CASSIAN AMUWASHIA MOTO ALIE KUWA MME WA MATHA MWIPAJA EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @TshambyDidier
    @TshambyDidier 5 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu akulinde sana mtumishi Cassian🎉🎉

  • @ShukuruMveyange
    @ShukuruMveyange 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu awajua waliowake mwacheni Mungu aitwe Mungu,,tuache udini ,ubinafsi watu wote twendezetu kwa Bwana Yesu. Tuungane na pastor kasiani tumtumikie Munguwakweli..

  • @PatrickjumaJuma
    @PatrickjumaJuma 5 วันที่ผ่านมา +2

    Amen 🙏 pastor cassian na ubarikiwe na mungu wetu

  • @jipsonmwampagatwa
    @jipsonmwampagatwa 5 วันที่ผ่านมา +1

    Amina ni jambo jema hekima ni muhimu sana.akiuelwa ujumbe huu atamuombea sana martha

  • @thehenrych
    @thehenrych 5 วันที่ผ่านมา +2

    Barikiwa! Mtumishi

  • @cleyabiuty
    @cleyabiuty 5 วันที่ผ่านมา +7

    MUNGU akubariki sana mtu wa MUNGU Paschally Cassiany maana kama jamii itaendelea kudeal na wenza wao waliopishana kwa style hii basi hasara ni kubwa zaidi kuliko faida. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanaume na mume lkn pia mume hashindani na mwenza wake bali anamuongoza na kumlinda kumbe sirini kuna sintofahamu nyingi

  • @oswadmangazin229
    @oswadmangazin229 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubarikiwe mtumish anayetaka kupona atapona

  • @fernandocharles-jg8ot
    @fernandocharles-jg8ot วันที่ผ่านมา

    Ekima mzuri mchungaji Cassian

  • @ShukuruMveyange
    @ShukuruMveyange 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mambo yaliyofichwa gizani yatafunuliwa nuruni.Yesu anarudi yupomlangoni anabisha hodi yeye hataingia kwanguvu,nina alijua kama mtumishihuyu kasiani atakujakuokoka nakuwa mwalimu mzuri waneno la mungu hivi

  • @HGSSOAP-zu9rz
    @HGSSOAP-zu9rz 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumish casian kwenye nyimbo yako ya turudi nimeiona upo umevaa nguo nyeusi na mkonon umeshika magongo na kama kichupa kipo mkonon mwako hicho kilikuwa na Nini au ni nn ntumish naomba nijue niliona Kuna mrija umetokea ndan ya nguo na kimfuko umekisha ni nn hicho mtumish

    • @GodfreyMakala
      @GodfreyMakala วันที่ผ่านมา

      Alikuwa anaumwa kipind kile kwa kupata ajar

  • @JoycePetro-c1r
    @JoycePetro-c1r 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ameamua kuuweka wazi uchafu wake ..kama anayafanya hayo mambo ya giza aache amrudue Mungu hapa usipake mafuta kutulemba bana

    • @cleyabiuty
      @cleyabiuty 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@JoycePetro-c1r unakielewa unakielewa unachokiandika au ndio kwa sabsbu unajua kusoma na kuandika hivyo unaandika pasipo kufikiri???

  • @Reginamueninzuki
    @Reginamueninzuki 5 วันที่ผ่านมา

    Kupigwa vita nikawaida lakini mungu ni mwaminifu tuzidi kumuombea dada na kumtia nguvu

  • @EmaMsenga
    @EmaMsenga 5 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa hekima ulioitoa

  • @HGSSOAP-zu9rz
    @HGSSOAP-zu9rz 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumish casian kwenye nyimbo yako ya turudi nimeiona upo umevaa nguo nyeusi na mkonon umeshika magongo na kama kichupa kipo mkonon mwako hicho kilikuwa na Nini au ni nn ntumish

    • @chiefbenardos6459
      @chiefbenardos6459 5 วันที่ผ่านมา

      Huo wimbo ni Ushuhuda ya maisha yake ya awali kabla hajakombolewa.

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben 5 วันที่ผ่านมา +1

    Wape ushauli

  • @NtuliSuzan
    @NtuliSuzan 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nina shaka sana na Utumishi wako Sijui ulitaka yafichwe mpaka lini, lkn sishangai shetani hataki kuwa exposed kabisa

    • @cleyabiuty
      @cleyabiuty 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@NtuliSuzan unakielewa unakielewa unachokiandika au ndio kwa sabsbu unajua kusoma na kuandika hivyo unaandika pasipo kufikiri???

  • @ALENMBUNDA-m6j
    @ALENMBUNDA-m6j 5 วันที่ผ่านมา

    AMINA., sema yote kadiri Mungu anavyokutaka useme

  • @happyndaga4043
    @happyndaga4043 4 วันที่ผ่านมา

    Katika hili nakupa%100

  • @LovenessValerian
    @LovenessValerian 2 วันที่ผ่านมา

    Yeah hii itasababisha martha aone kwamba wapo kitu kimoja biti na mume wake ,,,,ila pia wanao subir Martha kumrudia manaye ni ngumu kwasababu anatumia nguvu za giza,kinachotakiwa ni martha kutoka kwenye hizo nguvu za Giza haf amrudi mama yake

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 5 วันที่ผ่านมา

    Inapofika wakati mungu huyafunua mambo yetu ya sili ili tutubu na kukaa sawa na mungu kwa hayo yanayowapata familia ya matha sio mwisho wao iwapo wataamua kutubu na ikiwa wataghaili na kuacha njia mbaya mungu ameahidi kusamehe na kuwakuza na wakifanya moyo ngumu aibu yao itawashusha milele kunyamaza au kutonyamaza sio jawabu

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 5 วันที่ผ่านมา

    Hapna huyu mchungaji alitakiwa kuongea maana alisema amelala na bite sasa akikaa kimya kipengele

  • @ezekiamgimbaofficial5694
    @ezekiamgimbaofficial5694 5 วันที่ผ่านมา

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 5 วันที่ผ่านมา +1

    Amefanya vema.uthibitisho umatakiwa.pia.alimtia. nguvu betrice.Ili watumishi msimame kumwombea Marha.Kwa kuwa mdogo wake marha.amesema martha si yeye . ukifuatilia.kwa makini.hajamwongelea dd yake vibaya.ila mapokeo ndol.ataabu.

    • @cleyabiuty
      @cleyabiuty 5 วันที่ผ่านมา

      @@epifaniamilinga2848 unakielewa unakielewa unachokiandika au ndio kwa sabsbu unajua kusoma na kuandika hivyo unaandika pasipo kufikiri???

  • @JuhudiNjili
    @JuhudiNjili 5 วันที่ผ่านมา

    Najisikia vizurii saana mpaka moyo umesuuzika hata kama Martha kakosea kiasi gani lakini mume hapaswi kuingilia familia ya x wake, Mungu anastahili pongezi kutuletea mtumwa mnyenyekevu kama wewe

    • @Neemaa098-yf9os
      @Neemaa098-yf9os 5 วันที่ผ่านมา

      Nini kimeendelea hapa sisi hatujui chochote

    • @cleyabiuty
      @cleyabiuty 5 วันที่ผ่านมา

      @@JuhudiNjili kabisa kabisa yani mtu apambane na mkeo kipumbavu halafu na wewe mume hata kama umeumizwa kiasi gani hupaswi kupambana na mkeo kipuuzi utafikiri unamshambulia mwanamke na kumbe ni x mke

  • @omasogreatfamily5395
    @omasogreatfamily5395 5 วันที่ผ่านมา

    It's funny surely,spirit of lawlessness at work.
    Be careful with spirit of lawlessness,Paul told Timothy.
    Mumesha kataa kweli na kisikia sauti ya Mungu aliye juu sasa nikuvuna aibu tuu,someni biblia

  • @HGSSOAP-zu9rz
    @HGSSOAP-zu9rz 5 วันที่ผ่านมา

    Mtumish casian kwenye nyimbo yako ya turudi nimeiona upo umevaa nguo nyeusi na mkonon umeshika magongo na kama kichupa kipo mkonon mwako hicho kilikuwa na Nini au ni nn ntumish naomba nijue niliona Kuna mrija umetokea ndan ya nguo na kimfuko umekisha ni nn hicho mtumish