Namna ya kupika Pilipili/Achari/Sauce ya Mbilimbi(Rahisi)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024
  • Pilipili/Achari/Sauce ya Mbilimbi
    Ingiridients
    1.Cooking oil
    2.Mbilimbi
    3.Tamato paste
    4. Nyanya
    5.Pilipili
    6.Paste ya Swaumu na Tangawizi
    7. Uwatu,Rai & Chumvi 1ts
    Ni tamu Sana na Rahisi mnoo ...inaleta hamu ya kula na kuzidisha tatse kwnenye chakula chako pia inaweza ikaliwa na chakula chochote kile upendacho....natumia Instagram kwa jina la @Chefhusstar

ความคิดเห็น • 11

  • @fatumaabdallah-ui7pj
    @fatumaabdallah-ui7pj หลายเดือนก่อน

    Shukran kwa kunitoa mate😅...naomba kujua jina lingine la rai

  • @nasraulomi8312
    @nasraulomi8312 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana kwa somo 7:18

  • @kimhassan3360
    @kimhassan3360 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwanasayansi wakwanza chef big up 👌

  • @thuwaybajuma421
    @thuwaybajuma421 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @M8A-AR
    @M8A-AR 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow wow wow

  • @ngomajunior6240
    @ngomajunior6240 3 ปีที่แล้ว

    Nice!

  • @saidikataku4868
    @saidikataku4868 3 ปีที่แล้ว

    Kitunguu maji huweki

    • @husstarcooks6217
      @husstarcooks6217  3 ปีที่แล้ว

      Huweki...unaweka kitunguu swaumu tu

    • @fardahhassanially7033
      @fardahhassanially7033 2 ปีที่แล้ว

      Na ukikiweka inakuaje?

    • @husstarcooks6217
      @husstarcooks6217  ปีที่แล้ว

      Pia haina shida hata kidogo, kupika viungo ni wewe mwenyewe u can try new things to put or cook kila siku 😀

    • @ElizabethShao-k6w
      @ElizabethShao-k6w 23 วันที่ผ่านมา

      Itakuaje kama huna rai wala uwatu, itakuaje