DC BABATI AMPIGA MARUFUKU MAULIDI KWENDA KWA GRACE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Safi Sana DC Mungu akubariki sanaaaa kwa kazi nzuri. MUNGU azidi kukutunza 🙏

  • @JordanMugirage-fz4xg
    @JordanMugirage-fz4xg วันที่ผ่านมา +3

    Dc hongera sana endelea kutimiza wajibu wako ukimwakilisha Rais katika eneo lako.busara zako ndio nguzo kuu ya ushindi katika kazi yako Hongera.

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Du mzee bwana noma sana.

  • @MainessPesapesa
    @MainessPesapesa 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hongera dc

  • @Trendtz-yf8hm
    @Trendtz-yf8hm วันที่ผ่านมา

    Nimependa hii😂😂

    • @JordanMugirage-fz4xg
      @JordanMugirage-fz4xg วันที่ผ่านมา

      @@Trendtz-yf8hm Asante kama watanzania lazima kuungana na kutiana moyo ni tendo jema sana kwa sisi jamii