua iphone kiboko hakupata ushauri si lilubia lote walipekuwa tena kazi weka elimu hii kitu fish kabisa hatari hata nawajua expert kweli
Kujisifu kote huko kumbe na wizi pia jamani aibu baba levo unatia aibu majigambo yote hayo loooooo baba levo unatia aibu unajisifu unalipwa vizuri leo hii unakuja kuiba simu basi ungeomba tu kuliko kuiba unalitia wasafi aibu tena aibu mtu mzima mwizi
watu wana jealous ukijipata wana jealous kama tuko bongo man b level b uko sasa joooooku grow
Huyu jamaa atkufa vibaya sana kwa wivu wa kuwaongelea wanaume 😂😂😂
Wasafi wanaingiaje hapo😂😂
Umelielewa swali
Unajuwa kunavitu vinachekesha na wala atuwezi kuamn, Yan mtu anaghofofa lenye hadhi ya 5 star eti kawaibia Simu hapana hizo n sinema, wakaz nae kaisha tuchosha na tuhuma zake mwishowe tunaona sasa hizi ni jerous katangaza nyumba juz shida zimeanza, fanya kazi wakazi usituletee umbea huu umbea ungekuwa unautumia kupeleka kazi zako, tungekuvumilia na tungekuona wamaana Lakin tofaut na apo we jau
Baba levo wizi kweli...ameimba kweli sim na vitu vya watu
Baba levo ludisha cm za watu wakazi upo sawa komesha matapeli
Tunao msubiri mwijaku hapaa gonga like hapaaa🤣🤣
Wakazi shishi kumbe shoga Ako duh!😂
Nani hajui wakazi ni adui ya wcb
Bibi levoo mwiziii nyinyii mbwaaa aina wakazii bibi levo mwizii
Jamani wakazi kakaa marekani huku watu wanatumia vitu vya kulipa kidogo kidogo, iwe gari , simu mpaka nyimbo na simu hizo zipo locked mpaka umalize malipo ndiyo unaweza itumia kwa sim kadi nyingine au ulikuwa Marekani ya kijijini sana mbona brother upo sawa na unataka kishusha jina lako kwa upuuzi " Think Twice " na kama kujua kingereza amka ongea kingereza kisha nenda bank kachukue pesa ndiyo sababu umekimbia hapa na ukitaka tufuatilie why upo home na ulikuwa hapa tutafunua makaburi chill men , tuwe na love alafu tufanye skendo za kujenga
Sasa wasafi hapo imeingiaje 😂😂😂
Wakazi n mpuuz kweli
Hii kashfa ni Nzito sana
Huyu wakazi atakua shoga mana kawa mtu wakuongea ongea tu matako sana huyu jamaa..
Tunasubir baba levo ajibu 😂😂😂
😂😂🎉🎉
SNS muangalie na story za kuposti jamani.kwani waliyo ibiwa hawawezi kusema wenyewe .kinamuuma baba levo kwenda marekani?
Vinaibiwaga vikiwa kwa beg mim nimepoteza begg ya watu na vitu vyao airport hadi Leo sijaipataga ni vitu vya kawaida uyo jama ni mjinga vitu vinapoteaga
Acha uzembe watu wameona simu zao Zinatukumika bongo 😅
Wabongo brother mimi nilipoteza beg saudi mwaka 2006.beg likaja bahaya miezi 6.na likiwa Alina kl2 na bahada ya kupiga cm nyingi juzi beg langu limefunguliwa pia
@@hajjiomary2383 Mimi naishi New York nilipoteza beg last year hadi now sijapataga nilifika Burundi wakanambia niulize Ethiopia 🇪🇹 nikawambia Mimi nilitoka New York JFK hadi DC kwa airport ya W Dulles wakasema beg zako zipo portugal 🇵🇹 nikashanga wakasem zitakuja Ila nilifanya three days sijabadili nguo Ila palifika moja ya nguo zangu ile vitu vya watu hadi Leo sijaipata na ningali naifatilia kwa company ya ndege ya delta na Brussels airlines Ila wanasema wako naitafuta iyo beg hadi now
@@hajjiomary2383 na nilikua Burundi 🇧🇮 huuu mwaka nikaulizia wakasema haijafika hadi now vinapoteaga
Sisi tunao safiri masafa marefu ndo tunajuw hiv
BABALEVO HAWEZI KUIBA , ILA NAMSUBIRI DADA WA TAIFA MANGE KIMAMBI
Tuzo hizo jamani 😂😂😂😂😂
Yani wakazi sijui ni wakike😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hiyo
Email pin AISOMI KWA ASIMAH KWELI 🤣🤣🤣🤣🤣 huyo alieibiwa haijui mitandao ama ?😮
Nagojea mwijaku😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sasa wasafi tumeingiaje hapo
Wakazi. Anasumbuliwa. Narohoyakwanini.
Ok Wakazi kuya ulaya uone
Wakazi mshamba tu
Mm nmengoja majibu ya fundi manyumba😂😂
Ila Kwa hili Jaman Sina msomo wabongo tabia hii tunayo ukipewa kitu peleka home watu hawafikishi
Wakazi nilijinga sana!!! Hiyo simu ni yako au umetumwa😂😂😂....wakazi jamani tafuta bwana uolewe huko marekani
Wakazi anaongea kama vile ameibiwa
Watu waache aya mambo ya kupeana v2 vidogo na makampuni yote ya usafiri bado mnawapa watu msiwajua vitu
Huna mpya wivyu unakutesa
Wakazi ameamua kuwa mdaku 😅
Huyu wakazi nikimuotea namtia Mimbaya mapacha
Mwijaku aliyasema zamani mim nikajua mropokaji tu kumbe kweli
Mwijaku asisikie
Kwel Tanzania sio poa America to
Utajiri ya watu inawapoza sana njo tatizo kk baba levo ni mtu poa sana
Wakazi kazi kuongelea watu
Sns kuna vitu mnapost vinaboa sana
Babu toaga hata na nyimbo, kila siku kuchamba maisha ya watu acha chuki, hiphop haikufai ilibidi uimbe taarabu
Marekani wanaiba begs na vitu vilivyomo
WAKAZI NI MTU SMART SANA NA AMENYOOKA;SEMA WENGI WAPO KIMUHEMKO ZAIDI;ARUDISHE SIMU ZA WATU HUYO MAPUA
Wakaz nan mbona simfaham msan msemaj
siku zote huo mussa alikuwepo wap anakuagiza wew umusemee 😂 malakapiii
Ulaya wanaiba sana wewe wakazi njoo Frankfurk kisha uweke Begi kizembe zembe tuu kama utaliona tena
Kkk wakazi unalana acha shoboo
Ila Tanzania hakuna mamafia ni watu wa serikali tu ndio wanaogopwa kenge kama huyu angekuwa hapa south na tabia zake za kusemasema watu vibaya angekuwa ameshafukiwa au kuliwa tako kitambo tu ...
leo ndio nimejuwa kuwa anaichukia wasafi sasa inaingiaje apo kwani Wasafi ndio waliompekeka Marekani halafu siku zte leo ndio uongelee ubuuzi wko
Akusema zimeibia uyu aye
Kwahyo anafanya hayo ili kumharibia Baba levo Acha ufala unawatagi mapaka kampuni anazofanya nazo kazi ilii iweje Mchawi ni mchawi tu hata hili jamaa ni Lichawi kisingizo eti jitu hip hop 😅 shenz type
Huyu amekulia pesa za Ccm ndio maana akili zake kama za Baba yake
Yule ni baba mkubwa wake sio baba yake
Babalevo mwizi kitambo tokatukoshule alikuwamwizi
Mbona kuandka ujui mwandiko
wewe mtoa taharifa do umekosea kutowa taharifa ,naona nawewe unampango wakumwaribia baba lev I see you 👀 bro
Alichokosea ni kipi? Uyu mtoa habarii yeye anatoa habari ya mtu yoyote ata wewe ukitrendii atakutangazaa😅😅😅
Ni kweli Turkish airways inapoteza mabegi balaa 😂
Acha uongo mabegi huwa hayapotei
Duuh Ebana Eeh!
Nonsense. Defamatory story
Hiki ki tv itabidi tupige kampeni team daimond wote tukimbie tunakionya
Utakimbia peke yako. Pumbavu😂😂😂
Kimbia peke yako, unafanya nini humu?
Kwa alivyo babalevo itakua kweli ame iba mcheza kamari haaminiki
😂😂😂😂😂
Dot play with iphone simu zao asiibiwi hovyo hovyo hata tapeli wanamtabua iphone kiboko hakupata ushauri si lilubia lote walipekuwa tena kazi weka elimu hii kitu fish kabisa hatari hata nawajua expert kweli
😂😂😂😂
Hahaaahaaaa
Hater hater hater
Kujisifu kote huko kumbe na wizi pia jamani aibu baba levo unatia aibu majigambo yote hayo loooooo baba levo unatia aibu unajisifu unalipwa vizuri leo hii unakuja kuiba simu basi ungeomba tu kuliko kuiba unalitia wasafi aibu tena aibu mtu mzima mwizi
Ww unauhakika adi unamshambulia mtu hivyo husichume dhanbi kwa maneno yakusikia mungu hachelewi kulipa tunza mdm dada
Chuchunge ni jizi
😂😂😂