Fahamu vipengere vya manual MODE katika CAMERA | Shutterspeed, ISO, Aperture

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 93

  • @justinkelvin8090
    @justinkelvin8090 6 ปีที่แล้ว +3

    Mungu azidi kuku.weka niwachahe snaaa wenyemoyo kama wako wakutoa walichonacho kushere na vijana wenzake may God bless you all

  • @samwelityaso4234
    @samwelityaso4234 3 ปีที่แล้ว +1

    TICHA RIchstar mm nimwanafunzi wako mpya tokanimeanzafwatia videos zako najikuta jiniadhi mungu akuzidishie ujuzi zaidi kaka unatuokoa nawengine

  • @rickysabibi7035
    @rickysabibi7035 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri Kuna vtu nmeelewa Sana mkuu

  • @princesimon6199
    @princesimon6199 6 ปีที่แล้ว

    ok kaka nimeangalia mwanzo mwisho nimepata kuelewa vingi na nashukuru sana maana mm natumia san manual mode ila nashukuru sana umeifafanua vzr nimepata kuelewa
    be blessed bro

  • @maleektv3915
    @maleektv3915 6 ปีที่แล้ว

    Salute sana blood hii channel yetu bhana itabid iwe km somo vyuo vikuu inafaaa sana hata kuombea mkopo
    Swali langu bro ni camera gan cheap ambayo ni nzur mm nna km tsh 500k

  • @DIRECTORANKOL
    @DIRECTORANKOL 2 ปีที่แล้ว

    Sawa kaka nimekuelewa sana

  • @josephatnkano5749
    @josephatnkano5749 3 ปีที่แล้ว

    Thanks sana Ndugu yng

  • @Shabirimohamedpictures255
    @Shabirimohamedpictures255 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana

  • @sidaryotv8821
    @sidaryotv8821 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzurii kaka nakupongeza natamani nifikie kiwango chako je nifanyeje offcorse mm nasoma it

  • @zomotz5914
    @zomotz5914 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi kabsa kaka nimeelewa

  • @mshindotv
    @mshindotv 6 ปีที่แล้ว +2

    safiii

  • @AllyEdd-fu3we
    @AllyEdd-fu3we 11 หลายเดือนก่อน

    Shukran sna

  • @liliankawishe3420
    @liliankawishe3420 6 ปีที่แล้ว

    nmeipenda hii big up

  • @mwambumediaprostudio2492
    @mwambumediaprostudio2492 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa maelekezo

  • @kitinegraffixtutorialps8447
    @kitinegraffixtutorialps8447 6 ปีที่แล้ว

    Nakubali

  • @nas_square492
    @nas_square492 3 ปีที่แล้ว

    nice bro

  • @officialnexus8246
    @officialnexus8246 2 ปีที่แล้ว

    bro thanks much

  • @avand4237
    @avand4237 2 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Ndugu nimependa darasa lako naweza kupata vipi.....!!?

  • @danielellyeldanielellyel2281
    @danielellyeldanielellyel2281 5 ปีที่แล้ว

    Nakuamn blooo

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 6 ปีที่แล้ว

    😂 😂 nilikuwa Nakusubiria kwa hamu

  • @abdallaamisi6211
    @abdallaamisi6211 2 ปีที่แล้ว +1

    ok kk tupe vitu

  • @malltayojtv9822
    @malltayojtv9822 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @arreyphotography822
    @arreyphotography822 6 ปีที่แล้ว +5

    bro naomba kuuliza hivi kipi kinafanya kazi vizur unaweza kua na body ya 5D mark IV lkn una lens ya kawaid kwaiy swali kipi ni sahihi kua na lens nzuri lkn body ya camera yoyote ama

    • @graphixtanzania
      @graphixtanzania 4 ปีที่แล้ว +1

      Sijui Richstar amepotelea wapi, lakini ngoja nijaribu kukujibu. Mimi binafsi nakushauri kuwa na Body ya wastana kwa upande wa Bei, yaani mfano 5D mark ii au mark iii na Lens ya wastani tu kama vile 50mm au lens nzuri ambayo sio bei ghali sana. Kikubwa cha kufahamu ni kwamba kuna Lens nzuri sana nyingi ambazo ni ghali hata kuliko Body ya camera.

  • @enockmagele4357
    @enockmagele4357 5 ปีที่แล้ว +2

    Kaka mm nmekuelewa lakn ninaswali nnakamera lumix/panasonic AVC HD kuna uwezekano wa kubadili lens?

  • @emmanuelonyangoochola9228
    @emmanuelonyangoochola9228 6 ปีที่แล้ว +1

    600D iko tofauti kaka nimejilibu kufuatisha somo M, inakubali wakati wa kupiga picha na siyo wakati wa kurecord, make kwenye kitufe pale wakati wa kukizungusha ipo alama ya kirecodia sasa hapo inakuaje kuipata M

  • @riise_99_
    @riise_99_ 3 ปีที่แล้ว

    Half naomba kuuliza upo uwezekano wa kuwasha flash iwe on bila ya kupiga picha pengn usiku na hmn taa ili ile flash ikusaidie kumuona mtu unaetaka kumpiga picha. Upo uwo uwezekano wa kuwasha bila ya kupiga. Na kama upo unawashaje

  • @kokudo8389
    @kokudo8389 5 ปีที่แล้ว

    Nashukuru 50mm yangu imefika jana ntalifanyia kazi

  • @ishakatv9042
    @ishakatv9042 4 ปีที่แล้ว

    Sawa nimekuelewa ningependa uniambie Kati ya Mouvis. Na music kwahivyo vitatu umeviongelea mtu aseti kuanzia ngapi ili awe nafanya kitukizuri

  • @hamizans_
    @hamizans_ 3 ปีที่แล้ว

    Mimi natumia Canon mark2 Ila nna kipengele shutter speed 1/125 imegand hapo hapo haipandi Wala kushuka na aperture napi ni 5.6 imeganda hapo hapo haipandi Wala kushuka ,,Iso ipo sawa Haina tatizo inapanda na kushuka vizurii nahitaj kujua labda zimeji lock sehem na unlock vipi

  • @luchiyaprinting
    @luchiyaprinting 6 ปีที่แล้ว

    safi imenifaa hii ki2

  • @newttechog75
    @newttechog75 6 ปีที่แล้ว

    Nataka mawasiliano na wewe kaka ninashida sana

  • @marefuclassic8911
    @marefuclassic8911 6 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @ditectivecharisma3101
    @ditectivecharisma3101 5 ปีที่แล้ว

    Bro vzr xna naweza vp pata mawasiliano na ww kaka angu

  • @hfv1907
    @hfv1907 5 ปีที่แล้ว

    Wee nimwalimu mkubwa kabisa.!!!

  • @nardtv9378
    @nardtv9378 6 ปีที่แล้ว +1

    sas kak mim nataka nipige picha nzur ili nipate pichanzur kwa mchana nausiku nikitumia Manu kweny camera niwek setting zip

  • @dvjkada4873
    @dvjkada4873 5 ปีที่แล้ว +1

    Niaje kk mm natumia canon 5d mark3 napo shot huwa m2 anapotembea kunakuwa nakama maluwe luwe haonekani kria tatizo ninini

    • @nassibchatta651
      @nassibchatta651 5 ปีที่แล้ว

      Ongeza shutter speed, pia hakikisha unapo shuti kuwe kunamwanga wa kutosha

  • @hdkmedia4127
    @hdkmedia4127 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nimfuatiliaji wa vipindi vyako

  • @w.p-wonder
    @w.p-wonder ปีที่แล้ว

    napenda masafudisho yako jinsi yaku set camera mu manuel ili imege iwe na kigifu nafanya je

  • @WTV75
    @WTV75 2 ปีที่แล้ว

    Hasante bro unatumia nini kupata flat picture standard ama neural?

  • @asilabdallah4270
    @asilabdallah4270 2 ปีที่แล้ว

    Kaka Rich Canon 600D sijaona sehemu ya kushoot video. Naona sehemu ya picha tuu kwa kutumia manual mode sasa unanisaidiaje kaka

  • @masinaafricatv3974
    @masinaafricatv3974 6 ปีที่แล้ว

    Nmejfunza vitu vipya na natumaini video zjazo ntafanya vzur zaid

  • @nicholausjoseph6176
    @nicholausjoseph6176 3 ปีที่แล้ว

    Broo mm nmekuelewa kias chake ila sasa seven 1 tu nataka unsaidie namna ya kuweka vpimo

  • @mohamedsalange438
    @mohamedsalange438 ปีที่แล้ว

    Broo naitaj mawasiliano yako

  • @wizzyfernando8655
    @wizzyfernando8655 6 ปีที่แล้ว

    Naweza jifunza kupitia ww broo coz iyo mamb

  • @rkamedia
    @rkamedia 3 ปีที่แล้ว

    Naitaji mawasiliano yako

  • @kamotetv4941
    @kamotetv4941 6 ปีที่แล้ว

    Unaelewekamkuu

  • @asilabdallah4270
    @asilabdallah4270 2 ปีที่แล้ว +1

    Braza Rich huwa nafatilia sana vipindi vyako. Sasa ulisema usishoot mode yoyte tofauti na manual mode nataka kujua ili kushoot kwa kutumia manual mode recording button yake ipo wapi mimi nina Camela canon T3i

    • @Richstartz
      @Richstartz  2 ปีที่แล้ว

      Recording button ni ile ile kama unavyo record ukishoot Auto. Cha msingi ni Manual setting

    • @asilabdallah4270
      @asilabdallah4270 2 ปีที่แล้ว

      @@Richstartz sawa kaka rich nimekuelewa na pia shukrani sana

  • @avand4237
    @avand4237 2 ปีที่แล้ว

    Vipi ukiwa kwenye chumba au jengo lenye mwanga mwingi Sana au mwanga hafifu Ni set camera yangu aperture ngapi, ISO na shutter speed ngapi....??!!

  • @hfv1907
    @hfv1907 5 ปีที่แล้ว

    Alakini mwalimu swali langu nihili Camera yangu ni Nikon D500 inahitaji niwe na Lenses gani ili nipate videos nzuri?

  • @revocatussylivestermafuru3237
    @revocatussylivestermafuru3237 5 หลายเดือนก่อน

    Niaje kaka* natumia Nikon 3400 lakini Picha za usiku zinanitesa sana Huwa zina ukungu tatizo nini*

  • @marshamaster7828
    @marshamaster7828 5 ปีที่แล้ว

    Naomba totalia ya Nikon kwa ajiri ya Photographer kaka

  • @ellymatandu9985
    @ellymatandu9985 4 ปีที่แล้ว

    me naomba unifundishe kwa vitendo brother

  • @namatajr4703
    @namatajr4703 4 ปีที่แล้ว

    Mm swali langu Kuna camera kanoni ila lezi azitoke Sasa kama unataka kupiga picha iwe nyuma ukungu inakuwaje

  • @mwapinga6657
    @mwapinga6657 6 ปีที่แล้ว +1

    hiyo camera mark ii 5d ina weza shoot harusi mchana hadi usiku

  • @KEYSTONE_PAGE
    @KEYSTONE_PAGE 2 ปีที่แล้ว

    Nataman kufanya Kaz hii sjui ntafanyaje bro help please

  • @sidaryotv8821
    @sidaryotv8821 5 ปีที่แล้ว

    Naomba kufahamu jinsi ya kuta vipande vya video na kunganisha katika mtiririko wa matukio

  • @ErastoKamagi
    @ErastoKamagi ปีที่แล้ว

    Nataka full camera 📸 niandae bei gan na je ni camera gani nzuli yenye ubora na nitaipata kwa bei gan

  • @CAN.164
    @CAN.164 หลายเดือนก่อน

    Bro mii nataka hiyo lenz

  • @fasanitzfasanitz9631
    @fasanitzfasanitz9631 5 ปีที่แล้ว

    Ko kaka shida sio camela muhimu ni lens??

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu nashida na lens tunafanyaje

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 ปีที่แล้ว

    Hebu nisaidie nina camera D,90 ila kuna wakati ile taa nyekundu pembeni ya camera upande wa kulia, ambayo huwa ina waka wakati unapopiga picha gizani, yaani ile taa ambayo inasaidia kupata focus kuna wakati haiwaki ili iwake niguse wapi? Naomba unisaidie please

  • @babatanzania
    @babatanzania 6 ปีที่แล้ว

    kaka nimefuatilia lakini kwenye d600 mbonq hqkunq zaidi ya picha ila kwenye video hakuna..embu tupe elimu maana tupo wengi kiongozi

    • @babatanzania
      @babatanzania 6 ปีที่แล้ว

      yaani nikiweka ktk m nikitak kurekodi inakataa ila picha ina kubali
      @@Richstartz

    • @babatanzania
      @babatanzania 6 ปีที่แล้ว

      @@Richstartz au kutakuwa kuna sehemu nakosea mimi ndugu

  • @nassibchatta651
    @nassibchatta651 5 ปีที่แล้ว

    Tofauti kat ya iso na apeture nataka kujua

  • @innocentsisti9556
    @innocentsisti9556 ปีที่แล้ว

    Kaka nashida na kamera. Unaweza nisaidia ili niweze nunua

    • @Richstartz
      @Richstartz  ปีที่แล้ว

      Camera gani

    • @innocentsisti9556
      @innocentsisti9556 ปีที่แล้ว +1

      @@Richstartz canon ambayo naweza kuanza nayo photographing, pia affordable price

    • @Richstartz
      @Richstartz  ปีที่แล้ว

      @@innocentsisti9556 550D, 6D, 5D MARK II

  • @riise_99_
    @riise_99_ 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba zako za sim

  • @ManongaTv
    @ManongaTv 4 ปีที่แล้ว

    Samahan mkuu unaonaje ungekua una onyesha kabisa view ya camera namna unavyo set

    • @Richstartz
      @Richstartz  4 ปีที่แล้ว

      Nitalifanyia kazi

  • @hdkmedia4127
    @hdkmedia4127 2 ปีที่แล้ว

    Camera yangu inastop ku record video unanisaidiaje

  • @wakali7849
    @wakali7849 5 ปีที่แล้ว

    Kaka samahani ivo camera kama hiyo ni shingap na VP kuhusu iyo maiki ni shingap kwa sisi tunaoanza TH-cam tunaomba mwongozo wako

  • @ssafricancreator9151
    @ssafricancreator9151 6 ปีที่แล้ว

    NIMELUDIA HII VIDEO KAMA MALA KUMI HIVI NASHUKURU SASA NIPO NJEMA

  • @djchapatz2360
    @djchapatz2360 5 ปีที่แล้ว

    MI NIKUOMBEE UZIMA TU ILI NIZIDI KUPATA ELIMU ZAIDI----- UKO SAWA PAMOJA SANA

  • @rickysabibi7035
    @rickysabibi7035 ปีที่แล้ว

    Naweza kupata nmb ako ya watsap kaka

  • @kiraguemmanule7632
    @kiraguemmanule7632 3 ปีที่แล้ว

    0-7439-76930 tu mbonge zaidi

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 6 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako au nichek hapa 0758044190