Kwenye kabila letu la kimaasai mungu tu atusaidiye unaona izi nyimbo zinamtukuza mungu lkn niasara tu watu wanagarimika kifeza kwa muda lkn aina faida naomba jamii yangu embu ibadileke ivi ingekuwa hawa watu ingekuwa hii ni cd ingenunuliwa wangepata kitu kidogo neno la mungu linasema kuweni na akili mpate kuishe
Ameeen Ameeen wabarikiwe kwa jina la yesu kristo
Kumbe hii ndo Kwaya ya olesiangikiii ambaye watu walikuwaa wanadiscuss kwambaa wanabebwaaa kumbe ni hatariii hivyi Mungu awabarikiii
Kopkop tv mabadilikoo katikaa jamii yetu
Haijawai tokea,wameimba vzri sn sn, kongole nyingi kwa hi kwaya,cjui Ni usharika gani!!!
Inaitwa upendo kwaya KKKT Usharika wa TERRAT Dayosisi ya kaskazini kati.
Intee Mayan India olaitorwani
hii kwaya mungu awabariki sana
bila kusahau kopkop TV mbarikiwe
Kwenye kabila letu la kimaasai mungu tu atusaidiye unaona izi nyimbo zinamtukuza mungu lkn niasara tu watu wanagarimika kifeza kwa muda lkn aina faida naomba jamii yangu embu ibadileke ivi ingekuwa hawa watu ingekuwa hii ni cd ingenunuliwa wangepata kitu kidogo neno la mungu linasema kuweni na akili mpate kuishe
Mungu awabariki
🥂🥂💥💥💥💥