Ukivaa viatu vya yesu na visikutoshe kuna watu wako nje na wanatamani kupata hio microphone but n ngumu,,,Sasa wewe Ezekiel waache tu waaibishe kanisa sababu muda sio mrefu Mimi na shida zngu na maisha yngu nitajipata huko na nikimtumikia mungu katka roho na kweli
Ina maanisha Kuna pastors hawajaokoka, waliokoka tu na mdomo bali sio ya hakika, wako hapo tu juu hawana kazi, kwao kuhubiri ni employment sio kuelekeza watu kwa wokovu na Kristo
Tume barikiwa sana apa congo Na Pastor Ezekiel
Salut
Ukweli pastor wengi wako evo niwasherati hawamini mungu ubarikiwe pastor
Nakusuport pastor EZEKIEL, kamata zote wabaki na Yesu kristo.
Naomba nifuate njia ya MUNGU hata nipitie yapi katika jina la Yesu...AMEN
Mungu atusaidie sana tuwe na mungu jaman
Kusema ukweli some branch pastors wana viburi sana
Very true
Amina
Oh pastor tell them ukweli utakuweka uhuru God bless you man of God
Amina sanaaa
Hìyo roho hiung'ue moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥uzinzi ikifika tu iteketèe in Jesus name.
Kuna wachungaji wengine wapo kimasilahi tu mungu atupe macho ya kiroho tuweze kutambua mema na mabaya
Ukivaa viatu vya yesu na visikutoshe kuna watu wako nje na wanatamani kupata hio microphone but n ngumu,,,Sasa wewe Ezekiel waache tu waaibishe kanisa sababu muda sio mrefu Mimi na shida zngu na maisha yngu nitajipata huko na nikimtumikia mungu katka roho na kweli
Amen
Mchungaji akifikia level hiyo ya uzinzi atupwe nje(1kor5:1-9)
Barikiwa sana Pastor Ezekiel.
Ila siku hizi simsikii Bisho Mwilu, pengine nahis umri wake umekuwa mkubwa
🙏🙏 Eeeh mungu pigana nao wanao pigana na mimi
Nakupenda kwambia watu ukweli amen
Niukweli Pastor
Ameeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yes vetter to tell them the truth
For wheresoever the carcase is, there will the eagles be gathered together. Hao wachungaji waonywe kabisa. Panapo Mungu watatorokea huko.
Amen Amen Amen Amen Amen
Gharama ya kuitafuta nguvu ya MUNGU halafu watu wanacheza na MUNGU. MUNGU azidi kukuinua na kukulinda ktk huduma yako Pastor Ezekiel.
Waaa mungu linda huyu msichana
Heri nibaki na yesu hata magapi yakija kwa maisha yangu please maombi kwangu na watoto familia pia
Bitter truth pastor
Pastar MUNGU akubaliki sana kwakusema kweli
Rebuke before all,that they all may fear
Sema pastor
Kabisa
Pastor Ezekiel huyo Bishop Mwilu ni yule alikuwa akihubiri ktk Radio ya Kenya na Sauti nene na nzito siku za nyuma huko?
For wheresoever the carcase is, there will the eagles be gathered together. Mat. 24:28. Hao wachungaji waonywe kabisa. Panapo Mungu watatorokea huko.
Ukiona mtu wa ivo Hana mda wa maombi wa kusoma neno.
Ww hapo huna watu walio okoka pastar unawataka pesa zako, wasaidie wampate Yesu wa okoke wasifate pesa tu
Kwani nani Hawa Tena,wa bungoma alitolewa ..who else??
For wheresoever the carcase is, there will the eagles be gathered together. Mat. 24:28. Panapo Mungu watatorokea huko. Hao wachungaji waonywe kabisa
Hao pastors Wana madharau warekebike waache madharau
Pastor Ezekiel, unapigwa vita kupitia hao watoto wako ma pastor bonoko, wasio sikia
Ina maanisha Kuna pastors hawajaokoka, waliokoka tu na mdomo bali sio ya hakika, wako hapo tu juu hawana kazi, kwao kuhubiri ni employment sio kuelekeza watu kwa wokovu na Kristo
This narrative will end
Why are you not preaching the word of God you're narrating events
Is Jesus doing what you are doing?
He is correcting and rebuking those doing wrong. That too is gospel.
Tume barikiwa sana apa congo Na Pastor Ezekiel
Amen amen
For wheresoever the carcase is, there will the eagles be gathered together. Mat. 24:28.
Hao wachungaji waonywe kabisa. Panapo Mungu watatorokea huko.
AMEN