HAJI MANARA AMJIBU DULLAH MAKABILA / NAKUONYA ACHANA NA ZAIYLISSA / SIJAKUPELEKA POLISI MIMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • KWA MARA YA KWANZA HAJI MANARA AMJIBU DULLAH MAKABILA / NAKUONYA ACHANA NA ZAIYLISSA / SIWEZI KUKUPELEKA POLISI MIMI TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA
    #manaratv #hajimanara #zaiylissa #diamondplatnumz #dullamakabila

ความคิดเห็น • 305

  • @shabanJuma-fe6wf
    @shabanJuma-fe6wf 7 หลายเดือนก่อน +16

    Namkubali sana huyu jamaa ❤❤

  • @halimamremi5375
    @halimamremi5375 7 หลายเดือนก่อน +5

    HONGERA MANARA KWA MAJIBU YAKO MAZURIYY SAANAA❤❤❤❤❤❤❤

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os 7 หลายเดือนก่อน +14

    Manara sema kweli kwa Rushayna uliongea sana na kurusha vijembe sana. Hadi sasa bado hujamove on kubali tu.

    • @khadijahussein5298
      @khadijahussein5298 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli haji anampenda sana rushaina

    • @theophiljoseph6824
      @theophiljoseph6824 7 หลายเดือนก่อน

      Kweli manara nae asiongope alisema alimuoa Rushayna ili amuache bi mkubwa lakini akuwa na mapenzi nae

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@theophiljoseph6824kwani rushayna ameolewa hajj akanza kulialia kama anavofanya dulla?

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kwel manara nakubali sanaa
    Nakubali

  • @dominarwechungura5797
    @dominarwechungura5797 7 หลายเดือนก่อน +5

    🌹❤️💙kwa Manara

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 7 หลายเดือนก่อน +6

    Manaraaa❤❤❤❤❤

  • @smaylonner6858
    @smaylonner6858 7 หลายเดือนก่อน +9

    Nakupenda bure kaka mkubwa❤❤

    • @user-po7gb6xx1k
      @user-po7gb6xx1k 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤Mashaa Allah kaka Haji Manara ni mtu poa na mpole saana hana na heshma kubwa kwa mkubwa na mdogo wote anawaheshimu❤❤❤
      Mstaarabu kweli kabisaaaaa

    • @user-po7gb6xx1k
      @user-po7gb6xx1k 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤Kaka Haji Manara anaheshima kwa kila mtu kwa mkubwa na mdogo wote kwake sawa na anawaheshimu saaaana watu wote❤❤❤
      Masha a Allah anaongea maneno ya kiakili,, kikubwa na kiheshima na kiutaratibu na kiistaraabu❤❤❤

  • @user-gj2mm3ko8m
    @user-gj2mm3ko8m 7 หลายเดือนก่อน +7

    Haji ❤Muoe zaillissa East Africa Royal Marriage.Mombasa,Nairobi ,Kisumu and halafu .
    Mwisho Full party tumalizea Dar salaam.
    Zai tupe duka LA Anna Collections Na Mobetto styles Nairobi❤❤🇰🇪

  • @hamidambonea1826
    @hamidambonea1826 7 หลายเดือนก่อน +9

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ilove it

  • @issasefu5299
    @issasefu5299 7 หลายเดือนก่อน +5

    Nakubali Sana mku Haji manara point tupu

  • @muna1165
    @muna1165 7 หลายเดือนก่อน +11

    HONGERA SANA BABA KWA HEKMA KUBWA ULIO NAYO ENDELEA KUKAAKIMYA HIVYOHIVYO

  • @bnztechnologies2676
    @bnztechnologies2676 7 หลายเดือนก่อน +31

    napenda manara amuoe zai dulla alishampa mwanamke talaka sasa mbona yote hayaa

    • @user-mo6tr3yt3m
      @user-mo6tr3yt3m 7 หลายเดือนก่อน

      Ata mimi nime penda

    • @uwasesifa7563
      @uwasesifa7563 7 หลายเดือนก่อน

      Mwanamuke gani?Rub or Rushaynah

  • @zezenuvel7612
    @zezenuvel7612 7 หลายเดือนก่อน +5

    Manara hoyeeee.... Kudadadeki😂😂😂😂😂

  • @user-bh1sy9ox9w
    @user-bh1sy9ox9w 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kama unamkubali Bugatti gonga like hapa

    • @user-mo6tr3yt3m
      @user-mo6tr3yt3m 7 หลายเดือนก่อน

      Bugatti oyeeeee

    • @MultiMbongo
      @MultiMbongo 7 หลายเดือนก่อน

      Umesikiliza furahi?

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 7 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana Manara mwanangu ushamshinda huyo anatapa tapa. Mfamaji huyo hajui kuogelea mwache atape tape. Wazi anajuta huyo

  • @wemakalama6458
    @wemakalama6458 7 หลายเดือนก่อน +1

    Big up bughatt wanyooshe 🤣🤣🤣

    • @user-mo6tr3yt3m
      @user-mo6tr3yt3m 7 หลายเดือนก่อน

      Awa nyoosheeee kweli😂😂😂😂 Bugatti kama Bugatti

  • @user-mx5dc3xx3o
    @user-mx5dc3xx3o 7 หลายเดือนก่อน +3

    Duh kumbe chawa doto yupo😂

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 7 หลายเดือนก่อน

    At least leo HAJI KAONGEA POINTS... dula Ampuuze tuu... Aaachane nae... Wanawake wehu kuna siku atakuzushia jambo la chumbani kwenu ulie bro..... Biga kazi na wewe tafuta hela... Au tafu WAPO Mungu Amewaumba wazuri zaidi kila wanaokuja....

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 7 หลายเดือนก่อน

    Hapa kwetu kumbe mizungu ya unga bado ipo!😂😂😂 ivi ile interviews ya wasafi na clouds kasema ruby mbea ulipigaje vileee🤣🤣🤣 usijisahaulishe😅

  • @user-on3ll1wx9f
    @user-on3ll1wx9f 7 หลายเดือนก่อน +1

    ila doto magari una mbwembwe sjui ata kwnn ulikaa nyuma ya camera🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-bi7wf4nz2d
    @user-bi7wf4nz2d 7 หลายเดือนก่อน +5

    Fact baba.....wakati wako huu Dullah anataka kutrend achana naye

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana Kaka Mungu akulinde

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 7 หลายเดือนก่อน +3

    Bugati huna baya hishi 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ more blessings to you

  • @husseinchalamila2624
    @husseinchalamila2624 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa hili manara umetisha kiongozi kweli we mkongwe

    • @user-pu6pr5jt4n
      @user-pu6pr5jt4n 7 หลายเดือนก่อน

      NAMPENDA Sana kaka haji😂😂❤❤ POKEA MAUA YKO. MKE TUNAE NA TUNATAMBA NAE. VIJANA TAFUTENI PESA

  • @EvanceMilimo-ei1xv
    @EvanceMilimo-ei1xv 7 หลายเดือนก่อน +2

    Manara kaji changanya kweli kula mzigo na watoto

  • @ummihadhira8106
    @ummihadhira8106 7 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera manara tamba baba mke uko nae ❤

    • @omarswaleh6082
      @omarswaleh6082 7 หลายเดือนก่อน

      Huduma ndio muhimu mwenziwe aliambiwa laki 8 kwake dau laweza kupanda likafika 1million

    • @omarswaleh6082
      @omarswaleh6082 7 หลายเดือนก่อน

      Manara ikiwa huja muowa usimuowe nakupa ushauri wangu na kupenda kama brother tafuta binti alie leleka kwa maadili ya kiislam na anae juwa dini na swala zake tano wa allahi utasterehe

  • @tresormix7372
    @tresormix7372 7 หลายเดือนก่อน +3

    manara jameni upewe maua yako ndugu yangu, umeonge kweri❤❤❤❤

    • @user-mo6tr3yt3m
      @user-mo6tr3yt3m 7 หลายเดือนก่อน

      Wallah❤❤❤ wewe uko vizuri❤❤ ilo neno

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 7 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana Manara

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bro manara huja pata mke kumbe ni wakugombaniwa pole sana usije ukauza ulivyo vichuma kwa jasho lako

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 7 หลายเดือนก่อน

      Tafuteni pesa, mkekeshachukua ,vijembe vyanini 😂😂

  • @user-jq9rj4dm5u
    @user-jq9rj4dm5u 7 หลายเดือนก่อน +1

    El Bugatti 🔥🔥🔥🔥

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 7 หลายเดือนก่อน +6

    Nakukubali hapo tu manara ukiachwa achika na ukisha achika usitazame tena nyuma utapata kuliko uliemuacha

    • @aliaden5512
      @aliaden5512 7 หลายเดือนก่อน

      Iko nini

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji anamuhoji boss wake huku akiwa anamuogopa 😂

  • @saudalwelo4437
    @saudalwelo4437 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera kaka

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 7 หลายเดือนก่อน +12

    Lakini hata wewe ulimtishia maisha kwa kumtumia dm Sasa na yeye Ana haki ya kushtaki

  • @charlesally6028
    @charlesally6028 7 หลายเดือนก่อน +5

    acheni matusi muwe na heshima hongera manara😄

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 7 หลายเดือนก่อน +3

    Manara umeongea fact mwanamke akikuta kubali matokeo kabisa 😂😂😂😂

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 7 หลายเดือนก่อน +1

    Zey and hajji❤❤

  • @MrishoManeno
    @MrishoManeno 7 หลายเดือนก่อน

    Manara muungwana sana aisee Kaka daaah

  • @user-mo6tr3yt3m
    @user-mo6tr3yt3m 7 หลายเดือนก่อน

    Manara saluti saaaana mwamba heshima nakupa Eti chumaaaaaa

  • @thetas08
    @thetas08 7 หลายเดือนก่อน +4

    Bongo vichekesho sana especially hizi generation simple kwa yyte mwanamke akikukataa au demu kukukataa funga buti songa mbele cuz hakutaki ndio maana akachimba hii karne sio bongo karibu dunia nzima wanawake ni wemgi sana kuliko wanaume utapata other one maisha yataendelea ila kukataa kuachika mnadhalilisha wanaume kuacha au kuachwa mbona ni vitu vya kawaida kama ugali maharage

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 7 หลายเดือนก่อน +1

    ukiachwa achikaaa😂😅😅

  • @yayhajoakim3046
    @yayhajoakim3046 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu mkubwa atakusaharishia In shaa Allah

  • @cosmaskabila3058
    @cosmaskabila3058 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bugati 👍👍👍👍🔥🔥

  • @AMORAGNES
    @AMORAGNES 7 หลายเดือนก่อน +2

    MTANGAZAJI ANAMUOGOPA BOSS WAKE 😂😂 ANARUSHA TU MIKONO

  • @SalimAbdallah-tg1yo
    @SalimAbdallah-tg1yo 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwaio umemshindwa mze umeamua kukimbilia polisi pole mze huyo kashindwa Na kijana atakueza wewe 😂😂pole Manara unazeeka vibaya

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 7 หลายเดือนก่อน

      Ukizeeka vizuri wewe inatosha

    • @banguha
      @banguha 7 หลายเดือนก่อน

      Anayezeeka vibaya ni yule asiye na pesa ivi mnamtetea dolla kwan mke si alimpa talaka 3 au mlitaka akiachwa na dulla apate mcheza vigoma sio kwa hiyo kumpata mtu wa kumuweka kivulin roho zinawatoka achen roho mbaya binadam kila mtu anapenda raha

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 7 หลายเดือนก่อน +1

    Manara is right

  • @yayhajoakim3046
    @yayhajoakim3046 7 หลายเดือนก่อน

    Manara tunakukubali unaweza

  • @charlottempangala3881
    @charlottempangala3881 7 หลายเดือนก่อน +1

    Manaea ana mbwbwe napendaga sana

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 7 หลายเดือนก่อน +1

    WANAWAKE TUISHINAO KWA AKILI SIYO WATU WA KUWAAMINIA JAMENI HAWA VIUMBE"

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 7 หลายเดือนก่อน

    Halafu manara Sasa Tulia umepata mtoto mzuri Sasa,huyo muache alie lie zay Lisa hawezi hawezi kaa na yule ilawewe kaa naye mfanye awe queen wako

  • @user-xo5lq7mw3n
    @user-xo5lq7mw3n 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂huitaji kuoavmpishi mpe vidonge vyake kuku mwenye kujichubua mpk meno,sisi tumeoa mke upishi mwache Rushyna akupikie😂😂😂😂

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 7 หลายเดือนก่อน +3

    Dotto katokea wapi!?🤣🤣🤣

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂❤

  • @JumaVanny-wb1te
    @JumaVanny-wb1te 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @user-my1gw7fi9v
    @user-my1gw7fi9v 7 หลายเดือนก่อน +3

    Lakini Dotto🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 7 หลายเดือนก่อน

      Doto alikua anateketea hatoi neno hadi kamalizia😂😂😂😂

  • @user-en2md9kn5n
    @user-en2md9kn5n 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Manala choko kweli umejipendekeza kwa dulla kumbeunamtaka mewake

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 7 หลายเดือนก่อน

      Walikuwa wameachana

  • @user-mo6tr3yt3m
    @user-mo6tr3yt3m 7 หลายเดือนก่อน

    Dulla kubali matokeyo ume achwa bhana manara Bugatti ringa bana chumaaaaa insha Allah mzikanee ya Allah

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 7 หลายเดือนก่อน

    Doto bana😂😂😂😂😂
    Eti DULLAH anajichubua mpka meno. KIJANA ABDALLAH TAFUTA PESA MWENYEWE UZUNGU UNAUTAKA AFU MKE USHAMUACHA KULIKONI. DULAH LANA ZA RAHMA izo😢 MKEO WA KWAZA.. CHUMA NINACHO MIE NIMEPENTAAAAAA bugatiiiii mtoto WA kariakoooo❤❤

  • @idrisadjuma9322
    @idrisadjuma9322 7 หลายเดือนก่อน +2

    Eti kuku wew

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 7 หลายเดือนก่อน

    Albino Albino tulia😅😅😅😂

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 7 หลายเดือนก่อน +4

    Svt nawe mdhihaki Mungu hautabaki salama! Kumbuka hata wewe ulivyo hujajiumba! Chefuuu!

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน

    Hamna uustadhi tena hapo berthday za kutosha kila mwaka aiiii

  • @ABEERSHOP
    @ABEERSHOP 7 หลายเดือนก่อน +3

    Wanaume akiacha mwanamke anaempenda anapenda kumuona mwanamke anateseka akimuona anapendeza anaaza kashifa uyo dulla mshamba alizoea kuogwa na rahma kamkimbia kwa tabia zake😂😂 za ovyo6

  • @user-rf5di9bk1m
    @user-rf5di9bk1m 7 หลายเดือนก่อน +3

    Unyama sana manara

  • @gudayakutemile577
    @gudayakutemile577 7 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji anakaza kwa boss

  • @user-gn3wy8ec8p
    @user-gn3wy8ec8p 7 หลายเดือนก่อน +1

    manara unaniuwa nimecheka kwamba mda na zaylisa na kitafuta hela asante baba

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Bugatti mwanangu mke ndiyo yule achana na kuacha sasa.

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 7 หลายเดือนก่อน

    WEWE SHOGA UNAFURAHIA MAKOMBO YA SINGELI UNGEPATA BIKRA INGEKUAJE ??

  • @user-gn3wy8ec8p
    @user-gn3wy8ec8p 7 หลายเดือนก่อน +1

    nawapenda zaylisa na manara dulla shobo nyingi

  • @Eliya-vv1jp
    @Eliya-vv1jp 7 หลายเดือนก่อน

    mi naamin hata wew atakuacha tu

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 7 หลายเดือนก่อน

    Haji manara dume.manshallah

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anapenda tusi la kuku😂😂😂😂😂ila manara jmn

    • @user-mo6tr3yt3m
      @user-mo6tr3yt3m 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 saaaana

  • @user-sw4in3kd9o
    @user-sw4in3kd9o 7 หลายเดือนก่อน

    Acha ushamba haji

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 7 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅 mpuuz sana Hajiii😅😅😅😂😂😂et nina Mda na Zay na kutafuta pesa

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa, makabila ndoa imemshinda 😂😂

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 7 หลายเดือนก่อน

    Sku ukiachwa utalia😂😂😂😂

  • @user-ee5tt5wk6j
    @user-ee5tt5wk6j 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mfanya kaz amfanyia Interview boss wake😅😅😅😅

    • @marckmark2738
      @marckmark2738 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 kwaiyo apo kila kitu kimeandaliwa ata maswali ya kumuuliza yameandaliwa pia 😂😂😂😂😂😂

    • @fadhili_masoi
      @fadhili_masoi 7 หลายเดือนก่อน

      Lazma uulize maswali kwa heshima 😂😂😂

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 7 หลายเดือนก่อน +1

    Vita imekushinda ukakimbiliya polisi 😅😅😅😅😅😅eti polisi wamepiga sim polisi wanamjua zai kwa kweli?achaaaa bwana shita zoote ziko tz waone ya zai😅😅 nimecheka

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 7 หลายเดือนก่อน

      Dulla makabila ndoa imemshinda, ukiachwa achika 😂😂😂

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mapenzi yakifa yazike na usiweke maua juu ya kaburi

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 7 หลายเดือนก่อน

    BROO BIRTHDAY YA MWAKANI MUALIKE MWANANGU YUPO ZANZIBAR AJE KUINJOI NA KUJIFUNZA MAISHA AMEZALIWA TAREHE KAMA YAKWAKO JANUARY
    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @husseinjosephitocho6754
    @husseinjosephitocho6754 7 หลายเดือนก่อน

    safi sana manara

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 7 หลายเดือนก่อน

    Katika huu mchezo wote naona anayetoka mnufaika namba moja ni bi Zay maana brand yake sasa inazidi kupanda pa kubwa as hata ambao hawakumfahamu sasa wanamfahamu ametumia fursa vizuri kuoana na Manara

  • @jamohbabayaofamily4879
    @jamohbabayaofamily4879 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂albino utauzwa na huyo mwanamke

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 7 หลายเดือนก่อน +1

    Achana na Muhuni mcheza Chakacha yeye mwenyewe Uzungu anautaka ndo maana anajichubua 😅 😂 Dula Maisha yanamchanganya

  • @onesmusfondo7679
    @onesmusfondo7679 7 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini,swali langu cjui nani atanijibu...hvi makabila hana mke ama familia....🤔

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jitu zima hovyo mzungu umechemka jinai zipo kibao🎉 polisi watafute ya kwenu tuuuu bila nyinyi kukubali, wewe umemtukana Moo,Babra, Kitenge, Kazumar, juzi juzi tu umemtuka Ahmed ally eti alibaka, izo zoote sio jinai polisi waliwahi kukupigia simu uende kituoni ?

    • @mohamedswaleh6778
      @mohamedswaleh6778 7 หลายเดือนก่อน

      Acha nyege ww akitukanwa ananin kkako

  • @chemstry409
    @chemstry409 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna cha kumalizia kwani mimi nilikuwa nataka kuoa MPISHI??? KUKU WEWE....😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-xo5lq7mw3n
    @user-xo5lq7mw3n 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa dula si mshamba tu 😂😂😂

  • @gudayakutemile577
    @gudayakutemile577 7 หลายเดือนก่อน

    Ila Kuna watu Wana comment bila kusikiliza shida ni silent chawa 😂😂😂 af awatak kula bando zao

  • @user-rr8wv7ft3v
    @user-rr8wv7ft3v 7 หลายเดือนก่อน

    Doto kama translator 😅

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน

    Mzungu

  • @hakuzwebirinda
    @hakuzwebirinda 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ladies...ladies.......

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 7 หลายเดือนก่อน +1

    Manara usimsifu sana msichana wa mjini wanawake zako walotangulia uliwasifu hivyo hivyo na walikuwacha wanawake zako wote ni wenye tamaa ya pesa zako tu!

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 7 หลายเดือนก่อน

      Ayo muachie mungu 😂😂😂

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 7 หลายเดือนก่อน

      @@uwimana6533 utampaje mungu kazi sio yake wakati kishakuambia tafuta mke au mume kwa sifa ambazo kazitaja

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 7 หลายเดือนก่อน

    Hahahaaah,Manara bhana

  • @fadhili_masoi
    @fadhili_masoi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba anauliza kwa kuogopa 😂😂

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 7 หลายเดือนก่อน +1

      Boss wake uyo unafanya masiala

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 7 หลายเดือนก่อน

    mwambie Aachen utoto kesha zeeka tayari

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 7 หลายเดือนก่อน

    Kila siku nasema manara mimi shabiki wako bigup

  • @user-mo6tr3yt3m
    @user-mo6tr3yt3m 7 หลายเดือนก่อน

    Manara Bugatti nakupenda Eti ukiachwa achika daaah niatar

  • @yayhajoakim3046
    @yayhajoakim3046 7 หลายเดือนก่อน

    Kila la kheri manara

  • @AllyShaban-ms7ot
    @AllyShaban-ms7ot 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mshamba wa mapenz

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 7 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa mjanja wewe inatosha

  • @yayhajoakim3046
    @yayhajoakim3046 7 หลายเดือนก่อน

    Dula umeharibu talaka tatu umekosea sana kumbe bado unampenda kwa nini usifanye subra

  • @AllyMawazo-ve9qc
    @AllyMawazo-ve9qc 7 หลายเดือนก่อน

    Doto anacheka kinafki sana😊😊😊😊