Assalam Alleykhum/Hi Lovies Nimesahau kutaja unaweza kueka sukari kijiko kimoja kikubwa kama ni nyingi ila kama ni kidogo tu ya familia weka kijiko kimoja cha chai😋 Video za biashara ya vyakula iko hapa⬇️ th-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5.html Asanteni sana kwa support mungu awabariki sana na nawapenda kwa ajili ya Allah #roadto50ksubs
Kwa mnaouliza mbirimbi Kwa English ni carambola fruit na kuna Aina mbili mbilimbi za kizungu na za kienyeji hizi alizotumia hapa ni za kienyeji za kizungu zina utamu
Assalam Alleykhum/Hi Lovies
Nimesahau kutaja unaweza kueka sukari kijiko kimoja kikubwa kama ni nyingi ila kama ni kidogo tu ya familia weka kijiko kimoja cha chai😋
Video za biashara ya vyakula iko hapa⬇️
th-cam.com/play/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5.html
Asanteni sana kwa support mungu awabariki sana na nawapenda kwa ajili ya Allah
#roadto50ksubs
Asant nitajaribu kuipika
Tunaomba ya ukwaju pls
Awesome!
Nitajaribu in shaa Allah nikipata mbirimbi nimeipenda sanaa hii pilipili
Uko wapi kwani?nitamu na yalisha sana
A Good one
❤️
Nice chili ❤❤❤ unanifuraisha saaana ndugu yang
Nafurahi ukifurahi karibu tena
MashaAllah 😋👌
Tabarakallah ❤️❤️
Maa sha ALLAH
Wow😋😋asantee
Karibu dear
Jamani ni tamu 😋
Sanaa
mbirimbi au bilinganya
Inakaa tamuu
Tamu sanaa
Mashalaaaahh tamuuuuuu
Asante sana
NZUR SANA
Inakaa tamu
Sana mpenzi
Asante kwa kushare best. Nitajaribu kuipika
All the best darling
@@HadijaSheban thanks
Nzuri
Santee
Wow from TANGA Tanzania Iko vizuri Sanaa nitaijaribu soon.
asante kipenzi
Jinsi nakupenda mimi jamani Mungu akubariki
Ameen na nakupenda pia kipenzi❤️❤️
I love pilipili sana. This is a must try. Never had Mbirimbi before but this is it. Inakaa tamu sanaa
Inakaa tamu sana walai yaani ni tamu kabisa but kuwashwa🤣🤣 punguza tu masala
Samahani chef hiyo masala umetia ni masala gani.yaani Kwa macho Tu pilipili inaonekana mashallah😋
Mimi nimeeka masala namba 1 yakawaida nimenunua kwa maduka ya Spices ukitaka ya supermarket nunua cayenne powder.Kama
@@HadijaSheban shukran habibty Allah akujaalie afya uzidi kutupa ujuzi
Looks yummy
Thanks
True it’s my favorite, I love it with pilau..... thank you for the video I have always wanted to know how to make it
Most Welcome darling
So nice
Thanks love
Shukran sister khadija ❤🥰🥰🥰🇴🇲🌹
Afwan darling ❤️❤️
Naam, Raha ya pilipili ni mafuta 🔥
Exactly yaani full utamu
Nimeipenda ❣️
Asante love
😋😋😋😋 pilipili tamu sana upate kipilau kilojaa nyama na viazi wala mpka ukalala apo 🤣🤣
🤣🤣unakula mpaka unaanguka mpenzi 🤣🤣walai tamu sanaaaaa MashaaAllah tena na masala yanayowashaa chumeee
Shukran for the recipe
Afwan love
😋😋😋😋😋😋
Mambo mbaya..... hii lazima ukohoe😂
🤣🤣🤣🤣muhimu usisahau kajuice baridiii
😍💖
Nmemeza mate😅
tamu sanaa
Personally nakupenda na huwa natizama na wanangu tupo Tanzania
Nawapenda pia kipenzi sanaaaa barikiwa😘
Naweza kiweka binzari aina ya simba mbili? Masala uliyoweka huku hakuna tafadhali
mbirimbi ni nini?
Tunaomba ya ukwaju pls
Nishaweka mpenzi
@@HadijaSheban Asante
Habar mammy nilikuwa naitaji unipe njia ya kutumia ili pili pili isiharibike kwa haraka
Kwakweli sijakua vizuri his sector
Da Khadija masala gani umetumia? Na hiko cheupe umeweka ni nini??
masala yanaitwa Cayyene powder
dada Kama ivo aichachi iyo pili pili
Yangu hua haiachachi yategemea na matumizi
Recipe in English pls?
Sorry ingredients ?
Hiyo ni masala ipi?
Cayyene powder
@@HadijaSheban thanks
Niletee mbirimbi huku hamna
Uko wapi love sorry to ask somo
@@HadijaSheban oman
@@HadijaSheban oman
Hizi mbirimbi wasoak over night a wapika direct?
Direct
Hivyo viungo unaviblend vikiwa vibich au viive
nimeeleza kwa video love
Masala gani tuweke,umeniacha kidogo...????
cayyenye powder
Kwa mnaouliza mbirimbi Kwa English ni carambola fruit na kuna Aina mbili mbilimbi za kizungu na za kienyeji hizi alizotumia hapa ni za kienyeji za kizungu zina utamu
Shukran Love
Hizo pilipili zaitwaje na zinapatkana sokoni ama? Niko Nairobi
yes sokoni zauzwa nzuri sana ni Habanero
Tumesubscribe
Asante Love😘
Jina ya mbirimbi in English please. Nimeona its a main ingredient. Ni rahisi kutengeneza na inakaa tamu sana
Trumpet dear
Naomba kuuliza ulipoeka mbirimbi kwa moto je umetia maji ama hivo tu dry zatoa maji yake yenyewe
Sikueka maji nlizieka tu zikatoa maji
Mbirimbi ni okra, ama?.....
Hapana sio okra..okra ni.mabenda
@@HadijaSheban Oooh....samahani, sijui....natazama toka Kenya....waeza iita aje na kiingereza?.....
What is mbirimbi,alafu umechemsha hiyo birimbi
Nilichemsha
Mbirimbi ndio baby cucumber ,ama? Nimezitafuta Sana .Lakini baby cucumber Nazi pata
Hapana sio cucumber try to Google pia mbirimbi ni kali kama embe bichi
Gooseberry
Kama ya biashara niweke Nini ili isiharibike ?
Itategemea unauza kwa muda gani zipo zingine nzuri angalia kwa playlist yangu
Mbrimbi in English
kindly google