Prosper shida sio artist mkubwa kushirikishwa ndo ngoma iwe viral umesema uongo hapana upo sahih sana..msala n mkwanja utaiga kila ki2 kwa m2 ila uwez iga jaxx hapo Benk😂😂 labda mavaz af kama ww n bado kimzk n bado2
yaani tanzania nzimahakuna msanii anamfikia huyu kwa hekima kwanza hana mambo ya kikekike, atafika mbali Mungu amwongoze kwa tabia hoyo hiyo yaani yuko good
@lenataHenry: ninyi ndio mna mudaganya Mario ndio sababu nyimbo zake zinaishia TZ na kenya na kenya yenyewe hata show hawajawai mpatia Kupamba mtu wakati hajawai vuka border na kazi zake ni kumdanganya
Asante Kwa Kutumia Neno Maarufu la Kiswahili "HAKUNA MATATA" Kutangaza Utalii wa Tanzania Neno Hakuna Matata Linaposikika Kwenye Masikio Ya Wageni Hutengeza Taswira Ya Kitalii na Maisha Ya Waswahil Kwenye Akili zao.
TOP TOP TOP ... Kaka marioo ... yaan hii ni video TOP kuliko comasava ... kwasababu hili jeshi la mtu mmoja ... pia bro unajua sana .... HUMU KUNA VOICE YA MKALI MMOJA HATARI SANA TOFAUTI NA WENGINE BROO NAKUTABILIA 3 YRS FROM NOW KUNA HITI UTATOA ITAFIKA MARS
Ngoma kal video saf. Inafanya poa sana kitaan big up MARIOO kule kwenye trending waaache wazee wamji wao waendeleze usiumize kichwa kuhusu 🦁🦁 alikutangulia tangu na mbal nakipaj anajua kutumia pesa juu yauwekezaj / ile komasava video yake niyagarama sana acha iwe namba 1 wwe utabak wapil SIKU ZINAENDA
Asante sana kwa kazi yako basi mungu aendeleye kuku onesha njiya bora ndani ya maisha yako yote ya music ukaze vizuri uzidi Kuwa maarufu dunia njima kama baba yako staa wa bongo flavour diamond platnumz twakuombeya uzidi kufanya kazi na uzidi ku fanyikiwa kama wengine wale dogo found tz ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ my name is rodrigue dangote from d.r.congo❤❤❤❤❤❤❤❤❤ tuna ku penda sana huku congo drc
Hii nyimbo ukiiskiliza haikuchoshi na hii video ukiingalia ndo kabisaaa inakumaliza nguvu... itoshe kusema hii nyimbo ni kali sanaa kwnye kila idara... like hapa twende sawaa.
Samata kunamda ulifika akabidi aende zake nje uko mda wako sasa wakutupa madude na waty wa nje uko wanaija waghana twende mbele uku ndani hatukudai @marioo 🙌🙌🙌
Nime hamini kwa Nini video hilianzia kwa maraisi kwa sababu ubunifu wa utarihi wa Nchii umezingatiwa Wacha tuskirize mziki mzuli 🔥🔥🔥📌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👑👑👑👑👑 like za Kenny hapa👉🙏
Ngoma safi bila uchafu. marioo usichoke kutubirudisha.although watu wengi badala kukupongeza wanaomba likes.💙💛💜 Frm 🇰🇪 we appreciate.
Ww haujui muhim wa likes kumbeee??? Hizo n pongezi tosha
Tan😅
Hii ngoma marioo angemweka international artist ingefika mbali zaidi ni nyimbo kubwa sanaaaaa
Yas
Prosper shida sio artist mkubwa kushirikishwa ndo ngoma iwe viral umesema uongo hapana upo sahih sana..msala n mkwanja utaiga kila ki2 kwa m2 ila uwez iga jaxx hapo Benk😂😂 labda mavaz af kama ww n bado kimzk n bado2
@@Speed.B
k
Go and tell them that Tanzania is blessed with talents and everything ❤🎉 You rock on kaka Marioo.. hajawahi kuwa na kazi mbovu ,,,,,,,
yaani tanzania nzimahakuna msanii anamfikia huyu kwa hekima kwanza hana mambo ya kikekike, atafika mbali Mungu amwongoze kwa tabia hoyo hiyo yaani yuko good
Kuna ali kiba harmo dai rayvany barnaba wote ni wazur
@@FatumaIssa-w1s hao wamesha fulia hatuwajui
Mdanganye tu😂
@@FatumaIssa-w1s kwa sasa hawamfikii marioo
@lenataHenry: ninyi ndio mna mudaganya Mario ndio sababu nyimbo zake zinaishia TZ na kenya na kenya yenyewe hata show hawajawai mpatia Kupamba mtu wakati hajawai vuka border na kazi zake ni kumdanganya
One thing I love about Tanzanian artists is that they go extreme asante Director Kenny ❤
Nimeipenda❤video marioo umeipa kipaumbele bendera ya nchi 🇹🇿 kuitangaza KIMATAIFA🤝
Hivi kama wewe sio wa kimataifa unawezaje kuitangaza nchi kimataifa... Any way big up Marioo
Hii video haibagui hata askofu na kondoo wake wakiwa pamoja wanaangalia bravo kwa mariooooooo🔥🔥
Asante Kwa Kutumia Neno Maarufu la Kiswahili "HAKUNA MATATA" Kutangaza Utalii wa Tanzania
Neno Hakuna Matata Linaposikika Kwenye Masikio Ya Wageni Hutengeza Taswira Ya Kitalii na Maisha Ya Waswahil Kwenye Akili zao.
ngoma Kali kaka big up
What a melody Good arrangement of poems,line even video carrying natural African environment I'm from Gabon 🇬🇦 appreciate u boy marioo tz🎉🎉🎉
TOP TOP TOP ... Kaka marioo ... yaan hii ni video TOP kuliko comasava ... kwasababu hili jeshi la mtu mmoja ... pia bro unajua sana .... HUMU KUNA VOICE YA MKALI MMOJA HATARI SANA TOFAUTI NA WENGINE BROO NAKUTABILIA 3 YRS FROM NOW KUNA HITI UTATOA ITAFIKA MARS
Eti kuliko video y diamond uko n wazimu kichwani weeh acha mchezo😂😂😂😂😂😂😂
Msanii. Pekee. Sana hapa bongo forever kwa songs zake ni baba marah. Marioo. Tz 🇹🇿🇹🇿👊👊
I like this guy coz he's so respectfully of all the artists in tanzania Mario nimemkubali saana... If you love marios songs show some love ❤❤❤
❤❤❤
Wa mwisho nipeni like zangu😂 .....pongezi kaka Kaz nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hii ngoma naitabiria kufikisha viewers 100 milioni
Usijiskie vibaya ndugu yetu , unajua sema Ndo hivo kuna li simba linajua zaidi 🙌🙌🙌🔥
@@mnyaluafrica matako yako😂😂
😂😂😂
😂😂😂
Acha matusi @@Fantastic.-gm1eo
We Mbwa Ninii ??
Mimi wa kwanza hapa from malawi
Noumaaaa
Balaaaaa
Noumaaaa
Kaliiiiiii
Noumaaaaa
Marioo noma sana, likes nyinyi kwa director kenny fundi sana
Unyama ni mwingi sana marioo video umeitengea haki salute 🫡 Kama unampa hongera yake like hapa
kenya tumefika...matata yetu wote....bacy nipeeni likes
@@dennisngatia8167 🤣🤣🤣❤️🇰🇪💪
Noumaaaa
Tishaaaaa
🎉🎉🎉🎉🎉
Tishaaaaaa
Proud to be an African/Proud to be a Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Me to proud to be tanzanian nawakilisha kijani blue nyeusi na njano you know what I'm talking about. Kwenye ngao ya taifa. Uhuru na umoja
Zimbabwe 🇿🇼 endorses this masterpiece 👌👌👌
Marioo anajua mpaka anajua tena🙌🙌🙌
Eyooo Tanzania tuko hapa
Nigeria 🇳🇬 we gether here ❤, let's dey show love for bad
❤❤❤
Bngydm
Tanzania 🇹🇿 nyote like apa kwa ajili ya marioo🎉🎉🎉
th-cam.com/video/URv07HfjwQA/w-d-xo.htmlsi=eqTPfs8jQvdZwZZQ
What I have been waiting for , this long💜 piga like ya marioo
Nice song . I'm Rwandans🇷🇼🇷🇼 nakupenda sana marioo ❤️💙
Nyinbo kali sana marioo we tunaomba umfufu msanii wetu johanesboy kishanda❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Much Love from MozAfrica🔥🇲🇿🇲🇿Hakuna matata🔥
Ngoma kal video saf. Inafanya poa sana kitaan big up MARIOO kule kwenye trending waaache wazee wamji wao waendeleze usiumize kichwa kuhusu 🦁🦁 alikutangulia tangu na mbal nakipaj anajua kutumia pesa juu yauwekezaj / ile komasava video yake niyagarama sana acha iwe namba 1 wwe utabak wapil SIKU ZINAENDA
Kitambo nakomenti sipati like zenu kwajili ya marioo🇰🇪🇰🇪
Bad nation nomaa
Unajua
Sanaaa
Kwishaaa snaaa
Mkubwaa watakubalii
Kenyans 🇰🇪 Ugandans 🇺🇬 Rwandans 🇷🇼 Tanzanians 🇹🇿 Burundians 🇧🇮 Somalians 🇸🇴 DRC Congo 🇨🇩 Nigerians 🇳🇬 South Africans🇿🇦Ethiopians🇪🇹 Namibians🇳🇦,South Sudanese 🇸🇸,Malawians🇱🇾, Mozambique🇲🇿, Zimbabwe 🇿🇼 Zambians🇿🇲,Benin🇧🇯,Eritrea🇪🇷,Senegal🇸🇳 let's gather here for Marioo Mr Alo😊
Hujachoka kutype hizo zote😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@patriciawanjiru-df5ne
youtube.com/@mokatrends?si=dTd9WvQalDlzkuqZ
hamna Rwandans..
Proudly tanzanian
Video kali 🔥🔥🔥🔥 uyu jamaa ana juwa sana tena sana mpaka ana haribu.
One love from Congo and Rwanda nipe like zangu hapa
Balaaaaa
Tishaaaa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Video ya mwaka imetoka au kunamingine🎉 kula maua ayoo
#komasava
Asante sana kwa kazi yako basi mungu aendeleye kuku onesha njiya bora ndani ya maisha yako yote ya music ukaze vizuri uzidi Kuwa maarufu dunia njima kama baba yako staa wa bongo flavour diamond platnumz twakuombeya uzidi kufanya kazi na uzidi ku fanyikiwa kama wengine wale dogo found tz ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ my name is rodrigue dangote from d.r.congo❤❤❤❤❤❤❤❤❤ tuna ku penda sana huku congo drc
Ngoma kari sana hii bila shaka hata sisi mashabiki wako hatuna matata 🎉🎉🎉
Combo ya joma na kenny mmh🔥🔥🔥🔥🌍🚀🚀🚀
Mariooo akili n kule kwetu kibosho moshi......umetisha sana mzee wa location
Huyu director Kenny kiboko aiseee🎉🎉🎉🎉
Huyu dogo anabamba sana kila mtaa nyota yake kali aiseee❤❤
Marioo umejituma sana kuitangaza nchi yetu, sasa wakupe madeal ya kiutalii sasa video kali
🇹🇿 TANZANIA misc it another level 💯
Marioo Is No Ordinary African Artist ❤👏🌎
th-cam.com/video/wxQKZAcmTIc/w-d-xo.htmlsi=GlLyfTaVGDsoB4Li
Go baba amara ❤❤❤❤❤❤ Mungu yupo na wewe mashabiki zako tunakupenda
From Morocco, I love this song, reminds me of my days in Tanzania
Welcome back to Tz 🇹🇿
@@lulanjamd3886 thank uuu
@@lulanjamd3886 Thank you
THIS IS TANZANIA🇹🇿🔥
hongera sana omary fundi fereji hodari pale mikocheni,ww nakuita champion sababu ni jeshi la mtu mmoja then unatikisa Anga balaaa❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Director Kenny ategweee 🙌🏾🙌🏾
Hii nyimbo ukiiskiliza haikuchoshi na hii video ukiingalia ndo kabisaaa inakumaliza nguvu... itoshe kusema hii nyimbo ni kali sanaa kwnye kila idara... like hapa twende sawaa.
Sio 'HII NYIMBO' ,sema 'HUU WIMBO'...Nyimbo ni kama zaidi ya mmoja
th-cam.com/video/wxQKZAcmTIc/w-d-xo.htmlsi=GlLyfTaVGDsoB4Li
This Mario will be the big deal in East Africa and Africa....Ameshinda Diamond 🎉
Tanzania wildlife and nature proud of you marioo
Kama unapenda Marioo weka likes zake hapa ❤
❤❤❤❤😊
Marioo is BAD!!
BAAADIE
Diamond,, Harmoniz,, Rayvanny,,Mbosso,, Lava Lava,,Bahati,,Willy Paul na mm Tusha weka hii tick✍️✍️..Kama unakubali weka tick✍️
🇰🇪Kenyans let's gather around and support our brother Marioo 🇰🇪🇹🇿🫂
Hongera sana..kichupa kizuri...umejua kuitangaza nchi..nice job...🎉❤
Kitambo sn Burundian 🇧🇮🇧🇮here now nipo Zambian 🇿🇲🇿🇲
Tujuane basi hata Moja like😢😮😮 alo badnation
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Tanzania industry inakutegemea🎉
Kama unamupenda marioo likes hapa❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Kutoka kenya 🇰🇪 naomba like kwa mziki mzuri kutoka kwa maroo....
Tuko ndaaaaaaaaan sana braza😂
Balaaaaaaa
Noumaaaaa
tishaaaaaaa
Xanaaaaaaa
Video Kali ngoma Kali Msanii mkali congratulations toto Bad🙌🙌
Wa kwanza from South Africa❤ like zenu bx
Wakenya wote gonga like hapa 💪💪💪
NomAa sanaa
Artists this is how you do it
A great video and beautiful music
Marioo🇰🇪🇹🇿 Noma sana
Namba moja mzee gonga like nyingi sana
God loves you.... Let's worship Him
Kabsaaaa
Yeye nd kimbilio
Ametuumba sisi
Hana mfanano
MUNGU mkubwa
J'adore la chanson il y a une certaine douceur, depuis le Congo-Brazzaville !!! Hakuna Matata
Like hata Moja 1 TU kwatunaompenda marioo ❤❤
Lakini xanaaa
Tishaaaaa
Oumaaaaa
Balaaaaaa
Xanaaaaaa
Umetishaaa marioooooo
Ngoma Kali Sanaa 🔥 hakuna matata🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 If you have watched it more than twice sign here.😍😍😍🔥🔥🔥🔥
The beauty of Africa
Wimbo mzuri sana, hongera Marioo, love from Kenya
Hakuna matata ni wimbo wakwanja afrique kubishana na wimbo wa diamond plat wakiwa na jackison derulo naomba lake 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇺🇬
Nilijua lazima mambo ya tamaduni yawemo ndani
Hakuna matata linatumika sana kweny utariii ndo maan
Hakuna matata ngoma
Moja tupo wenyewe wala hatuja mshirikisha msanii wowote na bado tunaishi katika soko big up @marioo🎉
Hata mushirikishe hamujawai fikisha 100 Million viewers. Babo pambaneni.😂😂😂
Video ni kali🎉
Kwa ajili ya marioo
Weka likes ****
Hakuna matata
Nani pia anapenda mario hapa😢 aky i do luv this guy 🥰🎉
❤❤❤❤ Iko biyeeeee sanaaaaa
Mbali na Yote Director kENNY ni moja ya Hazina za kujivunia hapa nchini kiukwel anajua sana mwaga Likes za KENNY hapa kama unakubal kazi zake
Team mariooo gonga like twende pamoja ❤❤❤
Nomaaa sanaa
Unajua sanaa
Mkubwaa watakubalii sanaa
Tishaaaa sanaa
Hatr mkuuu
Congrats kpenz umeupga mwingi❤❤🔥🔥
Nakubl sana
Anajua kwel an
Uhakika
Unyam sana
Mwamba sana
The first bana Wapi likes za 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mkenya mwenzangu❤❤❤ Kenya 🇰🇪🇰🇪💪
Ngodha tena
Likes za kenya zote zifike hapa🇰🇪✊
Iyi nyimbo ni ya mzuri sana 😍on behalf of Mario appreciators from China 🇨🇳
Kama unampenda marioo likes hapa
Noumaaaa xanaaaa
Balaaaaaa
Noumaaaa
Kaliiiii
Noumaaaaa
Wa kwanza kutoka Kenya. Show me some love kwa kulike😊❤
❤❤
Samata kunamda ulifika akabidi aende zake nje uko mda wako sasa wakutupa madude na waty wa nje uko wanaija waghana twende mbele uku ndani hatukudai @marioo 🙌🙌🙌
Noumaaaa
Xsnaaaa
tishaaaaa
Mario we atari mkubwa wangu , congratulations kwazi zako safi
MOSHI KAMA MBELE😂🔥🥳
Unyama Ni mwingiii😊💥💥
Majemeni mbona nyie mnapata likes me sipati 🇰🇪🇰🇪
haya hiyo hapo
Nice song. video ni nzuri sana❤❤❤❤❤
Nime hamini kwa Nini video hilianzia kwa maraisi kwa sababu ubunifu wa utarihi wa Nchii umezingatiwa Wacha tuskirize mziki mzuli 🔥🔥🔥📌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👑👑👑👑👑 like za Kenny hapa👉🙏
Sitaki like kutoka kwamashabiki wa marioo, like hata kutoka kwako marioo ni enjoy na kukubali sana 🎉🎉🎉❤❤
Adi raha
Badnation for life
I like it
No body can stop hit song
No body can stop hit song
Hilii jamaaa kamaa mondii bwanaa🔥🔥🔥
Sawa hakuna matata🎉😂
Ule wote mwenye anampenda marioo like Apo chini marioo good song
NomAa sanaa
Safiii snaa
Tishaaa sanaaa
Mkuu hatr
Mzk mkubwaa huuu
Japo diamond amemtoa kwenye trending, jamaa anastahiki pongezi bwana👍🙌
Nipeni likes zangu love from Mozambique🇲🇿🇲🇿
Nomaaa sanaa
Kaz kubwaaa sanaa
Unajua sanaa
Nomaaa sanaa
Hakunaa matata