SABABU HII YAMFANYA NAIBU WAZIRI AJIUZURU //CHANZO HIKI HAPA //WENGINE WALIWAHI JIUZURU HAWA HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @GrceLaurentkaboigora
    @GrceLaurentkaboigora 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa Hilo nakupongeza, bora ujiondoe mapema

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mheshimiwa umetoa funzo kubwa kwa wanaong,ang,nia vyeo hata km wakiona mazingira ya utendaji wao w kazi sio rafiki.Nakuona uko juu sn hapo baadaye

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa watakuwa wamelikoroga na Boss wake Makamba ..!! Tutajua mengi siku zijazo

  • @hassanomar7195
    @hassanomar7195 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hata bado, Wazanzibari zaidi watajiuzulu kwani wanaelewa wamefika sehemu ya Ubunge na Uwakilishi kwa njia ya kharam na kwa hivyo wanapokea malipo ya kharam, hivyo wanalisha familia zao na wengine kwenda HIJJAH kwa pato la kharam, mimi nadhani huyu yeye ni Mbunge wa kuteuliwa lakini ameangalia mtiririko mzima wa uchaguzi kuanzia juu kabisa na kuona uhalali wa yeye kuwemo ndani ya mfumo huo.

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 2 หลายเดือนก่อน

      wewe mwenyewe ni kibaka tu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 หลายเดือนก่อน

    Heri ulivyoondoka maana umeyumbishwa sanaaaa

  • @GalilayaKilyabiye
    @GalilayaKilyabiye 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndiye kiongozi anasitahili kuongoza nchi

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 2 หลายเดือนก่อน

    Makamba haikosi itakuwa ndy sababu.

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud 2 หลายเดือนก่อน

    Naibu waxiri kajiuzuru na waxiri katenguliwa !?!?!?! Ipo namna

  • @KashumbaMshanzi
    @KashumbaMshanzi 2 หลายเดือนก่อน

    Tutaona megi

  • @JamesSwai-kg2lw
    @JamesSwai-kg2lw 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnatuharibia kiswahili siyo kujiuzuru ni kujiuzulu

    • @Ambagaye
      @Ambagaye 2 หลายเดือนก่อน

      Halafu mheshimiwa huyo "amejiuzulu" siyo kwamba "ameweza kujiuzulu."

    • @abasibogga4798
      @abasibogga4798 2 หลายเดือนก่อน

      Kiswahili ni sio.

    • @mabondolawrence1812
      @mabondolawrence1812 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni kanjanja

    • @Ambagaye
      @Ambagaye 2 หลายเดือนก่อน

      @@abasibogga4798 Kama lugha yako ya kwanza siyo kiswahili, tafuta mwalimu akufundishe. Elewa kuwa siyo ni kinyume cha ndiyo; iwapo utasema sio basi vile vile utajibu ndio. Kiswahili cha makorongoni hicho.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe James 😂😂😂😂

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

    Wanawazuga tu nyie mazombi

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 หลายเดือนก่อน

    Makamba mambo yake ya ovyo

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 2 หลายเดือนก่อน

    Ila watu waliosoma dini bhana wanamaamuz magumu sana, yaani ameacha pesa za ubunge na zauwazir? Dah mbingu ni yake