NAKUSHUKURU EE MUNGU WANGU || ST. GASPAR BROTHERS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • WIMBO: NAKUSHUKURU EE MUNGU WANGU
    MTUNZI: BONAVENTURE MARO
    AUDIO: DIZZY PURE RECORDS
    VIDEO: ST. GASPAR MEDIA PRODUCTION
    DIRECTED BY FRT. ANTONY & NESTORY
    .
    .
    Itukuzwe Damu ya Kristo! - Milele Amina!
    ◻️Karibu Mwanafamilia ya St. Gaspar Media!
    ◻️Hili ni Channel maalum inayomilikiwa na Seminari kuu ya Mt. Gaspari del Bufalo, Ipo mahususi kwa ajili ya kushare Taarifa mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Mafundisho ya TASAUFI YA DAMU AZIZI YA YESU , Uinjilishaji kwa njia ya Tafakari za Kila Siku, Nyimbo za Dini, na matukio mbalimbali ya Kanisa Katoliki ambayo tutakuwa tunayaweka katika Channel yetu ya TH-cam @st.GasparMajorSeminary
    ◻️Pia kama utakuwa na Swali lolote kuhusu Damu Azizi ya Yesu, Shirika la Damu Azizi ya Yesu, Kumfahamu Mt. Gaspari del Bufalo unaweza kuuliza na kupata majibu humu.Karibu sana tushirikishane Tone la Upendo!
    MAWASILIANO
    📱 +255 715 999 802
    📧Stgasparmajorseminary@gmail.com
    @st.GasparMajorSeminary
    #St. Gaspar Media Ndoto_inaendelea

ความคิดเห็น • 96

  • @user-do6ug9ko7y
    @user-do6ug9ko7y 6 หลายเดือนก่อน +5

    Frt Lucas... hongeraa naona unaacha alama ya kudumu kila utakapokanyaga..

  • @raphaelanthony4666
    @raphaelanthony4666 11 หลายเดือนก่อน +7

    Navutiwa hata kujiunga na shirika lenu hongeren sana mnafanya vizuri jaman

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  11 หลายเดือนก่อน

      Amen amen.....Tumshukuru Mungu

  • @JOHN-PETER.
    @JOHN-PETER. 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi Makini..Barikiwa Sana Wakuu

  • @despinae.mdende
    @despinae.mdende 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri Mungu awabariki sana Watumishi wa Mungu🙏🙏

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  10 หลายเดือนก่อน

      Amen amen....ubarikiwe piaa

  • @mdumatv5168
    @mdumatv5168 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni sana St Gaspar Brothers

  • @hidayamwakhatala4850
    @hidayamwakhatala4850 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hongeren sana Kwa kazi njema ya Bwana Mungu azidi kuwainua mumtumikie vema.

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  9 หลายเดือนก่อน

      Santeeee sana Mungu mwema

  • @christinamlowe691
    @christinamlowe691 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri Sana Brother's Asanteni,God is Good 🙏🙏🙏

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  11 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @CharityWalter-cy2cg
    @CharityWalter-cy2cg 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa kweli nabarikiwa mno❤❤❤

  • @esperiusedwin5690
    @esperiusedwin5690 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nimebarikiwa sana na nyimbo hii asanteni sana🙏🥰

  • @Prisca_Regine
    @Prisca_Regine 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri 💯👌 , Uimbaji mwema Sana. Mungu Azidi kuwabariki 🙏

  • @gracemisokalya1061
    @gracemisokalya1061 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mpo vzr maflateli wetu,Mungu awajalie utume mwema

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  9 หลายเดือนก่อน

      Amen...
      Ahsanteee sana

  • @sylvesterchikoti1560
    @sylvesterchikoti1560 11 หลายเดือนก่อน +3

    Baba Kiberiti, naona utume wako baba.

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  11 หลายเดือนก่อน

      😁😁😁😁😁

  • @kelvinrwezaura6077
    @kelvinrwezaura6077 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni sana kwa kazi nzuri hakika inatafakarisha na kuburudisha nafsi. 🙏🙏🙏

  • @kassimourio6879
    @kassimourio6879 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuriiii❤❤❤❤

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  7 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Valerie365
    @Valerie365 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nawapenda sana ninyi vijana wa Yesu!
    Asanteni kwa kazi nzuri.

  • @EmilianaCharles-yt4vt
    @EmilianaCharles-yt4vt 10 หลายเดือนก่อน +3

    🙏🙏❤️🌹

  • @stefanosamile6734
    @stefanosamile6734 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana kama kawaida yenu wana Mt Gaspari.
    Many greetings from the White Fathers in Uganda.

  • @MariaJoseph-hx2zu
    @MariaJoseph-hx2zu 5 หลายเดือนก่อน +2

    hongera sana kak ,,,kiongozi wetu bora,,, kila la heri mkuuuu🎉,,,,,

  • @valencemwarabu7611
    @valencemwarabu7611 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi imetulia aisee

  • @Jifunze1002
    @Jifunze1002 5 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU AWATUNZE SANA

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  5 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @Jifunze1002
      @Jifunze1002 5 หลายเดือนก่อน

      @@St.GasparMedia Hii Seminari kuu ya Mt. Gaspari del Bufalo iko mkoa gani?
      Ni seminari ya shirika gani?

  • @samsonimasiko7261
    @samsonimasiko7261 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi ya mikono yetu uithibitishe Ee Bwana🙏🏿

  • @emmausbookstore
    @emmausbookstore 4 หลายเดือนก่อน +2

    Glory to God. Hongereni sana brothers🙏👏

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 11 หลายเดือนก่อน +3

    Asanteni sana Baba zetu kazi nzuri sanaa,mbarikiwe sana

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  11 หลายเดือนก่อน

      Amina, barikiwa piaa

  • @marymimina
    @marymimina 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nimefurahia jinsi mnavyochangamka. Mna furaha kweli katika nyumba ya Bwana. Bwana hatawaacha kamwe maana neema zake hazina mipaka🙏🏻🥰

  • @HelenaMathias-j2q
    @HelenaMathias-j2q 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mbarikie sana Kwa utume

  • @TalentedMusiciansTMO
    @TalentedMusiciansTMO 11 หลายเดือนก่อน +4

    KAZI SAFIII SANA BIG BROTHERS 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @victustarimo9392
    @victustarimo9392 11 หลายเดือนก่อน +3

    Great job

  • @user-cn2ty4gx5v
    @user-cn2ty4gx5v 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asnteni sana sanaaaaaa😊

  • @serahmuthoni24
    @serahmuthoni24 10 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana Tom

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  10 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kasekachannel7410
    @kasekachannel7410 10 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥 Hongera sana

  • @user-mh7hq7my1w
    @user-mh7hq7my1w 11 หลายเดือนก่อน +3

    ongereni sana

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mzidi kubarikiwa sana,hongereni kwa uinjilishaji kwa njia hii.Hamjawahi kuwa na kazi mbovu.Asanteni sana naungana nanyi kumshukuru Mungu kwa uwepo wenu

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  10 หลายเดือนก่อน

      Amina.....barikiwa mno

  • @v.k.m5475
    @v.k.m5475 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi kuntu

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  10 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏🙏

  • @cleriakahemela3933
    @cleriakahemela3933 7 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  7 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @juliusbaynit1060
    @juliusbaynit1060 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeren sana St Gaspar bila shaka kweka anaimba sauti ya kwanza

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  7 หลายเดือนก่อน

      Hahahahaha ni multipurpose sauti zoteeee

  • @remigiusalex3528
    @remigiusalex3528 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri, mziki mzuri sana

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  11 หลายเดือนก่อน

      Santeeee sanaa mkuu

  • @emmanuelfideliskashumba8802
    @emmanuelfideliskashumba8802 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni sana! Tunashukuru kwa kutusaidia kusali mara mbili🙏🏾

    • @St.GasparMedia
      @St.GasparMedia  11 หลายเดือนก่อน

      Amina, barikiwa sana

  • @monicajoseph9447
    @monicajoseph9447 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongeren San jaman kaz nzuri

  • @gershomchallo
    @gershomchallo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Blessings

  • @gabrielmtiti4918
    @gabrielmtiti4918 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni sana kwa kuinjilisha.

  • @danielaugustino4167
    @danielaugustino4167 11 หลายเดือนก่อน +2

    Aminaaaaa

  • @natashaphilimon8428
    @natashaphilimon8428 11 หลายเดือนก่อน +2

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @conspirancytheories
    @conspirancytheories 11 หลายเดือนก่อน +2

    Good Work

  • @WanakwanyiEmmanuel
    @WanakwanyiEmmanuel 7 หลายเดือนก่อน +1

    Can I become a Religious brother like you

  • @sylvesterchikoti1560
    @sylvesterchikoti1560 11 หลายเดือนก่อน +3

    Sijui kwanini SPS uikua huimbi kwaya, just kidding bro

  • @AnnastaciaSafarin
    @AnnastaciaSafarin 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri.Hongereni

  • @KMCSWAKULU
    @KMCSWAKULU 11 หลายเดือนก่อน +2

    Good work