Jinsi ya kutengeneza cinnamon rolls laini sana - mkate ya mdalasini - mapishi rahisi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @rahmajumaan6819
    @rahmajumaan6819 2 หลายเดือนก่อน

    Simple recipe excellent food thank you may allah bless you

    • @Mapishirahisi
      @Mapishirahisi  2 หลายเดือนก่อน

      Ameen. Thank you 💖

  • @NasrahAlly-u2u
    @NasrahAlly-u2u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Soo nice

  • @SaumuSaumu-jz5pq
    @SaumuSaumu-jz5pq 6 หลายเดือนก่อน +2

    Assalaamu alaikum warahmatullah wabarakatuh. Napenda mapishi Yako ni rahisi kweli

    • @Mapishirahisi
      @Mapishirahisi  6 หลายเดือนก่อน

      Waaleikum Salam. Asante Sana ❤️❤️

  • @ericmwakasitu
    @ericmwakasitu 6 หลายเดือนก่อน

    Your excellent. Absolutely simple thanks

  • @mollywambui5360
    @mollywambui5360 3 หลายเดือนก่อน

    I tried this recipe today, it came out great!

  • @esthertekraw2000
    @esthertekraw2000 6 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you for the recipe,l can't wait to make this for my family over the weekend.keep up.with the good work 👌 and be posting frequently 😊.

  • @Jessyblessingworld
    @Jessyblessingworld 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wow so lovely kindly answer what can be used to replace cheese

  • @rubanikq2
    @rubanikq2 6 หลายเดือนก่อน

    yummy!!!. Zinakaa vizuri na tamu

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah aibariki mikono yako ❤

  • @salmafaraj3839
    @salmafaraj3839 6 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah nice receipe nitajaribu na mm Insha Allah

  • @shamzone388
    @shamzone388 6 หลายเดือนก่อน

    MASHA ALLAH TABARAK RAHMAN
    NAKUAMINI SANA KWA MAPISHI ❤❤❤

  • @fatmehfaraj5188
    @fatmehfaraj5188 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tabarakallah

  • @ElizahbethNgele-nd7ml
    @ElizahbethNgele-nd7ml 6 หลายเดือนก่อน

    I'm definitely going to try this😊😊😊

    • @Mapishirahisi
      @Mapishirahisi  6 หลายเดือนก่อน

      Waiting for your feedback ❤

    • @ElizahbethNgele-nd7ml
      @ElizahbethNgele-nd7ml 6 หลายเดือนก่อน

      @@Mapishirahisi I'm in the kitchen now

    • @fatmasalim110
      @fatmasalim110 6 หลายเดือนก่อน

      Ma shaa Allah......nitajaribu....but naeza tumia nn badala ya cheese...

  • @suemustlist
    @suemustlist 6 หลายเดือนก่อน

    Rahini na nzuri

  • @fatmaomar5783
    @fatmaomar5783 6 หลายเดือนก่อน

    Mashalla

  • @neemampunga9877
    @neemampunga9877 6 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah ❤

  • @Nasramasoud
    @Nasramasoud 6 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda mapishi yako nitajarib kipenz maana napenda kupika mno

  • @fatmayusuf7122
    @fatmayusuf7122 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam aleikum kama huna microwave waeza tumia jiko la makaa

  • @irene-dx3nw
    @irene-dx3nw 6 หลายเดือนก่อน

    Waoh ,kesho ntatengeneza je kuna substitute ya cheese if yes ni ipi nibake sahivi

  • @subhanallah868
    @subhanallah868 6 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum warahmatullah wabarakatu naomba utuwekee video ya viungo muhimu vya jikoni Inshallah

    • @Mapishirahisi
      @Mapishirahisi  6 หลายเดือนก่อน

      Waaleikum Salam. In sha Allah 💕

    • @subhanallah868
      @subhanallah868 6 หลายเดือนก่อน

      @@Mapishirahisi asante sana nimefurahi sana kwa kunijibu❤️❤️❤️💛🥰🥰🥰

  • @SofiaSofia-l2f
    @SofiaSofia-l2f 6 หลายเดือนก่อน

    Je kama sina siagi inawezkan kutumia mafuta y kawaid?

  • @shitalwatts747
    @shitalwatts747 6 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa recipe naomba ku uliza naweza kukanda kwa mkono? Sina machine🙏🏻

    • @Mapishirahisi
      @Mapishirahisi  6 หลายเดือนก่อน

      Yes dear unaweza

    • @shitalwatts747
      @shitalwatts747 6 หลายเดือนก่อน

      @@Mapishirahisi Asante sana,🙏🏻naomba ku uliza pia recipe ya FAGI naweza kupata kwako?