TRUMP adai mipango ya kukutana na PUTIN tayari imeanza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 12

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nenda kachukue mbinu za kuiteka Canada kijeshi 😮

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Maoni yangu si kweli Putin atake kumuona Trump hana uitaji nae kwa sababu mchokozi ni Marekani na wanatambua hilo Pamoja na Ulaya

  • @official_6ixer_
    @official_6ixer_ 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wanaomba Draw😂😂😂😂💔

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nice

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Toka operation ianze wakati wote PUTIN amekuwa akisema yupo tayali kwa mazungumzo yatakayofuta matakwa yao nje ya hapo kichapo kiendelee

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hapo ni kupoesha moto tu si kuzima...hapa kuna siku Nuclear ndo itaongea...

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa wote ni wamoja

  • @omariathumanchigwe5776
    @omariathumanchigwe5776 49 นาทีที่ผ่านมา

    Putin ni raisi anaejiamini

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Trump hatabiliki kama zelensiky,, aliingia madarakani Kwa kuahidi AMANI na Urusi ni kusubiri na kuona,,
    Ila Urusi sasa ishachemka wanapambana na yoyote

  • @FxL_47
    @FxL_47 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    NETANYAHU BADO HAJAENDA KUZIMA MOTO WA LOS ANGELES 😂

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha propaganda ngombe wewe PUTIN amesema yupo tayali kwa mazungumzo na trumple na Jana pascovu kasema bado hawajapata mwaliko rasmi wa mazungumzo kutoka upande wa pili hamjasema anatomba au anataka mazungumzo nyangau wewe acha propaganda. Ukraine mrusi kashika mpini NATO wameshika makali vita weshapoteza

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤