Asante sana kwa somo LA pilipili tuletee na aina nyingine nyingi mfano za embe na zinginezo ili tueze azisha biashara, na jee inakaa bila kuharibika kwa mda gani
Sijui kwa chupa za plastic lkn nahisi njia inaeza kua moja. Unaeza kujaribu japo chupa moja. 👉Lkn kwa chupa za gae/glass. Osha vzr chupa zako halafu zichemshe na vifuniko vyake. Ukimaliza zitoe uzigide, hakikisha huzigusi zisije zikaingia bacteria...Eka pili×2 yako na uzifunge vzr sana. Teleka maji yako tena uzitie hali yakua umezifunga vzr. Hakikisha maji yamepandia chupa. Chemsha labda kwa dakika 10. Halafu toa chupa zako, USIZIFUNGUE, SEAL. Eka chapa/lebo yako na In shaa Allah anza biashara. 👉TAHADHARI KM MTU ANATAKA KUTEST BORA EKA PEMBENI YAKUTEST NA UIHIFADHI NDANI YA FRIDGE LKN USIIFUNGUE ULOKWISHA ICHEMSHA WALA KUISEAL. UKIIFUNGUA ITAHARIBIKA.
Asante sana kwa somo LA pilipili tuletee na aina nyingine nyingi mfano za embe na zinginezo ili tueze azisha biashara, na jee inakaa bila kuharibika kwa mda gani
Asante sana kwa roho nzuri
Nakupenda sana unaga rongo rongo Allah akulipe
Wacha nianze kutafta chupa sasa😂just kidding hapa kwahizi pilipil ni hatareee asante sana yaani tusipofanya biashara ni sisi wenyewe tu🙏🙏
Asante Sana dear
Asante kwa somo zuri natamani nijue zaidi
Karibu
Naomba kujua vipimo kama nikitaka kutengeneza pili pili nyingi ya biashara mfano kopo Mia kwa kuanzia
Asantr my
Ubarikiwe mnoo 😘😘
Alhamdullillah dear😚😚😚
Asantee kwa somoo
💗💗💗
Mmi na tumia tomatoes ndio iwe nyingi
Ulisema
Utaibandika sijaona km umeibandikatena unaibandika kwa muda gan tena
Round hii tushindwe wenyewe biashara. Ushatupatia ideas mufti kabisa..
Mimi sili pilipili kabisa ila naona nijaribu hii recipe nitoe mbegu . . Wish me luck 🤞
Waaaaa huli pilipili kabisa🙆🙆🙆?all the best dear...
&thanks for watching
@@kekiplus1andonly I can't stand too kuch hotness.. even my pilipili ya kukaanga huekwa just one chilli ama two utmost
I feel you dear😂😂😂but secretly laughing😂
Tunajaribu pamoja😂😂
Nakupenda mnooo🥰🥰🥰
Nakupenda pia dear😍😍😍
Thnxs my dear 😋😋👍🏻
shukuran dda mungu akuweke
Hapana aiseeeee
Nilikua natafuta mtu anifunze kutengeneza pilipil sasa nimejuu Allah akuzidishie moyo huo huo jama
Amani kwako yaani umenipa somo
Kwa mfano nikiweka ukwaju vinegar itafaa pia kuweka?
Corn flowe ukienda dukani ukiona akuelewi mwambie nipe maizena wahindi wanauza sana au supermaket
Shukran sana dear
Hizo chupa za packaging zinapatikana wapi niko Nairobi
ASANTE SANA KIPENZI JE UKITAKA IKAEKWA MUDA WAFANYAJE KAMA ZA BEASHARA MUDA WA MWAKA MMJA
Sijui kwa chupa za plastic lkn nahisi njia inaeza kua moja. Unaeza kujaribu japo chupa moja.
👉Lkn kwa chupa za gae/glass. Osha vzr chupa zako halafu
zichemshe na vifuniko vyake. Ukimaliza zitoe uzigide, hakikisha huzigusi zisije zikaingia bacteria...Eka pili×2 yako na uzifunge vzr sana. Teleka maji yako tena uzitie hali yakua umezifunga vzr. Hakikisha maji yamepandia chupa. Chemsha labda kwa dakika 10. Halafu toa chupa zako, USIZIFUNGUE, SEAL. Eka chapa/lebo yako na In shaa Allah anza biashara.
👉TAHADHARI KM MTU ANATAKA KUTEST BORA EKA PEMBENI YAKUTEST NA UIHIFADHI NDANI YA FRIDGE LKN USIIFUNGUE ULOKWISHA ICHEMSHA WALA KUISEAL. UKIIFUNGUA ITAHARIBIKA.
Asante
Karibu
Hiyo pilipili Kubwa inaitwaje ?
Kama sina cornflour nitumie nini?
Ngano
izi chupa bei gan
Mh inafaa kwa biashara San
Yaani inafaaa sana
@@kekiplus1andonly mfano nikianzisha hii sehem nzur ya kuuzia ni sokon au hata nyumban tu...maana nimekuw interested
Asnt sn mwaya
Karibu sana dear