MAGOLI 20 BORA YA MUDA WOTE SIMBA SPORTS CLUB| 2011-2022 | OKWI,CHAMA,MIQUISSONE,MORRISON,KICHUYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 49

  • @SimbaVideosHD
    @SimbaVideosHD  2 ปีที่แล้ว +8

    GOLI LIPI NI KALI ??

    • @gabrielsulle1013
      @gabrielsulle1013 2 ปีที่แล้ว +2

      Mi Gabriel nikiwa Arusha karatu nawambo fiongo wa Simba wapi nakosea kaenichi nakumbuka kocha wa Simba jina limesaha kwa umaarufu mzee mandefu sajilini wachezaji wenye fiwango

    • @zakariabangaiki5579
      @zakariabangaiki5579 2 ปีที่แล้ว +2

      Chama against Nkana FC

    • @medadimakenzi8070
      @medadimakenzi8070 2 ปีที่แล้ว

      @@gabrielsulle1013 p

  • @sigurdsonmathias4562
    @sigurdsonmathias4562 2 ปีที่แล้ว +3

    Wa kwanza hapa
    Good work bro

  • @AfidhuJafary
    @AfidhuJafary 4 วันที่ผ่านมา +1

    Magoli yote ni makar asee🔥🔥🔥

  • @charlesmasunga1377
    @charlesmasunga1377 2 ปีที่แล้ว +3

    Good work bro tunainjoy kama clip za nje tu

  • @madytwaa
    @madytwaa 2 ปีที่แล้ว +4

    Keep going bro✊💪 umetisha sana

  • @nurummbaga1588
    @nurummbaga1588 2 ปีที่แล้ว +1

    Yote ni magoli bora sana!

  • @nurdinshekivuli468
    @nurdinshekivuli468 7 วันที่ผ่านมา

    Katika wachezaji wa simba wa hivi karibuni, nitamuweka Okwi namba moja hawa wengine watafuata, Boko amefunga magoli mengi,Chama amefanya yake but Okwi was another level.
    Aliekua kocha wa viungo namuona kwa mbali, moja ya machoka bora sana wa simba (marehemu kwa sasa), na tangu ameondoka simba haijarudi kiutimamu mpaka amekuja Fadlu, ila kabla ya hapo timu ilikua kama imelewa vile

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 2 ปีที่แล้ว

    Daah bro umetisha kuweka hizo videos , umefanya nimkumbuke sana okwiii , alikuwa anaogopwa vibaya mno na yanga

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 3 หลายเดือนก่อน

    Simba 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @raymondkobelo4062
    @raymondkobelo4062 21 วันที่ผ่านมา

    UBAYA UBWELA simba nguvu moja

  • @ombenimasawe5441
    @ombenimasawe5441 2 ปีที่แล้ว +3

    Background music imekuwa kubwa kiasi inaumiza masikio, ila keep up the good work

  • @uwezo-q5r
    @uwezo-q5r 2 วันที่ผ่านมา

    Tunaka Simba iwe Kama hii

  • @halimajuma2340
    @halimajuma2340 2 ปีที่แล้ว +2

    Very nice broo

  • @EnediusiGozibathi
    @EnediusiGozibathi 4 วันที่ผ่านมา

    Nam nampatia chama

  • @ambroambrocen1821
    @ambroambrocen1821 2 ปีที่แล้ว

    Ni fire tuh

  • @sadockmathias1171
    @sadockmathias1171 2 ปีที่แล้ว

    Safi sanaa 🔥👍🙌

  • @Ally-c1z
    @Ally-c1z ปีที่แล้ว

    Good 👍🎉

    • @SimbaVideosHD
      @SimbaVideosHD  9 หลายเดือนก่อน

      Thanks for the visit

  • @silverybuluma
    @silverybuluma 2 ปีที่แล้ว

    Chama na nkana zimbwe na gwambina sakho na berkane kichuya na yanga x2 😁😁😁

  • @ramadhankanoun3007
    @ramadhankanoun3007 2 ปีที่แล้ว +1

    Upande wangu goli la Chama dhidi ya Nkana ni goli langu Kali zaidi

  • @bonifaceandaro9140
    @bonifaceandaro9140 2 ปีที่แล้ว +1

    💥💥💥💥 lit

  • @erickmusa6103
    @erickmusa6103 2 ปีที่แล้ว

    Chama

  • @rashidigemsoni5552
    @rashidigemsoni5552 2 ปีที่แล้ว

    Vizr

  • @aplenakihombo6676
    @aplenakihombo6676 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwangu goli bora ni CHAMA Simba vs nkana lilifungwa dakika za mwisho,lilikuwa goli muhimu la kutuvusha,likafungwa kitaalamu na Mpenja akalipamba likapambika...Sitasahau hii siku

  • @mbaroukrashid6201
    @mbaroukrashid6201 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi lakin ungeyapanga kwa namba kuanzia no 20 impala no 1

  • @salaamibahsan3063
    @salaamibahsan3063 2 วันที่ผ่านมา

    Twataka latest sas ya magoli, juz kibu kufunga golf la van persie nashangaa silion

  • @djrichsingelifreva8245
    @djrichsingelifreva8245 2 ปีที่แล้ว +5

    Goal la Kichuya ndio Goal Langu Bora likifutiwa Na Goal la Morrison Na Sakho

  • @TriplyWander
    @TriplyWander 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Goli za ZimbweJr lilikua vs Gwambina sio Namungo

  • @dundoonlinesingeli
    @dundoonlinesingeli 5 หลายเดือนก่อน

    SAKHOOO MTUUU

  • @gracemagambo6210
    @gracemagambo6210 2 ปีที่แล้ว

    Chama nkana kichuya Kona na yanga konde boy alhaari

  • @ibrahimsanga690
    @ibrahimsanga690 2 ปีที่แล้ว

    Mkuds vs nkana..chama vs nkana and Miquisoine vs Al ahly

  • @sillasmoris6544
    @sillasmoris6544 2 ปีที่แล้ว

    Goli la okwi dhidi ya yanga nala Jose dhidi ya waarabu

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 2 วันที่ผ่านมา

    Hii Simba sijui lini itajirudia?

  • @Dorineeisack
    @Dorineeisack 4 วันที่ผ่านมา

    dah ilo la chama bhana sijawai kuliona popote apewe maua yake

  • @dineshog8575
    @dineshog8575 2 ปีที่แล้ว

    Kwa sauti ya rich mavoko

  • @salhafilms
    @salhafilms 4 วันที่ผ่านมา

    Kabla kuku broiler hazijafika😢

  • @NuruMoshi-m8l
    @NuruMoshi-m8l 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Goribora ni shiza Ramadan kichuya Simba vs yanga

  • @barakajohnh.b8580
    @barakajohnh.b8580 2 ปีที่แล้ว +1

    Sitaweza kusahau goli la kichuya

  • @thepresidenttobe5481
    @thepresidenttobe5481 2 ปีที่แล้ว

    Goli la Mo Hussein ilikuwa dhidi ya Gwambina na sio Namungo. Na ile Caving ya Micquison ile banana chop ilikuwa dhidi ya Alliance na sio Dodoma jiji

  • @jackmukama7454
    @jackmukama7454 2 ปีที่แล้ว +1

    2022 amjapata goli ni 2020tu

  • @kelsonkenedy6473
    @kelsonkenedy6473 2 ปีที่แล้ว

    ajibu vs mgambo jkt

  • @HusseinMoyo-d3w
    @HusseinMoyo-d3w 3 วันที่ผ่านมา

    Goli lakichula Simba vs nyumamwiko

  • @hidayamwaya6081
    @hidayamwaya6081 2 ปีที่แล้ว

    Umejithd ilaa kun baadh ya timu umekosea kama miquissone mtibwa, mbeya city, na alliance p1 mo hussein vs gwambina

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 2 วันที่ผ่านมา

    Chama alitakiwa astafie Simba ili apewe heshima yake siku ya kuondoka.

  • @dineshog8575
    @dineshog8575 2 ปีที่แล้ว

    Kichuya kona

  • @josiamasine6401
    @josiamasine6401 2 ปีที่แล้ว

    Gol la kichuy nma