Njoo Whatsapp kwa namba hii 0682456819 au bofya hiyo link chini utapewa mwongozo wa.me/message/MVKNNON3CXLJH1 Karibu sana naitwa Mwalimu SALANGANjoo Whatsapp kwa namba hii 0682456819 au bofya hiyo link chini utapewa mwongozo wa.me/message/MVKNNON3CXLJH1 Karibu sana naitwa Mwalimu SALANGA
Safi sana, shukran kwa somo
ahsante ssna
Asante sana kwa mafunzo mazur mwl wangu
ahsante snaa
Asante kuweka sukari sikuelewa vizuri.
Asante mwl salanga naomba nifundishe kutengeneza lebo na mifuniko iliyosilidi
Ahsante mwalimu niunge nipate mafunzo zaidi
Nime jifunza kitu kupitia video hii. Asante sana mwalimu
Ahsante sana kwa kushukuru
Asante naomba jinsi ya kutengeneza lebo na vipimo kwa ujumla
Njoo Whatsapp kwa namba hii hii 0682456819
Asante Dana mwalimu Kwa kunifundisha nilitamani sana kujua huzidi kutufundisha
Asante Sana mwlimu
Nimekupata sana
Barikiwa sana somo nimelipenda
Nashukuru Nimependa somo lako anahitaji kujuwa unapatikana wapi ili niweze kuonana na wewe uso kwa uso
Nimependa
Asante sana
Saf mwalim nimejifunza mungu akubariki
Ahsante sana
Asante csana
Safi Sana mwalimu
Ahsante mwl naomba kuuliza hicho kitabu kinafundisha sosi ya nyanya tu au na sosi zingine
Asante sana mwl,napataje vifungashio?
Asante mwl ubarikiwe
Naomba uniunge mwalimu nimependa sana ujasiriamali nipe gharama zako
Njoo Whatsapp kwa namba hii 0682456819 au bofya hiyo link chini utapewa mwongozo
wa.me/message/MVKNNON3CXLJH1
Karibu sana naitwa Mwalimu SALANGANjoo Whatsapp kwa namba hii 0682456819 au bofya hiyo link chini utapewa mwongozo
wa.me/message/MVKNNON3CXLJH1
Karibu sana naitwa Mwalimu SALANGA
Asante
Je unaweka nn ili isiaribike na ikae mda mlefu?
Safi sana
Ahsante sana
Nimeipenda
ahsante sana
Nimeipenda
Ningependa somo nitakupigia meli kwa uelewa zaidi
Asante sana mwalim nimeipenda
Nimejifunza
Naomba nielekeze nma ya kupata lebo na silidi
Mm naomba kuuliza Jin's ya kusindika tomatoes achali nk mnaweka nn ili zisiharibike zikiwa nje ya fridge!
jiunge darasa la usindikaji ujifunze kusindika
0682456819
Ni nzur xana lakn naomba niulze sildi za kwenye chupa
Nimependa sana
Ahsante sana
miminimependa lakini hivoviungovyengine sijaiona ulivyo viandaa naomba unifahamishe
Namependa sna naitaji kujifunza zaid
Somo zuri
Mwl napataje vifungashio?
Je umeweka nini ili ikae kwa muda mrefu bila kuaribika
Hongera Mw. kwa somo zuri la tomato sosi.
Tuko pamoja sana
Asante kwa elimu, hvyo viungo unavisaga ndo unavifunga kwenye kitambaa? Au.
Ndio unavisaga
Unafanyaje sasa ili iweze kuishi muda mrefu isialibike
Kopi ni bei gani?
Safi Sana mwalimu tufundishe namnaya kutengeneza sabuni nyeupe ya vipande na ya unga
Sabuni nyeupe kama ulivyoelewa ya magadi usiweke rangi tu
Pia sabuni ya unga huwa hailipi
Naawafundisha kinacholipa🔥😍
Safi sana nimependa mafunzo
Mbona hujaweka preservatives?
Nimependa huu ujasiliamli. Unaweka nini ili isiharibike?
jiunge na darasa la usindikaji ujifunze 0682456819
Asnte nimejifunza mwl Salanga
Asant nimependa,ivo vifungashio umevipata wapi,na izo stika
Ukovizuri, vitabu mnauza Bei gani?
Na ivi vifungashio vinapatikana wapi
Utajuaje kuwa imeiva je unaweza weka chimbo badala ya sukari??
Huwa inapungua nusu ya lile rojo la mwanzo
How much
Ina uwezo wa kukaa mda gani mwalimu?
Ni nzuri saana nimependa somo
Ahsante sana
Nimeupenda, na je haiwekwi chumvi?
Thanks
Nimependa jaman dhat iz gud
Naomba kuuliza kitu gan kinachofanya isihalibike?
Tomato hii utauza bei gani?
Iv inawezo wa kukaa mda gan
❤❤
Je kuna ya kuespaya dete
Jinsi ya kutengeneza tomato ikae kwa mda mrefu
Asante msimulizi
Nauliza Kilo mmoja ya nyanya inatoa Koba ngapi ya tomato pesti
Hiyo ni tomato sauce sio paste
Kama unatak ufanye tomato best unafanyeje
Somo zuri sana
Ahsante
Je kama unaitaji kujifunza munapatikana wapi na je ,ni rahisi kujifunza kutumia mitandao ya kijamii?
Vikaratasi vya kubania hapo mdomoni vinauzwaje au unakata mwenyewe?
Shiling mia
Nahitaji kitabu cha usindikaji kiasi gani
Nimependa mwalimu.wangu namna ys utengenezaji wa tomato source hizo sild unapatia wapi na hivyo vichupa,
Tandamuti na sikukuu kariakoo
Mwalimu yani nimekukubali sana masomo yako ubarikiwe mno
Mwalimu yani nimekukubali sana masomo yako ubarikiwe mno
Asante
Tuma video ya kutengeeza vijora vya mishumaa
Kwenye viungo ndosijakuelewa je, niunavitwanga hama vp
Kwa nn hutumii nyanya mbovu
Natamani kupata vitabu nyenu je nifanyaje?
0682456819 Whatsapp
@@mwalimusalanga asalam alykum
Mashaallah
Hiyo imekaa poa mno
Limao mbichi
Nimependa sana naomba kujiunga kwa mafunzo zaidi
Karibu sana 0682456819
Nimependa mafunzo yenu
Mwalimu ninahitaji vitabu navipata wapi?
0682456819 softcopy unatumiwa kwa whatsap
Mwalimu mbona naona kma inamafuta
Mafuta sio lazima mwalimu
Hatayatumiki
Inakaa mda gani bila kuharibika?
Mwaka mzima
@@mwalimusalanga How na haujaweka preservatives
Nunua softcopy ya usindikaji inakila kitu
Inakaa muda gani kutokuharibika
Hadi mwaka mzimw
Unajua mahali nawepata seal na label hapa kenya
Hapo junction khoja
Nahitaji kitabu nitapata wapi na bei yake nimependa Sana SoMo lako
Kitabu ni softcopy unatumia kwa whatsap sh.,15000 whatsap 0682456819
Vip kuusu supya det kwa muda itapo cherewa sokoni
Imekaa muda mrefu jipatie usime utaelewa kanuni za usindikaji
Nimependa Sana Sana ,niunge wasap
Karibu 0682456819
Mahitaji kujifunza kaka nawapata wap
Nataka ujuzi huo noandae kiasi gani mwalimu Niko zanzibar
Karibu 0682456819 Whatsapp
Hikokitambaa cheupe kinasaidia nini
Kuzuia viungo visiingie kwenye tomato yako
Haiaribikï ikikaa mda mrefu au kuna kitu unachoweka kuzuia isîharibike
Hiz chupa na leb wapat wapi
Sift kopi bei gani kitabu
Sh 30000
🔥🔥🔥 tupo pamoja mwalimu,mm ni mwanafunzi wako wa whatsup
Salama okama darasa la pili na vijora 🔥🔥🔥
iz chupa unatoa wap
zinauzwa maduka ya vifaa vya ujasiriamali
Nimependa