Gigy Money amfanya Mange Kimambi aingize zaidi ya Milioni 135 ndani ya siku moja! Sababu ni hii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.co...

ความคิดเห็น • 153

  • @blockchain1203
    @blockchain1203 6 หลายเดือนก่อน +21

    Aseeee. !Nimegundua watu wanapenda ujinga na kuugharamiaa😂😂😂

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kwa sababu wanekosa la kufanya hii ni khasara kubwa kwa jamii ya watanzania.

  • @wema3619
    @wema3619 6 หลายเดือนก่อน +5

    SUBAHANALLAH 😭 INARILLAH WAINA ILAHY RAJIUN 💔

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 6 หลายเดือนก่อน +2

    Aingize tu pesa Ila akumbuke Kuna kufa na Kuna hukumu uko kwa mungu alhamdulillah mimi sijaona ujinga wowote nashukuru zambi zingine zinaniepuka

  • @alsam4881
    @alsam4881 6 หลายเดือนก่อน +20

    Kwa kweli inasikitisha sana kuona Mange kimambi anavyowachafua wenzake na kuwadhalilisha na kuwaumiza hivyo mitandaoni kwa ajili ya kupata pesa tu, Na watanzania wanaolipia huo umbeya mie huwa nawaona hawana akili kabisa, kwasababu mtu akishajuwa kuhusu mtu mwengine kadhalilishwa sasa yeye anapata faida gani? Watu waangalie kuna Mungu pia anawaona wanavyosapoti huo ujinga na udhalilishaji wa Mange Kimambi ,siyo poa kabisa na ni dhambi kubwa sana anayoyafanya Mange, ajuwe malipo ni hapa duniani kama siyo kwake ni kwa kizazi chake, Na mwezi Mtukufu wa Ramadhani upo karibu halafu watu wanalipia app ya Mange kimambi kuangalia ujinga na udhalilishaji wa watu wengine, Tujirudi kwa Mungu na tuombe toba sana lakini tusisapoti udhalilishaji wa Mange kimambi na kuwaumiza watu wengine.

    • @Mimi.Official
      @Mimi.Official 6 หลายเดือนก่อน

      Hio ni wivu tu. Alipokuwa anaposti Instagram kilakitu kabla hajafungua apple mlikuwa mnafurahi juu nibure. Sasa kajiongeza roho inakuuma. Acha watu wajiunge kwa raha zao pesa yao wenyewe....hivi unajua hiyo comment yako imemuingizia pesa sky. Na hapo umetumia bando kuingia TH-cam. Hiyo ni pesa pia. Hata wewe nikwa raha zako😅

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ao wanao dhalilishwa wamefanya matukio ya halali mbele za Allah au wamefanya dhambi na je ikiwa kuwadhalilisha ao kunaweza kuwafunza wakaacha kuna ubaya gani mpaka m2 anajirikodi anafanywa ujue anajua nn anacho kifanya mm sijaona kosa la Mange apo

    • @Bahati47
      @Bahati47 6 หลายเดือนก่อน

      Msikilize gigy kabla ya kumlaumu mange

    • @nicksonnewton1540
      @nicksonnewton1540 6 หลายเดือนก่อน

      oya biashara

    • @Fahadi2023
      @Fahadi2023 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ni michezo wanajuana ,kwnn warecord wakati wanafanya mambo Yao na nan ananitumia mangi ? Nan anatega simu

  • @ruu6592
    @ruu6592 6 หลายเดือนก่อน +13

    Ukitaka usichafue hali ya hewa acha kabisa kujirikodi ukiwa uchi shida uanzia apo

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 6 หลายเดือนก่อน +2

      Ukwer ndio huu

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 6 หลายเดือนก่อน +4

    One day atajua maisha ni muhimu zaidi

  • @yussufritzy7684
    @yussufritzy7684 6 หลายเดือนก่อน +48

    Aminini,, ipo siku huyu mdada atadhalilishwa na yy.... İpo siku

    • @novasmgode2943
      @novasmgode2943 6 หลายเดือนก่อน

      It’s easy don’t take videos while having s*x

    • @novasmgode2943
      @novasmgode2943 6 หลายเดือนก่อน

      Is it the first time?

    • @ursulinenyandindi3051
      @ursulinenyandindi3051 6 หลายเดือนก่อน +10

      Wasanii wanajidhalilisha wenyewe tuu. Huyu dada yeye anawatumia tuu na ujinga wao

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa😂 agalia pesa

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mtu anaona Sawa sababu sio dadake

  • @othmanibnabdullah
    @othmanibnabdullah 6 หลายเดือนก่อน +8

    Mange anafanya kama TMZ hawa jamaa unawauzia habari wanakupa hela ila wao hupata faida zaidi ya wewe na mbaya sababu hao watu maarufu wetu bado hawaishi vile wanatakiwa wawe ndo maaana mange anazidi kunufaika nao kila siku

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 6 หลายเดือนก่อน +21

    Wanjiga ndio wameenda hasara, mange kafaidika na wengine maskini pengine hata hawana lolote

    • @starjay3052
      @starjay3052 6 หลายเดือนก่อน

      ajinga alie shot video alafu ana faida nayo faida anapata mtu mwengine na sio alielipia we mbona unalipa kodi bongo na ufaidiki na chochote ata elimu nzuli wewe na kizazi chako amna 😂😂

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dah! Gigy ajiongeze hapo

  • @AnthoniaDavid255
    @AnthoniaDavid255 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mmesahau huyu dada muhongo muhongo sana mmemsahau alikuwa broke akajifanya bado yupo on top muhongo muhongo sana yani hizo pesa anadanganya sana utakuta ameedit

  • @elijahsebastian9191
    @elijahsebastian9191 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hivi hamjui Hiyo Editing..unaweza Fanya Editing
    Psycho ndivyo walivyo

    • @mattjr4206
      @mattjr4206 6 หลายเดือนก่อน

      Sikupingi ndugu yangu, huyu mshamba psycho kwel anaezakua kwel ka-edit ili amtoboe mwenzake moyo.

    • @elijahsebastian9191
      @elijahsebastian9191 6 หลายเดือนก่อน

      @@mattjr4206 sure ka Edit

  • @RawAlly-gf4gw
    @RawAlly-gf4gw 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yani huyu mange cmpendi wallahy atadhalilika one day

  • @zeshsulesh6084
    @zeshsulesh6084 6 หลายเดือนก่อน +9

    Pesa chafu hizo

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 6 หลายเดือนก่อน +15

    Unapata pesa kwa kudhalilisha wenzako

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 6 หลายเดือนก่อน +4

      Na watu wanampigia mikono.
      Ni huzuni. Cyber bullying inauwa watu.
      Wajinga wanamfatilia mimi siwezi hata kidogo.

    • @user-wd2bc7bf5x
      @user-wd2bc7bf5x 6 หลายเดือนก่อน +2

      🤣🤣🤣kwan huyo gigi angenyamza angepungukiwa nini? mange amepost sababu ya gigi kutukana had watoto wake ,sasa kama hutaki si uache alijaribu kumpa kaz kaz haitaki pyee basi aendelee kuuza kisimi chake

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-wd2bc7bf5x Wewe unafaidi cheko , Mange anaigiza pesa za uzulmati ya haki za wengine kwa kuwadhalilisha.
      Gigi ana haki kufanya anacho taka kukubali ao kukataa.
      Pingeni unyanyasaji wa mitandaoni.
      Ipo siku Mange atalipwa.

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 6 หลายเดือนก่อน

      @@achawanunetv1167 Wewe tu hapo ulipo una yako yasirini yakijulikana hata baadhi ya familia yako inaweza kuku kana

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 6 หลายเดือนก่อน

      @@achawanunetv1167 siku ikitokea kwa dadaako au mamaako ,au mkeo au ndugu yako au baba yako ndo utajua uchungu wake

  • @opportunities2767
    @opportunities2767 6 หลายเดือนก่อน +16

    Na wakati huo sky na ww unampa air time kuwasanua wengine 😂

    • @mattjr4206
      @mattjr4206 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂 kwel, japo sky anaangalia tu tonge lake kama kawaida

  • @Americano744
    @Americano744 6 หลายเดือนก่อน +1

    kazi yake ya kudharirisha wa2 itamuua siku moja....period

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wa tz tunapenda ujinga kuliko mambo yenye manufaa

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 6 หลายเดือนก่อน +3

    Na weww unapenda maana unamuongelea sana 😂

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ila mange mmmh ni shida sana

  • @leilamustafa1492
    @leilamustafa1492 6 หลายเดือนก่อน +10

    Watazania niwajiga sana Awana akili 😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 6 หลายเดือนก่อน

      Usiseme watanzania Kwa jumla! Sema baadhi ya watanzania wanoangalia huo uchafu wa mange

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani ww ni mtu wa Pakistan 😊😊

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 6 หลายเดือนก่อน +7

    Hapo nani ndio wanjiga, ni wenyewe kuangalia hiyo app

    • @ROSEROBERTROBART
      @ROSEROBERTROBART 6 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa yani 😂😂😂😂 mm sijawawi kuingia kwa hio app

    • @shakila3982
      @shakila3982 6 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@ROSEROBERTROBART sema hujui kulipia wala kuifungua, wacha kujifanya mjanja, tunajua ulijaribu ukashindwa

    • @BahatiKitete
      @BahatiKitete 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@shakila3982watu si wajinga ww endelea kumtajirisha mange huku unakufa njaa kwa mambo ya kijinga ambapo hata Mungu hako radhi nayo

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@shakila3982😂😂😂 nilielekeze na mimi nikaingie

  • @zuwenaadja2261
    @zuwenaadja2261 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa haraka haraka hapa ni $ 52 elufu za kima $$$ nyie hio nidipositi nzuri sana ya house hapa USA.

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wabongo n connection htr

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 6 หลายเดือนก่อน

    Watu wanaodhalilisha watu mwisho wao huwa unakuwa mbaya maana Mungu atawahukumu kwa matendo waliyofanya na malipo ni hapa hapa duniani

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 6 หลายเดือนก่อน +1

    Muje na kwangu wambea❤

  • @ttss7716
    @ttss7716 6 หลายเดือนก่อน +3

    Watanzania wange mpotezea hangefunga hiyo app😅

  • @wadantz123
    @wadantz123 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi huwa wanalazimishwa kujirikodi wakat wana naniliu 😢

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 6 หลายเดือนก่อน

    Watz mmh mtu ana maisha duniiii lkn pesa yake anaenda kulipia app,huu ni ujinga usiomithilika dah..poleni mnao mueka mjini mange,na huku maisha yenu ya dhiki mtaamka lini wabongo??mkiacha kulipia hio app mange ataugua nawambia😂

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 6 หลายเดือนก่อน

    MANGE WALA HAWEZ KUDHALILIKA,,,WATU TUNAONA NYUCHI TENA SAFI,,SEMBUSE HUYO GANDA LA NDIZI.

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna mungu jamani

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ao wanaofanya hawajui kama kuna Mungu mpaka kujirikodi uchi wako bc ushajitathmini ww ni m2 wa aina gani

    • @sylviaforest3001
      @sylviaforest3001 6 หลายเดือนก่อน

      @@KassimAlly-xp4dzuliza tena na tena hao wanajirekordi hawajui kuna Mungu au??!

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 6 หลายเดือนก่อน

    Ningekuwa kiongezi wa aina yoyote ile mangekimambi angeozea jela😢

  • @kimah9855
    @kimah9855 6 หลายเดือนก่อน +2

    Siku snap, lakini thanks😂❤❤❤Asanteni

  • @Oldskulgemini9991
    @Oldskulgemini9991 6 หลายเดือนก่อน +7

    Kuna wajinga hata mlo kwao shida lakini wapo bize kufatilia habari kama hizi zisizo na msingi na kuwatajirisha wengine bila sababu😂 akili muhimu sana!

    • @samirmswahili
      @samirmswahili 6 หลายเดือนก่อน

      Hhhh ila bado umeweka na ww😂😂

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@samirmswahili hii ni SnS 😂 Mimi nimewaongelea wale wanalipia Hela kupata habari za mange kimavi

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 6 หลายเดือนก่อน

    Wabongo kwa kupenda ujinga nyie dah yani mtu analalamika maisha magumu ila bado anaenda lipia app ya mange 😂😂😂🙌🏻

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 6 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu sio wakugombana nae 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂chukua maua yako mange🎉🎉🎉

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu gigi ajielewi kila siku huyo bwana yake wanatoa video 😢😢😢😢😢

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 6 หลายเดือนก่อน

    Sahv ukitaka upige hela wekeza kwenye mambo ya ujingujinga

  • @danielafernado6767
    @danielafernado6767 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mange is verry evil ... But nampenda , wapi likes kutoka 254...

  • @Mrs.naturalez
    @Mrs.naturalez 6 หลายเดือนก่อน

    They both need Jesus❤

  • @davinaheven4794
    @davinaheven4794 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo hela kwa siku halafu mnasema anakaa store? It doesn't make sense.

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 6 หลายเดือนก่อน +1

    Si kweli kaka radio station nyingi zinaingiza zaidi ya pesa hiyo kwa siku

    • @techpoty
      @techpoty 6 หลายเดือนก่อน

      Yupo kwenye hiyo industry brother😂

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@techpoty😂😂 kasahau

  • @user-ye4iy8jy2z
    @user-ye4iy8jy2z 6 หลายเดือนก่อน

    Ila mange ipo cku atajutia anachokifanya maana sio wote wanafurahia na sio kama wanashindwa kumpata aliko

  • @AminaAbdullah-ws3wy
    @AminaAbdullah-ws3wy 6 หลายเดือนก่อน +1

    I dont believe that. You just said to make you happy that's a lie

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kakuweza mshenzi mashuzi hata ukiweka hizo picha gig hajali kwani wewe hufanyi wewe si mjanja wewe weka zaid ya hiyo pia wewe kimambi akamatwe kwanini anatima picha za utupu kama hizi

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 6 หลายเดือนก่อน

    Me nilichoelewa Hapa NI kwamba Hawa wameelewana na Hio video wameposti Kwa makubaliano Gigy hawazi kitu zaidi NI Hela Tu Hana chakuloteza na Hata hao Basata wanapaswa kua Makini watu wanafanya ujinga Alafu wanatengeneza Tension Makusudi kabisa ili wapate Hela .. Kwa akili Tu ya kawaida Unazani Gigy kazalirika kitugani ..? Zaidi kaongezewa umaarufu Tu Labda Kwa Mtoto wake ndo atakua anataniwa Shuleni ... Ila Gigy Daaah
    Tukumbuke Hapa Duniani tunaita Tu.... Tuzisafishe Njia zetu. Wakati Tupo hai ...

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 6 หลายเดือนก่อน

    Mange kimambi she’s sick true ZARI she’s say❤

    • @hassanguzo8026
      @hassanguzo8026 6 หลายเดือนก่อน +1

      Zari mwenye ni mgonjwa vilevile utatokaje na vitoto vidogo na kuvivulia nguo kama yeye si mgonjwa😂😂😂😂 uyo zari wenu yeye ni kubwa jingaaaa tena jinga kweli kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @merrynancesimon1562
      @merrynancesimon1562 6 หลายเดือนก่อน

      Siwezi bishana na wewe sorry

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka sky umefanya nimecheka,et na ameshukuru kwa hiki ambacho amemfanyia😂😂😂😂😂😂😂

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 6 หลายเดือนก่อน +9

    Ndio ukitaka kujua jinsi gani watanzania walivyo wajinga kichwani . Ndio maana watu hawana maendeleo. Hizo video ukiangalia zinakusaidia nini? Zaidi ya kuchafua Nafsi yako yenye thamani. Nonsense 🙄🙄

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 6 หลายเดือนก่อน

    Hamna mtazamo wowote wabongo upuuzi ndio tumekumbatiya. Hadi mtu anajigamba kwa uhalifu

  • @user-zv2ng6ov2k
    @user-zv2ng6ov2k 6 หลายเดือนก่อน

    unafaidika machozi yawenzako, nakuwazaririsha powa dunia hi

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂🤣 Tanzania no sense mange she is so smart $

  • @AnneOtieno-hi8uj
    @AnneOtieno-hi8uj 6 หลายเดือนก่อน

    Mange anadhalilisha watu na analijua hilo,ata malaya sugu katika bibilia alisamehewa na akafanywa kiumbe kipya,,that is being' evil kuanika uchi wa mwenzie jamani,its bad i iseee

  • @monicacyprian9137
    @monicacyprian9137 6 หลายเดือนก่อน

    🚶🚶ogopa sana hawa march people hata ma serial killer ni hapa pisces born in march 🚶🚶gigi atulie tuu kwakweli

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 6 หลายเดือนก่อน

      Emu usituchafue bhana.😂😂😂#team_pisces

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 6 หลายเดือนก่อน

    Hii inaonyesha wazi nikiasi gani wabongo ni wachafu. Its shame for d whole community kuwa wanapenda udhalilishaji wa watu

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 6 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tunaongoza kwa umbea wallah😂😂😂😂😂😂dah

  • @MultiKelvin1994
    @MultiKelvin1994 6 หลายเดือนก่อน

    Building blocks za Defamation Case poa kabisa... Tena amekiri mwenyewe kupata Financial Gain... Ifike mahali uyu Dem ashtakiwe bwana😅😅😅

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 6 หลายเดือนก่อน

      Hebu msaidie basi ushauri na kupata wanasheria achukuliwe hatua

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna kufo mange,

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 6 หลายเดือนก่อน +2

    Gigy hana akili

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 6 หลายเดือนก่อน

    Wanataka wenyew hao wacha kiwalambe kujidhalilisha waona raha

  • @Bama959
    @Bama959 6 หลายเดือนก่อน

    Mange ni mistress plan maana yeye kila neno kwake ni content and connection maana kwake ugomvi ni pesa

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 6 หลายเดือนก่อน

    Kichaa mangunge😂😂😂😂😂

  • @simonmoneni6768
    @simonmoneni6768 6 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi hamna kazi ya kufanya sasa,,yani hata mtu akishuta mnarepoti?

  • @SamirBSam
    @SamirBSam 6 หลายเดือนก่อน

    mbona gigy anaenda kupiga hela sasa? tafuta mwana sheria asie kuwa na tamaa na mweye uwezo kwenye haya mambo

  • @selemanikipembac5686
    @selemanikipembac5686 6 หลายเดือนก่อน

    Kwaiy hii ni bieshala gig amka anaku2mia kw akil sn

  • @edukimaro3489
    @edukimaro3489 6 หลายเดือนก่อน

    mange hayuko sawa kiakili anahitaji matibabu ya akili

  • @MahdSalum
    @MahdSalum 6 หลายเดือนก่อน

    You have just promoted uzalilishaji mana views wako ambao hawana hii taarifa wataend kufuatilia, drop this vdeo if u care

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani ni vile sisi wengine hatujuwi ata namna ya kulipia kwenye App 😂😅 Maana wengine tungekosa hadi nafasi 🙊😅😊

    • @edwardtrigga5701
      @edwardtrigga5701 6 หลายเดือนก่อน

      Alafu mnasema Mungu kawasahau na MAISHA ni magumu

  • @atiqaly6567
    @atiqaly6567 6 หลายเดือนก่อน

    Mbna euro ni 100 au macho yangu

  • @stellaalphonce8022
    @stellaalphonce8022 6 หลายเดือนก่อน

    Uwongo mtupu hakuna hiyo

  • @jimboulaya
    @jimboulaya 6 หลายเดือนก่อน +3

    Trust me dirty money will always come back to haunt you, kwa njia moja ama nyengine huyu dada atakuja dhalilika sana na mwisho wake hautakua mwema sababu KARMA is real! Ni suala la muda tu. Mwache afurahie kabla ya masaibu kumkuta na kummaliza vibaya.

    • @universalenergy8060
      @universalenergy8060 6 หลายเดือนก่อน

      Nani alidhani mtu kama Puff daddy atajaguswa?Mwisho wa siku atafilisika na kuishia korokoroni.You are right karma is real,what you put out there is exactly what you will receive in return.

    • @sylviaforest3001
      @sylviaforest3001 6 หลายเดือนก่อน

      Juu ni mange anawatuma kujirecordi mavideo Yao ya ngono???… mbona wasifanye mambo Yao kimya…. Mtu anavua Nguo anaweka camera kujirecordi si ujinga huo🤔🤔mange hana makosa anatengeneza hela kupitia ujinga wa watu!!!

    • @sylviaforest3001
      @sylviaforest3001 6 หลายเดือนก่อน

      @@universalenergy8060and what will be the karma of gigy and that man for recording their dirty videos??!

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤😂

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 6 หลายเดือนก่อน

    Ana uza picha za tupu 😢😢

  • @zarafisaidi5942
    @zarafisaidi5942 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka iyo inaukweli M 100 sikumoja mmh siamini icho kwa mwezi sawa ila one day

    • @oshenifrank614
      @oshenifrank614 6 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana kqbisa kumbuka kujiunga na app ya mange 2000 na Bado unanunua bando kuangalia

  • @umminoorka1763
    @umminoorka1763 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusamehe ila tumeangalia mpaka wee

    • @athmanshauri7871
      @athmanshauri7871 6 หลายเดือนก่อน

      Uliangalia Hahaha aki wewe

    • @umminoorka1763
      @umminoorka1763 6 หลายเดือนก่อน

      @athmanshauri7871 sana actually nimeshanga

  • @dainagano3656
    @dainagano3656 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mange anacheza na akili za watu kwny kufanya biashara yake😂😂😂...giggy nae mpumbavu tu yaan alikua anaset kbs pc ajirecord kbs

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂hatary pesa zote hizo mange tugawane

  • @winfridapeter9455
    @winfridapeter9455 6 หลายเดือนก่อน

    Mi mwenyewe nimejiunga jana😅😅

    • @user-qt3qg7ey8e
      @user-qt3qg7ey8e 6 หลายเดือนก่อน

      @winfridapeter9455 nielekeze na mimi😅😅

    • @winfridapeter9455
      @winfridapeter9455 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-qt3qg7ey8e dawnlod kwanza appy yengewe kwenye google

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kama amjui mangi anatengeneza alot of money mpaka mje mshtuke mtu ana majumba uko USA

    • @user-md9iy9qn1k
      @user-md9iy9qn1k 6 หลายเดือนก่อน

      Hawezi nunua House kwa pesa za Tanzania za ujinga 😀😀😀

    • @Agath45
      @Agath45 6 หลายเดือนก่อน

      Yaan bongo hbana😂😂😂

  • @totonata5384
    @totonata5384 6 หลายเดือนก่อน +2

    Gigi tafuta lawyers wa maana umtoe pesa na yeye kwa kukudhalilisha.

    • @ruu6592
      @ruu6592 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo mange yupo njee ata akipigwa faini Ili amlipe Dola kwa ela ya tz nikama kununua pipi tu

    • @totonata5384
      @totonata5384 6 หลายเดือนก่อน

      @@ruu6592 Chochote ni bora kuliko kunyamaza. Mange anapenda pesa na ndo chanzo cha income alichonacho. Atadhalilisha watu hadi lini? Is it fair ?

    • @HabibuHoseni-sv8hd
      @HabibuHoseni-sv8hd 6 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅mdanganye mwenzio aingie loss mpak axhangae labda mumchangie

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 6 หลายเดือนก่อน

    Watanzania wana penda umbea

  • @mwezzireen17
    @mwezzireen17 6 หลายเดือนก่อน

    Na bado atakufa ty akiwa mkonde

  • @silverman6930
    @silverman6930 6 หลายเดือนก่อน +2

    Karma is a bitch

  • @cricwambali1352
    @cricwambali1352 6 หลายเดือนก่อน

    Anatakiwa amlipe gigi

  • @massejobbs4284
    @massejobbs4284 6 หลายเดือนก่อน

    Mangi kimavi ni shetani mkubwa. Malipo nipas apa

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 6 หลายเดือนก่อน +1

    Lol

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน

    Wajinga ndio waliwao , unamlipa Mange kuangalia ujinga wake seriously

  • @rahmasalim-k2f
    @rahmasalim-k2f 6 หลายเดือนก่อน

    Mjinga ni gg, mangi anajuwa kucheza na akili za watu...😅

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 6 หลายเดือนก่อน

    Wajinga ndo waliwao ndo maan lulu huwa hampi airtime mangee

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 6 หลายเดือนก่อน

    Kichaa mangunge😂😂😂😂😂