Hiyo fimbo na hayo mawe nikajua Mussa anapanda mlima Sinai😀😀😀😀 hongera Sanaa mtumishi unanibariki mno najua unafanya kama huduma and not any more...Mungu akutunze
Jamani kuna nyimbo inaitwa nnala ya ambwene mimi siipati naitamani sana … kama mtu anaeza nisaidie… kiitikio ni nnala nnala nnala ne nalimfwi maso lino nguketa
Ambwene mwasongwe hujawahi bahatisha ila naamini kinachoimbiwa ni kizuri sana tunaomba tafasiri yake ❤❤❤
Nlipotea sana
Nipokee nipeleke kwako njoo mokozi ...sna pa kuponea njoo mokoz....ila kwako ndiko napata uzma njoo mokoz .......niokoe mwokoz wang
Shukran kwa kutafsri
Wimbo unanibariki Sana, Wanyakyusa tu ndo wataelewa kinachoimbwa.Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi
na mm naelewa na sio mnyakyusa
Amen 🙏 Thank you so much roho doina semanga apo tuna elewa kupitiya roho tu lakini kusikiya apo tuta kuwa tuna dangay ❤❤❤🎉😊😅
4yrs ago, but still listening to this song.
Am in love with the song let continue praising God
This song reminds me of my late mum Hanna Isoba Mwakasenga, alughanile fijo ulwimbo ulu.
nasobhile fijo naloli,nyambilila gwe mpoki.ndaghaTata
Tuwekee subtitles hata za kiswahili au English tuelewe maneno ya kinyakyusa, wimbo mzuri sana japo sielewi maana
Anatubu kwa Mungu kuwa alpotea sana lakn anarud Tena kwa Mungu Mana yeye ndo mwokoz ,,
Ndaga kaka mwasongwe kyela akutule
Asante sana Ambwene nimeona new version yenye subtitles
Goosebumps...!
Asante kwa wimbo huu unao nipa maono mwangu rohoni
wimbo mzuri Sana'a haunichoshi kusikilizaaa
Mungu akubariki Saana Mtumishi!
KwKo tu Yesu ndonaona uzima. Naomba unipokee.barikiwa sana mtumishi.
Wimbo unabariki ....ubarikiwe sana mtumishi....
Amen dear 🙏💓💓🙏💓💓🙏🙏
Isagha gwe mpoki mundumbula jangu❤❤
Wooow ...Amazing🎉🎉
Sikijui lkn nasikiliza kila siku mpka nimpate wakunitafsiria
Hiyo fimbo na hayo mawe nikajua Mussa anapanda mlima Sinai😀😀😀😀 hongera Sanaa mtumishi unanibariki mno najua unafanya kama huduma and not any more...Mungu akutunze
Ngajha nu bhuponelo nabhumo Loli myako mo ngwagha ubhumi...nabarikiwa sana 😭
Ubalikiwe sana maana nyimbo zako zinanibaliki
Oooh haleluja
Kyala akusaje kaka ambwene olwembo Holo lukosaja fijo lenga mbelekisye.🤗🤗🤗
Jamani kuna nyimbo inaitwa nnala ya ambwene mimi siipati naitamani sana … kama mtu anaeza nisaidie… kiitikio ni nnala nnala nnala ne nalimfwi maso lino nguketa
Me nnayo
INDUMBULA KAKA AMBWENE UBARIKIWE SANA NA MUNGU
Munguu akuinuee Tena na tenaa mungu ajee na kwangu amen amen
Mung akubalik naupend sna huo wimbo mal zote nausikiliza unanip faraj kubw sn
Enzi hizo tukiabudu Kwak kinyakyusa
May God bless you unless i not know what is about the song
Isaga gwe mpoki. Wimbo unibariki sana
Idumbula jikusyuka fyijo isyaga gwe mpoki
Indumbula jikusukwa fijo ❤️
Mwimbo mzuri sana unanipa faraja sana mungu akubariki
Nabarkiwa mno kakaang
Daaaaah umenifanya niwamiss baba zangu
Amen 🙏 japo sielewi🇰🇪
Kanunu fijo
Vraiment très bien
Nabarikiwa sana Isaghagwempoki
Wow. Umenibariki ndagha kaka
Amen 🙏
Ameni unanikumbusha mbali
songs ❤
well done
Yee fijo and thank you
🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Wimbo mzuri
Ndagha fijo
Huu wimbo huwa unanipa maono sana
Njoo mwokozi usiniache
Asante mtumishi.
Ndagha fijo
Amen 🙏
Naomba ufanye niwe nina download, ili nikitulia vzr niabudu nina kiu