Zanzibari/Omani Halwa ya Kiswahili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Mahitaji:
    ½ Nusu kikombe + vijiko 2 vya kulia (Cornstarch au Tapioca Starch ( uwanga wa muhogo) ) kwa kupata haluwa nzuri ni vizuri kama utachanganya tapioca starch 1/2 nusu kikombe + Vjk 2 vya kulia corn starch
    ½ Nusu kikombe Maji
    Vikombe 2 na nusu vya maji
    Majani ya chai vijiko 2 vidogo au zaidi
    ¾ Kikombe kasoro samli au mafuta au mchanganiyiko ( mie nimetumia samli ½ na mafuta ¼)
    2 vikombe viwili sukari ya brown
    1 kikombe kimoja sukari nyeupe
    2 Vijiko vikubwa maji ya mawardi
    2 vijiko vidogo hiliki ilosangwa ( unga)
    1 kijiko kidogo kukumanga ya kusaga
    ½ nusu kijiko kidogo zaafarani
    1 kijiko kikubwa ufuta kama utapenda

ความคิดเห็น • 260

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  3 ปีที่แล้ว

    English version link th-cam.com/video/gUCeR4mWZ5I/w-d-xo.html

  • @samiraalhabsi3697
    @samiraalhabsi3697 4 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah tabarak rahman Allah akuzidishie kila la kheri hbbty kwakweli unafundisha vitu vingi hatuna cha kukulipa Allah atakulipa jazaa yk🤲❤❤❤❤❤❤

  • @shadyaalismaily8802
    @shadyaalismaily8802 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah nitajaribu na mimi kupika. Shukran habibty wajazakallahu lkheir😘🌹

  • @Tuma1986
    @Tuma1986 ปีที่แล้ว

    Just want to say thank you so much for this recipe, its been my bussiness for 5yrs now, Allah akuzidishie kipaji, akupe umri na afya iliuendeleze ndoto zako😊. Shukran sana🤗.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  ปีที่แล้ว

      Mashallah Mungu akuzidishie baraka . Amin kwetu sote

  • @Tuma1986
    @Tuma1986 5 ปีที่แล้ว +5

    I used this recipe and mashaAllah its delicious😋 thank you @Aroma of Zanzibar🤗

  • @kassimzahor3053
    @kassimzahor3053 6 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah , ahsante sana mama kwa kutufundisha mapishi mbali mbali .

  • @imanmohamed2215
    @imanmohamed2215 10 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah TabarakkahAllah

  • @fatmaal-ismaili5514
    @fatmaal-ismaili5514 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashashallah tabarak rrahmam🤩🤩🤩🤩

  • @ninasemunniy9526
    @ninasemunniy9526 7 ปีที่แล้ว +1

    mashallahu Allah akuzidishiie unatufundisha mazuri shukran na halwa ndo yenyewe habibtiy

  • @schimami4162
    @schimami4162 8 ปีที่แล้ว +1

    ahsante kwa kutufundisha mapishi tufanyie na vileja ukipata wasaa insh allah baraka allahfiyiq

  • @aishagharib362
    @aishagharib362 7 ปีที่แล้ว +5

    mashaallah ndo kwnz mara yng ya kwnz kuona apa halwah

  • @anatymatiath4517
    @anatymatiath4517 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah mamy Asant kwa mafundisho Mungu Akuwekee

  • @mansourahtwaha7663
    @mansourahtwaha7663 4 ปีที่แล้ว

    Masha'allah kipenzi changu Allah akulipe kwa wema wako😚💕💕💕💕💕

  • @jabrial5295
    @jabrial5295 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah nimejaribu sijui mara ngapi yaani recipe na maelekezo yake ni perfect

  • @thekickblog
    @thekickblog 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante mdogo wangu kwa recipe, ndio niko jikoni nakoroga, mambo mazuri alhamdulilahi

  • @jokhanassor8600
    @jokhanassor8600 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah.shukran sana.nakupenda sana.maana nashukuru sana.nilikuwa sijui kupika.ila asa hvi navyokutizama alhamdulilah.m.mungu akujaalie kwa kutuelimisha.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Shukran, amin kwetu sote. Nimefurahi kujua kwamba umeweza kuelimika kwa kupitia hapa. Alhamdulilah

  • @zuhuraakida5932
    @zuhuraakida5932 7 ปีที่แล้ว

    mashallah mapishi 😋😋😋😋😋umejaaliwa walah thanx🙏 greetings from sweden.

  • @taharayassin6528
    @taharayassin6528 8 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah Masha'Allah mamy nimejaribu Alhamdullillah imekuja vizuri so nice Masha'Allah thank you so much natamani nikuoneshe Shukran sana ❤

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +1

      aww, thanks nimefurahi sana kusikia , unaweza kuniletea picha kwenye Facebook ipo aroma of zanzibar

    • @khadijakhamis7711
      @khadijakhamis7711 5 ปีที่แล้ว

      Yap nzur ila vipimo tu ndio nimekosea

    • @khadijakhamis7711
      @khadijakhamis7711 5 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar ur my teacher love yaan kila kitu kikopoa vipimo nimekisia tu ila1 nzur

  • @balqeesmackysah7367
    @balqeesmackysah7367 8 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah!asante sanaa jamani,i never knew how prepare this before..Ma sha Allah! thanks so much

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Bal'qees

    • @hajiwaseif2825
      @hajiwaseif2825 9 หลายเดือนก่อน

      A alaykum shukran mm nipika kuwa sukari guru

  • @lutufiahamisi4159
    @lutufiahamisi4159 5 ปีที่แล้ว +2

    wawoooo jamani nitajifunza asante mamy

  • @masumajanmohamed1837
    @masumajanmohamed1837 7 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah, thank you very much I will try to make it. Asante saanaaa

  • @starfishtourznz
    @starfishtourznz 8 ปีที่แล้ว +1

    asante sana darsa lako nimelipenda na limenisaidia shukran

  • @leilamehbub948
    @leilamehbub948 4 ปีที่แล้ว

    Aroma ya Zanzibar thanks my siz thanks for ur quick reply May Allah bless the work of ur hands.

  • @singidacity2203
    @singidacity2203 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukraan habibty jazakallah khaira

  • @userAysha
    @userAysha 8 ปีที่แล้ว

    mashallah nitajaribu siku moja inshallah

  • @ashakawia8357
    @ashakawia8357 7 ปีที่แล้ว +2

    wooow!! you make it so easy!! Thank you

  • @rabiawazir1883
    @rabiawazir1883 7 ปีที่แล้ว

    masha ALLAH
    tunaomba utufamishe jinsi ya kutengeneza ice cream yako mwenyewe nyumbani na pia tunaomba baadhi ya vifaa ututambulishe kwa kiswAhili
    shukran

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Rabia mie sitengenezi ice cream nyumbani wala sina vifaa najua zipo recipe za kutumia blender lakini sijawahi kujaribu nikiwa tayari nitaleta , shukran

  • @shammxtv5608
    @shammxtv5608 4 ปีที่แล้ว

    Wow kumbe nyepes ivyo💋

  • @hajiwaseif2825
    @hajiwaseif2825 9 หลายเดือนก่อน

    Shukran xn habibty wng naomba maelekezo unga wachina wapo uzia

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  9 หลายเดือนก่อน

      Maelezo ani tena ni unga uwanga wa muhogo sisi tunapata kwa wachina lakini sio lazima ukanunue kwao

  • @hajiwaseif2825
    @hajiwaseif2825 11 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @sabirawalji2817
    @sabirawalji2817 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah all your recipes are awesome..waiting for jalebi

  • @aishahemed138
    @aishahemed138 4 ปีที่แล้ว

    MashALLAH thanks for the recipe jazkklh

  • @kajambe5
    @kajambe5 8 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah habibty nice one and look yummy...@ Laylunnar

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว

      +Arlalu :) Thank you so much, thanks for stopping by

    • @thequ33en65
      @thequ33en65 7 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar shukran habipitiy tabaraka rahmani

  • @estherchamhene212
    @estherchamhene212 7 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah ntajaribu

  • @rahimasaid6721
    @rahimasaid6721 ปีที่แล้ว

    جزاكم الله خيرا و احسن الجزء 😍😘

  • @lizlovedbyGod
    @lizlovedbyGod 7 ปีที่แล้ว +1

    amazing!!! OMG!!! wewe mtundu eh? very inspiring.

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      I have to be mtundu when I like something , thank you

  • @didapk2529
    @didapk2529 8 ปีที่แล้ว +2

    mashallah thats quick haluwa ever !

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว

      +Khadija Mubarak Thank you and it great

  • @mwanramilimohamed7822
    @mwanramilimohamed7822 8 ปีที่แล้ว +1

    nimependa sn shukran ant hii kitu napenda sn nitamuomba mungu kupika

  • @mksilentgent2682
    @mksilentgent2682 6 ปีที่แล้ว

    Ajab MASHAALLAH Thumbs up.

  • @rugeyyemuhammad1549
    @rugeyyemuhammad1549 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nzuri

  • @AHMED-qn5pn
    @AHMED-qn5pn 8 ปีที่แล้ว

    thx sis Halwa ipo nzur ila thx sana tena sana kwa kunishtua kwamba nisile tena Halwa katika maisha yangu kumbe 85% ni sugar.....

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว

      Shukran , kila kitu ni kula kwa kiasi hasa haya masukari

  • @alisharia6831
    @alisharia6831 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa mapish mazuri dada

  • @logacrazy6730
    @logacrazy6730 7 ปีที่แล้ว +2

    masha Allah 😏😏

  • @rukaiyasuleiman2194
    @rukaiyasuleiman2194 8 ปีที่แล้ว

    Mashaaalla the aroma zanzibar

  • @thekickblog
    @thekickblog 4 ปีที่แล้ว

    Jazakaallahu khairan kwa recipe

  • @bintimanazil1361
    @bintimanazil1361 6 ปีที่แล้ว

    Wow MashalAh hata mm ntajifunza kupika halua

  • @suhailmohiadin9295
    @suhailmohiadin9295 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah sister hap kidg vipimo ndio sikuona sijui sukari umeweka ngapi na unga plz nisaede kwa hilo plz love nimejifunza mapishi mengi kupitia kwako mashallah Allha akulipe heri zako

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว +1

      Nimeandika vipimo vyote kwenye description box hapo chini ya tarehe

    • @suhailmohiadin9295
      @suhailmohiadin9295 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar asante mashallah

  • @zaitymaganga1322
    @zaitymaganga1322 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mapishi mama ntajaribu na Mimi

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 4 ปีที่แล้ว

    Asalam Aleykum sister Shukraan kwa mapishi Allah akulipe Allahumma Amini ( mwaka jana nilipika haluwa yako ikayoka vizuyila leo imeungua na kuwa chungu hata sijui ni nini unaweza kuniambia labda moto na sijhi labda sukari na chai nimeipika kwa muda mrefu

  • @borabasi6747
    @borabasi6747 7 ปีที่แล้ว +2

    Nimeanza kufatilia mapishi yako kwa siku sasa nimefaidika sana .Ahsante sana.

  • @afropolo2048
    @afropolo2048 6 ปีที่แล้ว

    Shukran sister unatusaidi sana vijana ambao hatupo closse na familia

  • @yA-uq2ku
    @yA-uq2ku 4 ปีที่แล้ว

    اريد طريقه الحلاوه البيضا الي في الصحن ولك الشكر قناه جميله ومفيده استمري

  • @mwanaidkhamis
    @mwanaidkhamis 3 ปีที่แล้ว

    Woooow mashaallah

  • @nassorsuleiman860
    @nassorsuleiman860 7 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Shukran sana... I will try to make it Inshallah..

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      You are welcome, Inshallah

    • @nawalsultan339
      @nawalsultan339 7 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar itabidi nikutafute nikija africa mashallah vyakula vyako vote vizuri😘😘😘😘

    • @nawalsultan339
      @nawalsultan339 7 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar nnagaiyee im to far

    • @mohamedchande8824
      @mohamedchande8824 7 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar

    • @mohamedchande8824
      @mohamedchande8824 7 ปีที่แล้ว

      Nassor Suleiman him.x

  • @suleimanomar5956
    @suleimanomar5956 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana... mashallah

  • @rabiawazir1883
    @rabiawazir1883 7 ปีที่แล้ว +1

    Insha ALLAH habipty

  • @luubna
    @luubna 2 หลายเดือนก่อน

    Thank you so much for sharing the recipe..
    I have question, everything was perfect apart from the gritty powdery texture
    What could be the reason for it?
    I done it with corn starch and added 2 tbsp of topioca flour (to confirm, google mentioned that the topioca flour is the same as the topioca starch) could that be why?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  2 หลายเดือนก่อน

      The tapioca starch is very fine like powder texture and tapioca flour is more gritty

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 7 ปีที่แล้ว

    Masha Allah,Shukran Sister

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 7 ปีที่แล้ว

    shukraan i know how to cook halwa sasa. jazakallahu kheir

  • @halathabit3517
    @halathabit3517 8 ปีที่แล้ว

    Mashaa ALLAH

  • @khamissons1206
    @khamissons1206 8 ปีที่แล้ว +1

    vizur

  • @shamzone388
    @shamzone388 7 ปีที่แล้ว +1

    afwan habibty

  • @a.856
    @a.856 8 ปีที่แล้ว

    mashaallah so clever sis.

  • @hajraaboud3698
    @hajraaboud3698 8 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah 😍😍😍

  • @salwasaeed5716
    @salwasaeed5716 4 ปีที่แล้ว

    ASALAM Alaikum warahmatullah wabarakatuh.VP hali yako hujambo na family
    Nataka nijaribu kupika Halwa sasa unaweza kupika kwa unga wa mhogo au ndio lazma uwe umeandikwa starch?
    Ndio uweze kupika Halwa?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว +1

      Aleikum Musalaam, unga wa starch kwa kiswahili ni uwanga wa muhogo. Nchi nyengine wanaita starch wengine wanaita corn flour muhimu uwe mwepesi kama podari hivi sio unga wa muhogo wa chenga kama sembe au donna

  • @hajiwaseif2825
    @hajiwaseif2825 9 หลายเดือนก่อน

    A alaykum habibty wng naomba maelekezo unga unapo uza wapi Zanzibar

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 หลายเดือนก่อน

      Wa aleikum musalaam, mie siishi Zanzibar

  • @twaibaalubeidy7780
    @twaibaalubeidy7780 2 ปีที่แล้ว

    Salaam aleikum sister naona hujatueza vipimo ulivo tumia Yaani sukari gram ngapi na starch nakadhalika

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  2 ปีที่แล้ว

      Aleikum musalaam nimeandika vipimo vyote hapo chini ya tarehe kwenye description box

  • @ummukulthumabdulhafidh9516
    @ummukulthumabdulhafidh9516 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah thanks alot

  • @beastmasteraloha7214
    @beastmasteraloha7214 8 ปีที่แล้ว +1

    I'm following you on TH-cam from very remote base in Artic Polar Tundra [Russian base]for monitoring the Ozone layer
    I really like your recipes but unfortunately we don't have those ingredients here in xtreme permafrost cold. Until I complete my attachment most probably early next year where I shall be on my vacation by then. So I hope to visit this Zanzibar island & see for myself the delicacies

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +1

      Thanks for your support thats very kind of you. Too bad you dont have those ingredients. Wish you all the best and do let me know when you get a chance to visit x take care and have a wonderful weekend

    • @hajiwaseif677
      @hajiwaseif677 3 ปีที่แล้ว

      Shukran xn habibty vipimo

  • @Nbatah899
    @Nbatah899 7 ปีที่แล้ว +2

    Thank's 😍😘

  • @khadijamasoud4825
    @khadijamasoud4825 5 ปีที่แล้ว

    nimeipenda

  • @hajiwaseif2825
    @hajiwaseif2825 8 หลายเดือนก่อน

    A alaykum habibty wng naomba vipimo vikombe unavyo tumia ni measure cup?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 หลายเดือนก่อน

      Ndio dea ni measuring cups kama nilivyo onyesha hapo

  • @karimaali2
    @karimaali2 4 ปีที่แล้ว

    I really want to try please

  • @aishasaeedally136
    @aishasaeedally136 3 ปีที่แล้ว

    Unaweza kutumia corn flour instead ya cornstarch ?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  3 ปีที่แล้ว

      It's a same thing muhimu iwe nyepesi laini kama podari

  • @salhaabdallah3528
    @salhaabdallah3528 4 ปีที่แล้ว

    asalam alaikum mm nioo znz nimetafuta sana huo unga wa tapiyoka sijapata jee nitumie unga gani maana napenda kuika haluwa

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Aleikum Musalaam, tumia uwanga ndio starch

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +1

    Unga WA muhugo ni starch yaani ni mwepesi sana

    • @balqeesmackysah7367
      @balqeesmackysah7367 8 ปีที่แล้ว

      samahani,kwani unga wa muhogo wa kawaida hufai?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  8 ปีที่แล้ว +2

      Yes ni starch but it has different texture, lakini unaweza kufaa jaribu . Eid Mubarak

    • @balqeesmackysah7367
      @balqeesmackysah7367 8 ปีที่แล้ว

      Minal faidhin! Eid Mubarak to u too dear

    • @alicebullet4862
      @alicebullet4862 5 ปีที่แล้ว

      Aroma of Zanzibar mamy nilikua nahitaji majina ya viungo au binzari tafadhali.

  • @sunshinesuleiman4782
    @sunshinesuleiman4782 4 ปีที่แล้ว +1

    Anaejua maji ya mawardi kwa kizungu ni nini 😩😩😩 help me

  • @jumaatubu
    @jumaatubu ปีที่แล้ว

    Naomba kujua bei ya hivy viung

  • @mohamedhadidja7395
    @mohamedhadidja7395 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana. Mimi nataka kujaribu ila sipati huu unga wa tapioca niko Paris sijui hata anaitwa nini kwa kifaransa

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Jaribu maduka ya wa china if you cant get jaribu with corn starch

    • @mohamedhadidja7395
      @mohamedhadidja7395 4 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar asante sana

  • @mamakhayrat7807
    @mamakhayrat7807 4 ปีที่แล้ว

    Nice😘😘😘😋😋😋

  • @monday1278
    @monday1278 6 ปีที่แล้ว

    Asante mwalimu wetu..
    Kuna video yyt umefundisha ya kashata Na ladu?
    Asante

  • @suzybultazary950
    @suzybultazary950 4 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza aunt huo unga umesema sio unga wa muhogo halisi hiyo starch inapatikana wapi plz

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Starch kwa Kiswahili ni uwanga ulizia huko ulipo dear

  • @shufaamohammed5357
    @shufaamohammed5357 4 ปีที่แล้ว

    Shuqran daa

  • @wardanna8289
    @wardanna8289 5 ปีที่แล้ว +1

    Mamy unaweza kutumia corn flour pekee?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Nimeonyesha matokeo ya kila unga hapo kama unapenda matokeo ya corn flor tumia

    • @wardanna8289
      @wardanna8289 5 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar ahaaa Asant mamy vipimo vyake vinakuaje?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      @@wardanna8289 viungo na vipimo vyote nimeandika hapo chini kwenye description box chini ya tarehe

    • @wardanna8289
      @wardanna8289 5 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar sawa mamy

  • @shyrose4471
    @shyrose4471 4 ปีที่แล้ว

    Hi ..
    I was craving for Znz halwa. I made following your recipe. It turned out t o be too sweet and did not turn out to be sticky and gooiy and stretchy.
    I used corn starch ...
    Can uou advice wht can be amended....

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Glad to hear that you attempted to make Halwa which is generally very sweet coz we consume very little. About the texture I think I have explained and showed in the beginning of the video what kind of results you will get if you use corn starch. If you want it stretchy as mine you will need to use tapioca starch as I have shown

  • @ashurarashid1447
    @ashurarashid1447 5 ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum warahmatullah wabarakatu dada.......samahani dada naomba kuelewa kitu kimoja.......je unga wa kawaida wa mahindi kama wa kupikia ugali unafaa?

  • @lynalyna3968
    @lynalyna3968 8 ปีที่แล้ว +1

    thanks a lot jmn simpo tu kumbe

  • @ummubebule6962
    @ummubebule6962 5 ปีที่แล้ว

    Shukran nimependa sana ila sijapata vipimo vya maji na sukari

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Vipimo vyote nimeandika hapo chini kwenye description box utaona chini ya tarehe

  • @aliyfaki6656
    @aliyfaki6656 3 ปีที่แล้ว

    Naweza kutumia korn frour

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  3 ปีที่แล้ว

      Ndio corn flour ndio hiyo starch hakikisha ni nyepesi sana kama podari sio ile ya chenga

    • @aliyfaki6656
      @aliyfaki6656 3 ปีที่แล้ว

      Asante sana

  • @zainabumercyme692
    @zainabumercyme692 6 ปีที่แล้ว

    tafadhali namba kufudishwa jinsi ya kupika labania kwa maziwa ya maji na vipimo ya vitu yanayohitajika,asante

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 ปีที่แล้ว

      Dear mimi sijawahi kufanya labania sio vyakula vyangu kabisa

  • @farhiaadeed2227
    @farhiaadeed2227 ปีที่แล้ว

    Sister if I am making two cup of haluwa how long should I cook from start to finish and I am using muhogo

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  ปีที่แล้ว +1

      Its difficult to determine , just follow the instructions probably about 3 hours

    • @farhiaadeed2227
      @farhiaadeed2227 ปีที่แล้ว

      @@aromaofzanzibar I have tried the muhogo kind for one hour and twenty minutes it became like a stone

  • @singidacity2203
    @singidacity2203 5 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa pishi LA. Halwa lkn hukuweka vipimo sukari kiasi gani na vitu vingine

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Viungo na vipimo vyote nimeandika hapo chini kwenye description box chini ya tarehe

  • @taharayassin6528
    @taharayassin6528 8 ปีที่แล้ว

    okay Insha'Allah thank you

  • @shamzone388
    @shamzone388 7 ปีที่แล้ว

    shukran sana kwa halwa lakin vipimo vimenitatiza kidogo Kwenye unga. umeandika nusu kikombe na nakijiko 1 cornflour ..sijafaham vizur...

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Ndi vipimo ni nusu kikombe na kijio 1 kikubwa kwani nilivyo fanya nusu kikombe nilihis nyepesi kidog ndio nimeongeza na kijiko pia x shukran

  • @leilamehbub948
    @leilamehbub948 4 ปีที่แล้ว

    What's ur cooking time for haluwa masaa ngapi?

  • @badranassor3303
    @badranassor3303 5 ปีที่แล้ว

    haluwa nzuri ma shaa Allah.lakini mbona hamna vipimo?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  5 ปีที่แล้ว

      Shukran, vipimo vyote nimeandika hapo chini kwenye description box chini ya tarehe

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 4 ปีที่แล้ว

    But kisha uta iweka kwa frige or kwa or what

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว

      Haluwa haiwekwi kwenye fridge ina set hivyo hivyo tu

  • @aishaabdullah233
    @aishaabdullah233 7 ปีที่แล้ว

    As salaam alaykum, naomba utuwekee vipimo umetaja tu vifaa vya kutumia lkn hukuweka vipimo km unga ni kiasi gani, sukari n.k

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  7 ปีที่แล้ว

      Alekum salaam, vipimo vipo hapo chini kwenye description box chini ya tarehe

  • @maryammmanga3949
    @maryammmanga3949 2 ปีที่แล้ว

    Uo unga wa muhogo Bei gani

  • @charifahachim946
    @charifahachim946 4 ปีที่แล้ว

    J'aimerai bien faire le HALOUWA est-ce possible d'écrire la recette en Français lakini miouléwa un peu le sawhilien mais j'ai du mal à parler. Surtout la farine de manioc(mhogo)combien de gramme et tout le reste. Merci

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  4 ปีที่แล้ว +1

      I have written all the ingredients in the description box below