Big up mzee baba sema ule ukweli hisia zako zipo vipi...ila pole sana na misuko suko hao ndio wanawake bhana wapo tayari tukose wote wanaweza wakakufanya mpaka mpango usiwike 🐔 # 🇹🇿🇦🇪
Kichwa ki moja cha uchebe una kufa mziwanda shauri yako uchebe haongei ana rusha kichwa tu jiandae dogo we ropoka tu Shishi ni kama maji kwako usipo kunywa uta yaoga tu 😅😅
Namshangaa , ulipelekwa uĺiienda , sijui anataka tumsaidieje ?? Akomae sie pia tuna yetu tunapitia mbona hatutangazi au kwa sababu sisi sio maarufu ????
Hakun limit kwenye music jmn... Sing wat you feel nuh😂😂😂😂it doesn't matter how and wat... Hizo n interview tuu kila mtyu anataka kuuza .. so mnavouliza maswali ambayoo Yana cross along the line.. mtajua tuu wenyew how smbdy feel😂😂😂🤣🤣🤣Ila kituu ipo rohoniii.
Shishi wawatu kakaa kmya na mme wake mwenye hekima mwenye busara mwenye elim yakidini wewe upo unahangaika kumchafua hujuwi unampandisha cheo huyo mtoto mdogo uliowa Mbona alikushinda 😂😂😂🤣🤣 shishi upo juu wewe ni hamida wa Nuh yupo anajichanganya ty hapa 😁😁😁
Dogo umepotea unatafuta tobo acha kuongea kama mwanamke anayedaiwa rejesho piga kazi mtoto wa kiume sio kutapitatapika tu eti ooh sijui uku unajua 🤣🤣ooh nilikuw mdogo ulikuwa na ndoa na mchepuko af unajifanya mdogo piga kazi utakufa njaaa mwajuma weeee😏
Ila mbna nuuh anaonekana bado anampenda sana shishi alfu Apunguze gambee nuuuh
Si vizuri kumchafulia shishi jamani.....
acha kujikaza nuh kimoyomoyo.chilole unampenda usijutiee kaka uliyatakaa mwenyeww si weye ulianza kuona nwreel kwa kumukomoa shishi ule njo mama laooo bwana nabado komaaaa kaka 😂😂😂😂nakuchek sana ulijuta eee
Sasa Kama walikulia wali kichwani😁😁😁😂😂 walikumaliza kabisa😁😁😁😂😂
Wakanya na maji kichwani mwake!
Kama unakubaliana namm kua numzwanda kayumba kimzik gonga like
Simulizi zote za wasafi news bonyeza apath-cam.com/video/XDawUkYVZrY/w-d-xo.html
Tofauti kati ya The switch na Block 89 ni kwamba block 89 wanaongea umbea tu yan apo wangekomaa na na ishu ya shishi mpak mwisho
😂😂Fakiti hii mwanangu
Big up mzee baba sema ule ukweli hisia zako zipo vipi...ila pole sana na misuko suko hao ndio wanawake bhana wapo tayari tukose wote wanaweza wakakufanya mpaka mpango usiwike 🐔 # 🇹🇿🇦🇪
Truth will always come out!
Kichwa ki moja cha uchebe una kufa mziwanda shauri yako uchebe haongei ana rusha kichwa tu jiandae dogo we ropoka tu Shishi ni kama maji kwako usipo kunywa uta yaoga tu 😅😅
Duuhh mziwanda maji umeyamwaga na hayazoleki shishiiii tunataka jibu hapa kumbeee
Interview nzr asee presenters wanaulza logic qns
Huyu kaka ana mvuto👌❤❤❤😙😙😙❤❤❤ttzo nyota tu jmn😍😍😍❤❤❤😙😙😙
Yani kwamba wewe ulikua huelewi kinachoendelea yani 😂😂😂Daaah😂😂😂
hayo mambo hukutakiwa kusema apo umeyumba sana ushakua mtu mzima unatakiwa ujielewe mambo ya waganga yanini tena🤔
Namshangaa , ulipelekwa uĺiienda , sijui anataka tumsaidieje ??
Akomae sie pia tuna yetu tunapitia mbona hatutangazi au kwa sababu sisi sio maarufu ????
@@chayogasperi9783 ujinga tu kaka
Hakun limit kwenye music jmn... Sing wat you feel nuh😂😂😂😂it doesn't matter how and wat... Hizo n interview tuu kila mtyu anataka kuuza .. so mnavouliza maswali ambayoo Yana cross along the line.. mtajua tuu wenyew how smbdy feel😂😂😂🤣🤣🤣Ila kituu ipo rohoniii.
Mwanaume kumkashfu x wako na kumzungumzia mbele ya uma huu ni utoto busara zaidi ni kukaa kimyaaa..
Sana ndugu yaan udhaifu huu mkubwa
Af mwanamke hata time nae hana hata kama ana time hajionyeshi kama yeye Nuh nimemtoa vyeo
Meza 🤣🤣🤣🤣Show.
Shishi wawatu kakaa kmya na mme wake mwenye hekima mwenye busara mwenye elim yakidini wewe upo unahangaika kumchafua hujuwi unampandisha cheo huyo mtoto mdogo uliowa Mbona alikushinda 😂😂😂🤣🤣 shishi upo juu wewe ni hamida wa Nuh yupo anajichanganya ty hapa 😁😁😁
Jamaa wameamua kuzima na tv yenyewe mhe kudadadeki
Dogo umepotea unatafuta tobo acha kuongea kama mwanamke anayedaiwa rejesho piga kazi mtoto wa kiume sio kutapitatapika tu eti ooh sijui uku unajua 🤣🤣ooh nilikuw mdogo ulikuwa na ndoa na mchepuko af unajifanya mdogo piga kazi utakufa njaaa mwajuma weeee😏
Ana tapa huyo, aache chuki and he should move on na kumuacha Shilole na life yake
Atali
Duuuh mwangu wewe ndy wale wale madume shupa
Aaah Nuh bado unamkubal Shishi ww
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hatari
Nuhu mzur
Weee kaka duuuu kuwa na kifua wewe jamani
Makin
msxyuuuuuuuuuu nenda huko mlishaachana sasa siri zenu sizinatuhusu nn
Mmh he is a bushing around coz kakosa wa kumsupport alchotaka scho slchopata aljua atakiki km ile nymbo nyngne
Tambweee
See W
Ko ww nuh ni zuzu eeehe maana ww n zuzu m2 anakushauli uende kwa mganga na ww unaenda ahaaa kumbe zuzu ww
Mziwanda
Huyu kiki aliokuja nayo inaonesha haswa ni muingo lakinj haonekani sasa kaamua kuja na uzushi huu jamaa fala sana wewee
Hana jipya , kiki itamharibia sana hii .
Uyu kweri ymemkuta
A
Choko wewe
Huyu kaka ana mvuto👌❤❤❤😙😙😙❤❤❤ttzo nyota tu jmn😍😍😍❤❤❤😙😙😙
🤣🤣