St. Gaspar College: NIRUDIENI MIMI (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Nirudieni Mimi Asema Bwana Yoeli 2:15
Ni wimbo maalumu kwa ajili ya kipindi cha Kwaresma, umeimbwa na Waseminari wa Shirika la Mt. Gaspari del Bufalo Kola-Morogoro!
Mtunzi: Frt. Bonaventure Maro
Kinanda: Frt. Bonaventure Maro
Audio: BS Studio
Video: St. Gaspar Production
Directed by Frt. Antony Eponda
#Ndoto_inaendelea
Hakika mungu amewaita msirudi nyuma angalieni msalaba mtaokolewa
Amina
Ukisikia jina lako itika jana na Leo
Frt.Ezrah.........
Hongereni Wapakwa mafuta wa Bwana mmenibariki sanàaaaaa
Amina
My brother from Samanga Parish, Rev
Fr Reginald Lyamuya naona utukufu wa Mungu kwako kaka. Mungu awainue zaidi na zaidi
Amina.....Mungu Akubariki Daima
Mbarikiwe Sana. Conversio a Deo
Kazi safi Seminai kuu ya Mt. Gasper... Tupataje nota
Bonaventure and Brothers.. Unaiendeleza vyema kazi njema uliyoianza Maua Seminary. Nawatakia kila la kheri hakika mmechagua njia iliyonjema saana. Sadaka yenu ikapate kibali mbele za Mungu wetu, Roho Mtakatifu akawaongoze siku zote.
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote!!!!!!!!
Very blessing song though I have seen it lately but sichoki kuusikiliza
Amen
Hy...naomba hii piece...am fr. Josef from mombasa kenya
contact us +255 715 999 802
“Nirudieni mimi asema Bwana”🥹🥲Nimesali haswa..Mtunzi na waimbaji wamedhiirisha ni Wanamziki waliotukuka🙌
Amen amen.....Pianist akisema nani apinge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💥💥💥💥💥
Naupenda huu wimbo sana.Kila cku clali bila kusikiliza asante kwa utunzi mzuri
Barikiwa sana
Nakuona brother kutoka Pnl singers kwaya ya kina Dominic Kigambon Hongeren sana
Kazi nzuri ndugu
So nice brothers Mungu awabariki sana
Utunzi mzuri uliotukuka...hakika Roho qa Mungu alikufunulia melody hii Frt Maro...ndugu katika Kristo mmeimba vizuri sana...mmeniinjilisha...nitashare kwa watu wengine pia..huwezi kusikiliza wimbo huu ukabaki kama ulivyo...May God bless you all brothers.
Ahsante sana ubarikiwe
Mmeimba vizuri sana hongereni watumishi wa bwana
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Hongereni Sana kwa wimbo mzuri na kwa sauti nzuri zenye utakatifu. Hakika Mungu anatukuzwa kupitia vinywa vyenu. Mungu awaimarishe zaidi ktk wito wenu.
Amina, tubarikiwe sote
Kazi nzurii sana inatutafakarisha vyema kipindii hiki cha kwaresma
Hongerenii sana🙏🏾
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Rarueni mioyo yenu na si mavazi yenu. Mungu abariki vipaji na kazi iliyomo ndani ya mioyo yenu🙏🙏🙏
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Very touchable song♥️may the Lord who started the good work in you bring it to the fulfilment 🙏♥️
Amina
Kazi nzuri sana kongole kwenu nami na bro lucas na maro hakuna kitu inaharibika wakiwepo hao
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Mungu aendelee kuwapa afya njema mkapewe mkapewe kibali mueneze neno lake kwa Mataifa yote Mbarikiwe!!!
Hongereni sana. Asante kwa uinjirishaji wenu barikiwa nyote.
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri, Mungu azidi kuwainua
Amina
Mmetoa funzo zuri Kwa wimbo Bora wa kiufundi kuwahi kuimbwa hongereni sana Mungu aendelee kuwaimarisha mtuletee nyingine nyingi msibweteke excellent!!!!
Touching song..asaante mno mnoo
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Amina
Asanteni sana kwa wimbo huu watumishi wa Mungu.🙏
Mungu awabariki na awazidishie.🤗🤗🤗
Thanks Miss Anne be blessed pia
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote!!!!
Hongereni sana kwa kazi nzuri!
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Hongeran sana Kwa kweli mmenibariki kila mara nasikiliza wimbo huu
🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana honhereni mafrateri
🙏🙏
Hongereni sana. Mmeimba vizuri sana. Mungu abariki Miito Mitakatifu
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Congratulations mafratel
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Hongereni Sana ndugu zangu. Mungu awabariki Sana kwa utume huo
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Mungu ashukuriwe kwa vipaji vyake ndani yenu kaka zetu. Wimbo unahamasisha na kutupa hamu ya kukimbilia kitubio
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Masoloist mko juu
Amen
Congratulations. Mungu nimwema kila wakati
santee
Wimbo mzuri unatafakarisha. Hongereni Sana wajukuu wa Mt.Gaspar🙏
Nawakubali sanaaaaa
Oyooooo, congrats. Naona na Rector hajaachwa nyuma🤣🤣
🙏
MUNGU ATUKUZWE. HONGERENI SANA.
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Waooooo Lucas you have made my day. Mungu awabariki nyote kwa wimbo mzuri na mtamu. Mungu awatie nguvu kwa wito wenu nasi tunawaombea na kuwatia nguvu. Natiwa nguvu kwa unyenyekevu wenu Msikate Tamaa
Asante sana my Big Bro..... Be blessed too kaka 💪🤝🔥
Tubarikiwe sote
Hongereni kwa kazi iliyotukuka.
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Aisee hongereni sana ndugu zangu. Hii ni kazi nzuri sana. Hongereni sana.
Hongereni sana kwa kazi nzurii....👊👊
Hongereni sanaa ..
🙏🙏
🙏🙏🙏
May the God bless you, wakuu
Amazing Song
Mbarikiwe sana na hongereni kwa utume
Mungu azidi kuwainua katika viwango vya juu zaidi
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Hongereni sana kwa kazi nzuri ya uinjilishaji
Amina barikiwa sana
Ezra Gerald mwanilwa
Wimbo unaojenga waini. Mungu awambariki sana
Mungu awabariki Sana jamani utume Mwema
Amina
Kaz nzr mnooo hongereni sana waseminary wetu 🙏
Hongereni sana,watumishi wa Mungu, Mungu awabariki sana
Mungu awaonekanie wanangu, mnanibariki mno
Amina mama.....tubarikiwe sote
Nice song congratulations.
Thanks so much
Hongereni Sana. Kazi nzuri, nawatakieni kwaresma njema.
Ahsante sana Mwanamuziki.....Kwaresma njema kwako na kwa Familia
Very nice brothers...lets keep moving in christ name.
good work
Mungu awabariki wimbo mzuri sana
Barikiwa ndgu
Barikiwa ndgu
Mungu azidi kuwainua katika viwango vya juu kabisa..be blessed brothers 🙏
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Mungu awatimizie haja za mioyo yetu
Woooow congrats brothers, very nice 🥰❤️🙏🏻
Thanks so much
Congrats brothers..God be with u all
Kwakwel nifuraha kuwaona watu ambao nawafaham kwa kideo 🥰
🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
Blessed be God,u so few but you did a marvelous Godly job.Mungu awafanikishe katika wito wa ukuhani aliowaitia,awainue viwango na viwango,awaongeze wengine wengi hapo mlipo na yote yazidi kuwa kwa sifa na utukufu wake yeye Mungu wetu.Mmeimba vizuri sana I can't explain the way the song has touched me,hongereni sana nyote,hongera sana Frt. Maro,ua songs are veeery unique na so good.Blessed be God🙏
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Be blessed the wonderful praising song you really bless people with these fantastic songs big up and be blessed always
Amen 🙏
🙏🙏
😭😭🙏🏼
🙏
Hongereni sana 🙏🏼
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Amen
Amina
Mungu awabariki kwa kazi nzuri
🙏
Good song🙏
Nasikliza Mara kumi kumi wala sitosheki. Mbarikiwe sana nyinyi watoto mmehubiri ipasavyo.
Congratulation brothers 👏
Thanks in advance
Nic
🙏🙏
Bravooooo🙏🏾
thanks
Very nice
Thanks
I like it, be blessed
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Nice!
Thanks
mnajua🥰
hongereni Mungu atukuzwe 🙏
Tubarikiwe sote
Amen🙏
Sambaza upendo kwa ndugu, Jamaa, na marafiki waweze ku Subscribe
Pamoja sana🙏
God bless you
🙏🙏
Really blessing 🙌
Amen amen
🔥🔥
🙏🙏🙏
Mmmmmmmm!!!!!!!! Very serious
Sanaaaa
❤
❤️❤️❤️🙏🙏
I love your song so spiritual ❤
Amen
Y'all be blessed brethren for this 😇 🙏
Ahsantee sanaa....Tubarikiwe sote
Wow!! Amazing ❤️
Thanksss.....Be blessed
A very nice song 🎵
Santeeee
Thrilling!
🙏🙏
Kaz nzr mnooo hongereni sana waseminary wetu 🙏
Amina 🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
🙏