SWALI LA MBUNGE DKT. KIMEI KUHUSU KITUO CHA AFYA CHA MWIKA MSAE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • NA WILLIUM PAUL.
    #MBUNGE wa Jimbo la #Vunjo Dkt. Charles Kimei ameibana serikali kwa kutaka imuhakikishie iwapo kituo cha #Afya cha Mwika msae kipo katika orodha ya vituo vya Afya vikongwe 202 ambavyo vinakwenda kufanyiwa ukarabati.
    Naibu Waziri Ofisi ya Rais na Serikali za mitaa anayeshughulikia Afya, Dkt. Festo Dugange akajibu swali hilo.

ความคิดเห็น •