MSIGWA AMVAA VIKALI MBOWE BAADA YA KUJIUNGA CCM/"AMEGEUZA CHAMA KUWA SACCOS"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024
  • Video from Calvin

ความคิดเห็น • 45

  • @user-xi2mf4xh7r
    @user-xi2mf4xh7r 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kitu ambacho Mungu aliweka ndani yako kimeishapotea subiri uone kitakachotokea mbele ya safari,

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 9 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe ni Gugu katikati ya ngano bro! Hufai hata bure kabisa!

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe na wachungaji ni wala rushwa? Dunia imekwisha, iko mwisho!

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 9 วันที่ผ่านมา +2

    Unajifurahisha katika dhambi kwa muda mfupi tu BAADAE UTAPOTEA

  • @user-fm3ew9tu9y
    @user-fm3ew9tu9y 9 วันที่ผ่านมา +1

    Umepigwa mlungula

  • @FikiriAndrew-ve5vv
    @FikiriAndrew-ve5vv 9 วันที่ผ่านมา +2

    Nilikua naamini ww ni mtumishi wa Mungu kumbe ni kawakala kamoja la shetani

  • @IgnatusJoseph
    @IgnatusJoseph 5 วันที่ผ่านมา

    Kumbuka msigwa utuba uliyotoa ktk kuchangia bejeti bungeni ulisema Nini
    Kipindi mama Anna makinda akiwa spika wa bunge ulivyotukana ccm yetu leoo karibu sanaa

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hahahahaa huyu jamaa kweli kaishiwa wameenda kufa kisiasa huko ccm kama walivyo kufa kina nasari, Silinde mashinji, hakuna atakae mzungumzia tena pole sana msigwa

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 9 วันที่ผ่านมา +2

    Binafsi napata mashaka unapoitwa mchungaji, Pia ni wasiwasi na akili yako. Hiyo inaitwaje kulamba matapishi au?

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 9 วันที่ผ่านมา +1

    Uwezi kutetea Dhambi (CCM) ukawa salama

  • @danielmwanjali2449
    @danielmwanjali2449 9 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo uongozi wa Kanda alishindwa⁶ uenyekiti na Sugu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnanunuliwa halafu.mnaambiwa mmtukane mbowe kumbuka nyuma ya mbowe kuna nguvu ya umma hamtamuweza

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo 9 วันที่ผ่านมา

    We nilipumbavu kumbe pole sana

  • @ayubumwambola589
    @ayubumwambola589 8 วันที่ผ่านมา

    Umelaniwa msigwa,mùgu amekulani huji kuendelea

  • @barakaemmanuel8871
    @barakaemmanuel8871 9 วันที่ผ่านมา

    Wewe Msigwa ni YUDA tena zaidi ya yule aliyemsaliti YESU

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 9 วันที่ผ่านมา +1

    KIKUNDI CHA WANAFIKI KIMEANZA KUPASUKA NA KUJIUNGA NA MAFISAD

  • @deogratiusmaila676
    @deogratiusmaila676 9 วันที่ผ่านมา +1

    Umepewa faraga lopoka lopoka tu

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 9 วันที่ผ่านมา +2

    Umekosa ushauri kabisa umeuvaa U-Yuda mwisho ni kujinyonga

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 8 วันที่ผ่านมา

      Hee kumbe chama kimegeuka dini hee! Si mtumwa ana haki ya kuchagua anachotaka.

  • @user-fw1ku3od7r
    @user-fw1ku3od7r 9 วันที่ผ่านมา

    Yuda tyr kapatikan huku jamn

  • @barakaemmanuel8871
    @barakaemmanuel8871 9 วันที่ผ่านมา

    Msigwa uliyaona hayo. Acheni unafiki.

  • @GeraldNyasembe-q2d
    @GeraldNyasembe-q2d 8 วันที่ผ่านมา

    Yani anaunga ana ushaswishi domo tetema kama jenereta

  • @user-ub1xk6yz6l
    @user-ub1xk6yz6l 8 วันที่ผ่านมา

    Kwanini hukuyasema hayo ukiwa cdm.😂
    Chadema haiwezi kufa kwa vile msigwa ameondoka.😮

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 5 วันที่ผ่านมา

    Umeanza kusifia watu wanaouza rasilimali za tanganyika tayari umekuwa limusukule la fisiemu

  • @VeronikaModestar
    @VeronikaModestar 9 วันที่ผ่านมา

    Msingwa mshamba tu umekosa cheo we nimtu wa tamaa ndio maana uchungaji ulshindwa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 5 วันที่ผ่านมา

    Lifisiemu tupatie tume huru leo uone mziki..wa chadema mbona utajinyea

  • @user-ub1xk6yz6l
    @user-ub1xk6yz6l 8 วันที่ผ่านมา

    huyu alishayumba siku nyingi hamna kitu.huna lolote.huko ndo umeenda kuzikwa.

  • @MusaNdonje
    @MusaNdonje 9 วันที่ผ่านมา

    Achana na chadema komaa na ccm yako bro

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 9 วันที่ผ่านมา

    Kazi unayo ndugu kutuhaminisha kwamba unayoyasema yanatoka moyoni au la

  • @user-xi2mf4xh7r
    @user-xi2mf4xh7r 9 วันที่ผ่านมา

    Huyu ndio mchungaji dah aisee ninani aliyekuloga? kuanza kwa Roho ukakamilishwa kwa mwili?

  • @boniphacetabu2903
    @boniphacetabu2903 9 วันที่ผ่านมา

    Comment fupi fupi

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 9 วันที่ผ่านมา

    Nauliza amerudi kwao au amekuja kuchota data

  • @Didaskamili
    @Didaskamili 9 วันที่ผ่านมา

    Nakubaliana na watu siasa nimchezo mchafu wewe msigwa ulikuwa unafagilia chadema Léo ndio kuwagagilia CCM Sasa sisi wasikulizaji wenu tuwaeleweje?kumbe ni bora kufuta vyama vyote bora mgombea binafsi

  • @user-bp7nb7yp2o
    @user-bp7nb7yp2o 9 วันที่ผ่านมา

    Huna jipya wewe c umekosa uenyekiti wa Kanda?

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 9 วันที่ผ่านมา

    Hiyo imekwenda hiyo, waache wenye CHADEMA waendelee,wewe CCM nenda zako

  • @fadhilikyandofadhilikyando5666
    @fadhilikyandofadhilikyando5666 9 วันที่ผ่านมา

    Kapoteza sifaa huyu jamaaa kapoteza imarufu kabisa

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s 9 วันที่ผ่านมา

    Msigwa umehongwa tunajua unakataa nini acha uchonganishi kama umeenda ccm nenda uongo wanino? unapomwacha mke usimsingizie uongo utakigharimu baadae nawewe unapohamia ccm usiende na uongo nenda kama wewe walipiga kura kuwa hafai kuwa mwenyekiti nyasa sio mbowe acha ujinga umeenda singida kumrubuni tundulisu umegonga ukuta sasa unaropoka ujinga

  • @user-cx4nx7xi7s
    @user-cx4nx7xi7s 9 วันที่ผ่านมา

    ACHA KUMCHAFUA M/K KWA MANUFAA YAKO. WEWE NI MCHUNGAJI KWELI? JAMANI HEBU MUNGU NJOO UTUOKOE!

  • @magnusnkomola5950
    @magnusnkomola5950 9 วันที่ผ่านมา

    Mzee wewe huna hojaaaaa ,njaaa yako imekuponza,hata usoni inaonyesha ni kwa jonsi gani? Ulivyo mroho wa madaraka .
    Alitoka Silaha CDM Bado kina nguvu sembuse weweeee ,Upepo umekataaa haya bhana NENDA kachukue fedhaaa.

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 9 วันที่ผ่านมา

    Lakini wewe mbona ilijulikana siku nyingi sana hata wakati wa mwendazake kulikuwa harafu ya kuhamia ficcm

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 9 วันที่ผ่านมา

    Rushwa ni adui wa haki umejipaka poda

  • @robertzingu9889
    @robertzingu9889 5 วันที่ผ่านมา

    Very stupid mchungaji. Hata hajui kuwa kama ni issue ya u - SACCOS ktk vyama vya siasa, basi CCM ndiye baba na nyani la ma - SACCOS yote yaliyopo kwa Jaji Mutungi. Peter Msigwa kumbe ni fala kwelikweli, amekubali kuuziwa ugomvi binafsi wa CCM na CHADEMA na hususani mwenyekiti wake Freeman Mbowe kijinga kabisa. Kama CCM wao kama chama walishashindwa kuipoteza CHADEMA, sasa wanadhani Peter Msigwa anaweza kuwa ndiyo risasi yao ya kuiangamiza CHADEMA? Really? Anaweza kuwa risasi gani huyu wakati hata anachozungumza hakitoki moyoni bali amekaririshwa na kulishwa maneno ya kusema na Amos Makalla - CCM? Hivi tangu lini KWELI na HAKI ikaushinda UONGO na DHULUMA na ULAGHAI? Kwa sababu what Peter Msigwa is trying to do now, kilishafanywa dhidi ya CHADEMA huko nyuma na ikashindikana. JIWE a.k.a MAGUFULI ndiye alikuwa tishio na hatari zaidi kwa CHADEMA lakini alikufa yeye na kuiacha CHADEMA na Freeman Mbowe wakidunda.... Sasa CCM ya huyu bibie Samia Suluhu Hassan asiye hata chembe ya uwezo kiuongozi atawezaje kwa mfano? NO WAY kwa sababu This time ni zamu ya CCM ya Nyerere kupotea ktk siasa za Tanganyika kama ambavyo KANU ya Jomo Kenyatta ilivyopotea Kenya au ZANU ya Keneth Kaunda ilivyokufa na kupotea mazima huko Zambia!!

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 9 วันที่ผ่านมา

    Tatizo la viongozi wa chadema hamjijuwi kuwa,hamna uwezo wa kuishinda CCM kwakuwa hamna hoja za,kuwashawishi wananchi wenye akili timamu .Msingwa afadhali umewakimbia wajinga hao na wenye kuja matusi huku ndani ya chama hakuna demokrasia viongozi wote wapo kimaslahi mfano mdogo tu wabunge wa viti maalumu wa chadema sihalali lakini ruzuku bilioni 2.7 nihalali .

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 7 วันที่ผ่านมา

      Tunawashindaga sana ila hamtutangazi mnatuogopa. Kwanini hamtaki kuweka Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa?? Mnaogopa nini??

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 9 วันที่ผ่านมา

    Kweli wewe ni mchungaji wa kondoo au nguruwe naamini ijitambue