ROMMY JONES asijifanye kakasirika, alikua mpenzi wangu, mimi mtu hatari, sina hisia: Mrembo TUENRY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 134

  • @kennedymafole
    @kennedymafole 2 ปีที่แล้ว +8

    broh! your chemistry with this girl was amazing, i think this is one that your enjoying Chris's..

  • @rubyring100
    @rubyring100 2 ปีที่แล้ว +5

    I agree Truen has a dark soul! And that's intriguing

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 2 ปีที่แล้ว +1

    Chris Favor naomba umrudishe Tuerny aje aongelee hiyo elimu ya nyota kiundani anaonekana ana madini mengi alaf yuko very smart afichi anajibu maswali kwa uwazi anajiamini zaidi ya yote nimependa chemistry yenu yaan mume blend kinoma noma una mu hoji had ww una enjoy nice chemistry keep it up Bro

  • @wardaridhwankassim4774
    @wardaridhwankassim4774 2 ปีที่แล้ว +3

    Wangap Wamerudia mara mbil mbil kwny maelekeo y astronomy❤️👌

    • @mohamedkibosha
      @mohamedkibosha 2 ปีที่แล้ว

      Im here ... she is smart fr fr

  • @catherinekiwipa9271
    @catherinekiwipa9271 2 ปีที่แล้ว +5

    Tuern we Ni Mimi kabisa siku yangu ya bahat ni jumanne, maswala ya nyote Wala so uchaw ni mambo ya kawaida tu ata mi nilijifunza mtandaoni kuhusu maswala hayo na ninaelewa jins yakujitafuta na kutawala ulimwengu wangu wa roho Ni kawaida sana tu ukijua

  • @Bise270
    @Bise270 2 ปีที่แล้ว +5

    I swear nimempenda huyu dada❤anafunguka ayumbishi kila anachoulizwa anajibu straight😄

    • @divinebernard1047
      @divinebernard1047 ปีที่แล้ว

      Yani mimi ananikoshaga sana😘nampenda sana ana confidence

  • @shamsanasserharith4998
    @shamsanasserharith4998 2 ปีที่แล้ว +10

    She is smart

  • @shamsanasserharith4998
    @shamsanasserharith4998 2 ปีที่แล้ว +5

    It is true what you are saying kuwa huwaamini wanaadamu

  • @jabirazaiz8466
    @jabirazaiz8466 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda bure dada yangu ♥️🙌

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 2 ปีที่แล้ว

    This lady is fantastic issue, she seems to be genius, resourceful, talented in many ways.
    But admit this one is unique...I don't know which type of sensitivity she fits, that's either life sensitive, ego sensitive, or cruelly ego sensitive

  • @yunyun799
    @yunyun799 2 ปีที่แล้ว +11

    Huyu dada mganga nini😂😂mbn maneno yake mengine siya elewi ila nampenda tuerny❤😍

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna uchawi ata we unaweza kujitafuta mm nimejifunza mtandaoni pia

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 2 ปีที่แล้ว +7

    Ma sha allah yote na yote akili yake imetulia anajuwa anachotaka na anamsimamo nimempenda bure

  • @ekkymumba8566
    @ekkymumba8566 ปีที่แล้ว

    Mie mwenyewe cpendag mwanaume wangu anizoee naweza kumwambia cpo nyumbani kumbe nipo ilimlad tu asinizoee pia anaweza kuniletea zawad nisijishughurishe nayo yani kama niliweka kwenye kiti akilud kunitembelea week ijayo anaikuta pale pale kama sio chakuharibika na asiponipia cmtafuti wala cjari,,

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 2 ปีที่แล้ว +12

    Nan kamfananisha huyu Dada na Kibibi(Getrude ?

  • @ashamohamed9374
    @ashamohamed9374 2 ปีที่แล้ว +4

    Huy muongo miaka 27 hld romy utembee nae elf 2013 inamaan umetembea na romy ukiwa na miaka 15 hlf romy kasem ametembea na ww mwak 2000 inamaa romy katembea na ww ukiwa na miaka 12 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 acha uongo we dada

    • @faidhafaidha4587
      @faidhafaidha4587 ปีที่แล้ว

      Sasa unabisha wew ndo umemzaa🤣🤣🤣🤣ulitaka aseme miaka 90

    • @ashminaabdulla8946
      @ashminaabdulla8946 ปีที่แล้ว

      Kweli bhana Hana lolote kwahiyo umalaya kaanza mdogo duh

  • @adellahchipanyanga5107
    @adellahchipanyanga5107 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimempenda bureeee yaani hivo nilivo haswaaaaaaa yan

  • @jrm9448
    @jrm9448 2 ปีที่แล้ว +12

    sura ya demu na lafudhi yake vitu viwili tofauti..... sura ya kisister du lafudhi ya Zai wa kijiwenongwa.

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 2 ปีที่แล้ว +2

    Nmempenda Sana huyu dada,,naomba namba yake

  • @zuewaley8249
    @zuewaley8249 2 ปีที่แล้ว +1

    Just woow😢…nmejkuta imersed sana na this interview😢

  • @nassirvarane7742
    @nassirvarane7742 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwanamke ana matako Mazur Huyu alivyo kuja zanzibar nlimtaman sn

  • @colinehelmas6484
    @colinehelmas6484 2 ปีที่แล้ว +3

    nimekupenda bure tuerny

  • @radhinajames1568
    @radhinajames1568 2 ปีที่แล้ว +2

    Me nampenda huyu dada

  • @neemasamson314
    @neemasamson314 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimekupenda kweli upo kama mimi bwana siogopi kuwa peke yangu

  • @iddimoshi8459
    @iddimoshi8459 2 ปีที่แล้ว +7

    Hakuna shida I'll be okay
    Noted ✅

  • @hadiadaoman1981
    @hadiadaoman1981 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimependa hapo kuwa napenda kuwa mm hii ndio self love ukiwa na self love hakusumbui mtu au kuumizwa 👊🤝

  • @sifatiiman
    @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว +6

    kiss flavour tumezaliwa siku moja may 12 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 ปีที่แล้ว +2

    Hata rafiki yangu yupo alikuwa hajui kupenda lkn alikutana mwanaume mwingine alimpenda mpaka kuchanganyikiwa

  • @shamsanasserharith4998
    @shamsanasserharith4998 2 ปีที่แล้ว +2

    You are really smart like to know you

  • @agnesmwakyusa5767
    @agnesmwakyusa5767 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbeya moja love u

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu dada ana madini sana katika elimu ya dunia..SnS mrudisheni tena aelezee kwa undani...mpaka naona Chris amekuwa mpole kwa kumuogopa...
    lkn nimempenda sana yuko wazi na anajiamini...maana wanawake wengi wanawasingizia sana wanaume hasa mambo yakienda kombo kwenye mapenzi..kitu ambacho kimenishangaza ni kuwa mgumu kwenye
    mapenzi...wakati mademu wa mbeya ni maji mara moja..hahahaaaaa

  • @azorindege2556
    @azorindege2556 2 ปีที่แล้ว

    Ana tabia za kisagaji....nieleweke hapa sijasema ni msagaji ila ANA TABIA ZA KISAGAJI

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 2 ปีที่แล้ว +1

    Mi nlipoelewa ni mnigeria kumlipia kodi Dubai" Af Akula mzigo ni uongo wa kiwango cha Lami wanigeria kwenye suala la ela sio makolo kama sisi wabongo"

  • @mubarakhassan2618
    @mubarakhassan2618 2 ปีที่แล้ว +7

    Anayedet nahuyu dada namupa pole

  • @shamsanasserharith4998
    @shamsanasserharith4998 2 ปีที่แล้ว +3

    I am like her

  • @samniza1763
    @samniza1763 2 ปีที่แล้ว +2

    Mini Diva yule mjuaji wa wasafi.

    • @btylove1870
      @btylove1870 2 ปีที่แล้ว

      Yaani copy ya Diva kabisa hujakosea

  • @Rahmah-dr9xd
    @Rahmah-dr9xd 2 ปีที่แล้ว +3

    Dah
    Huyu dem ni mimi tu kwenye mahusiano 😂😂

    • @hadijagere
      @hadijagere 2 ปีที่แล้ว

      Same to me yani kama najiona 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rubyring100
    @rubyring100 2 ปีที่แล้ว

    Watanzania someni haya anayoyasema siyo mapya wala siyo magic ni mambo yapo kabisa! As a journalist u also have to be well learned guest asikushangaze... someniiiii

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 2 ปีที่แล้ว +2

    CHRIS 🙋‍♀️ TUERNY INAFAA ARUDI ATUPE IYO HELIMU YA MWAKA MARA 2

  • @nellymatalanga5033
    @nellymatalanga5033 2 ปีที่แล้ว

    Huyu nae atashindia kitu moja kila interview ni RJ move on Ex ni Ex nkt sio lazima uende ukitangaza relationships

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 ปีที่แล้ว

    Turney@💕💞💞💞

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 ปีที่แล้ว

    Kwanini mnaficha sura zenu kwa kuvaa hizo miwani?

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 ปีที่แล้ว +5

    Shetani sana huyu dada ata ndoa haijali mtihani watu kama hawa wakufa tu mapema tu

    • @faithzamani1965
      @faithzamani1965 2 ปีที่แล้ว +1

      Hatujaja kuota mizizi wote tutakufa

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 ปีที่แล้ว +5

    Kweli wee roboti ujali wala nn ila ni mrembo hufananii uswahili 😂😂😂

    • @nellymtambo8432
      @nellymtambo8432 2 ปีที่แล้ว +1

      Warembo wengi sie waswahili ila mpaka tutibuliwe 🤣🤣🤣

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 ปีที่แล้ว +1

    Diamond n daraja la kwenda mjn

  • @shamsanasserharith4998
    @shamsanasserharith4998 2 ปีที่แล้ว +1

    I like her

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 2 ปีที่แล้ว

    Anajyamn Sana uyu dada

  • @mwakilamwaki1718
    @mwakilamwaki1718 2 ปีที่แล้ว

    Sasa ume keketwa isia utapata wapi Wanawake walio keketwa Awana isia acha kutu danganya kuwa auna isia sema ume keketwa

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 2 ปีที่แล้ว +2

    2days mbona kajitahidi yaani kukikucha nishamaliza haja zangu bhana kaka nenda

    • @asifiwekitunga4655
      @asifiwekitunga4655 2 ปีที่แล้ว

      Ila hata mi kipindi sijaolewa nlikuwa silali na mwanaume kwangu na nkienda kwa mwanaume sikai zaidi zaidi ya sku 2 😂

  • @sherin3171
    @sherin3171 2 ปีที่แล้ว +8

    Dada unajiamini nakpenda bure

  • @halemmmbarak16
    @halemmmbarak16 2 ปีที่แล้ว

    Dada ungekua mke wa sheikh Yahya unegetisha zaidi

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 2 ปีที่แล้ว +8

    Munajuaga kutafuta cha kuingilia mjini

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 2 ปีที่แล้ว +2

      Weee uyu mdada yupo mjini kitambo sana labda ww tu ndo ulikua humjui sema tu sio mtu wa media ila ni famous

  • @shabanizena2612
    @shabanizena2612 2 ปีที่แล้ว +1

    Woman of principe

  • @frankdominic664
    @frankdominic664 2 ปีที่แล้ว

    huyu dada ana akili sana nimemkubali namuona kama binadamu anayeishi sayari tofauti na tunayoishi

  • @atumwaisumbi8628
    @atumwaisumbi8628 2 ปีที่แล้ว

    Yaani Lisa yupo kama Mimi tu
    Mnyakyusa nijae jiamini sisi hatunaga mbambamba

  • @فاطمهف-ك1ت
    @فاطمهف-ك1ت 2 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 ปีที่แล้ว

    Kwa nini hamui necha?

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli uko nasheriya watu wameba dilika sana 🤣🤣😃😃😃

  • @beatricemrisho8431
    @beatricemrisho8431 2 ปีที่แล้ว

    Huyo dada anajiamin sana

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 2 ปีที่แล้ว

    Sauti vip asikiki?

  • @lordvemtui8829
    @lordvemtui8829 2 ปีที่แล้ว

    Kumb 18:10-12 Guys go and read ur Bible

  • @yassinlisa6168
    @yassinlisa6168 2 ปีที่แล้ว

    Lisa 🥰❤️

  • @jamilasalim7165
    @jamilasalim7165 2 ปีที่แล้ว +1

    mnipitie na mimi wadau

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 2 ปีที่แล้ว

    Ina maana RJ alianza kupiga ukiwa na miaka18 tu. Alikua anakula embe kwa chumvi

  • @mwakilamwaki1718
    @mwakilamwaki1718 2 ปีที่แล้ว

    Kuna wakati wa majuto uyo umri Bado wakati wa kuitwa Nunga embe Bado

  • @bigirimanadaudi9797
    @bigirimanadaudi9797 2 ปีที่แล้ว

    Utafikiri anaakali nyingi kumbe hamna kitu

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂jamani!

  • @samiraabdallah1348
    @samiraabdallah1348 2 ปีที่แล้ว +1

    Haki napenda anavyoongea
    Napenda sannaaa

  • @hadijagere
    @hadijagere 2 ปีที่แล้ว

    Uyu dada mbona kama najiona aki kwani wa mwezi gani

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha kujidhalilisha wewe mwanamke kwa zinaa

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani tanzania zina inatangazwa kama pipi

  • @beckylyn4172
    @beckylyn4172 2 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @reubenkissinga5802
    @reubenkissinga5802 2 ปีที่แล้ว +1

    Tulane nyama tuu hakuna namna!!

  • @dorahisinika7576
    @dorahisinika7576 2 ปีที่แล้ว +2

    Introvert...

  • @sporttz15
    @sporttz15 2 ปีที่แล้ว

    huyu dem kasema ana miaka 23 na 2014. sasa huu mwaka ni 2022 ukitoa 2014 unapata miaka 8 ukichukua miaka 23 ukitoa miaka 8 unapata miaka 15 kwahiyo 2014 alikua anamiaka 15 hii sidhani kama ni ukweli. miaka 23 hapana

    • @denisruvugo1764
      @denisruvugo1764 2 ปีที่แล้ว +1

      27 kasema

    • @husnahsq3288
      @husnahsq3288 2 ปีที่แล้ว

      inawezekana sana....maana mtu wa miaka 15 anakuwa from au three so anaweza akawa na mahusiano vzr tu

    • @merinankullua5874
      @merinankullua5874 2 ปีที่แล้ว

      Kasema miaka 27

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 ปีที่แล้ว +3

    Nahawa waandishi wanalana kila wakiuliza lazima waulize mambo yazinaa

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm 2 ปีที่แล้ว

    nyie wandishi wa Habari amna lolote kazi zenu mkiona mwanamke mwenye mwili mzur mnamsapot lakini mwanaume mwenzenu amsapot mpaka atusue ndo mnanza kumfatilia ila madem mko fasta sasa uyo anaimba nyimbo gani iyo

  • @christobellndovie7060
    @christobellndovie7060 2 ปีที่แล้ว

    Tukuyu masoko ndi kwetu..wamasoko tujuane

  • @edwinejumanne6323
    @edwinejumanne6323 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni mbinafsi ....😂😂😂

  • @benardjuniour782
    @benardjuniour782 2 ปีที่แล้ว

    element za kiganga
    🤣🤣🤣

  • @yusrambwana3365
    @yusrambwana3365 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 2 ปีที่แล้ว

    Acha uhuni wewe dada

  • @sharefazngepar8646
    @sharefazngepar8646 2 ปีที่แล้ว

    Umenifuza kifu

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 2 ปีที่แล้ว

    Kwani lazima. Muimbe

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 ปีที่แล้ว

    👍👍👍👍👍

  • @faithzamani1965
    @faithzamani1965 2 ปีที่แล้ว

    Kila na kuongea jaman

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 2 ปีที่แล้ว

    Kumbee ww wakukaja eee

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂

  • @musafirindaraye8296
    @musafirindaraye8296 2 ปีที่แล้ว

    Ni uuuuongo mtupu

  • @violetoloo445
    @violetoloo445 2 ปีที่แล้ว

    Extrovert.

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 2 ปีที่แล้ว +1

    Anaongea kama mkinga

    • @giftmbogela2435
      @giftmbogela2435 2 ปีที่แล้ว

      Hee mbona wakinga tena tumenyaje🙄😂

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbona wigi kama mopu la chooni

    • @shakira1301
      @shakira1301 2 ปีที่แล้ว

      Wivu

    • @shakira1301
      @shakira1301 2 ปีที่แล้ว

      Come on don't be jealous

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 ปีที่แล้ว

      La shangazi yako umeliona? Ka nyumba ya makuti

    • @caashamacalini3887
      @caashamacalini3887 2 ปีที่แล้ว

      @@vanessalaizer4363 shangazi yangu hatmii minyuzi kuweka kichwani ama maplastic Sawa shangazi yangu ana natural hair singer za kudondoka mpaka mgongoni sijui nyie mnaoteseka na makumbi hamuachi jinsi mlivyo mpaka mtia miplastic sema lingine nitakujibu naona umekeleka

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 ปีที่แล้ว

      @@caashamacalini3887 umejibu vzr jamani hadi nimependa.