NAMNA RAHISI YA KUPATA LOSS REPORT MTANDAONI FANYA HIVI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 9

  • @utumishiportal
    @utumishiportal  7 หลายเดือนก่อน +1

    📂 Kwa wanaoshindwa kufanya applications, karibu tuhudumie kwa bei rahisi kabisa!
    ✅ Tumeamua kuwaelekeza bure ili mtu akishindwa atatuchangia gharama ya bando la kumsaidia application yake tu.
    ⭕ GUSA LINK HII KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA WHATSAPP
    ➠wa.me/message/KPBYLKDN6LF5B1
    ⭕TAFADHALI FUATA MUUNDO WA MESEJI ULIOWEKEWA ILI KUHUDUMIWA KWA URAHISI
    ✍️KARIBU SANA

  • @SalhaUchebe
    @SalhaUchebe ปีที่แล้ว +1

    Asante ngoja nijaribu

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  ปีที่แล้ว +1

      Sawa ukikwama wasiliana na si tena kwa njia ya Whatsapp kwa usaidizi zaidi

  • @bujibaelikana7986
    @bujibaelikana7986 ปีที่แล้ว +1

    Napata changamoto nambiwa jina halifanani na kitambulisho wakati ndio majina yangu niliyosajilia shida non?

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  ปีที่แล้ว

      Mara nyingi Mfumo huwa haudanganyi ndugu! Inawezekana umechanganya , umezidisha au umeacha herufi katika jina ulilojisajilia.

    • @kennethedgar923
      @kennethedgar923 ปีที่แล้ว

      ​@@utumishiportalhaina kuchanganya wala nini,namba zote nimeandika sawa ila wanajibu kama walivomjibu jamaa hapo

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  ปีที่แล้ว

      Poleni kwa changamoto hiyo!
      Sorry, Hapo ni kwenye stage ya registration ya account au ni kujaza details za mali?

    • @elishamkoma4560
      @elishamkoma4560 ปีที่แล้ว

      The same to me. Mfumo mbovu

  • @mwanaashakingo7392
    @mwanaashakingo7392 หลายเดือนก่อน

    jinsi ya kuprint iyo loss report naomba utuelekeze