Nimelia nikiwa ofisini, workmate ameingia akataka kuona kilichoniliza... ni Islam.. aliangalia hadi mwisho. Aliomba twende wote uaskofu sehemu ya mbali (ikitokea) atajilipiakila kitu.. nimeahidi tutakwenda.
Jamaaanii!! Hongera kwa kupata Mguso wa Kimbingu. Uaskofu BUKOBA Tar. 27/1/2024 Uaskofu Mafinga tar. 19/3/2024 Jichagulie kati ya sehemu Hizo uende Mpendwa.🎉
@@suzannakipapy5951 Mafinga tutakwenda, tutajipanga..nitafute mapema rafiki huko ili tupate nafasi ya kushuhudia tukio zima kwa karibu..kwa ajili ya huyu ndugu yangu... atakuja na familia yake kutembelea family yangu.. hakika tutamwonyesha upendo wa Kristo katika jumuiya yetu... Mungu wetu ni Mwema
Mungu azidi kukubariki pia nikutakie utume mwema Baba Askofu
Asante Mungu kwa kuniumba na kuwa mkatoliki Mungu wetu wachunge mababa wetu wa Kiroho.❤
Hongera sana mtoto umefuata nyayo za mamaako Mungu aendelee kukuinua zaidi,libarikiwe tumbo lililokuzaa! Ubarikiwe sana
Najivunia kuwa mkatoliki❤ hongereni sana watoto
Mmenibariki sana wanangu wazuri
Wabarikiwe watoto
Nyimbo Nzuri sana zinatukumbusha na kutuweka Karibu na Mungu
Hongera sana wameimba vizuri sana
At kabla uzaliwe Mungu alijua utakuwa Padre .Asante sana kwa kusikia shauti ya Mungu kama vile samweli alisikia na akaitika congratulations Fr
Atukuzwe Mungu milele, Kwa makuu anayotupatia. Ee Mungu Kaendelee kumlinda na kumuongoza vema baba Askofu Kwa kazi yake ya kuongoza kondoo wako kwako.
Atukuzwe mungu wetu
Atukuzwe Mungu Milele,
Hakika Mingu wetu ni Mwema kila wakati, Najivunia kuwa Mkatoliki.
I like it 👍
Mungu Fundi 🎉🎉🎉 love from Germany🇩🇪
Asante Kwa kufuatilia njombe tv ukitaka kuja uniambie nikuagize mic 🎤 huko itakuwa bei mseleleko
Mungu wa mbinguni awape ulinzi zaid Hawa watoto
Njombe ❤❤
Narudia mara Kwa mara hata sijaacha. Mungu akutunze katika utume Askofu Kyando
Hii ibada inasisimua na kuheshimisha roho
Hawa watoto hasa hako kadogo sana ni nomaaaa. Inapaswa waendelezwe na kuyunzwa kimuziki
Tukio hili Takatifu limenibariki sana.Baba Askofu,hii ni mara ya TATU unalala kifudifudi mbele ya altare.MunguRoho Mtakatifu akuongoze baba.
Bwana atukuzwe daima
Kwa kweli napona nisikilizapo nyimbo hz
Na mungu awabarkii
Asante Kwa comment mnisaidie kushare maneno matakatifu
Eeh Mungu pokea sifa na shukrani kupitia watumishi wako hao
hongereni watoto mlioimba zaburi na masister waliosoma ritania
Mungu awabariki sana
🎉🎉🎉🎉hongera sana
Munga akulinde
Pongezi nyng kwa kamati ya Liturujia kwa kuaandaa watoto kuimba zaburi
Kuna uaskofu Bukoba na Mafinga
Hakika utukufu wa Mumngu juu ushuke kwetu wana wake
Ee Mungu najivunia kusap mkatoliki
Ukatoliki Raha najivunia kua mkatoliki
Watoto wako vizuri
So wonderful!
MUNGU WETU APATE SIFA PENDEVU🎉🎉
🎉
Wameimba vizur sana
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nimelia nikiwa ofisini, workmate ameingia akataka kuona kilichoniliza... ni Islam.. aliangalia hadi mwisho. Aliomba twende wote uaskofu sehemu ya mbali (ikitokea) atajilipiakila kitu.. nimeahidi tutakwenda.
Jamaaanii!! Hongera kwa kupata Mguso wa Kimbingu.
Uaskofu BUKOBA Tar. 27/1/2024
Uaskofu Mafinga tar. 19/3/2024 Jichagulie kati ya sehemu Hizo uende Mpendwa.🎉
@@suzannakipapy5951 Mafinga tutakwenda, tutajipanga..nitafute mapema rafiki huko ili tupate nafasi ya kushuhudia tukio zima kwa karibu..kwa ajili ya huyu ndugu yangu... atakuja na familia yake kutembelea family yangu.. hakika tutamwonyesha upendo wa Kristo katika jumuiya yetu... Mungu wetu ni Mwema
Kumbe tupo wengi tulio Lia?? Nlidhan n mm peke yangu😂😂😂
TUNAKUJA NA TUTAWALETEA KUMBUKUMBU NZURI KAMA HIII
Ulililia nini ningependa kujua
Mie pia 1:33
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nyimbo hizi unawezaje kuzipata?
Nimependezwa na watoto wanajua kupangilia sauti