RECAP: KOMASAVA ya DIAMOND, HAKUNA MATATA ya MARIOO, DAH YA NANDY, FALLEN ALIKIBA ngoma za KIMATAIFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

ความคิดเห็น • 45

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 หลายเดือนก่อน +4

    Dah nzuri alioimba na kiba

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 หลายเดือนก่อน +6

    leo mimi ni wa kwanza kutokea Kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @vansclassic2131
      @vansclassic2131 หลายเดือนก่อน

      Unafilwa wewe wa kwanza ndo nini ili iwije acha habri zakoww

    • @ankalmzito254
      @ankalmzito254 หลายเดือนก่อน

      @@vansclassic2131 brooo sikujui na haunijui kwa hivyo usitukane watu ambao huwajui matusi sio kitu kizuri wewe ni mtu mzima kama waona kitu hakikufurahishi achana nacho kwa taarifa ya mimi sifirwi sawa....

    • @ankalmzito254
      @ankalmzito254 หลายเดือนก่อน

      @@vansclassic2131 hio inaonesha vile huna adabu ndio maanake video zako hazifiki hata watu mia huo mziki unaofanya haitakufikisha mahali hautawai ona faida yake ila hasara tu.....

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 หลายเดือนก่อน

      ​@@ankalmzito254😂😂😂

  • @DamasLehani
    @DamasLehani หลายเดือนก่อน +5

    😢Ila harmonize

  • @m___ck799
    @m___ck799 หลายเดือนก่อน +7

    Kama "Dah" ya Nandy is international then "Dharau" ya Ibraah ingekuwepo hapo..

    • @Luckreadyog
      @Luckreadyog หลายเดือนก่อน +1

      Apo sasa jo anaboa

    • @robertkisasa1346
      @robertkisasa1346 หลายเดือนก่อน

      Dharau hamna kitu sio kama Dah ile ngoma Nandy sio poa

    • @hilarymayende
      @hilarymayende หลายเดือนก่อน +1

      You expect This guy to tell you that? In your dream. Anakuanga nakachuki Fulani

    • @mkgorilla7200
      @mkgorilla7200 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

  • @SaidimusatoKiza-s5r
    @SaidimusatoKiza-s5r หลายเดือนก่อน

    C'est vous le king 👑 Bro🇨🇩🇨🇩

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 หลายเดือนก่อน +1

    Derulo pia kashaingia kwenye mfumo. Pia kaifanyia komasava challenge

  • @user-wi2sk8uj5s
    @user-wi2sk8uj5s หลายเดือนก่อน +3

    Ety Essences ya wizikid Rihanna alilipwa bro ucha uongo ngoma hili Rihanna alipagawa mwenyewwe

  • @JIMBO_MEDIA
    @JIMBO_MEDIA หลายเดือนก่อน +2

    Ngoma zote producer ni S2Kizzy

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 หลายเดือนก่อน

      Nawaza siku asipokuwepo duniani itakuwaje japo simtakii mabaya

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 หลายเดือนก่อน

      Nawaza siku asipokuwepo duniani itakuwaje japo simtakii mabaya

  • @TheKemi1976
    @TheKemi1976 หลายเดือนก่อน +2

    Pls, Dah is not an international song, even alikiba new song fallen angel. I agree with you, kwamba both Alikiba and Nandy are good songs but nit international. I am sorry

  • @user-zr2xt8md6e
    @user-zr2xt8md6e หลายเดือนก่อน +1

    App kwa nandy umesema kweli kabisa kwa sasa Ina 14million kwa 4monts

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 หลายเดือนก่อน +2

    KOMASAVA niwimbi mbaya kulinganisha na FALLEN ANGEL ingawa KOMASAVA umeenda nje yanchi kwasababu ya promotion
    Huundio ukweli

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 หลายเดือนก่อน

      Snch tu😂😂😂ww wimbo wa wa komasava mtam kwanini nawao wasipuge promo😊

  • @A3Boy-mi4re
    @A3Boy-mi4re หลายเดือนก่อน +1

    1komasava
    2dah
    3dharau
    4matata
    5disconect

  • @sagatv4306
    @sagatv4306 หลายเดือนก่อน +2

    Kupendwa inje ndani kwako hupendi ndo Nini? Anza ujenge upendo kwako

  • @G_M22
    @G_M22 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa hajui anataka nn

  • @AbuuMkabugo
    @AbuuMkabugo หลายเดือนก่อน +1

    Alikiba wimbo wake mm baya hata akifanyoa promo

  • @mugalujoseph1220
    @mugalujoseph1220 หลายเดือนก่อน +1

    Kana chuki saana

  • @DidasSaousien
    @DidasSaousien หลายเดือนก่อน +4

    Unaongeya utumbo tu unaacha wapi disconect matako Yako kwanza

    • @kalistuschaula
      @kalistuschaula หลายเดือนก่อน

      😂😂😂matus ya nn

  • @Luckreadyog
    @Luckreadyog หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza niulize kitu ule uwekezaji wenye el mando anasemaka nini ?

  • @user-hm3qm2nf1v
    @user-hm3qm2nf1v หลายเดือนก่อน +1

    Hizo hela sasa za promotion itakuwa hwn 😮😮😮😮

  • @DidasSaousien
    @DidasSaousien หลายเดือนก่อน +1

    Nami niwa tano

  • @hemedytz9013
    @hemedytz9013 หลายเดือนก่อน +1

    Namm niwatatu

  • @kiatu
    @kiatu หลายเดือนก่อน

    Hapa kama kuna kujikanganya kidogo. Kama Dah ni bongoflava basi ndio wimbo unaofaa kuiwakilisha Tanzania nje. Hiyo miziki ya nje iliyoimbwa kwa Kiswahili itashindanishwa huko huko na nitafurahi wakishinda. Ni heshima pia. Ni muhimu kuzipa kipa umbele home grown genres katika TV, radios, clubs nk. Wanamuziki wakubwa waneshapita ile level ya kutafuta mlo wa siku moja sasa hivi wanatakiwa ku focus on national pride (wale wadogo waache wafukuzane na upepo kwa sababu baado wanatafuta).

  • @user-zh6bh8eq6y
    @user-zh6bh8eq6y หลายเดือนก่อน +4

    Kakojowe ukalale myimbo ukiyona nyimbo unatumiaka nguvu kubwa ujuwe nyimbo mbuvu

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx หลายเดือนก่อน +1

    Baki na huyo huyo diamond wako mzee

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo wewe unataka ali kiba afanye mambo kama anayo fanya huyo diamond wako mngese weee

  • @Luckreadyog
    @Luckreadyog หลายเดือนก่อน

    Jamani naomba ni uliza kuna tafauti ya kuwekeza na ku promoti ?

  • @user-cw4gr1bl1x
    @user-cw4gr1bl1x หลายเดือนก่อน

    Ata dah ya nandy unasema kimataifa 😅😅 naku shangaa kwa hili 🤔

    • @kalistuschaula
      @kalistuschaula หลายเดือนก่อน

      unashangaa nn kimataifa ni nnje ya mipaka ya tz sio had ifike USA 😂

  • @user-wi2sk8uj5s
    @user-wi2sk8uj5s หลายเดือนก่อน +2

    Ety dah ya Nandi n international weee dharau intamba San n si intranational wewe unamchkia konde sanaa

  • @mugalujoseph1220
    @mugalujoseph1220 หลายเดือนก่อน

    Aka kajama kana chiki na kond gang aka diamond anaka filaga

  • @aliadremanengolilo6378
    @aliadremanengolilo6378 หลายเดือนก่อน

    Kizur chajiuza kwani komasava ina namba wapi acha umama ww

    • @kalistuschaula
      @kalistuschaula หลายเดือนก่อน

      Boomplay ina 8m sio mchezo kumbuka hiyo ni audio,4.4m utube, haya nakupa kaz nitajie sportfy na apple music😂