Mbunge wa Viti Maalum | Baba Olivia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2022
  • Athor (Salim Ahmed ama Gabo) ni Baba anaejaribu kumlea binti yake Olivia (Betroda Sinforia) katika misingi ya kuja kua mwanamke mwenye kujiamini na kujitambua, licha ya changamoto za utofauti wa kimtizamo toka kwa wanajamii wanao wazunguka hasa Lucas
    (Kulwa Kikumba ama Dude) kua na mtizamo tofuti juu ya malezi na uendeshaji wa familia.
    Waangalie Salim Ahmed, Kulwa Kikumba, na Betroda Sinforia katika tamthilia ya BABA OLIVIA Desemba 19 kwenye mtandao wa Pendwa.
    www.pendwa.app/olivia
    SUBSCRIBE: / pendwaapp
    About Pendwa:
    Pendwa is a home for Swahili movies that tell African stories and celebrate African culture. Watch Swahili Movies and TV Shows from your favorite artists in one place without any advertisements. New movies are added every week!
    BABA OLIVIA | Official Trailer | Pendwa
    / pendwaapp
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 5

  • @user-mg7ym1gc8j
    @user-mg7ym1gc8j 3 วันที่ผ่านมา

    Olivia viazi viako tamu,I wish ngekuwa huko bongo tz

  • @LatifaSaid-xk8tt
    @LatifaSaid-xk8tt หลายเดือนก่อน +2

    aijatoka part 2

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 วันที่ผ่านมา

    Jamani Leo ijumaa mbona hamjarusha😢

  • @salamakambi1448
    @salamakambi1448 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha village bunge waaa

  • @benardjohn3536
    @benardjohn3536 2 ปีที่แล้ว

    Henry mwakajumba