PASTOR EZEKIEL AKUTANA NA MCHAWI AMBAYE HAJALALA MIAKA 30 AKATWA MGUU AU ASKARI VIHEREHERE "NISAIDIE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 มี.ค. 2024
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
TH-cam : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...
Asante bwana yesu Kwa huyu mchungaji Ezekiel .amefanyika msaada Kwa watu wako kamlinde Siku zote bwana yesu
Am a Catholic worshiper but the reason i changed and started watching evangelist EZEKIEL and pastor sarah is when my own uncle got healed in my presence,my wife got healed,my father recieved his stacked money.........i loved his teachings because he obeys and respect his spiritual father and whatever he teaches about God is extremely true
Am a Catholic too but Newlife is my Alter now, hii Madhabahu imenitoa mbali, hata sijui nimshukuru Yesu kivipi 🙏kweli nilikuwa gizani na kuteseka bure but now naweza sema Yesu ni Bwana🙏
mnadaganywa
Surely what do people want🤔🤔tukiwa Catholic tunaambiwa tunaabudu sanamu, tukienda kwa Ezekiel tunaambiwa tunadanganywa na ni defo washipa😆😆sitoki Newlife and am not asking for anyone’s opinion! Kila mtu abebe msalaba yake
A1qq10
0@@shoshorossana9033
Hii ni kali...Mungu nifiche chini ya mwamba wasipate kunielewa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante Mungu kwa Yale yote umenitendea aki l only watch one service last Sunday but one the following week l was promoted as manager,we give God all the glory,may God bless pastor Ezekiel I love him so much.alisema kwa service Ati anataka kunyang'anya mtu kazi apee wale watu hawana kumbe sikuwa najua ni Mimi napewa kazi woooow my God
,
Amen
Ni Mungu si Ezekiel pls
Pastor Ezekiel your most welcom in Tz 🇹🇿 every tyme gud
Kama ulivofany kujaaa even m am muslim but your coming to help others
Take JESUS..and pray through The Name of Jesus it's very powerful. Hata wewe Mungu anaweza kukutumia na kukuonyeaha mambo makuu. Hata Muslims Jesus loves you all so much,but acknowledge JESUS n pray through Him. Mjaribu Yesu hata kisiri...mwite Kwa roho yako yote ukimtegemea Kwa hakika hautajuta...hakuna Nguvu yoyote Ile hata shetani mwenyewe analiogopa jina la Yesu.pia waislamu mjue kuwa kutomtambua Yesu vilivyo kuwa yeye aliwafia nyie pia na kuwa yeye ni mwana wa Mungu na kuwa yeye Yesu ni Mungu pia...mwakosea sana hata mwaweza kukosa mbingu Kwa ajili hii...maanake mumemkana...na yeyote anaye mkana Yesu haoni mbingu. Tafadhali mjaribu Yesu...soma biblia Mungu ayafungue macho..Asante
@@ceciliahnyaboke271 Una ushahidi gani Kama yesu aliteswa msalabani zile syo video Tu au
Damu ya yesu kristo ifunike watoto wangu na mume wangu wachawi wasituone kwa jina la yesu kristo
Bm .mm j
kila roho ndani yangu isiyo ya kiungu itoke mara moja, na kila ufanisi ulio wangu unifikie sasa na milele kwa jina la yesu. familia yangu iwe restored in Jesus name as a lifetime testimony .
kenya pastors are on another level, there is also apostle juma, anatoa uchawi kwa mambona live live, we give glory to the most high!!!!!!!!!!!!
You tube yake nigani
Amen we trust in God🙏
Roho ya uchawi ishindwe
Kila Roho Ndani yangu isiyo ya Mungu itoke in Jesus Mighty Name
AMEN 🙏🙏🙏
Amen 🙏
AMEN
Safi sana
Wamkata
Hapo kwa jini ukweli ...sister yangu alipewa pesa na cuzo yangu 5000 za bure ..ni juzi tu tumejua ilikuwa majini tano alipewa na imekuwa ikiishi ndani yake akadhoofika mwili...weh God is good all the time my sister is now recovering na mwili isharudi sawa.
Amina apone katika jina la yesu
Kila roho ya giza inayo tumika ndani yangu iondoke katika Jina la Yesu chrito 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🧎🧎🧎
PasterEzekiel mungu alubaliki sana naomba uniombee kila roho ndani yangu isiyo ya mungu iondoke kwa jina la yesu .
Thank you so much .god bless you pastor .pray for me.kila roho isiyo ya Mungu kwangu ingolewe Kwa Jina la yesu
Mungu asantekwakunilinda mimi na familiyayangu.thank you Jesus Christ
Mungu nibariki mimi na familia yangu tupekibali nguvu zote za giza zilizotumwa ndani yangu ziteketee kwa moto bariki tumbo la uzazi wangu nipatie watoto wa kike kwa wakiume na amin utatendaa
Ameen
Amen..yesu ndiye anatawala . .kitini cha enzi..
Mungu funika watoto wangu kwa jina la yesu..pia mm nifunike kwa jina yesu..
uchawi wowote uliofanywa juu yangu na watoto wangu leo umelipuliwa na kuondoshwa kwa jina la Yesu.
Wameulipuwaj ndg
Make mm sielew ujue
Waa pastor una kazi ya ziada jameni mungu akuzidishie uzima uokee wengu
I love you so much pastor Ezekiel
Kila roho ndani yangu isiyo ya mungu itoke in Jesus mighty name
Kila roho ndani yangu na ndani ya mtoto wangu tuliyoingiziwa ktk ndoto ing'olewe kwa jina la Yesu.
May Almighty God fight for me all my battles in Jesus Christ name
Mungu nifiche Na nyumba yangu wachwi wasiwe Na nguvu kwangu wasiweze kuniona Kwa viyo nguvu zao ziishe Mungu tulinde
Mungu na akubariki pstr na akulinde siku zote uishi kuwa msaada kwa wengi in Jesus name
Pastal ezekiel and pastal Sarah we love we'll come Tanzania all the time nilibarikiwa sana pale biafra naificha familia ya baba yangu kwenye madhabahu yako amen
Barikiwa sana pastorr Ezekiel naomba kujua ukitoka Arusha utakuwa wapi mana nimefurahishwa na maombezi yko
Yesu Kristo damu yako yaweza kila dhabi
Kila uchawi ndani yangu ungolewe katika jina la Yesu
Eee mungu ulie Hai tufiche na utufunuke kwa mbawa zako, 🙏🙏
Balikiwa sana mtumishi Ezekiel, mm nabarikiwa sana na mahubiri yako, jina la bwana libarikiwe amen,
Mungu anayekutumia ndani mwako pastor Ezekiel ninamkaribisha moyoni mwangu na maishani mwangu
Asante Bwana Yesu kwa roho hii mbinguni kuna shangwe kama sisi duniani
Eee mungu wangu asante kwa ukombozi mkuu kwa maisha yangu. Mpaka hapa umekuwa hebeneza.Naomba chochote kilichosalia ndani yangu iyeyuke na kutoka kwa jina la yesu kristo
Thank you Jesus kwa kuniunganisha na mtumishi wa kweli ooh lord Amen
Kila roho isiyo ya mungu Dani yangu itoke katika njina la yesu
Woow hii it's hilarious... Wachawi wote mkamatwe nyote mfe nyote in Jesus mighty name Amen
Omba pastor wachawi wafe wanaonisumbua katika elimu🇹🇿
Ameeen
Naomba nipate roho kama ya pastal Sarah ya maombi nilikupenda sana pasta sarah
pastor I love your preaching
Mungu wangu niepukanie na mambo na uchawi na uganga
Kila roho ndani yangu isiyo ya MUNGU itoke katika njina la YESU🙏🙏🙏🙏
Eehh Mungu naifunika familia yangu kwa damu ya Yesu wachawi hawana mamlaka katika maisha yangu🙏🙏
Nakemea uchawi katika Familia yetu ushindwe🙏🙏
Powerful test
Mhh jamani duniani humu hee kuna mambo mengi ya ajabu sana, ndio maana mimi nachanjwa kila siku na kitu nisichokiona ewe yesu naomba unisaidie, hawa wachawi wanaonifuata huku uswis waanguke na nyungo zao na waungue na moto. 30.03.24.
Amen
Ameni..
Ooh my God 😢kila kilicho ndani yangu kisicho Na mungu kitoweke Na bwana yesu naomba unifiche chini ya mwamba pamoja Na watoto WAngu pamoja Na familia yangu
Kila maroh ya uganga uchawi kwa nyumba yetu kwa ndowa yangu kutoka kwa bakitangaa bukusu kutoka mbakiseve ujaluo kwa muze Lukas wagaa kutoka kisiyani na kajulu eyo roho ya usharati kwa maesha ya mume wangu umasikini kutenguwa kudarauliwa siyo sehemu ya mume wangu maesha ya mume ikombolewe maesha ya watoto wangu yakombolewe katika jina la Yesu kresto yakombolewe maesha yangu Joseph oteino katika jina la Yesu kresto .Ameeen
Kila roho isiyotoka ya yesu iniondoke katika jina LA yesu Ameen 🙏🙏🙏
Mungu wangu niokoe
Every spirit of darkness in my life and my family I pray that spirit out in Jesus Christ Mighty Name. Amen
Majaoni Newlife Church..Pastor uli tufunza tusikule chochote kutoka sokoni ama Supermarket bila kuitakaza..nakushukuru daddy kwa mafunzo yako
Yesu ni mfalme juu ya waganga
I am 25,bt already done alot ata kushinda Miaka zangu,may I receive deliverance and forgiveness in Jesus name amen
Kila madhabuu kwa maisha yangu iondoleww
May God protect me and my family wachawi hawalali ni ukweli
Watu wa Mungu tusichoke na maombi🙏🙏
Mungu wangu, nifundishe kufuata njia zako na pahali nilikosea au nakosea nisamehe na unipatie ghadhabu itakayo nirudisha kwa njia zako
Feather mwombe mungu tuu anaweza Kila kitu so Kila Jambo unaliweka wazi kwa Kila mtu nakupenda Sana baba yangu MUNGU akulinde kwa Kila Jambo inshallah All ahuakiball Allahu akiball🌃
Amen pastor
Ameni
PST kazi unayo na Mungu akusaide sana neem na rehema akushushie mungu nami niombe nina DL lakini kupata kazi imekua ngumu sana.
Pastor mungu akuongezee nguvu ya kumaliza wachawi in jesus name Amen
Mungu funika familiar yetu na damu ya yesu
God bless you pastor
Kila roho ndani yangu isiko ya Mungu oooooouuuuuut
Mungu tusaidie sana;utuepush mambo ya asili
Ubarikiwe sana pastor wangu
Ni josphine luhunga uniombe pastor nachekelea na watu bwana yangu aluniachab niombe pastor sina ndoa naangaika na watoto peke yangu roho yakukataliwa iondoke ndani mwang in jesus name amen
Ooh God protect us in Jesus name
Kweli Mungu si binadamu hana uongo,habadiliki akikupa ahadi huitimiza MUNGU wa milele
Kila roho ndani yangu isiyo ya mungu itoke kwa jina la yesu
Amina
God is good all time🙏🙏💯
Amina glory to God
Kila roho inayoniandama mm na familia yangu isiyoo mfuraisha mungu invoke kwa njina LA yesu mungu singira wanao na damu yako
Mungu nifunike na mabawa Yako pamoja na familia yngu🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu Ni mwema wengine hatungekuwa na ndoa,Kazi na watoti.
glory be to God 🙏
Baba yetu njo ufik burundi banadutes bachawi tunaomba baba👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Uchawi wowote uliofanywa wakitaji jina langu la mwanangu n familia yangu i command out in the Mighty name of Jesus catch fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ooh my God alitupia mshirika roho zake za kichawi, God be in control in Jesus name 🙏
Mama Amina mbeleee,,Amina mbelembeleeeee×2
Amena
Hongera Kwa kumchagua mfalme Yesu usirudi nyima tena
Amen chochote kilicho ibwa ndani yngu kiregeshwe in Jesus name 🙏
Mungu nipange ,nisipangwe...Amen
munguniondoe ayibu ninunue
haleluya YESU AMETENDA HALELUYAH
Amen
Asante Mungu🙏🙏namI niweze kukombolewa katika magonjwa😭
Amen.
Yesu pendua kila kilicho sirini, Ezekiel Mungu azidi kukupa neema uzidi kufungua dunia
May God protect me with my family
amin sana
Poster ezekel GOD BLESS U for coming Tanzania kutupa injili isiyochanganywa
Amen 🙏🙏
Ameni wachawi wakufe.
God have mercy on us, we're helpless without your power o Lord of Israel 😢😢
glory to God
Mungu tusadie