Mh. Mbarikiwa Mwakipesile. Man of God. Kwa namna hii ya makofi, uchangamfu na wote kuimba nk. Safi sana..Wengine Umeme ukikata ghafla, Ndo utagundua Mhhh Sifa ziliegemea tu vinanda, magitaa na drums... Endelea kubarikiwa..
Tangu zama vyombo vya Muziki vilikuwepo na vilipigwa utaaramu wa vipaji vya hali juu tofauti na sasa nikwa vile havikutegenea umeme ,Zeze ,vinubi na matari na tarumbeta havikuanza leo ngoma zilikuwepo vyote hivyo vilitumika kwenye ibaada yakumsifu Mungu.!! Makofi peke ni sawa ila inategemea na aina ya mwimbo unaoimba jinsi ulivyotungwa.!!
kiukweli umegonga kwenye mshono,ila asilimia kubwa ya waimbaji ikifikia kupga makofi utaona wakiweka usuper staa wakubana na sauti😂😂😂🙌🙌🙌m,barkiwa Man of God
Mbona unatudanganya, kama twende kizamani twende kizamani mazima, hata hizo camera zisiwepo, youtube, umeme, yaan utandawazi kwako hutaki, toa hivyo vyombo alafu tuone utakuwa na waumini wangapi baada ya mwezi. Unasema kwakuwa umebarikiwa unavyo, usidharau wenzio sio vyema. Vyombo vinaongeza hata ukuaji wa kanisa.
Tunarudi taratibu (kimoja kimoja, hatua kwa hatua) 1 Timotheo 4:8 Kwa maana kujizoeza kupata nguvu za mwili kwafaa kidogo, lakini utauwa hufaa kwa mambo yote; yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa, na ya ule utakaokuwapo baadaye.
Muumini wa kweli hafuati vyombo Wala utandawaz kanisani walokole turudi msalabani baba Yuko sahihi sanaa KUSIFU KUNAWAPASA WANYOOFU WA MOYO SIO WENYE VYOMBO VIKUBWA VYA MUZIKI
Kumbuka kanisa halijaja kwaajili ya mlokole, hatutumii vyombo kwaajili ya walokole wakweli na si kazi yetu kuwatafuta walokole. Luka 19:10 ''Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.'' Sasa wewe kama hutafuti watu upo sahihi utakuwa unao wakwako ambao walishakuwa walokole mapema.
Kiukwel watu wasio na ufahamu wa kiMungu wataona kama ujinga, ila pastor Mbarikiwa upo smart sana Mungu akusimamie sana tuponywe wengi
Mnaimb kawaid ila kiroho uumbja upo kitu kipya kinafanyka Asanten san ❤❤
Mh. Mbarikiwa Mwakipesile. Man of God. Kwa namna hii ya makofi, uchangamfu na wote kuimba nk. Safi sana..Wengine Umeme ukikata ghafla, Ndo utagundua Mhhh Sifa ziliegemea tu vinanda, magitaa na drums... Endelea kubarikiwa..
Tangu zama vyombo vya Muziki vilikuwepo na vilipigwa utaaramu wa vipaji vya hali juu tofauti na sasa nikwa vile havikutegenea umeme ,Zeze ,vinubi na matari na tarumbeta havikuanza leo ngoma zilikuwepo vyote hivyo vilitumika kwenye ibaada yakumsifu Mungu.!! Makofi peke ni sawa ila inategemea na aina ya mwimbo unaoimba jinsi ulivyotungwa.!!
Ameeeeeeen baba 🎉🎉🎉🎉
kiukweli umegonga kwenye mshono,ila asilimia kubwa ya waimbaji ikifikia kupga makofi utaona wakiweka usuper staa wakubana na sauti😂😂😂🙌🙌🙌m,barkiwa Man of God
Sijui wanini nalia hii ibada ni original mbele za Mungu......ohh Jesus bariki Tanzania
Napendelea sana kusifu kwa namna hii....Mbarikiwe tena!
Mmmmh hujawahi kubore man of God😢
❤❤❤ amen pastor
Nimemwona Sifa anaimba kwa hisia kabisa😂😂😂
Barikiwa saana
Asee mungu tusaidie sana
Amen Amen kbs❤❤❤
hakika jamiiii hiii niyakuigwa Tanzania kupitia mchungaji huyuuu
Waooo, Mungu atusaidie.
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe
Wooooow so anointing
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Jamani yessu alisali hivi tafakari
Daah umenikumbusha mwaka 2002
Hakika dunia nzima inatakiwa ijifunze kwako mtumishi wa mungu
Halelujah
HAPA KWENYE NYIMBO YA WOKOVU UMENIKOSHA MNO BABA
Ameeeeen ameeeeen in the name of Jesus ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Awandio wachungaji wakwel ambao niwachache sana
Sjawahi kufaham sut nyieus
Machozi yamenilenga sijuwi nini kwakeli
Tatizo la mbarikiwa amebeba imani bila ya kutumia akili .siku zote watakuseti wenzio
❤❤❤❤❤ amen amen
Ameen.
better to give more than to receive
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Natamani huu utukufu ungeenea Tanzania nzima
Ameeeeeni🙏
Apelekwe mentalii huyu jamaa
Pokea mwili wangu Eeee Bwana
Mwili wangu huuu uwe unafanya ibada
Mimi nimeliya kweliya
Mentalii kesss huyu jamaa
🤫
Ok
■HUU NDO UIMBAJI UNAOTAKIWA.
Mkweli
Yule dogo wa maendeleo yupo mla ganja zamani
Moyo Ni Jitihada
🙏🙏🙏
Mbona unatudanganya, kama twende kizamani twende kizamani mazima, hata hizo camera zisiwepo, youtube, umeme, yaan utandawazi kwako hutaki, toa hivyo vyombo alafu tuone utakuwa na waumini wangapi baada ya mwezi.
Unasema kwakuwa umebarikiwa unavyo, usidharau wenzio sio vyema. Vyombo vinaongeza hata ukuaji wa kanisa.
Tunarudi taratibu (kimoja kimoja, hatua kwa hatua) 1 Timotheo 4:8 Kwa maana kujizoeza kupata nguvu za mwili kwafaa kidogo, lakini utauwa hufaa kwa mambo yote; yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa, na ya ule utakaokuwapo baadaye.
Muumini wa kweli hafuati vyombo Wala utandawaz kanisani walokole turudi msalabani baba Yuko sahihi sanaa KUSIFU KUNAWAPASA WANYOOFU WA MOYO SIO WENYE VYOMBO VIKUBWA VYA MUZIKI
Ni kama hujamielewa . Ila Sio mbaya Ni maoni yako.
Kumbuka kanisa halijaja kwaajili ya mlokole, hatutumii vyombo kwaajili ya walokole wakweli na si kazi yetu kuwatafuta walokole.
Luka 19:10 ''Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.''
Sasa wewe kama hutafuti watu upo sahihi utakuwa unao wakwako ambao walishakuwa walokole mapema.
Kama wote tungekuwa walokole, kusingekuwa na haja ya yesu kufa msalabani, wala hakungekuwa na haja ya kuhubiri injili.
Good job
Jamani yessu alisali hivi tafakari