Thanks so much brother Jo! Honestly you have spoken it all! Personally nahitaji kufanyia kazi maeneo yote manne uliyoyazungumzia. Mungu aendelee kukutunza kaka
Siku ikatokea nikafanyiwa mahojiano pind nitakapofikia ndoto zangu nilazima niseme ukweli kuwa wew ulifufua tena uwezo wangu wakutimiza ndoto yangu coz nilikuwa nahsi siwez bila msaada wa MTU mwingne but video yako ya vitu vinavyozuia wanawakke wasifikie malengo yao imeamsha ari mpya kwangu More appreciate you bro Jo
tnx brother umenifanya nimepiga hatua,kupitia video yako ya gundua wazo,angalia una nini mkononi anza na ulicho nacho nimeshafungua biashara yangu japo kwa mtaji mdogo.Mungu akubariki sana
Mwiz WA muda atakaendelea kunikamata kuanzia sasa n ww uendelee kunielimisha nisivo vijua ili niweze kupa faida kupitia ww asante ndugu Joel nivingi umenijuza...🙏🙏🙏
asante sana kaka joel,, me ningeomba uwe unakuja na university of dodoma kutuongezea maarifa,,mana kupitia video zako nimejifunza mengi sana mungu akubariki sana
NAONGEZA KITU KIMOJA ILI VIWE VITANO KABISA Kwanza thanks kwa hii lecture broo Jo, Naona kama imekuja kuniongezea morali ni improve zaidi kwenye kuipanga siku kabla (hii ndio iliyokuwa ikinipotezea muda hapo awali) ila baada ya kukuona kwenye interview ukiongelea 20/80 rule, 2min rule ahhaa.. mambo yamechange (saiv najikaguwa kwa asilimia% every day) kitu kingine ni "USINGIZI.." doohh.. huyu jamaa ni hatari, moto wa kuotea mbali (hujakamilisha mambo uliyoyapanga kwa siku,anakuja akiwa na convincing power ya ajabu "nahisi kama sio ya sayari hii") all the best wadau kwenye kuwa hunt down hawa jamaa 4 plus niliyemuongeza 5 amabye ni USINGIZI

Ahsante sana kwa kutufungua Akili zetu. Ni kweli kabisa karibia Kila mtu Kuna mwizi mojawapo anayemuibia muda wake. Tuamke na tujifumze kutumza muda
Mungu Ani sai die ku panga MDA hii ni cha nga moto kweli 🎉🎉🙏🇨🇩
Mimi huwa napoteza sana mda kutafut vitu
Asant sana ,ubarikiwe kaka joel
Asante kwa kunifundisha kuhusu mda
Nashukulu kwa kunifahamisha na nitayafanyia kazi
MUNGU akubariki sn kwa mafundisho mazuri unayotupatia.
Asante kwa elimu Bora
thank you Joel naomba ukiwa unakuja Dodoma university unitaarifu
Mimi hpo kwa mtandao yaan nasehem nilipo mtihan simu ndio km best friend wangu,ila naacha maana hata zamn niliishi bila simu..asante kaka Joel 🙏
Asante sana Joel,mimi naapa kuhakiksha napata maelekezo kamili kila wakati.
Nimeipenda Sana masomo yako mpendwa... barikiwa mnoo mpk ushangaee
Du braza umenifungua Mungu wa mbinguni akubariki sana yaani sana
Hongera xana mwalimu ww una mawazo mazuri kwetu vijana
You are the best among all motivation speaker ever seen
asante sana bro nimefurahia sanaa mafundisho yako nimekuwa nikifuatilia yamenibadilisha sanaaa
Mwizi mtandao uwiiii
Thanks so much brother Jo! Honestly you have spoken it all! Personally nahitaji kufanyia kazi maeneo yote manne uliyoyazungumzia.
Mungu aendelee kukutunza kaka
brother barikiwa sana umenitoa gizan
Your are my really mentor!!!!
Amen ubalikiwe
Eye opener. Thank you for sharing +VE insight
Kutafuta vitu,imekuwa ndo shida,natumia mda mwingi,asante my coach nimekuelewa.
Alex Tibamanya Anza leo kufanyia kazi Alez
Mwizi wangu ni mitandao
Appreciate sana... Wise Words... You encourage me a lot...
Nachagua kuwa nyuki, asante sana mentor
Mungu akubariki Ndugu yangu.
Siku ikatokea nikafanyiwa mahojiano pind nitakapofikia ndoto zangu nilazima niseme ukweli kuwa wew ulifufua tena uwezo wangu wakutimiza ndoto yangu coz nilikuwa nahsi siwez bila msaada wa MTU mwingne but video yako ya vitu vinavyozuia wanawakke wasifikie malengo yao imeamsha ari mpya kwangu More appreciate you bro Jo
tnx brother umenifanya nimepiga hatua,kupitia video yako ya gundua wazo,angalia una nini mkononi anza na ulicho nacho nimeshafungua biashara yangu japo kwa mtaji mdogo.Mungu akubariki sana
Thanks brother Joel elimu hii, umenifanya nipone..!!
barikiwa sana kiongozi....maelezo yasiyokamilika
Thnx bro sitochoka kukufatilia jamani na wengi wamebadilika kupitia wew
Joel ,uliniambia utakuja mkwawa university, karibu sana kiongozi ningependa ufike huku kabla sijamaliza chuo ndugu yangu
john itembe sawasawa nikija nitakutaarifu
john itembe kabxa aje kabxa
Maoni mazuri
SHIDA YANGU KUBWA! Mitandao 🙇🙇 sijui nifanyeje niepuke.!
gabriel joseph hutakiwi kuepuka tafuta inavyoweza kukusaidia kufanya mambo yako ya kila siku kwa urahis zaid
Mwizi wa 4
asante sana kaka ubarikiwe
Asante sana
Mwizi wa tano
Minaytaji kukuona brother
god bless you bro
eur awesome bro! God bless Eu
ASANTE Sana kaka Joel, Mimi kwenye kupangilia siku na simu mitandaoni ndio wezi wakubwa naanza nao leo kaka
nakukubli na kufatilia sana kk,uko vzur
mtandao
na leo nimepata kitu kingine pia,asante
Mwiz WA muda atakaendelea kunikamata kuanzia sasa n ww uendelee kunielimisha nisivo vijua ili niweze kupa faida kupitia ww asante ndugu Joel nivingi umenijuza...🙏🙏🙏
Mwizi wa mitando nibane kweli
mwizi wa mtandao broh
nice...! ni nzuri...!
Matumizi ya mitandao...
Asantee San kk .
asante sana
Kuipanga siku yangu
Mtandao lazima niukimbie
Mwizi wamda wangu nimu tandao joel
asante sana joel
respect Sana Bro author Nanauka una ni update Day to Day
Mwizi wa mtandao hafai
Mtandao wanikosesha
Huyo wa mitandao broo nishida anaiba balaaa
Thanks a lot my Mentor
ELIAS LUWELA karibu sana
nimekuelewa sana
Wàkwenye mtandao
Allah akuwekee saana broo😍😍
Mwizi wa mtandao...na inakuwaje kama moja ya kazi zako muhimu mfano business platform yako iko kwa mtandao
Barnaba Mkongo hapo inamaanisha uko kazini,hapa nazungumzia kutembelea mitandao bila kuwa na sababu maalumu zenye faida
Mwizi wangu wa muda ni mtandao ila yangu nikusikilizeee kaka joel nimejifunza kituuuu
nmekuelewa sanaaa bro
Pamoja sana
Matumizi ya mtandao
Nime mkamta mwizi wa maisha yangu ambaye Ni mtandao nilikuwa naingia tu kujifulahisha mtandaoni nime pona tayali nanuka
Umenifungua
Kweli
Shukran #mengikijana
Mtandao
asante kaka nimekuelewa
Jalal Jalal karibu sana Jalal
Mtandao asubuh
Namba moja
da kweli mie niko makini hivyo naamini niko beta juu ya mafundisho yako
Mitandao ya kijamii
mtandao jamany unakula hata masaa 4
Asante sana Kaka
Priscile Rehema Songolo karibu sana Priscile
Joel Nanauka asante
point namba moja inatutafuna wengi kwakweli...
Good lesson brother,for sure u inspire alot
asante sana kaka joel,, me ningeomba uwe unakuja na university of dodoma kutuongezea maarifa,,mana kupitia video zako nimejifunza mengi sana mungu akubariki sana
Pamaf De Boss Gal
Udom bila shaka alikuja mwaka huu na kina Ruge pale Chimwaga kama sijakosea.
Naamini nitafanikiwa kuja
Emmanuel Haule noo hakuwepo pale kulikuwa na isaya yunge
kweli banaa ile siku hakuwepo si ningemuona ban
shout out to yo brah'.....lets redeem diz tym....ts about to die finish not to die old
Kendrick Menson you are very right
Mtandao unahitaji niwemakini zaidi
MN. N,TZ kabisa
mitandao yakijamii
Good brother joeli
Sunday Mariba thanks
Umenibadilisha xnaa kupitia video zako kiukweli tafika mbali xnaa
Kwa upande wa mitandao hapo napata shida sana,
Asee Mitandao inaniibia muda balaa
Mwizi mtandao ndio nimeshindwa kumuacha kabisa
hii ya pangu cku yko nimehiyelewa
Broo 🙏
NAONGEZA KITU KIMOJA ILI VIWE VITANO KABISA
Kwanza thanks kwa hii lecture broo Jo,
Naona kama imekuja kuniongezea morali ni improve zaidi kwenye kuipanga siku kabla (hii ndio iliyokuwa ikinipotezea muda hapo awali) ila baada ya kukuona kwenye interview ukiongelea 20/80 rule, 2min rule ahhaa.. mambo yamechange (saiv najikaguwa kwa asilimia% every day)
kitu kingine ni "USINGIZI.."
doohh.. huyu jamaa ni hatari, moto wa kuotea mbali (hujakamilisha mambo uliyoyapanga kwa siku,anakuja akiwa na convincing power ya ajabu "nahisi kama sio ya sayari hii")
all the best wadau kwenye kuwa hunt down hawa jamaa 4 plus niliyemuongeza 5 amabye ni USINGIZI
Mosses Isaya hatariii sana,ahsante kwa nyongeza
Mosses Isaya yn huyu ndo kaniteka jmn🙆
Lily Kessy pole best, uzuri ni kwamba umeshamfahamu mwizi wa muda wako
Mosses Isaya hyo n kwel kabxa ucngz dah
NAONGEZA KITU KIMOJA ILI VIWE VITANO KABISA
Kwanza thanks kwa hii lecture broo Jo,
Naona kama imekuja kuniongezea morali ni improve zaidi kwenye kuipanga siku kabla (hii ndio iliyokuwa ikinipotezea muda hapo awali) ila baada ya kukuona kwenye interview ukiongelea 20/80 rule, 2min rule ahhaa.. mambo yamechange (saiv najikaguwa kwa asilimia% every day)
kitu kingine ni "USINGIZI.."
doohh.. huyu jamaa ni hatari, moto wa kuotea mbali (hujakamilisha mambo uliyoyapanga kwa siku,anakuja akiwa na convincing power ya ajabu "nahisi kama sio ya sayari hii")
all the best wadau kwenye kuwa hunt down hawa jamaa 4 plus niliyemuongeza 5 amabye ni USINGIZI
Exactly Truth
Uyu mwizi wa mitandao ananipa shida sana ,! Maana CM isipokuwa na bando duu!! Hahisi kama kuna kitu hakiko sawa
sitochoka kukufuatilia kaka yangu naelimika sana kupitia ww
Asante
Iyo ya Kwanza inanihusu sana
shuback mashinga ifanyie kazi haraka
mwalim hapo kwenye kutafuta sox
Nahataji kitabu cha timiza malengo yako kinapatikanaje???
Kutokuipanga siku na matumizi ya mitandao kaka hawa ndio wezi wa muda wangu