Hata mimi nisingekuwa Rais bila Kikwete - JPM
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- "Kuwa mstaafu sio dhambi...hata mimi nisingekuwa rais bila Kikwete...yeye ndiye aliyenipitisha akiwa Mwenyekiti...akatwanga mpaka marafiki zake akanichagua mimi...hata mzee Mkapa, wengine walilalamika amebadilisha katiba"
#MkutanoMkuuCCM #MkutanoMkuu #CCMDodoma #RaisMagufuli
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
Kikwete huwa n humble sana
Nakuelewa sana mkuu
kweli baba
Muje kukomenti na huku. Mzee ulipoondoka tu, huyo unayesema ndiye aliyekupa urais, wanasema eti ndiye aliye... Ajabu kabisa!
This is what we remember this was greatest leader in Tanzania but only l was hart him block opposition but was the greatest leader in our national apart from late John pombe makufuli now is tundundulisu only on this nation not this ather call themselves leader but Driven by former jakaya kikwete control not themselves much lteligince like late John pombe makufuli was use is own lteligince underground
Oyeeeeeeeee
Kikwete always your so happy ndio maana unazidi kuwa kijana tu
Hutuba iliyotukuka haina hata chembe ya unafki
Baadaye akaja kuwageuka 'wazee' hao utasikia walifanya nn sasa yy sijuwi kafanya nn cha maana nchi hii kujenga madaraja yale ya ubungo na Tazara badi ndio iwe dharau kwa wastaafu wetu..!
Tutengeneze ajira,,,,,,,zipi hizo??
Umeonaa Eeeee ila uyu Baba uyu