Baba Olivia Episode 5// A single father teach his daughter the POWER of believing on herself
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2024
- Tazama jinsi Baba Olivia #GaboziGamba anavyompa binti yake nguvu kwa kumfundisha umuhimu wa kujiamini na kuwa na imani na uwezo wake. Akiwa anakabiliana na changamoto za kulea mtoto pekee Gabo ama Athour, anamfundisha masomo muhimu ya maisha ambayo kila msichana mdogo anapaswa kuyasikia.
Jiunge nasi tunapoona jinsi anavyomhimiza binti yake kukumbatia nguvu na vipaji vyake, na kumkumbusha kwamba anaweza kufanikisha chochote anachokusudia. Moja ya nyakati zenye nguvu zaidi ni pale anapomwambia asiwaogope WAVULANA, akisisitiza kwamba anapaswa kuwaona kama wenzake na asiruhusu yeyote kupunguza thamani au uwezo wake.
Kupitia mazungumzo yao ya wazi na uzoefu waliopitia pamoja, baba huyu na binti yake wanaonyesha maana halisi ya ustahimilivu, upendo, na heshima ya pande zote. Video hii ni ushuhuda wa NGUVU ya kujiamini na uhusiano usiovunjika kati ya mzazi na mtoto.
Usisahau kulike , kutoa maoni, na kusubscribe kwa maudhui zaidi ya kuinua na kuhamasisha! 💪👧❤️
.............................................................................................................
In this heartfelt and inspiring video, watch how a single father #GaboziGamba empowers his daughter by teaching her the importance of self-belief and confidence. As he navigates the challenges of parenting alone, he shares valuable life lessons that every young girl should hear.
Join and see how he encourages his daughter to embrace her strengths and talents, and reminds her that she is capable of achieving anything she sets her mind to. One of the most impactful moments comes when he tells her not to be afraid of boys, emphasizing that she should see them as equals and never let anyone diminish her worth or potential.
Through their candid conversations and shared experiences, this father-daughter duo demonstrates the true meaning of resilience, love, and mutual respect. This video is a testament to the POWER of believing in oneself and the unbreakable bond between a parent and child.
Don't forget to like, comment, and subscribe for more! 💪👧❤️
For business:
mwakajumbafilms@gmail.com
instagram: / henrymwakajumba
#SingleFather #Empowerment #BelieveInYourself #Parenting #FatherDaughter #Motivation #SelfConfidence #LifeLessons - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Team Olivia ❤🎉
Sema Nini Jamani huyu Dude ni The best Actor Of All Time🔥🔥 kwa wanaomjua Toka zamani miaka ya 2008 mtanielewa
Ni kweli hongera kwake
Bongo Dar Es salaam Bongo
Kabsa we jamaa unajua waigizaji
Kabisaa
Watoto wa 2000 hawawez elewa enz za Bongo dar es salaam
Yaani olivia anavyoigiza utadhani hakuna kamera yani kama ndo maisha yake uhalisia umezidi saafi saana kaka Gabo dogo kaivaa😂😂
Yuko real sana
Yani😂😂😂
Maua yake🎉🎉🎉 Olivia ❤
Sema mashallah❤
Ka Olivia hata nje ya movie kanaonekana kana akili sana😊
Saana!💯
Kuanzia episod ya kwanza adi leo episod ya 5 Olivia amekuwa muigizaji bora kwa mtazamo wangu kwenye hii series
Nikubaliana na wew
Kweli kabisa yani ni anaweza adi anaweza tena ongera kwako olivia🎉🎉🎉🎉
Kweli kabisa mimi nakapenda ❤
Na Hana mpinzani 😅
Kiukweli sijawahi kuomba like ila kiukweli nainjoi sana hii movie naupenda sana
❤️
Kazi nzuri sana @@henrymwakajumba
Kazi nzuri sana @@henrymwakajumba
Hii momie ukiitazama unaweza sema hawaingiz bali wapo kwenye maisha halisia yaan kama hakuna kamera naipenda sana team olivia tujuane❤❤❤
❤️❤️
Wanao mkubali mwakajumbe gonga like twende pamoja wadau wadau wangu
😂😂 ❤️❤️
Movie nzuri ila mnaitoa utamu maana munaileta maramoja kwawiki
Mara mbili kwa week itakua vyema sana
Jamani hamuoni kama sasaivi system imebadilika sehemu ya 4 iliachiwa juma3 ijumaa imeachiwa ya5 atreast tunaenjoy movie Kwa wik mara mbili
Sema aka ka Olivia jmni 😊😊katakuwa kaigizaji kazuri, nategemea kukaona kwenye muvi nyingine naomba msikaache,baada ya Jenifer na Patrick hatujapata damu mpya nyingine
🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️ Zinakuja nyingine!
Hizi ndio tamthilia za kuangalia na wazazi ❤kazi nzuri
Asante sana!!
Olivia 🔥🔥🔥
Gabo hii imenigusa sana brother.olivia anajua kuigiza yupo serious.movie ya kijanja na mafunzo ya kimaadili pia Good Life bro
Asante sana!!!
Baba Olivia movie zake n noma sana👏👍
Bonge la surprise aisee sikutarajia kupata hii season kwa wiki mala mbili 💪💪💪
Nampenda Olivia anavyoongea
❤️❤️
Bro Gabo we ni atari from 🇨🇩 🇨🇩 congo nakukubali sanaaaa
aisee sijawah kuenjoy kuangalia filamu nzuri ya kibongo kama hii , mpangilio mzuri wa story so far na ukiangalia Waigizaji wamefit kwa nafasi zao na kuzitendea haki . Hii ni kazi nzuri sana pongezi sana kwa timu nzima ya Baba Olivia , akhsanteni kwa kutupa burudani yenye fundisho kubwa. I can't wait for the next episode
Asante sana na ubarikiwe sana kwa kutupa Muda wako!❤️🙏🏾
Olivia na baba ake wametisha❤❤❤
Basi watu wataacha comment zote watasoma yangu pia sitaki like zenu😂😂
Brother hii movie ipo very emotional asee yani kifupi kila mmoja kafanya ktk usahihi
Asante sana!! ❤️❤️
Baba wewe teacher wakucheza filam kabisa,congratulation,more❤❤❤ to youu
❤️❤️
Jamn hii movie ni nzuri naomba like usipite tu nawew😢😢
Umejilaiki mwenyewe iyo laik moja😂😂😂😂😂
Hii nzur sana insfundisha
Olivia ni man of the match
Hapo kwenye futi moja ina miter ngap umetupiga mkuu😂😂
Nampenda Olivia jaman ❤❤
❤️❤️🙏🏾
Ndonilikuwa na soma comment yako upew like apa
Napenda sana Olivia anavyo zungumuza lugha ya kiswahili iliyo na heshima na ujasiri,napendezwa na tabia yake kutoka 🇰🇪
Series naipenda vibaya muno
Tunaburudika na muvi kali ya baba olivia hallaah asanten sana
❤️
Natamani kujua mama Olivia yupo wapi na kwanini hayupo na baba Olivia ❤🎉
Akii wallah😂
Na wish nimjue mama olivya yuko wp
Muda si mrefu ukweli utaujua!! Endelea kufuatilia na Subscribe!! Episode ziko 17 Safari ndefu bado!❤️❤️❤️
@@henrymwakajumba daaah ref kwel 17, ssa bc mue mnatoa kwa siku kipand kimja pia at least
Nenda kwake
Gabo unajua tena unajua pamoja na tim yako nataka kolabo kati yako na clam vevo mahana mi ni shabiki enu na naweka bando kwa jili enu miamba 👀👀👀👀👀👀👀👀👀👀
Asante sana, tuta lifikiria hilo! ❤️
Baba olivia anaulizia habari za mwalimu kwa akili sana 😂
😂😂😂😂
Hahaha ❤️❤️❤️
😅😅ashaanza kuona dalili za kumpoteza 😂😂😂ila sijapenda yule jamaa alipita Naye kwenye swimming pool😂
Ametumia ubaharia mwingi sana kuuliza yaan hata dogo Olivia hajastuka😂😂
Mfugo utaingia kwa bwana shamba siku sio nyingiiii
Naona hapa mzee kotongo alishafariki... The man was so talented. His sounding voice was quo...
Atleast amewahi kutupostia
Olivia is killing
She is the best! ❤️
KAZI nzur
🙏🏾🙏🏾
Nmelate jaman like hata moja
Olivia mbone moto sana 🔥🔥
Kazi nzuri safi Gabo
Yaani Olivia 😂😂 anavyoongea kwa kulalamika fetty wangu namuona kabisa❤❤
😂😂😂❤️❤️
Best actor in Tanzania gabo as known as baba Olivia munachelewa kuitowa atiii
Na vevo aitwaje
Nampenda Olivia jmn ❤❤
Ili bongo dar es salama ilitisha sana
Sema hii kazi ni nzuri sana 🔥 kuanzia casting wahusika walivyoigiza hadi ujumbe unaotolewa hongereni saana
Asante sana shukran!
Huyu baba tina mafunzo yake yapo chini sanaaa😊
Jamani kazi nzuri sana mungu awabariki❤🎉
Asante sana nawe pia!🙏🏾🙏🏾
Tukikupa like utasapot lini
MWalimu mrembo kweli
Naipenda sanaaa 🎉
Afu mrembo sana
Iko poa sema mnaichelewesha
Leo nime wah ila mnaji taidi kweli jaman
Ni tamthilaya yangu pendwa sana
Asante sana!❤️
Mashallah
TOWENI HARAKA JAMENI TUNAIPENDA❤❤😮
daaaaah ila mama Tina yani bomba zaidi .
umewaishaa🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri sana Gabo hongera sana
❤️❤️
Safi sana
Kaka gabo ukitoa muvi nyingine igiza na olivia
🤛🏾🤛🏾
Olivia nakupenda sana ❤❤❤ vyenye unaishi na babako vizur
❤️❤️❤️❤️
Kz nzur sna king Gabo 👑
Nzur sana hii jmn hongereni waigizaj wote
Asante!
Tunafurahia hii big up sana wahusika wote
Asante sana!!
Mngelifanya mara 2 kwa wiki❤
Ni mara mbil kwa wik saiv mwanz ilikuwa mara1 kwa wik
Baba olivia anaulizia hbl za madame kwa maesabu makali san sema me ntapenda kam wakipendana aseeh
😂😂❤️❤️
Daaah sema sawa ila mnatukaba mda jaman 😢😢😢😢 but good work ❤❤❤
❤️❤️❤️
napenda mafunzo
Kazi nzuriiii Mashaallah❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️ Asante!
Wahooo!!! Nawapendaaa sanaaaaaaa ❤️❤️❤️🎉
Nasisi Pia!! ❤️❤️
Muendelez tfdhal
Watu wangu jmn
Jamani Jitahidi Mwe Mnatoa Hata kila siku, Ni kali Sana ila inatoka Taratibu Sana!
Olivia kiboko San movi nzuri san
Asante!🙏🏾
Napenda vile anaigiza movie
❤️
Gabo jaman wamoto🔥🔥
🔥🔥🔥🔥 kwa wiki japo episode 2 ingekuwa ❤❤
Hongereni ❤❤❤
Asante sana!
Mnachelewa sana kutoa movie hii tena kwa week moja tu dah 😭😭
Mda huu atutachelewa
Sawa
Sem mnachukua muda mrefu sana kuachia next episode
Matured movie 🎉🎉🎉🎉🎉
🎉❤mmetisha sana mnaweza nc mov
❤️❤️
Jamani ni nzuri sana nampenda Olivia sana
Asantee!!❤️
❤❤
Kazi nzuri MashaAllah❤️❤️❤️❤️
❤️❤️❤️
Tunasubili zakufata kwaju nitaku sana Kuna mtu ananifulahish kl
Jmn fanyeni hata kwa week mara 2❤❤❤❤
Tamuuu🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
❤️
Atakuwa na kishunduuuu huyu Olivia😊
Shukran nyote mubarikiwe
❤️❤️
🔥🔥🔥
Hatimae
Kazi nzuri sanA ❤❤. FROM MOZAMBIQUE
❤️❤️
Huyu Tina anazingua bhana
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥
Hongeleni sana ote pia mtoto Olivia kongole mwanetu
❤️❤️
Ila hutu jirani wa baba olivia hajawahi kukosa kulalamika na familia yake😂
😅😅😅😅 Atari sana 😊😂😂
Hakika nyny nivyuma cheche tu zinawaka gabo dude namzeekorongo mmetisha